serikali

  1. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Msimvimbisheni kichwa Mwingira, hana uwezo wa kupambana na Serikali

    Huwezi kushindana na dola yeyote Duniani na ukabaki salama. Mwingira kwa mfano naona watu wameanza kumjaza kichwa eti aendelee kuinanga mamlaka kupitia jukwaa lake la dini jambo ambalo hana uwezo kwalo. Watu kama kina Mwingira huishia kuropoka na mara waonapo mambo yanakuwa magumu kwao huamua...
  2. beth

    JamiiForums Tanzania Afghanistan: Wanawake wapigwa marufuku kusafiri mbali bila ndugu wa kiume

    Taliban imesema Wanawake wanaotaka kusafiri umbali mrefu (zaidi ya Kilomita 72) wasipewe usafiri barabarani isipokuwa wakiwa wamesindikizwa na ndugu wa kiume wa karibu Mwongozo huo wa Serikali ambao umekosolewa na Wanaharakati pia umetoa wito kwa wamiliki wa magari kukataa kuwapandisha Wanawake...
  3. funaku

    JamiiForums Tanzania Serikali isitishe utaratibu wa kuthamini viongozi wa dini wahuni kwenye shughuli zake

    Huu utaratibu wa kuweka maombi kabla ya shughuli za Serikali usitishwe mara moja kwani wapo baadhi wanaochukulia kuwa ni necessity na wanatumia fursa hiyo vibaya. Sijawahi kuona ibada au misa au dua inaanza kwa kumkaribisha kiongozi wa Serikali. Zaidi sijasikia wasio na dini(ambao ni wengi...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Siku Chadema ikishika madaraka,viongozi waandamizi wa serikali watatoka mikoa hii.

    Nikiangalia wapiganaji wa hiki chama ,napata picha kwamba siku chadema ikishika madaraka,viongozi waandamizi watatoka mikoa ifuatayo. 1.kilimanjaro 2.Mara 3.Arusha 4.Mwanza 5.kagera 6.Mbeya 7.Iringa.
  5. JET SALLI

    JamiiForums Tanzania Kama Serikali ina ubavu wa kupambana na Rushwa ya ngono, waende pale Tanga

    Ukiona watu kama GWAKISA bado wako ofisini ndio maana Kuna wakati unaona wazi KABISA CCM kweli imeshindwa kuongoza hv kweli serikali makini inaweza kuwa inatembea na mla Rushwa? Hivi mtumishi asiye na MAADILI, adabu wala nidhamu ni wa kutumikia umma wa watanzania? Huyo bwana Gwakisa tumesikia...
  6. ommytk

    JamiiForums Tanzania Pongezi nyingi kwa mama yetu kipenzi mama samia na serikali awamu ya sita.sikukuu hii watu wamesafiri sanaaaaaaa

    Pongezi nyingi sana awamu ya sita na pekee kwa mama yetu sikukuu watu wamesafiri sanaaaa aijawahi tokea hii kwa kipindi kirefu sana wananchi walikuwa wakikumbizana na maisha na mambo hayakuwa mazuri sasa mambo angalau yamesababisha watu sasa wanasadiri kwenda kula sikukuu na familia na wazee...
  7. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Serikali Kubwa Ni mzigo

    Nimesikia kuwa serikali ya Tanzania ina mipango ya kupanuka kidogo kuongeza Wizara moja au mbili hivi. Serikali yoyote kubwa sana yenye wizara nyingi huwa siyo mzigo tu kwa nchi, bali pia ni serikali ambayo huwa haina ufanisi kutokana na baadhi ya maeneo ya utendaji kuingiliana. Kipindi cha...
  8. Guselya Ngwandu

    JamiiForums Tanzania Sugu ashauri watu waache pombe ili kuikomoa Serikali. Unakubaliana naye?

    Aliyewahi kuwa Mbunge wa Mbeya kupitia CHADEMA, Joseph Mbilinyi ameshauri watu kuacha kunywa pombe ili waikomoe Serikali ikubali kukaa mezani kujadili Katiba. Sugu amesema kwa mawazo yao wao CHADEMA ni vyema Serikali ikakosa kipato (Ishindwe kuhudumia wananchi na watu wakose ajira), na hilo...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Kamati ya siasa ya chama cha mapinduzi mkoa wa simiyu imeomba serikali kuajiri walimu

    Kamati ya siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Simiyu, imeiomba serikali kuajiri walimu wengi wa kutosha, ili kukabiliana na ongezeko la wanafunzi watakaoanza masomo yao mapema mwakani. Ushauri huo umetolewa na Katibu wa CCM mkoa wa Simiyu Innocent Nazaba, wakati wa ziara ya kamati ya...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Bashe: Serikali kuunga mkono sekta binafsi katika uzalishaji wa mbolea nchini

    BASHE: SERIKALI KUUNGA MKONO SEKTA BINAFSI KATIKA UZALISHAJI WA MBOLEA NCHINI Dodoma, Naibu Waziri wa Kilimo *Mhe. Hussein Bashe mapema leo ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa kiwanda cha mbolea cha INTRACOM kinachojengwa mkoani Dodoma. Katika ziara hiyo, Bashe amebainisha ya kuwa...
  11. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Ghana yamuiga Rais Samia kuanzisha Tozo ya Miamala. Wabunge watwangana Makonde

    Hii ndo maana sahihi ya Muongoza njia. Hatimaye Serikali ya Ghana imemuiga Mama asiye na maneno mengi bali matendo mengi, asiye na mbwembwe za kujitangaza hovyo na promo za kijinga anayependa vitu kwenda kwa usahihi na kupata matokeo sahihi, Si mwingine ni Rais Wa Tanzania Samia Suluhu Hassan...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Serikali iangalie matumizi ya IST, Subaru,Altezza, Vitz na usafiri unaofana na hivyo vitu. Kuna Majanga mengi

    habari zenu watanzania? nimerud nilikuwa busy sana na mikutano ya kimataifa USA,UK,Canada, Sweden, Egypt, South AFrica, Nigeria, Russia na France. nashukuru angalau nimerudi kwa week moja hivi nije angalia mnaendeleaje hapa nchini. naambiwa tu kuna joto n.k. sijui maana sijapata nafasi ya kuwa...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Serikali imulike tatizo la wapiga debe nchini

    Kwa muda mrefu hawa wapiga debe wamekuwa sio tu kero bali pia wanaongeza kupanda kwa nauli za mabasi. Yaani hata wenye vyombo vya usafiri twawaogopa. Hata ukiwa na gari yako binafsi huwezi kuchukua abiria au hata kumpa lifti jamaa yako kwa kuwa tu wao huwa wanajimilikisha hao abiria na...
  14. Lexus SUV

    JamiiForums Tanzania Je, kuna mfanyakazi wa serikali analipwa mshahara zaidi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano

    Msaada please kwa anaejua. Acha na posho Bali mshahara tuuu
  15. markp

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndalichako, naona kama Elimu haiendeshwi naye bali inajiendesha yenyewe

    Prof NDALICHAKO YUPO kwenye wizara ya elimu tangu awamu ya hayati Magufuli kama waziri mpaka sasa lakini naona kama elimu haiendeshwi nae inajiendesha yenyewe. Kuna shule inaitwa NGUVU MPYA SEKONDARY ipo chanika maeneo ya nguvu kazi, kidato cha kwanza pekee wapo 636 nimekwenda wiki iliyopita...
  16. figganigga

    JamiiForums Tanzania Polepole: Hii sio awamu ya Sita bali ni ya Tano kipindi cha pili, aliyeondoka ni Magufuli peke yake

    Wakuu, Mbunge wa kuteuliwa na mtunga Sheria Humphrey Polepole, anadai hii awamu ya rais Samia sio awamu ya sita. Rais Samia alisema yeye ndiye rais ya awamu ya Sita. Kwamba ni awamu ya sita kipindi cha kwanza. "Hii serikali sio mpya,haikupigiwa kura, huwezi ukaita awamu ya sita, awamu lazima...
  17. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Serikali hebu kuweni makini na huduma zenu

    Kweli tutamkumbuka mwendazake, inafika sehemu eti kuprint tu control number inakuwa issue! Yaani watu tunapanga foleni na kusubiri na hatuipati bado hela tunatoa sisi za kwetu, unaenda kwenye website unaambiwa this website is Suspended kweli ofisi ya Umma inaendeshwa kwa kodi zetu Tuoneeni...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Mhe. Ummy sare uleta usawa shule za serikali, mzazi anayekosa unifomu nivigumu Kupata nguo mbadala za mwanaye: Tupunguze free lunch Kwa wananchi

    Aliyeanzisha uniform au sare shuleni naamini alilenga kuweka usawa baina ya maskini na tajiri lakini pia alitofautisha Kati ya Mwanafunzi na watu watoto wengine. Tunaposema asiye na sare aende shule tunakosea, tulipaswa kuwabaini wasio na unifomu mapema Tena kwa kujiandikisha ikiwemo kuweka...
  19. Shark

    JamiiForums Tanzania Serikali inafahamu juu ya Huu Uhuni/Wizi unaoendelea hapa Shekilango/Urafiki??

    Wakuu Kwema? Niende Kwenye Mada, Shemeji yenu ni mtu wa kutoka Mikoa ya kaskazini, na kama mnavyojua kila ikifika tarehe kama hizi basi Pilika pilika za kueleke maeneo/mikoa hiyo hua zinakua nyingi sana. Mimi kwa kujua hilo ulipoanza huu mwezi tu nikaenda hapo Ubungo kwa ajili ya kumkatia...
  20. 2019

    JamiiForums Tanzania Japo tumechelewa serikali ipige marufuku safari za mwisho wa mwaka kwa hali ilivyo sasa

    Mwisho wa mwaka kuna makabila yanapenda sana kumalizia kwao. Yani wanatoka mjini wanarudi walikozaliwa. Kwa hali jinsi ilivyo vikohozi,kifua pamoja na mlipuko wa nne wa UVIKO-19 yan kirusi cha Omicron. Kitendo cha watu kuingiliana kwa wingi huenda ikasababisha madhara hususa ni kwa wakaazi...
Back
Top Bottom