serikali

  1. JamiiForums Tanzania Kuna haja ya Serikali kuingia ubia katika kutoa baadhi ya huduma

    Katika kuhakikisha kuwa baadhi ya huduma zinakuwa endelevu kama maji na umeme serikali itoe dhabuni au kuingia ubia na private entities kutoa baadhi ya huduma.. Wakati mwingine mambo yanakuwa ni mengi kwa serikali kwa kufanya hivi mzigo unaweza pungua kidogo
  2. JamiiForums Tanzania Wakati abiria wa ajali za ndege wanalipwa mabilioni, Serikali iangalie abiria wa ajali za magari

    Kwanza nawapa pole wote walioathirika na ajali ya ndege na Precision Air kule Bukoba, pia napongeza walichofanya wale wavuvi katika uokoaji . Lakini moja ya kitu ambacho kimenishangaza ni jinsi viongozi wa kisiasa walivyoikomalia suala hili katika sura nyingine ya bima. Naelewa ajali za ndege...
  3. JamiiForums Tanzania Treni za abiria hazina bima? Wahanga wa ajali ya Dodoma wanaweza idai serikali fidia?

    Nimesikia wahanga wa ajali ya Precision Air watalipwa fidia, pesa nyingi. Nimekumbuka ajali ya treni Dodoma miaka ishirini iliyopita. Hivi treni huwa inakata bima? Wahanga wa ajali ile wanaweza dai fidia?
  4. B

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania kwa roho zenu mnatukwaza sana

    Imesikika miito ya kuwataka vinara wake kujiuzulu. Kuna ya uhaba wa umeme na maji. Kuna ya kuwatelekeza wahanga wa ajali na majanga mbalimbali. Kuna ya kuwatwisha wananchi mizigo ya tozo na kodi zisizo wahusu nyie. Kuna ya kuwalazimisha wananchi kuikopesha serikali. Kuna upigaji Kila kona...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali naomba suala langu la kuhakikisha wanafunzi wanafundishwa tehama na kuujua mtandao wa JamiiForum mlizingatie

    Huu mtandao wetu pendwa wenye kutoa Elimu kwa kiwango kikubwa kwanini msiwafundishe wanafunzi hasa vyuoni wakaingia na Kupata Maarifa lukuki Pia nyie vijana mnaoshindana kupost Habari za ngono ili kuumaliza Nguvu mtandao wetu mnadhani sisi wakongwe hatuwafahamu? Ndugu Max hakikisha unawapa...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi hii nchi ni ya nani haswa? Serikali ipo kwa maslahi ya nani haswa?

    Tarehe 09 Desemba 1961 ni siku ambayo bendera ya Tanzania (Tanganyika) ilipandishwa kuashiria nchi huru yenye kujitawala na kujiamulia mambo yake bila kuingiliwa na taifa lolote la nje. Leo tunakaribia miaka 61 ya uhuru lakini bado wananachi wa Tanzania wanaishi kwa kudra za watawala. Bado...
  7. JamiiForums Tanzania Posta Dar es Salaam ndio uso wa jiji, serikali yazinduka

    Baada ya SSH kuingia madarakani na baada ya SErikali ya Chama kimoja kuanzia meya, mkurugenzi na watendaji wengine JIJI la Dar limekuwa hovyo kupita maelezo, utashangaa POSTA mtu anapika wale, anaoga, bodaboda zinafunga barabara na hakuna la kuwafanya, wauza nguo wa karume wamesheheni posta, na...
  8. JamiiForums Tanzania Malori yasipodhibitiwa na serikali kuyakagua mara kwa mara, tunakoelekea siko

    Ajali ya gari yatokea Tegeta, yahusisha magari matatu. Ijumaa, Novemba 11, 2022 Malori mengi ni magari mabovu yanayopita Barabarani bila kufanyika ukaguzi maalum. Mwisho kusababisha ajali sinaziweza kuzuilika.
  9. JamiiForums Tanzania Serikali kutangaza kima cha chini cha mshahara sekta binafsi mwezi huu

    Serikali imesema kuwa itatangaza rasmi kima cha chini cha mshahara kwa sekta binafsi mwezi huu wa Novemba 2022. Hayo yamesemwa Bungeni leo Novemba 11, 2022, ikiwa ni baada ya Bodi ya Kima cha Chini cha Mshahara sekta binafsi kukamilisha kazi ya kupanga kima cha chini cha mshahara.
  10. R

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa kijiji cha Ng'wan'holo Mwadui na hofu ya maradhi ya maji taka kutoka mgodini

    Wakati Baraza la Taifa la Usimamizi na Uhifadhi wa Mazingira (NEMC) likiendelea kuzuia majitaka yenye tope yanayotoka katika mgodi wa Williamson Diamond kuingia kwenye makazi ya watu, wataalamu wa madini wameonya wananchi kutoyasogelea hadi watakapopewa taarifa yapo salama. Maji hayo ambayo...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali iwalipe fidia familia za wahanga ajali ya ndege Bukoba

    Kuna haja ya Serikali kuzilipa fidia familia za wahanga wote wa ajali ya ndege kutokana na uzembe uliosababishwa na kukosa uweledi kwenye uokoaji. Suala la uokoaji ni dhima ya serikali, wala haikupaswa kuwa shughuli ya wavuvi. Nashauri familia za wahanga waungane na kufungua kesi dhidi ya...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Nape: Serikali haifurahishwi na Mahusiano ya watoa huduma za Mawasiliano na Watumiaji

    Hayo yamesemwa leo Bungeni jijini Dodoma na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Moses Nnauye (MB) wakati akichangia Mjadala wa Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa utakaotekelezwa Mwaka 2023/2024. “Kumekuwa na malalamiko ya muda mrefu yanayoonyesha...
  13. JamiiForums Tanzania Serikali yasitisha ujenzi wa vituo vya mafuta

    Serikali imesitisha utoaji wa vibali vipya vya ujenzi wa vituo vya mafuta na mabadiliko ya matumizi ya ardhi kwa ajili ya vituo vya mafuta kwa muda wa miezi mitatu kuanzia leo. Uamuzi huo umetangazwa leo Alhamisi Novemba 10, 2022 na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk Angeline...
  14. JamiiForums Tanzania Mchungaji aiomba Serikali kuzuia wananchi kuzalisha pombe za asili

    Habari wakuu...Katika hali ambayo kwa upande wangu nimeiona siyo ya kawaida Askofu mstaafu wa kanisa la Tanzania assemblies of God(TAG) Mch.Glorious shoo ameiomba serikali kuwazuia wananchi wa mkoa wa Kilimanjaro kutoendelea na uzalishaji wa pombe za asili na badala yake mazao yanayotumika...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali haipigi marufuku uingizaji wa mitumba?

    Hakuna nchi inayoweza kuendelea bila kulinda na kuendeleza viwanda vya ndani. Na njia kuu ya kulinda viwanda vya ndani ni kuzuia bidhaa cheap kutoka nje ya nchi. Ndiyo maana China waliikataa Google, facebook nk. Ndiyo maana US waliipiga pini Huawei. Hili jambo mataifa karibu yote ya Afrika...
  16. JamiiForums Tanzania Serikali yatetea kutenga Tsh. Bil 54 kwenye vijiji 48 vilivyofutwa

    Mbunge wa Makete (CCM), Festo Sanga ametaka sababu za kutengwa fedha hizo kwa ajili ya Vijiji 48 Wilayani Mbarali wakati timu ya Mawaziri 8 imevifuta na havipo. Amesema Serikali ilisaini mikataba 15 ya kuwezesha umwagiliaji na kuhoji nani atafaidika na fedha hizo wakati tayari Mawaziri wamefuta...
  17. JamiiForums Tanzania Kinachoendelea Kampala University ni kama utapeli, matokeo ya Wanafunzi 300+ wa Udaktari yana utata, Serikali itusaidie Wanafunzi

    Chuo cha Kampala University hiki ambacho kipo Gongo la Mboto kina shida kubwa sana, najua wengi mnajua kimewahi kufungiwa siku za nyuma kutokana na magumashi mengi ambayo kimekuwa kikifanya. Serikali iingilie kati kuangalia hiki chuo, sisi wanafunzi ambao tupo chuoni hapo tunapitia wakati...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali ya Kenya kufungua vituo 25,000 vya Wi-Fi ya bure

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Uchumi wa Kidijitali, Eliud Owalo amesema lengo la kutoa Wi-Fi bure kote nchini ni kukidhi hitaji hilo muhimu kwa wananchi. Amesema "Serikali inaamini katika uwekezaji wa Kidijitali kama njia ya kuwezesha Ujuzi wa Vijana, pia, tutatambua Mapungufu ya Ujuzi na...
  19. JamiiForums Tanzania Ujanja ujanja na utengenezaji wa mazingira ya kibiashara Ofisi za Serikali

    Salaam ndugu zangu, Natumai wote mu wazima. Leo najaribu kugusia na kudokeza baadhi ya tabia za ujanja ujanja zinazofanyika nje ya Ofisi nyingi za umma. Walinzi au watu wa mapokezi wa sehemu hizi wamekuwa chambo Cha kufanya biashara ndogo ndogo wakitumia chambo Cha wananchi kusaka huduma...
  20. JamiiForums Tanzania Naomba Serikali iwaambie Watanzania wote kujiunga Jamii Forums ili kuokoa kizazi hiki

    Nashangaa kuona watu hawatumii huu mtandao Wala sio members wakati kwa Tanzania hakuna mtandao wenye watu smart na Maarifa na uchumi Kama hapa JF. Naomba Serikali waweke mpango kwa kila mtanzania awe na App ya JF katika simu yake . JF Ni kisiwa Cha Maarifa the home of Great thinkers. Hapa ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…