Uongozi wa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) umetoa ufafanuzi kuhusu hoja ya Mdau wa JamiiForums.com aliyeandika Ujenzi wa Mwendokasi Mwenge -Tegeta utakamilika lini? Ni kweli Mkandarasi ana vifaa vichache, wafanyakazi hawatoshi?
UFAFANUZI WA TANROADS:
Serikali kupitia TANROADS inatambua...
Mdau, naomba kuuliza na kupata ufafanuzi kuhusu suala la ajira hewa au ajira zisizotekelezwa kwa wakati.
Ni kwanini Serikali hutangaza ajira ambazo hazitekelezwi kwa wakati au zinabaki kwenye hatua ya matangazo bila kuajiriwa? Je, lengo ni kuwadanganya wananchi ili wawe na utulivu na matarajio...
Dr Saada Mkuya Salum, aliteuliwa na Rais Jakaya Kikwete mwaka 2012 kuwa Naibu Waziri wa Fedha katika serikali yake, na baadaye alipofariki Waziri wa Fedha William Mgimwa 2014, akachukua nafasi ya Waziri wa Fedha , Serikali ya Jamhuri ya Muungano Tanzania.
Sasa hivi Dr Saada Mkuya ni Kaimu...
Takriban Wakenya 50 wanaoishi South Africa kupitia kundi la Kenyan Diaspora in South Africa (KEDASA) wameiomba serikali ya Kenya kuingilia kati na kuwasaidia kurejea nyumbani kutokana na hali ya usalama inayozidi kuwa mbaya.
According to reports, wengi wao wamepoteza ajira, wamekuwa wakikumbana...
Mwezi January mwaka huu 2026, kampuni ya mabasi ya mwendokasi MOFAT ilituma ombi kwa LATRA kwamba walikuwa wakipata hasara ruti ya Mbagala kutokana na uwepo wa bajaji, bodaboda na daladala. Sisi wa zamani tunakumbuka wakati wa zoezi la ubinafsishaji sekta ya benki, benki binafsi za nje walitaka...
Usione ubabe wa Chalamira jua kuna jambo linakuja mtabaki mkijiuliza nguvu kapata wapi.
Ndio maana lolote likitokea kama litafanikiwa mtaanza kuvuta picha ya nyuma .Hii code naogopa maana inaweza kufanya mauwaji na utekaji mkubwa ndani ya mfumo kuhisi kuna kuvuja.
Ila tambueni mtoto kama...
Kutokana na ongezeko la mizigo katika bandari ya Dar es Salaam, Serikali imekuja na mpango wa miaka 10 kuanzia Julai 2026 kwa ajili ya kupanua maeneo ya kuhifadhi mizigo kwa ujenzi wa bandari kavu (ICD) mitaani.
Hayyo yameelezwa Juni 16, 2026 na Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke, Jomaary Satura...
Utangulizi
Baada ya kuangazia ukubwa wa tatizo, vyanzo, na athari za ukataji miti hovyo katika Halmashauri ya Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya kupitia makala mbili zilizopita, sehemu hii ya tatu na ya mwisho inajikita katika kuchambua hatua za kuchukua ili kudhibiti hali hii.
Hatua hizi ni muhimu...
Watumishi wa serikali ajira ya 2021 mwezi wa 7, tunazungunshwa kuhusu kupandishwa madaraja.
Mikataba inadai mtumishi atapandishwa daraja baada ya miaka 4 kazini, lakini sisi tumemaliza miaka minne mwaka 2025 tukaambiwa bado hatujakidhi vigezo hadi mwaka 2026, ambapo inakuwa ni miaka mitano...
Anonymous
Thread
ajira
baada
daraja
kuhusu
kupandishwa madaraja
madaraja
mikataba
mtumishi
mwezi
serikali
watumishi
watumishi wa serikali
Pamoja na mifumo sasa ni wazi kabisa maono ya serikali fake ya Tanzania na Watanzania wenyewe ni tofauti sana
Serikali bado inataka mfumo wa kizamani lakini Watanzania wamebadilika na mfumo mzima hauendani kabisa na matakwa ya watanzania. Ushahidi ni katiba . Watanzania wanataka katiba mpya...
Kwa masikitiko makubwa, wananchi na wachimbaji wadogo wa Wilaya za Chunya na Songwe wameendelea kulalamikia hali mbaya ya utendaji ndani ya ofisi za Tume ya Madini, ambapo vitendo vya rushwa, upendeleo na matumizi mabaya ya madaraka vinaonekana kuwa sehemu ya kawaida ya utendaji wa kila siku...
Ninafuatilia maandamano ya Gen Z; 7/7, kuna vitu symbolic kabisa naviona.
Baada ya Tarehe 7/7 tutarajie kuona mijadala ya kuwatenga Wazanzibari walioko Tanganyika, Tutarajie kuona chuki kubwa dhidi ya Wazanzibari na hata fujo dhidi ya Wazanzibari, na kama kutakuwa na maandamano ya kuchoma moto...
Kwa namna ambavyo hii serikali imekuwa ya kidhalimu hakuna mtu mwenye roho ya ubinadamu anaweza kuitetea,na hakuna mwenye roho ya utu anaweza kukubali kunyamaza kimya.
Wasomi wamekuwa washenzi wakuliangamiza taifa kwa vipande vya pesa mbaya zaidi umri wao wengine umesha kwenda,nguvu ya...
Nimewaza sana matumizi ya Google Team, Zoom na Apps nyingine nisizo zifahamu zinazo tumika kuendesha vikao mbalimbali, na hata hutumika katika matumizi Serikalini.
Je? Tuna uhakika na usalama wa taarifa zetu!? Maana Apps hizi ziko controlled na wao!!.
Tumeweza ku develope emails na mengine...
kwa mwaka2026/27 Serikali inatarajia kukusanya na kutumia jumla ya shilingi trilioni 62.33, ikiwa ni ongezeko la asilimia 10.3 ikilinganishwa na bajeti ya mwaka 2025/26.
Mchanganuo wa Matumizi ya Shilingi Trilioni 54.5
Waziri wa Fedha amefafanua kuwa kiasi hicho cha fedha kimetengwa kwa ajili ya...
Waziri wa Fedha, Khamis Mussa Omar ameyasema hayo Juni 11, 2026 wakati akiwasilisha mapendekezo ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2026/27 Serikali pia imeanzisha Mfuko wa Machinga wa kuwezesha wafanyabiashara ndogo ndogo maarufu kama machinga, ambapo shilingi bilioni 18.5 zinaendelea...
Waziri wa Fedha, Khamis Mussa Omar ameyasema hayo Juni 11, 2026 wakati akiwasilisha mapendekezo ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2026/27 akidai Serikali imetenga kiasi cha shilingi bilioni 200 kwa ajili ya Programu ya Kitaifa ya Uwezeshaji Vijana Kiuchumi ambapo hadi Aprili 2026...
Serikali inapendekeza marekebisho ya Kodi na Ada za Pikipiki (Bodaboda) 2026/2027. Serikali imeamua kutowaingiza wafanyabiashara wa pikipiki (bodaboda) kwenye mfumo wa kodi ya makadirio (presumptive tax), kutokana na ugumu wa utekelezaji wake kwenye sekta hiyo.
Badala ya kodi hiyo, Serikali...
Waziri wa fedha, Balozi Khamis Mussa Omar akiwasilisha hotuba ya bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2026/2027 amesema .....
Kuongeza kiwango cha ushuru wa bidhaa kwenye magari yaliyotumika yanayoingizwa nchini kutoka asilimia 15 hadi asilimia 20 kwa magari yenye umri wa miaka nane...