Msemaji wa Serikali hajasema ukweli, amesema pensheni zimelipwa tar 22 mwezi huu, watu wameenda Ijumaa tar 24 Benki Hakuna Mafao wala Pensheni.
Watu wote walio staafu mwezi wa 2 mwaka huu hawajapewa hata pensheni wala Mafao sisi ni miongoni, pia kusema mpaka mwezi wa 9 serikali inaendelea...
Serikali mara kwa mara imekuwa ikiwahimiza wanafunzi kusoma kwa bidii na kufaulu lakini jambo la kusikitisha unapofika wakati wa ajira serikali hiyo hiyo inawabagua tena.
Tumeona kwenye ajira za polisi wanaotakiwa ni wale ambao hawakufanya vizuri kwenye mitihani ya kidato cha nne. Yaani...
Wakuu hili swali nimeliuliza sehemu nkashindwa kupata majibu nimeona nililete hapa.
Nini kitatokea endapo serikali itapandisha vigezo vya kusoma elimu ya juu? Je kutakuwa na athari gani ktk jamii kiuchumi?
Mfano alama za kujiunga chuo ziwe atleast BBB
Jina ni neno au maneno anayopewa mtu au kitu au hali Fulani
Nataka kujikita kwenye jina tunalopeana watu.
Kwanini Waafrika tunapenda sana kuwapa watoto wetu majina ya Ulaya, Asia n.k., lakini sisi tuna maneno katika lugha za Kiafrika.
Kwanini usumbuke uingie kwenye mtandao na penginepo...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ya Tanzania ingependa Umoja wa Mataifa uwasaidie ili waweze kujenga yanayotakiwa na wananchi ikiwemo Elimu, Afya, Maji, Umeme na Pembejeo za Kilimo
Ameeleza hayo Septemba 24, 2021 katika Mahojiano Maalum na Habari za UN huko New York Nchini Marekani...
Nimekuwa nafuatili Sana kesi zilizofunguliwa Kisutu, Mahakama Kuu na Mahakama ya Mafisadi. Mara nyingi Mawakili wa serikali uongozwa na wakili ambaye utambulika Kama "Senior state attorney", kwa kiswahili kisicho rasmi Ni wakili Mwandamizi wa serikali.
Kwangu Mimi maana ya " senior" ni mtu...
Kama tulivyosema kuna watu wanajaribu kumwaribia Raisbkwa kuweka hizi kesi za kijinga. Ubalozi wa German ndiyo Lissu alikimbilia baada ya kutaka kutekwa baada ya uchaguzi na walimpeleka mpaka Airport. Kwasasa watu kwenye kesi ya Mbowe na wanapima kuona kama Tanzania inabadilika au iko vilevile...
Yanga na simba wanajaza mashabiki sana, pamoja na timu nyingine,lakini takwimu zinaonyesha wanaolipia tiketi hawalingani idadi na wanaoingia uwanjani, viwanja vinajaa sana, takwimu zinaonyesha watu wachache ndio wanalipia tiketi.
serikali iingie chimbo, haiwezekani viwanja vijae halafu ionekane...
Siku zote kitambaa cha kaniki kitabakia kuwa kaniki tu.
Wamachinga walidanganywa sana na mwendazake kuwa ccm inawajali sana hivyo wakaingia mkenge na kuisapoti mwaka 2015.
Leo hii yule bwana hayupo tayari wameanza kilio cha samaki .
Nawashauri wajue kuwa ccm haijawahi kuwa na huruma .
Nimefuatilia trend ya huduma za internet kwa mitandao kadhaa na kusema kweli hali ni mbaya na ya kusikitisha sana.
Kwa miaka kadhaa sasa, Serikali imejaribu mbinu mbalimbali za kubana uhuru wa watu kuongea. Siku za nyuma watu walikuwa wananyakuliwa kutokana na post zao. Lakini mbinu hiyo...
CCM ina wanachama zaidi ya Mil 8. Chanjo zimeletwa kwa watu Mil 1.
Mwenyekiti wa Chama kasema watu wakachanje naye akaenda chanja kama mfano. Mpaka leo chanjo si zaidi ya 400,000. Hii ni Hujuma. Tena hujuma ya wazi kabisa.
Kwa wanawachama wetu zaidi ya Mil 8 nchi nzima tungekuwa tunagombania...
Salama.
Huwa viongozi na watumishi wa serikali wakijinasibu kuwa wanalipa kodi, lakini kilogic watu hawa hawalipi kodi hata kidogo, badala yake ni watumia kodi.
Wataalamu waliochunguza swala hili walikuja na mfano ufuatao. Ikitokea nchi ikakusanya kodi sifuri, basi kuanzia Rais, Waziri...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania itaendelea kuhakikisha kunakuwepo Usawa wa Kijinsia licha ya vikwazo vinavyojitokeza
Amesema hayo akishiriki Mkutano Maalum wa Wakuu wa Nchi na Serikali Wanawake wanaoshiriki Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa
Aidha, amesema hivi...
Mitandao ya kijamii inashiriki sana kuelimisha umma wa Watanzania kwa namna mbalimbali kuanzi hapa Jamiiforums, Twitter n.k
Nashauri serikali ianze mpango wakutoa Motisha kwa baadhi ya wanaoendesha hii mitandao wakiwemo kina Mexence Melo na wengine ili kuwatia moyo kwa kazi kubwa wanayofanya...
Habari wana jukwaa.
Naomba kufahamishwa utaratibu wa kufwata kununua/kujimilikisha mali ya serikali.kuna magari mabovu yapo kwenye ofisi za harimashauri nataka niyanunue kama chuma chakavu.
Natanguliza shukrani.
Serikali Nchini humo imesema kumekuwepo jaribio la kufanya mapinduzi ambalo limeshindikana, na hatua zinachukuliwa kudhibiti hali hiyo.
Shirika la Habari la AFP limenukuu chanzo kilichosema kulikuwepo jaribio la kuvamia jengo ambalo linatumika na Vyombo vya Habari vya Serikali. Mahojiano na...
SERIKALI IWE MACHO NA MATUMIZI YA FEDHA ZA CHAMA CHA WALIMU TANZANIA
Nimekua nikifuatilia yanayoendelea katika mitandao ya kijamii, na vikao mbalimbali ya vyama vya wafanyakazi nchini, leo nitajikita kuongelea Chama cha Walimu Tanzania (CWT)
Chama cha walimu Tanzania ni chama wafanyakazi...
Nawasalimu kwa jina la JMT,
Nadhani kwa wale tuliowahi kuishi nyumba zinazovuja mtanielewa kwa haraka.
Mvua inapokuwa inanyesha sehemu za paa zenye matundu huanza kuchuruza maji na ili kupunguza tatizo huwa tunatega chombo kwa ajili ya kuyakinga yale maji yanayovuja.
Sasa turudi kwenye mada...
Kutokana na kukua kwa tatizo la ajira nchini na kushuka kwa uwezo wa serikali kuajiri, Mhe. God bless Lema kupitia space ya Maria Sarungi anashauri serikali kuanzisha mfumo ajira za mikataba ya miaka miwili ili watu waweze kupata kazi na kuendesha maisha kuliko kuendelea kung'ang'ania mfumo wa...