serikali

  1. JamiiForums Tanzania Pakistan: Pendekezo la kupunguza unywaji wa chai - Serikali lawamani

    Waziri anayehusika na Mipango wa Pakistani amependekeza kuwa wananchi wapunguze unywaji wa chai kwa kuwa Serikali hutumia fedha nyingi kuingiza chai kutoka nje ya nchi, pendekezo hilo limesababisha hasira ya wananchi dhidi ya serikali na kusema kuwa uchumi umedorora kutokana na serikali kuwa na...
  2. JamiiForums Tanzania Giza totoro kituo cha mabasi ya mwendo kasi Kimara, je serikali imeshindwa kuweka backup power?

    Muda huu giza limetamalaki kwenye kituo cha mabasi ya mwendo kasi Kimara. Msongamano wa abiria ni mkubwa mno, magari ni kama vile yamegoma. Hii ni aibu kwa taifa , yaani mama aite wageni wake kupitia Royal Tour, halafu wageni wapande mwendo kasi uliojaa kunguni na huduma mbovu, sijui kwenye...
  3. JamiiForums Tanzania Baada ya Mwandishi Manyerere Jacton kueleza kinachoendelea Ngorongoro, sasa ndio naiamini Serikali, Wanahama kwa Hiyari

    Wanabodi Kunapotokea mgogoro wowote na kutokea sintofahamu yoyote inayowaweka wananchi kwenye njia panda, waamini lipi, kama kinachoendelea Ngorongoro, independent media ikiripoti hali halisi ya kinachoendelea, kitu hicho kinachoripotiwa huwa ndio ukweli halisi. Asubuhi hii nilikuwa naangalia...
  4. J

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro awaagiza Wananchi wa Loliondo kutowasikiliza wanasiasa na badala yake watekeleze wanavyoelekezwa na Serikali

    IGP Sirro ameagiza Wananchi wa Loliondo kutowasikiliza wanasiasa na badala yake watekeleze wanavhoelekezwa na serikali Sirro amesema hali ya usalama Ngorongoro ni shwari kabisa ----- PICHA: IGP Sirro akiongea na wakazi wa Tarafa Loliondo Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Simon Sirro amesema zoezi...
  5. JamiiForums Tanzania Magari ya Serikali wasiuziwe mabosi

    Haya magari yamegharimu 200M+ hadi 400M+ kwa bei ya "kuuziana" yatanunuliwa kwa nusu ya bei halisi (hasara). Hawa madereva mtawafukuza kupunguza wage bill? Wazo langu ni kuyatoa TEMESA kila ofisi itafute garage yao kwa ajali ya service. TEMESA wanapiga sana magari ya serikali hadi najiuliza...
  6. JamiiForums Tanzania Serikali iache kutujazia tozo kufidia matanuzi yao

    Hii nchi ilipofikia nafikiri kilichobaki ni watu waamue kujitoa akili tu utaratibu uvurugike mazima hata nusu mwaka hivi then kitakachofuata baada ya hapo tutakaa kamati ya maridhiano maana dunia nzima itakuwa inaelewa hasa kinachoendelea ni nini! Hii biashara ya kubembelezana watu wazima kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Je, bajeti kuu ya serikali 2022/2023 inauma na kupuliza?

    Je, tutegemee kupanda kwa bei ya viberiti au mi ndio sijaelewa?🤔 Maanake safety match ndio bidhaa pekee ambayo haijapanda bei kwa miaka mingi
  8. R

    JamiiForums Tanzania Rais wangu na Serikali kwa Ujumla Tears cannot bring Joy to people But can bring Development. Joy can bring Both. Hongereni kwa Kazi ya kutuongoza

    Viongozi wangu pamoja na Rais wangu hongereni kwa kazi ya kulijenga Taifa Changa kimaendeleo lakini Kongwe kiumri , kama mna nia ya Kweli na hii Nchi basi kuna Namna Mbili kuu za kuongoza na zote zitatupa maendeleo : 1. Machozi, hii ni njia Ngumu kidogo na ndio alijaribu kuipitia Hayati JPM, ni...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Serikali wakopesheni wakuu wa shule magari kwa lazima

    sababu zangu ni hizi hapa; 1. Kuwapatia staha, waheshimike na kuthaminika katika shule na jamii kwa jumla. Mkuu anayeheshimika atajiamini; mkuu anayejiamini ataongoza taasisi vizuri sana.....kukimbizana kwenye mabodaboda na kuoga mavumbi kwa watu waliopewa dhamana ya kusimamia eneo linaloleta...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali kuwawekea mazingira bora ya biashara Machinga

    Serikali kuwasaidia Wamachinga wawe na mazingira bora ya kufanyia biashara zao, Aidha Serikali kuwakutaisha Wajasirimali wadogo( Machinga) na Taasisi za mikopo.
  11. J

    JamiiForums Tanzania Kumbe tulimsifu Hayati Magufuli kwa kubana matumizi huku Serikali ikiwa na matumizi ya ovyo hivi?

    Kati ya vitu ambavyo Magufuli alikuwa akiimbwa navyo ni kubana matumizi ya Serikali Ila leo baada ya kumsikiliza Mwigulu akiweka mikakati mipya ya kubana matumizi, nimeona kumbe Serikali ina matumizi ya hovyo ambayo hata huyo Magufuli aliendelea nayo hadi sasa Samia ndio anakuja kuyapunguza...
  12. JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu anafananisha utendaji na ulipaji wa Serikali na Bunge

    Hii ya mwigulu kufananisha benefits na compasation za serikali zifanane na wabunge kwa maana ya ulipaji ila hataki kusema kiasi pia kilingane. Mfano.. Mwanasiasa anatembele jimbo tu, na nyingi ni private trip.. ukitaka wakadiliwe mafuta unawafanya waende tu kama unavyotaka wewe. Wabunge nao...
  13. JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu: Napendekeza Serikali kutumia mifumo ya TEHAMA

    Napendekeza matumizi ya TEHAMA kuwa chaguo namba 1 kwa shughuli za Serikali, mambo yote ya Kiserikali yatumie mifumo ya TEHAMA. Waziri wa Fedha amesema kuwa Matumizi ya TEHAMA yanawezekana na itaokoa gharama kubwa kwa serikali. Amesema kuwa unakuta mtu anasafiri siku 3 au 4 kwenda kuhudhuria...
  14. JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu Nchemba: Kuna mapato ya Serikali yanaingia kwenye mifuko binafsi ya watu

    Waziri wa Fedha amesema kuna matato ya Serikali yanaingia kwenye mifuko binafsi ya watu badala ya kwenda Serikalini. Amesema kuwa hali hiyo hutokea kwenye ukadiriaji wa kodi au uuzaji wa bidhaa, amesema unakuta mtu anamwambia mteja nikupe bei ya Kupata na risiti au bei ya bila risiti? Unakuta...
  15. JamiiForums Tanzania Mtanzania, Unategemea nini kwenye Bajeti kuu ya Serikali 22/23?

    Salaam Wakuu, Bajeti ya Serikali imepangwa kusomwa leo saa 1600 na Waziri Mwigulu, Waziri mwenye dhamana ya Fedha. Nini Matarajio yako au Unategemea nini kwenye bajeti itakayo somwa leo? 1. 2021, Serikali ilianzisha tozo kwenye uhamishaji wa fedha na tozo ya muda wa maongezi. Je Tozo...
  16. JamiiForums Tanzania Dodoma: Bajeti Kuu ya Serikali ya Tanzania 2022/2023

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba anatarajia kusoma bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2022/23 leo Juni 14, jioni bungeni. Bajeti inayopendekezwa ni Tsh. Trilioni 41.9 ikiwa ni ongezeko la 16% ukilinganisha na bajeti ya mwaka wa fedha 2021/22. Kati ya matarajio ya bajeti...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ngorongoro Kati ya Serikali na Wamasai. Nini chanzo na hatma ya mzozo

    Habari ndugu Watanzania, kuna sintofahamu kubwa inayoendelea huko Ngorongoro katika jamii ya Wamasai kuwa na mgogoro na Serikali. Tuelimishane hapa kwenye huu Uzi kwa wale wenye uelewa wa huu mzozo na tuondoe sintofahamu iliyopo kwa Watanzania kuhusiana na huu mgogoro. JE, nini chanzo Cha...
  18. JamiiForums Tanzania Msemaji Mkuu wa Serikali anazungumza na Wanahabari leo Juni 12, 2022 Jijini Dodoma

    Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa akitoa taarifa kuhusu utekelezaji wa shughuli mbalimbali za maendeleo ya Serikali katika mkutano na waandishi wa habari leo Juni 12, 2022 katika Ukumbi wa Ofisi za Idara ya Habari-MAELEZO, Dodoma. MSIGWA...
  19. JamiiForums Tanzania Dorothy Semu: Serikali Iunde Tume Shirikishi Kuchunguza Mapigano ya Loliondo

    OFISI YA WASEMAJI WA KISEKTA TAARIFA KWA UMMA NA VYOMBO VYA HABARI: KUHUSU SERIKALI KUINGIZA ARDHI YA VIJIJI 14 LOLIONDO, WILAYANI NGORONGORO, KWENYE HIFADHI JUNE 12, 2022 Utangulizi: Ndugu Waandishi wa Habari Ijumaa ya tarehe 10 Juni, 2022 ACT Wazalendo kupitia Msemaji wa Sekta ya...
  20. JamiiForums Tanzania Nimebarikiwa kwa kiasi kikubwa sana. Serikali Iniangalie katika hili

    Mi naishi kwa sister toka nimalize degree. Kazi yangu bado sijaipata naisubiria. Nitapata tu. Ila bado nahitaji kuendelea na mchakato wa papuchi. Siwezi sema eti nisubiri nikipata pesa. Basi last week shem na sister walisafiri nikawa nimeachiwa nguo za kunyosha za shem. Nikaona...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…