serikali

  1. S

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli serikali imeshindwa kuwatia nguvuni matapeli wa mtandaoni?

    Wakuu, Ni hivi, leo nikiwa nyumbani akaja dada mmoja jirani yetu akiwa anaongea na mtu kwa simu yake. Baada ya kukata simu akaniambia kwamba amekuwa anaongea na matapeli na wamemwuliza kiwango cha pesa kwenye akauti yake na kwamba kuna mteja ametuma pesa kimakosa kwenye akaunti ya yule dada na...
  2. JamiiForums Tanzania Eng: Rogatus Mativila akielezea Mkakati wa Serikali wa kuboresha mtandao wa Barabara nchini pamoja na kupendezesha miji yetu

    Mtendaji Mkuu wa TANROADS Eng: Rogatus Mativila akitoa taarifa fupi ya mradi huo amesema Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) ilitenga fedha kwa ajili ya kuboresha Barabara hiyo ikiwa ni sehemu ya Mkakati wa Serikali wa kuboresha mtandao wa...
  3. JamiiForums Tanzania Naungana na Shigongo Mawaziri na Watumishi wote wa serikali watoto wao wasome shule za serikali

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amesema huko tunapoenda tuweke utaratibu kuwa mtu akichaguliwa kuwa waziri, mtoto wake asome shule za serikali. Amesema hii itasaidia kufanya mawaziri wasimame mitaala na kuunda sera zenye maslahi mapana kwa taifa Amesema hayo akijadili bajeti ya elimu...
  4. JamiiForums Tanzania SoC03 Umuhimu wa serikali kuwa utambulisho wa fingerprint ulio bora zaidi

    Fingerprint ni nini? Kwa kiswahili (alama za vidole) ni alama au michoro inayopatikana kwenye vidole vya binadamu na zina maelezo ya kina ambazo hudumu katika maisha ya mtu na hivyo kuzifanya zifae kama viashirio vya muda mrefu vya utambulisho wake. Zinaweza kutumiwa na polisi au mamlaka...
  5. JamiiForums Tanzania Condester Sichalwe aishauri serikali kuanzisha Wizara Mpya "Wizara ya Teknolojia"

    MBUNGE CONDENSTER SICHALWE AISHAURI SERIKALI KUANZISHA WIZARA MPYA "WIZARA YA TEKNOLOJIA" Mbunge wa Jimbo la Momba Mkoa wa Songwe Mhe. Condester Mundy Michael Sichalwe akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na Technologia ya Habari ameishukuru Serikali kwa kujenga Minara...
  6. JamiiForums Tanzania Mbunge Janeth Mahawanga -Aitaka Serikali Kuwekeza Kwenye Majukwaa ya Kuwezesha Wanawake Kiuchumi

    MBUNGE JANETH MAHAWANGA AITAKA SERIKALI KUWEKEZA KWENYE MAJUKWAA YA UWEZESHAJI WANAWAKE KIUCHUMI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dar es Salaam na Mkurugenzi wa Tisha Mama Foundation Mhe. Janeth Elias Mahawanga amechangia Bajeti ya Shilingi Bilioni 74.22 ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia...
  7. JamiiForums Tanzania Yanga si ya kwanza kupewa ndege na serikali, Simba ilipewa ndege mwaka 1939

    Tuweke rekodi sawa, Mnamo mwaka afu tisa mia kenda 39 Kilabu ya Simba ilishawahi kupewa na serikali na kupanda ndege kuelekea kwenye kombe la Stella na hatimaye kunyanyua kwapa. Majirani msituringishie! Mhenga Mohamed ibn batuta akiwa amenyua ndoo mwaka 1939 A.D 👇👇👇
  8. JamiiForums Tanzania Siku 10 za Maombolezo na Mazishi ya Malkia Elizabeth II ziliigharimu Serikali Tsh. Bilioni 473.9

    Serikali ya Uingereza imetoa ripoti kwamba, Mazishi ya Queen Elizabeth II yaligharimu zaidi ya TSh. BILIONI 471. Kiongozi huyo alifariki dunia Septemba 8 na kuzikwa Septemba 19, 2022. Gharama zilizokadiriwa ni pamoja na: Idara ya Utamaduni, Vyombo vya Habari na Michezo - £57.42m Idara ya...
  9. JamiiForums Tanzania Serikali watu wenye akili Sana Kama Mshana Jr, Bams, Robert Heriel kwanini msiwatumie wakaipeleka nchi Mbele?

    Hii nchi yetu inaonekana hipo Katika dimbwi la Umasikini mkubwa kwa kukosa watu wenye MAARIFA ya kuipeleka nchi Mbele. Mtu Kama Mshana Jr Robert Heriel Mtibeli Bams Kwanini msiwaingize huko serikalini wakaisaidia nchi yetu kuvuka baada ya miaka 60 ya kuogelea Katika umasikini uliotukuka...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM isivyo na utu, huruma wala aibu

    Kwa mara nyingine serikali ya CCM imechanwa laivu. Haina aibu, huruma wala utu. Ajabu na kweli yenyewe inaona sawa tu. Inamwakilisha nani kwenye minajili hii? Labda walamba asali, wahuni au wale vijana wa hovyo? Yamejiri laivu kwenye mkutano wa wafanya biashara Kariakoo na Waziri Majaliwa...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali Inaendelea na Utekelezaji Miradi ya Kusambaza Umeme - Ngorongoro

    SERIKALI INAENDELEA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA KUSAMBAZA UMEME- NGORONGORO Na Godfrey Mwemezi, Ngorongoro Arusha. Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan inaendelea na utekelezaji miradi ya kusambaza umeme Vijijini...
  12. JamiiForums Tanzania Taasisi za Serikali zashauriwa kushirikisha Serikali za Mtaa ili kuzuia uchafuzi wa mazingira kwa njia ya kelele

    Kikao kilichoandaliwa na Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kikishirikisha Wadau mbalimbali kujadili kuhusu udhibiti wa uchafuzi wa mazingira kwa njia ya kelele kimetoa maombi na maoendekezo tofauti kuhusu mchakato wa kupunguza uchafuzi wa mazingira kwa njia ya kelele...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Je ni sawa gazeti kupewa pesa na serikali ya nchi nyingine (IPPMEDIA-CHINA)?

    Kwenye gazeti la ippmedia sehemu ya Features kila toleo ni lazima waandike vitu vya kusifia China na propaganda za serikali ya China. Sasa je gazeti hilihilo hitapataje uhuru wa kuandika habari mbaya za China? https://www.ippmedia.com/en
  14. JamiiForums Tanzania Serikali isipochukua hatua kali kwa Wafanyakazi wa TRA wanaotuhumiwa kwa rushwa, wafanyabiashara wataathirika milele

    Hima hima Tanzania.🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Waziri mkuu, Jana tarehe 17/05/2023 katika mkutano wako na wafanyabiashara wa k/koo asilimia kubwa ya wachangiaji waliwanyooshea kidole baadhi ya wafanya kazi wa TRA kwa RUSHWA iliyokithiri. Kilichonishangaza hukutoa Kauli yoyote Kali ya kushughulikia changamoto hiyo...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Maoni: Serikali itumie njia hii kudhibiti ukwepaji kodi.

    Kwanza, Ninampongeza Waziri mkuu kwa kutatua mgomo wa wafanyabiashara wa Kariakoo uliodumu kwa siku 3 mfufulizo. Katikati ya mgomo huo mpaka kutatuliwa kwake tumeona na kusikia mengi hususani madhila waliyokuwa wanakutana nayo wafanyabiashara kutoka kwenye vikosi kazi vya kodi. Pamoja na mambo...
  16. JamiiForums Tanzania Simba ni chachu ya mafanikio ya Yanga, nashauri serikali ifanye hivi

    Iingeze idadi ya watu itakao wasafirisha kwenda kushangilia first leg ya fainali, na safari hii iongeze 55 wengine watakaopenda kwenda kuishangilia timu itakayopambana na Yanga. Maamuzi ya mashabiki wa Simba yamekuwa ni chachu sana ya ushindi kwa Yanga, ndiyo maana nasisitiza wale wote...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Kwa kuzusha Serikali umetumia Tsh 300 bilioni kutengeneza Mabango ya Rais Samia nashauri Wenje akamatwe na kuhojiwa

    Nimeona kupitia Jambo TV Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Ziwa Victoria mh Wenje akidai Mabango yenye picha za Rais Samia yaliyoko barabarani yameigharimu Serikali tsh 300 Bilioni Fedha za Walipa kodi. Binafsi nauita huu ni Uwongo na Uzushi uliotukuka. Wenje akamatwe na kuhojiwa, ndio ushauri...
  18. JamiiForums Tanzania Tetesi: Walimu wamegeuza Shule za Serikali kuwa Vitega Uchumi vyao

    Habari zenu wote wanajamii Forum wenzangu. Napenda kuwasilisha mshangao wangu kwenu,katika hii awamu ya sita nimeshuhudia kuwepo na kudaiwa pesa kila siku ambazo Waalimu uagiza wanafunzi kwenda nazo wakitoa sababu mbali zisizo na kichwa Wala miguu, je pesa zinazopelekwa na serikali hazitoshi...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali Kukamilisha Barabara kwa Kiwango cha Lami Mpanda, Uvinza na Inyonga katika Mwaka wa Fedha 2023-2024

    SERIKALI KUKAMILISHA BARABARA KWA KIWANGO CHA LAMI MPANDA, UVINZA NA INYONGA KATIKA MWAKA WA FEDHA 2023-2024 Naibu Waziri Ujenzi na Uchukuzi Mhe. Atupele Mwakibete amejibu maswali Bungeni jijini Dodoma aliyoulizwa na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Festo Mariki juu ya ujenzi...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Wananchi wanavyonufaika na uwindaji wa kitalii

    Uwindaji wa Kitalii Wanufaisha Nchi, Billioni 9.6 zatolewa Kwa Halmashauri na Vijiji Pembezoni mwa Mapori ya Akiba na Mapori Tengefu - Kamishna Mabula Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) Mabula Misungwi Nyanda amesema shughuli za Uwindaji wa Kitalii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…