serikali

  1. JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM iweke wazi kama kuna mgao wa umeme. Haiwezekani kila siku umeme uwe unakatika kuanzia saa moja na kurudi saa tano

    Wananchi wajipange na kununua majenereta. Wasio na uwezo wa majenereta wanunue taa za kandiri na koroboi. Wenye pesa za uhakika wanunue Solar power. This is too much.
  2. JamiiForums Tanzania Mgawo mkali wa umeme na maji unaoendelea nchini ni wazi kabisa watendaji wa Serikali mnaihujumu Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan

    Hiki kinachoendelea kimyakimya ni mchakato wa kuturudisha kuleee miaka ilee ya 2005, 2006, 2007...... miaka ambayo Dar Es Salaam na Tanzania kwa ujumla ilikua imepambwa na mikokoteni ilishosheheni madumu ya korie yaliyobeba maji na magari yenye matank ya maji kila kona. Kwa kasi ya ajabu...
  3. JamiiForums Tanzania Tatizo la mgawo/kukatika toka hivyo kwa umeme ni aibu sana kwa Serikali ya Tanzania chini ya Chama Cha Mapinduzi!

    Kama kuna eneo ambalo serikali ya JMT inayoongozwa na TANU/ASP kisha CCM tangu uhuru 1961 imefeli spectacularly kisera na kimipango ni la upatikanaji wa huduma bora na ya kuaminika ya nishati ya umeme. Ni aibu sana kuwa na umeme usioeleweka na unaokatikakatika hata mara 50 kwa siku. Sababu...
  4. JamiiForums Tanzania Ushauri: TAKUKURU ivunjwe, haina manufaa yoyote bali inaongeza gharama za uendeshaji wa serikali

    Habari! Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU) au PCCB ivunjwe maana inaiongezea serikali gharama za uendeshaji. Manufaa yake ni kidogo sana, taasisi zingine ndani ya serikali hii ya JMT zinaweza kufanya majukumu yanayofanywa na PCCB. Nina miaka 7 ndani ya serikali, sijawahi kuona...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Serikali ichunguzeni kampuni ya Mysol, inatesa wananchi

    Wana Jamii Forums nawasalimu nyote Mimi ni mkazi wa wilaya ya Kibondo hapa mkoani Kigoma. Ninaomba msaada wa kisheria kutokana na ugomvi nilionao na kampuni ya KITAPELI ya sola inayoitwa MYSOL maana tunakoenda naweza kuja kukata kichwa cha mfanyakazi wao nikapata kesi ya mauaji. Hii kampuni...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Barabara za Mji wa Serikali Dodoma zimeshafungwa taa za barabarani

    Huu mji ni moja ya vitu vya kuvutia sana hapa Dodoma. Japo haujakamilika, ila kukamilika kwa mtandao wa barabara tu, teyari kunafanya huu mji upendeze na utapendeza zaidi pale majengo ya magorofa yatapokamilika na mazingira kuboreshwa(kupanda miti, n.k) Leo nimepita katika huu mji na kukuta...
  7. JamiiForums Tanzania Prof. Tumaini Joseph Nagu ateuliwa Kuwa Mganga Mkuu wa Serikali, Dkt. Florens Martin Turuka bosi mpya DART

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemteua Dkt. Florens Martin Turuka, Katibu Mkuu Mstaafu kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART). Amemteua Bi. Beng’i Mazana Issa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mikopo ya Serikali za Mitaa. Bi. Beng'i ni...
  8. JamiiForums Tanzania Serikali yawatoa hofu walaji wa kitoweo cha nguruwe (kitimoto)

    Mtendaji mkuu wakala wa maabara ya veterinali Tanzania TVLA Dk. Stella Bitanyi amewatoa hofu walaji wa kitoweo cha nguruwe (kitimoto) ambacho kwa siku za hivi karibuni kuliibuka hofu kwa walaji kuhisi kuwa nyama ya mnyama huyo ina wadudu wenye madhara kwa binadamu. Dk. Stella Bitanyi Amesema...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Nani aliiunganisha CWT na Serikali? Badala ya kutetea Walimu kinawakandamiza, ukitaka kuanzisha cha kupigania Walimu unashughulikiwa mpaka ukome

    Kwa mtazamo wangu naona kuna tatizo kubwa kati ya waalimu cwt na serikali. Ninachoelewa mimi ni kwamba cwt ni chama cha waalimu Tanzania, yaani chama cha kutetea maslahi waalimu. Cwt haifanyi hiyo kazi kabisa. Wapowapo tu. Waalimu wa nchi hii wanaonewa na kunyonywa na kudharauliwa na kila...
  10. JamiiForums Tanzania Mkakati wa Serikali ya Awamu ya Sita kuifungua mikoa ya Pembezoni Kiuchumi

    Mkakati wa Serikali ya Awamu ya Sita kuifungua mikoa ya Pembezoni Kiuchumi. Mikoa ya pembezoni ina geography nzuri ya kibiashara, fursa nzuri ya kuvutia uwekezaji hasa hasa Kwa Viwanda vya Kilimo (agricultural industry) Kwa sababu Wananchi wa Maeneo haya wanafanya manunuzi ya bidhaa muhimu na...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Fao la kujitoa na kauli za Serikali kuhusu kujiari - je, vinaendana?

    Watanzania wenzangu na viongozi wa Nchi hii, hebu tufanye tafakari ya kina juu ya sheria ya mifuko ya jamii na kauli za viongozi Wetu juu ya ajira nchini. Nitoe nadharia ili kila mmoja Wetu asome atumie kama base ya tafakuri. ''Mwezi uliopita kuna taasisi moja hapa nchini ilipunguza...
  12. JamiiForums Tanzania Walimu wamelipokea tamko la SERIKALI kuhusu utoro kazini, LAKINI wanataka Katiba mpya Ili apatikane kiongozi atakayetatua Matatizo yao sugu

    Wakuu Tamko la SERIKALI kuhusu utoro kazini KWA walimu wamelipokea,LAKINI changamoto ZAO ni nyingi Sana na serikali imeshindwa kuzitatua,wanadai Katiba mpya Ili achaguliwe kiongozi atakae tatua Matatizo yao,huyu aliepo ameshindwa kabisa! Wanajua urejeo wa Kairuki Tamisemi ni kuspin maslahi yao...
  13. W

    JamiiForums Tanzania TICTS yasababisha hasara kubwa kwa taifa, yadondosha makontena baharini

    TICTS yasababisha hasara kubwa kwa taifa * Yadondosha makontena matatu baharini * Meli zashindwa kushusha mafuta bandarini kwa siku kadhaa KAMPUNI ya kimataifa ya kuhudumia makontena Tanzania katika bandari ya Dar es Salaam (TICTS) imeisababishia taifa hasara kubwa baada ya kudondosha...
  14. JamiiForums Tanzania Wananchi wa kata ya Loya, Uyui waishukuru Serikali kwa Fedha za vyumba tisa vya madarasa

    Mchakato wa kujenga vyumba tisa vya madarasa BADO unaendelea !Hii ni BAADA ya vile sita kukamilika na kufikisha vyumba 15 vya madarasa, lakini shule hiyo BADO haina vyumba viwili vya maabara vya kemia na biolojia, pia haina jengo la ofisi la utawala, ukumbi wa mikutano na mabweni ya kutosha...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali iikataze Yanga kutumia alama ya Mwenge, inaudhalilisha

    Serikali ni lazima iikaripie Yanga na kuilazimisha kuondoa alama ya Mwenge kwenye logo ya club hiyo. Ni aibu, tunasema Mwenge umulike mpaka nje ya mipaka yetu, lakini Yanga wamekuwa wakienda ugenini na kuwaomba wageni wauzime kwa dharau na aibu. Yanga ni club inayogongwa kimasihara kila...
  16. JamiiForums Tanzania Kila Rais toka CCM humuachia mwingine Serikali mbovu?

    Mbali ya kwamba ni tabia ya wana CCM kuwatukuza viongozi wa chama chao au wale wanaoongoza Serikali kutokea kwenye chama hicho, lakini imekuwa ni kawaida ya Marais ama wasaidizi/wapambe wao toka chama hicho, kuongea maneno kuashiria kwamba Rais aliyetangulia amemuachia mzigo mzito wa kurekebisha...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali kuja na kifurushi cha gesi ya kupikia cha Sh 500 au 1,000 ili Mtanzania anunue gesi badala ya mkaa na kuni

    Katika kuhamasisha matumizi ya gesi ya kupikia, serikali yetu itakuja na utaratibu wa kumruhusu mteja kuinunua gesi kwa bei ndogo kulingana na mahitaji yake. Kwa sasa wengi wanashindwa kumudu kutokana na gharama kubwa zilizopo, hivyo mchakato wa kuzipunguza unaelekea mwishoni ili kulifanyia...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Chadema yaitaka Serikali kueleza imejipangaje kukabiliana na baa la njaa na bei kali za vyakula

    Hii ndio Chadema Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika amesema Serikali inatakiwa ieleze ndani ya Bunge na Nje imejipangaje kukabiliana na baa la njaa linalokuja na bei kali za bidhaa zinazoongezea wananchi ugumu wa maisha Aidha Mnyika aliwataka polisi wamtajie kifungu cha Sheria...
  19. JamiiForums Tanzania Wakumbukwe Mashujaa wetu wa JF waliopumzika au kubanwa na Serikali

    Serikali inaweza kukubana ukawa bize kulitumikia taifa na kutusahau wana humu JF. Tuendelee kuwakumbuka na kuwaita malejendari kadhaa ambao waliwika katika majukwaa mbalimbali kipindi fulani. Naanza na hawa Makamanda; GuDume General Galadudu britanicca Malaria Sugu Baba Swalehe Kidukulilo Sky...
  20. JamiiForums Tanzania Prof. James Mdoe: Serikali itafanya jitihada za uhamasishaji wa usomaji wa vitabu nchini

    Serikali imesema itafanya jitihada za uhamasishaji wa usomaji wa vitabu nchini. Hayo yamesemwa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. James Mdoe wakati akifunga tamasha la 31 la vitabu lililomalizika leo katika viwanja vya Posta Kijitonyama jijini Dar es Salaam...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…