serikali

  1. JamiiForums Tanzania Neno la Msamiati wa Leo katika Gazeti Habari Leo limekuja muda muafaka kabisa

    Kisonoko: Ni Mtu (hasa Mtumishi wa Kike) mwenye Kudharauliwa na ambaye hajui Kitu chochote Chanzo: Gazeti la Habari Leo la leo. Ngoja na Mimi sasa nianze kuangalia katika Sekta mbalimbali za Kiutendaji na Kiutumishi Tanzania nione kama kuna akina 'Visonoko' wengi ili tuwasaidie Kuwarekebisha...
  2. JamiiForums Tanzania Pamoja na Msimamo wa Tanzania kuhusu Urusi vs Ukraine; Ushauri wangu kukabili matokeo

    Baada ya Mataifa makubwa dunia Marekani na Ulaya kuamrisha Afrika iseme msimamo wake na ilaani oparesheni ya Urusi huko Ukraine. Tanzania imetoa kauli ya kwamba sisi HATULAANI, wala HATUUNGI MKONO vita hivyo. Tunachoshauri ni meza ya majadiliano tu. Tanzania ni mwanachama wa kikundi cha nchi...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali anzisheni kampeni maalum ya kilimo cha mazao ya Mafuta

    Wasalaam, Naomba kutoa wito kwa serikali hususani wizara ya kilimo chini ya Mheshimiwa Bashe kuanza mkakati kabambe wa kuwekeza kwenye kilimo cha mazao ya mafuta kama alizeti, karanga, ufuta, michikichi n.k Kwa hali iliyopo ambapo nchi uzalishaji wa mafuta ya kula ni 45% na tunaagiza 55% bado...
  4. JamiiForums Tanzania JUVIMA yaitaka Serikali kuwa sikivu kuhusu madai ya Katiba Mpya

    Jumuiya ya Vijana wa chama cha NCCR Mageuzi (JUVIMA) wameitaka Serikali kuwa sikivu kusikiliza matakwa ya muda mrefu ya wananchi wake kuhusu katiba mpya. Akizungumza makao makuu ya cha hicho jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa JUVIMA, Bw. Nicolas Clinton amesema kuwa takwa hilo la jamii ya...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Simbachawene: Polisi inalishughulikia shambulio la kutumia silaha kwa Tundu Lissu kama uhalifu mwingine na upelelezi unaendelea

    Akijibu swali la mtangazaji wa ITV Midle kuhusu uchunguzi ulipofikia kwenye tukio la kushambuliwa Tundu Lisu mbunge by then mh Simbachawene amesema yapo matukio mengi ya kutumia silaha yanayochunguzwa na hilo la Tundu Lisu siyo special ni uhalifu kama mwingine hivyo yote yanashughulikiwa kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Mabosi hutumia akaunti za benki za watu binafsi, wazabuni na wakandarasi kuchota pesa za Serikali. Serikali imulike taasisi ambazo CAG hana ubavu nazo

    Habari! Hii habari nimeileta hapa kama tetesi ili kujilinda na watu wapumbavu ambao hao kila kitu utawasikia wanauliza source au kutaka utaje jambo direct. Kuna baadhi ya mambo hayapaswi kuwekwa wazi kwa % nyingi hasa kipindi hayajaiva. Ni kwamba viongozi wateule wanajichotea pesa za umma...
  7. JamiiForums Tanzania Serikali: Waliopata chanjo ya UVIKO-19 Tanzania ni asilimia 9.81

    Kauli za Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu wakati akipokea chanjo aina ya Sinovac dozi milioni moja kutoka Serikali ya Uturuki, leo Machi 23, 2022. "Kwa niaba ya Serikali chini ya Mhe. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tunaishukuru Serikali ya Uturuki kwa kupokea ufadhili...
  8. JamiiForums Tanzania Je, inakubalika kuomba kazi tena utumishi wakati nipo kweme tasisi ya serikali kwa mwaka mmoja wa matazamio (probation)?

    Inawezekana ku apply kazi tena utumishi na huku nipo kwene tasisi ya serikali ndani ya mwaka wa kwanza wa matazamio (probation)?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ni muda muafaka sasa kwa shule za serikali kuwa "english medium"kwa sababu...

    1. Tayari sasa ni mwaka wa saba tangu serikali ilipo anza kuanzisha shule za majaribio ili kuona ufanisi wa tija juu ya mabadiliko hayo ambapo hadi sasa mafanikio yameonekana kuwa makubwa zaidi kwa shule zilizo katika majaribio ikilinganishwa na shule za kawaida (zinazo tumia kiswahili) 2. Hadi...
  10. JamiiForums Tanzania Kwa kauli hii ya Waziri, kuna moto unafukuta Diamond Vs Serikali (Hakuna Msanii Mkubwa Kuliko Nchi)

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa amewataka viongozi wa BASATA na COSOTA kuhakikisha wasanii wote wanasajiliwa hususani wale wakubwa ambao mpaka sasa hawajasajiliwa kwani hakuna msanii mkubwa kuliko Nchi. "Nitoe maelekezo kwa COSOTA na BASATA hatutegemei kusikia wasanii...
  11. JamiiForums Tanzania Uwazi katika Utendaji wa Serikali: Nyenzo Muhimu ya Ufuatiliaji wa Rasilimali za Umma na Mapambano dhidi ya Rushwa

    Katika miaka ya hivi karibuni nchi nyingi zimeendelea kutambua umuhimu wa uwazi wa serikali katika kuimarisha demokrasia, kukabiliana na rushwa na kukuza maendeleo. Uwazi wa serikali kimsingi ni wajibu wa serikali kuwa wazi, kuwajibika, na kuwa ya kuaminika kwa raia wake. Uaminifu huu...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Serikali inapaswa kuwaajiri moja kwa moja wafanyakazi wa mkataba ndani ya Halmashauri zetu

    Waziri wetu wa Tamisemi, kweli kuna tatizo la ajira sana nchini kwetu.Hivyo kupelekea vijana wengi kukosa ajira na kuingia kwenye shughuli ambazo sio rasmi kwao. Tunaimani sana na Serikali yetu sikivu. Zipo taasisi nyingi au Kada nyingi za Serikali hazina rasilimali watu hasa Halmashauri zetu...
  13. JamiiForums Tanzania Serikali iwaangalie kwa ukaribu watu hawa na kuwafuatilia

    Jirani yangu ana fuga ng'ombe 12 wa maziwa. Hawa ng'ombe wake hawatoki nje. Nmeanza kujiuliza huyu kila siku anazalisha kama kilo 250+ za kinyesi. Je anapeleka wapi? Na mkojo kama lita 210+ unaenda wapi? Nmewaza sana kutokana na Takwimu za Prof Mayele. Huyu jirani anapeleka wapi hivi vitu...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Serikali imewakomaza CHADEMA

    Serikali bila kujua imesaidia sana Chadema kukomaa kama chama 1. Magufuli kuzuia mikutano sasa wamekuja na kampeni za mitandao kama space na whatapp 2. Chadema digital imesajili watu 7M 3. Uchaguzi kuibiwa kura umeleta namna mpya ya kujitegemea bila ruzuku na madai ya katiba mpya 4. Kesi ya...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Kati ya Mawaziri hawa; Nani unadhani atafuata kurejesha nyumba ya Serikali hivi karibuni?

    Basing on performance, regarding on challenges in countered since ameingia ofisini na Kwa ujumla ufanisi hafifu; Nani unadhani watoto na familia yake waanze kujiandaa kisaikologia kuondoka kwenye nyumba za Serikali endapo ataendelea kusimamia mikakati ileile na kushughulikia utumbuaji wa watu...
  16. JamiiForums Tanzania Serikali kuwaruhusu CHADEMA kuwa na vikundi vya ulinzi ni kuhatarisha usalama wa nchi yetu na kinyume cha sheria.

    Sheria ya vyama vya siasa hapa nchini ipo wazi kabisa kuwa hakuna chama cha siasa kinachopaswa kuwa na makundi yanayojihusisha na masuala ya usalama. Kifungu cha 8E cha sheria ya vyama vya siasa kimeweka wazi kabisa juu ya hili suala ili kulinda maslahi mapana ya usalama wa taifa letu...
  17. I

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded TEMESA imeshindwa kutoa huduma ya kivuko Magogoni, Serikali ilete mwekezaji

    Eneo la Kigamboni ni moja ya sehemu ya Dar es Salaam inayokuwa kwa haraka sana. Wahamihaji ni wengi sana, wakati huo huo uboreshaji wa miundombinu ya barabara na vivuko haiendani na kasi ya ukuaji wa mji. Kuna njia nne za kuingia na kutoka Kigamboni. 1. Kuvuka kwa pantoni Magogoni. Njia hii...
  18. JamiiForums Tanzania Mjadala huru! Ni sekta ipi inayoendeshwa na Serikali inafanya vizuri?

    1. Mradi wa mwendokasi Dar. Huku mabasi hayafanyiwi maintainance, yanaharibika watu hawajali, kila siku watu zaidi ya laki 1 wanatumia mabasi haya na fedha zinakusanywa na mamlaka husika Ila kila siku mradi uko hovyo! Vituo vyake vinazidi kuchakaa na mabasi yanazidi kuchakaa. Haieleweki...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Kwenye hili la Jeshi la Polisi lawama ziende kwa Serikali ya CCM

    Kwenye hili la Jeshi la Polisi wa kulaumiwa 90% ni Serikali ya CCM na 10% ni lawama kwa jeshi lenyewe. Ni ukweli usiopingika jeshi letu la polisi lina changamoto nyingi kuliko madhaifu yake, na hata hayo madhaifu yake huchangiwa kwa kiasi kikubwa na changamoto linazopitia. Tiririka nami...
  20. JamiiForums Tanzania Serikali acheni kucheza na tozo kwenye bei ya mafuta punguzeni kodi ya VAT toka 18 hadi 10

    Bei ya mafuta ya petroli na diseal imeshuka tena na kuwa chini ya USD 100 kutoka 130 wiki iliyopita. Wiki iliyopita serikali ilitoa tozo ambalo ni mahususi kwa jambo maalumu. Mimi nadhani serikali ipunguze VAT kwenye mafuta ili kuleta suluhisho la kudumu kuliko hili la kutoa tozo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…