Serikali inavyokwenda kumaliza changamoto ya maji Dar kwa Mradi wa Maji- Kidunda

BWANKU M BWANKU

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
328
414
*SERIKALI YA RAIS SAMIA INAVYOKWENDA KUMALIZA CHANGAMOTO YA MAJI DAR KWA MRADI WA BWAWA LA MAJI- KIDUNDA.

Na Bwanku Bwanku.

Leo kwenye Gazeti lako pendwa la Tanzania Leo ukurasa wa 14 nimechambua Mradi mkubwa wa maji wa Bwawa la Kidunda unavyokwenda kumaliza changamoto ya maji Jijini Dar es Salaam.

Dar inategemea zaidi maji kutoka kwenye chanzo cha Mto Ruvu na kutokana na mabadiliko ya tabianchi, pindi Mto huo maji yanapopungua huleta adha kubwa ya maji Dar.

Sasa Serikali ya Rais Samia imekuja na Mradi wa Bwawa la Kidunda ambalo litahifadhi maji takribani Lita Bilioni 190 na kwahiyo Mto Ruvu maji yakipungua nyakati za kiangazi, Bwawa la Kidunda litakuwa na uwezo wa kulisha Dar es Salaam.

Soma Makala yangu hii ushuhudie ujenzi wa Bwawa hili chini ya Rais Samia na linavyokwenda kumaliza kero ya maji Dar.
 

Attachments

  • IMG-20230222-WA0008.jpg
    IMG-20230222-WA0008.jpg
    133.4 KB · Views: 6
  • IMG-20230222-WA0001.jpg
    IMG-20230222-WA0001.jpg
    84.8 KB · Views: 6
  • IMG-20230220-WA0014.jpg
    IMG-20230220-WA0014.jpg
    142.7 KB · Views: 7
Back
Top Bottom