Waziri Mwigulu anafananisha utendaji na ulipaji wa Serikali na Bunge

JF Member

JF-Expert Member
Dec 14, 2014
7,391
9,665
Hii ya mwigulu kufananisha benefits na compasation za serikali zifanane na wabunge kwa maana ya ulipaji ila hataki kusema kiasi pia kilingane. Mfano.. Mwanasiasa anatembele jimbo tu, na nyingi ni private trip.. ukitaka wakadiliwe mafuta unawafanya waende tu kama unavyotaka wewe.

Wabunge nao wana piga makofi.

Mtauwa kasi ya utendaji kazi ya watumishi wa serikali.
 
Hapo hakuna cha kutetea Daktari Mwigulu Lameck Nchemba yupo sahihi kabisa.

Viongozi wetu mishahara juu, posho kibao na marupurupu juu lakini UAMINIFU NA UADILIFU NI SIFURI NA UFANISI NDIO HAMNA KITU KABISA.
 
Back
Top Bottom