habari zenu watanzania? nimerud nilikuwa busy sana na mikutano ya kimataifa USA,UK,Canada, Sweden, Egypt, South AFrica, Nigeria, Russia na France. nashukuru angalau nimerudi kwa week moja hivi nije angalia mnaendeleaje hapa nchini. naambiwa tu kuna joto n.k. sijui maana sijapata nafasi ya kuwa...
Kwa muda mrefu hawa wapiga debe wamekuwa sio tu kero bali pia wanaongeza kupanda kwa nauli za mabasi.
Yaani hata wenye vyombo vya usafiri twawaogopa. Hata ukiwa na gari yako binafsi huwezi kuchukua abiria au hata kumpa lifti jamaa yako kwa kuwa tu wao huwa wanajimilikisha hao abiria na...
Prof NDALICHAKO YUPO kwenye wizara ya elimu tangu awamu ya hayati Magufuli kama waziri mpaka sasa lakini naona kama elimu haiendeshwi nae inajiendesha yenyewe.
Kuna shule inaitwa NGUVU MPYA SEKONDARY ipo chanika maeneo ya nguvu kazi, kidato cha kwanza pekee wapo 636 nimekwenda wiki iliyopita...
Wakuu,
Mbunge wa kuteuliwa na mtunga Sheria Humphrey Polepole, anadai hii awamu ya rais Samia sio awamu ya sita.
Rais Samia alisema yeye ndiye rais ya awamu ya Sita. Kwamba ni awamu ya sita kipindi cha kwanza.
"Hii serikali sio mpya,haikupigiwa kura, huwezi ukaita awamu ya sita, awamu lazima...
Kweli tutamkumbuka mwendazake, inafika sehemu eti kuprint tu control number inakuwa issue!
Yaani watu tunapanga foleni na kusubiri na hatuipati bado hela tunatoa sisi za kwetu, unaenda kwenye website unaambiwa this website is Suspended kweli ofisi ya Umma inaendeshwa kwa kodi zetu
Tuoneeni...
Aliyeanzisha uniform au sare shuleni naamini alilenga kuweka usawa baina ya maskini na tajiri lakini pia alitofautisha Kati ya Mwanafunzi na watu watoto wengine. Tunaposema asiye na sare aende shule tunakosea, tulipaswa kuwabaini wasio na unifomu mapema Tena kwa kujiandikisha ikiwemo kuweka...
Wakuu Kwema?
Niende Kwenye Mada, Shemeji yenu ni mtu wa kutoka Mikoa ya kaskazini, na kama mnavyojua kila ikifika tarehe kama hizi basi Pilika pilika za kueleke maeneo/mikoa hiyo hua zinakua nyingi sana. Mimi kwa kujua hilo ulipoanza huu mwezi tu nikaenda hapo Ubungo kwa ajili ya kumkatia...
Mwisho wa mwaka kuna makabila yanapenda sana kumalizia kwao. Yani wanatoka mjini wanarudi walikozaliwa.
Kwa hali jinsi ilivyo vikohozi,kifua pamoja na mlipuko wa nne wa UVIKO-19 yan kirusi cha Omicron.
Kitendo cha watu kuingiliana kwa wingi huenda ikasababisha madhara hususa ni kwa wakaazi...
Serikali kupitia taasisi zake walisimamia zoezi la Simba kupata mwekezaji ambae inasemekana alitoa bilioni 20 kununua asilimia 49 ya hisa za Simba...
Sasa Simba inaporudi kuchangisha wanachama wakati kila kitu cha Simba kinamilikiwa kwa asilimia 49 na huyo mwekezaji...je wanachama wanamchangia...
Jana nimepima nikakukutwa na virusi vya Korona (COVID 19). Sina maumivu yoyote mpaka sasa zaidi ya mafua tu lakini nimekutwa positive.
Chanjo imesaidia kutopata madhara makubwa. Nimekaa eneo tengwa (isolation) ili kutoambukiza wengine mpaka hapo nitakapopima tena.
Nawaomba muendelee kuchukua...
Kwa kila mtu anayeifuatilia Kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti Mbowe na wenzake 3 huko kwenye Mahakama Kuu, atagundua kuwa hii Kesi ni ya kubambika, kwa maana ya kuwa Majaji wake wanaopangwa ni wa michongo, mawakili wake walioko upande wa Jamhuri, walio upande wa mashitaka nao ni wa...
Jumuiya ya kimataifa (wabeberu) wameikalia kooni serikali ya Mh. Samia Suluhu, kwa kutuma mawakala wake kufuatilia kila hatua jinsi kesi ya kubumba (mchongo) inayomkabili Mh. Mbowe na kutuma ripoti kwa kila hatua inavyoendeshwa.
Na wameahidi hakuna kutuma misaada hadi pale watakapomuachia Mh...
Juzi tumefikisha miaka 60 ya Uhuru lakini hali bado inasikitisha sana. Serikali inaendelea na ujenzi wa madarasa ya shule za awali na sekondari. Nadhani ni kipindi sasa serikali inabidi igeukia elimu za ufundi kilimo na ufugaji.
Kila mwaka nchi inalia na upungufu wa madarasa sasa unajiuliza hao...
Enyi walimwengu
Naomba msaada kujulishwa hayati JPM akiwa raisi alivunja mahusiano gani na nchi mbali mbali Na jumuia za kimataifa ambazo leo nasikia wengi wakitamka kuwa sasa mahusiano hayo yaliyovunjwa awali yanatejeshwa kwa kasi sana.
Angalizo
kwa waleta majibu ya maswali hapa chini ndo...
Leo nimepata kukusanya japo kidogo na kuunganisha kwa nini kuna makundi au vikundi baadae huja kuwa tishio au kuondoa tawala kabisa.
Suala la kuibuka kwa makundi au vikundi kuna mawili ambayo yanafanya kuibuka.
Makundi haya yanaweza kuwa ya chanya au hasi.
Sababu ya kuibuka makundi:
Ukosefu...
Habari za leo ndugu wananchi, wiki chache zilizopita kumetokea mfumuko wa bei kwenye mafuta na gas.
Hivi ni kwanini serikali isitoe bei elekezi katika mitungi ya Gas kama inavyofanya kwenye mafuta ili tujue sababu za mfumuko huu wakutisha?
Maana kwenye mafuta walitwambia sababu sio wao bali ni...
Kuna habari inazunguka mtandaoni ikiwa ni pamoja na humphrey pole pole mwenyewe kuichapisha kwenye ukurasa wake wa twitter kwamba amevamiwa nyumbani kwake dodoma na watu wasiojulikana.
Kwangu naliona hili tukio kuwa ni tukio la kutengeneza kwa sababu kuu mbili;
1. Pole pole anatafuta huruma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.