serikali

  1. S

    Pongezi Serikali ya Rais Samia kwa kutoa kiasi cha Tsh bilioni 300 kuendeleza miradi jijini Dodoma

    Nianze na kumpongeza mama Samia kwa uamuzi mzuri na wenye busara zenye kulenga mwendelezo wa aliyekuwa mkuu wake wa kazi , pongezi zingine ziende kwa waziri mkuu kwa tamko la utoaji wa kiasi cha bilioni 300 zitakazotumika kuendeleza miradi jijini Dodoma iliyoanza awamu ya tano na mwendazake JPM...
  2. Tunastaafu bado madeni ya Polisi wanayoidai Serikali ni miaka 7 bado haijalipwa

    Haya ni mateso juu ya mateso, Nauli za baada ya kustaafu ni kitendawili, Penesheni ya PSSSF kulipwa ni kitendawili, Madeni pindi tunaenda kozi za vyeo pamoja na kukatwa kwenye mshahara kila mwezi laki 290 elfu kujisomesha kwenye chuo cha serikali kila mwezi bado hatujalipwa nauli zetu za safari...
  3. Ukiacha Chanjo za Corona, kuna kitu gani cha maana kilichofanywa na Serikali ya awamu ya 6?

    Serikali ya awamu ya 5 ilipoingia madarakani tuliona mageuzi ya kutisha na amsha amsha ya maendeleo kila mahali, miradi iliibuliwa na kutekelezwa kwa kasi, ikawa ndio kama tumezinduka toka usingizini. Hii serikali ya awamu ya 6 inanishangaza sana, toka imeanza hadi sasa imekuwa ni Corona na...
  4. N

    Kodi ya majengo kuanza kukatwa kwenye Luku kuanzia Agosti 20, 2021. Je, Serikali imekosa Dira, mbinu zimewaishia?

    Naomba kuuliza maswali machache. Ni sababu ipi hasa ya msingi iliyopelekea kutoka mfumo wa malipo wa zamani kuleta mfumo wa sasa? Kwa hiyo kwanzia agost 20 kodi ya jengo inalipwa na mpangaji? Vipi kuhusu nyumba ambazo kila chumba kina mita yake? Vipi kususu mpangaji mmoja ambaye kapanga...
  5. Ushauri: Serikali ondoeni kituo cha daladala cha Ubungo River Side, kinasababisha foleni isiyo ya lazima

    Naomba kushauri serikali iondoe kituo cha daladala cha ubungo river side kwani kinasababisha foleni isiyo ya lazima. Ubungo kuna flyover lakini foleni inayosababishwa na kituo cha riverside kama unatokea Buguruni inaondoa kabisa ladha ama raha ya uwepo wa ile flyover. Kutokea Mwenge kwenda...
  6. D

    Kurudi kwa michango mbalimbali mashuleni. Je, Serikali imeshindwa kutekeleza sera ya Elimu bure?

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kumekuwa na wimbi kubwa la kuongezeka michango ya lazima katika shule za serikali, baadhi ya michango hiyo ni majengo, taaluma, madawati lakini watu wameenda deep zaidi hadi pesa za mitihani ya shule. Hizi ni dalili tosha kabisa kwamba...
  7. S

    Rais Samia na Serikali yake wamefanya lipi jema mpaka sasa?

    Tuambiwe hadi leo chini ya Utawala wa CCM kwa kipindi hiki kipya cha Rais huyu mtarajiwa kwa njia ya kupigiwa kura hapo 2025, lipi alilolifanya hata Wananchi wamchague 2025 awe Rais wao? Kwa upande wangu naona mambo ni valuvalu tu hayana muelekeo wa kuonyesha ameleta unafuu wa maisha kwa...
  8. Serikali bado ina nafasi ya kushawishi Watanzania chanjo ya Corona

    Kwa muelekeo wa ugawaji na uchanjaji wa chanjo ya UVIKO19 Tanzania na malumbano kati ya viongozi wa serikali wenyewe kwa wenyewe kuhusu kuchanja Corona yaonekana wazi kuwa serikali yaweza kushindwa vita hii, kwa kuwa, kwanza ni hiari lakini pia ilishajikwaa mwanzoni kuhusu chanjo hiyo kwa awamu...
  9. Nyumba za kujengewa huwa zina mazingaombwe ni bora ukapewa Pesa/Hundi Mbele ya Wanahabari na ukajenga mwenyewe

    Nimeyaona mengi Sana, Dkt. Slaa alijengewa nyumba na CHADEMA alipohama Chama hicho wakachukua nyumba yao huku walimpa bure, Tuntemeke Sanga wa Njombe alijengewa nyumba na Mwl. Nyerere alipoanza kumpinga akafukuzwa kwenye nyumba hiyo, mwaka 2004 nikiwa Dar es Salaam nilishuhudia Mkuu wa idara ya...
  10. N

    Waziri Gwajima Achana na mambo ya chanjo, Serikali nzima imekuangushia mzigo peke yako

    Kipindi hayati JPM anapinga chanjo alisimama kidete haswa haswa, akapiga marufuku na fumigation na akaagiza mtu yyte atakayefanya fumigation eneo lolote akamatwe. JPM kafariki Amekuja mama Samia yeye kaagiza chanjo sasa hapo kuna kazi kubwa ya kuwaamisha wananchi kutoka kwenye idea za...
  11. Serikali ya Tanzania yaipinga kesi ya miamala ya simu

    Dar es Salaam. Hatima ya shauri la kupinga tozo za miamala ya simu lililofunguliwa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) itajulikana Septemba 8 pale Mahakama Kuu itakapotoa uamuzi wa pingamizi la Serikali. Kituo hicho kilifungua shauri hilo Julai 27 Mahakama Mahakama Kuu dhidi ya...
  12. Nategemea tozo zipunguze kiwango cha mikopo ya nje ya Serikali

    Katika utafiti nilioufanya kwa kutumia data za kuanzia 2010 hadi 2020( Monthly) nikitumia VECM model, zimeonesha deni la taifa linaiweka nchi katika hali ya kuingiza Economic Shocks kutoka nje ya nchi ambayo huathiri utekelezaji wa sera ya fedha. Aidha, Benki Kuu ya Tanzania(BoT) imeziandika...
  13. Drama ya Dkt. Gwajima dhidi ya Pst. Gwajima ni mkakati wa CCM kunyamazisha sakata la Mbowe na katiba Mpya

    Habarini wanabodi JF! Nikionacho Mimi, Hii drama ya mtu na shemeji yake Ni mbinu ya CCM kuwapoteza CHADEMA na wafuasi wake kuhusu sakata la Mbowe na Katiba Mpya! Ikumbukwe kuwa baada tu ya kushikiliwa kwa M/kiti wa CHADEMA. Mh. Mbowe, ndoto ya sakata la Katiba Mpya ikafia hapo, nguvu zote...
  14. Video: Taleban wacheka walipoulizwa na mwandishi wa habari kama wapo tayari kuunda serikali ya kidemokrasia ambayo wanawake watagombea/kupiga kura

    Katika hii video hapa chini magaidi wa Taleban wanaonekana wakicheka na kumwamuru mwandishi wa habari aache kurecodi pale walipoulizwa kama wapo tayari kuruhusu demokrasia ambayo wanawake wataruhusiwa kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika serikali yao na kupiga kura katika kuchagua...
  15. S

    Ushauri kwa CCM kuelekea uchaguzi wa Serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa mwaka 2025

    Ushauri kwa Chama Cha Mapinduzi kuelekea uchaguzi wa Serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa mwaka 2025: 1. IGP Simon Sirro aendelee kuimarisha jeshi la polisi na kuhakikisha anaendelea kutetea Chama Cha Mapinduzi, 2. Tume ya Taifa ya Uchaguzi iendelee na utaratibu wa kukata majina ya wagombea...
  16. Wapinga chanjo waliwahi kwenda mahakamani na kushindwa na upande wa serikali na wapenda chanjo

    In the United States, the anti-vaccinationist movement, using pamphlets, court battles, and fights in state legislatures, succeeded in repealing compulsory vaccination laws in California, Illinois, Indiana, Minnesota, Utah, West Virginia, and Wisconsin. However, in the landmark Jacobson v...
  17. China yasema iko tayari kushirikiana na Serikali ya Wataliban

    Dunia imejaa fitina, wakati Marekani kafungasha virago vyake huko Afghanistan na kuwaachia Wataliban wakijitwalia ushindi mnono na kujiandaa kuunda serikali, China yasema iko tayari kushirikiana na Serikali ya Wataleban. Wakati nchi kadhaa zikiwa kwenye hatihati za kufunga balozi zao, Urusi...
  18. S

    Eneo kubwa la Pori la Jeshi kuanzia Nzuguni mpaka Mji wa Serikali Dodoma, kunaharibu mandhari ya Jiji la Dodoma

    Kwa wanaoifahamu Dodoma, bila shaka watakuwa wanaelewa eneo hilo la Jeshi ambalo ni pori kubwa na sasa linageuka pori katika ya Jiji la Dodoma baada ya mji huu kuendelezwa kama Makao Makuu ya Nchi. Kwa sasa, eneo hilo la Jeshi, linakuwa pori linalotenganisha makazi ya watu baada ya viwanja...
  19. B

    Tatizo si chanjo au wananchi, tatizo ni viongozi wetu

    Binafsi naona tatizo la baadhi ya watu kugomea chanjo limesababishwa na serikali yenyewe na ( viongozi wa dini). Kwa kawaida kunapotokea upotoshwaji wowote kwa makusudi au kwa Bahati mbaya utakaofanywa na Kiongozi wa serikali. Kinachofata ni uwajibikaji. Kwa kuwajibishwa au yeye kujiwajibisha...
  20. L

    Serikali iongeze elimu dhidi ya chanjo ya COVID-19, imuombe Askofu Gwajima asiongelee chanjo

    Jana nilimskiliza tena askofu Gwajima! Matamshi yake yanaungwa mkono na watu wengi sana kuliko hata watu waliopewa ubalozi wa Corona. Nashauri yafuatayo: 1. Serikali iongeze elimu juu ya chanjo 2. SerikaLi imuombe Gwajima abaki na msimamo wake lakini asiongelee chanjo 3. Itangaze chanjo kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…