serikali

  1. JamiiForums Tanzania Hii ni hali ya Rainbow Beach Serikali ya Mtaa safishen hili eneo limejuwa hatarishi kwa uchafu

    Kuwa uone mengi Hii ni sehemu ya Rainbow Mbezi Beach ambapo watu mbali mbalihuuja kupumzika na wengine hufanya mazoezi kukimbia magonjwa hatarishi Kwenu serikali za mitaa Mbezi Beach embu tuache siasa tusaidie kulisafisha na kutunza eneo letu hili la siku nyingi.
  2. H

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kilimo na ufugaji vinawezekana serikali ikiboresha mazingira

    Kumekuwa na dhana potofu hasa katika maswala ya kilimo na ufugaji kwamba vijana hawapendi kilimo na ufugaji vijana ni wavivu.mm niseme hata hao wanao sema vijana hawapendi kilimo na ufugaji nao ni wavivu Sana ajabu wao wenyewe wameajiliwa na mtu hyo wanae msimanga mvivu na hapendi kilimo na...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Wakulima wa Mpunga Mbalali, Mbeya Wadai Serikali Kutazama Upya Kodi za Kilimo

    Wakulima wa mbunge katika Wilaya ya Mbalali, Mkoa wa Mbeya, wa nyimbo na changamoto ya kodi na kodi ambazo zinatishia uhai wa shughuli zao za kilimo. Kwa mujibu wa malalamiko yao, mkulima huyu hutozwa malipo ya shilingi 50,000 kwa heka moja kwa ajili ya mifereji ya maji. Hata hivyo, hakuna...
  4. JamiiForums Tanzania DOKEZO Mchele uliopakwa mafuta na athari kwa afya zetu, Serikali itoe tamko tujue usalama wetu

    Kumeingia wimbi la kuuziwa michele ambayo imepakwa mafuta hasa Dar es saalaam na Pwani, Je serikali kupitia wizara na taasisi zao hawajaliona hili? Je, ni mafuta gani hayo yanapakwa kwenye mchele ikiwa na lengo la kuufanya uonekane mzuri je, ni mafuta ya aina gani? Tunashuhudia kansa...
  5. JamiiForums Tanzania SoC04 Ili kuinua uchumi wa Mtanzania mmoja mmoja

    Utangulizi: Ukifuatilia kwa umakini zaidi kuhusu Maendeleo ya Nchi nyingi zilizoendelea hapa Africa, America na hata Ulaya, Utagundua kabisa kuwa mambo mengi au vitu vingi ukiacha miundo mbinu iliyofanywa na serikali!, Vingi pia vya kuvutiaKama Hoteli kubwa, Shule, Viwanda Nk. vimefanywa na...
  6. JamiiForums Tanzania Suluhisho la Kudumu la Kero Zote za Muungano, na Dawa ya Kutibu Sumu ya Ubaguzi wa Utanganyika na Uzanzibari ni Kuwa na Serikali Moja ya JMT?

    Wanabodi, Kama kawa, kila nipatapo fursa, ni mwendo wa Kwa Maslahi ya Taifa kwa kwenda mbele, mada ya leo ni mada muendelezo wa wiki iliyopita kuhusu hizi chokochoko zinazoendelea za kuuchokoa huu muungano wetu adimu na adhimu kwa hoja za kibaguzi za Utanganyika na Uzanzibari, ambapo wiki...
  7. JamiiForums Tanzania Hatimaye Bunge lapata wafuasi na wafuatiliaji ambao ni vijana. Niipongeze serikali kwa jitihada hizo

    Vijana ndio nguvu kazi ya taifa, hivyo kuna umuhimu mkubwa wa serikali kuhakikisha kuwa nguvu hiyo ndiyo inayohusiswa kwa 100% ili mipango ya nchi ikae sawia Bunge la sasa si sawa na bunge la zamani. Bunge la miaka hiyo lilitazamwa sana na wazee huku vijana wa ovyo akiwamo mimi tulifuatilia...
  8. JamiiForums Tanzania Tauhida Gallos Aitaka Serikali Kuwa na Mkakati Maalum Kunusuru Watoto Dhidi ya Migogoro ya Ndoa Nchini

    MHE. TAUHIDA GALLOS Aitaka Serikali Kuwa na Mkakati Maalum Kunusuru Watoto Dhidi ya Migogoro ya Ndoa Nchini "Wizara imeandaa muongozo wa Taifa wa uendeshaji, usimamizi na uratibu wa Mabaraza ya usuluhishi wa migogoro ya ndoa wa mwaka 2023, Mei ambao umebainisha afua ya kuwajengea wajumbe wa...
  9. F

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kujenga Miradi Imara Kukabiliana na Majanga ya Asili: Mikakati ya Wakandarasi Kupunguza Gharama za Serikali

    Katika miongo miwili ijayo, jukumu la wakandarasi katika kujenga miundombinu imara na endelevu itakuwa muhimu zaidi kuliko hapo awali, hasa linapokuja suala la kuzingatia majanga ya asili kama mafuriko. Kujenga miradi bora ambayo inaweza kustahimili majanga haya ni njia muhimu ya kuzuia serikali...
  10. JamiiForums Tanzania KERO Responded Tabora – Uyui: Wananchi waliotakiwa kupisha Mradi wa SGR waomba Serikali isaidie walipwe fidia zao

    Wananchi wa Tambukareli, Kata ya Nsololo, Wilaya ya Uyui wanaiomba Serikali kutoa ufafanuzi juu ya malipo yao ya fidia kupisha ujenzi wa Reli ya Kisasa ya SGR, wakidai awali tathimini ilifanyika Machi 2023 na mpaka Mei 2024 hawajui hatima ya malipo yao. Wameyasema hayo wakati wakidai Sheria...
  11. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Nimefuatilia suala la matumizi ya Elimu Bila malipo kiukweli Serikali ifuatilie kwa kina, kuna kitu…

    Nashauri serikali iweke mifumo IMARA ili fedha za elimu bure zitumike Kama malengo yalivyo na siyo kuachia wakuu wa shule wazitumie tofauti na matakwa ya serikali. Baadhi ya shule zimekuwa tegemezi, fedha zikitoka hazijulikani zinatumika wapi, watoto karibia shule nzima wanakaa chini, ukarabati...
  12. JamiiForums Tanzania SoC04 Serikali ifanye mabadiliko Elimu ya Vyuo vya Ufundi VETA: Electrical Installation, Electronics na Programmable Logic Controler (PLC) kiwe kitu kimoja

    Tunaona kuna wabunifu walishatokea ambao hawakuwa na elimu ya kutosha kuweza kuendeleza vipaji vyao. Hii italeta maendeleo makubwa sana kwa Elimu ya ufundi upande wa Engineering. Endapo kama serikali itafanya mabadiliko kwenye Elimu ya mafunzo ya ufundi wa Electrical Installation, Electronics...
  13. J

    JamiiForums Tanzania JamiiForums yaendesha Mafunzo kwa Maafisa Mawasiliano wa Vitengo vya Serikali pamoja na TAKUKURU

    Mei 16 na 17 2024, JamiiForums iliendesha mafunzo ya siku mbili kwa Maafisa Mawasiliano wa Mikoa pamoja na Maafisa wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini kutoka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) yakilenga kuwajengea Uwezo katika nyanja mbalimbali ikiwemo Ulinzi wa Taarifa...
  14. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Serikali ichukue hatua madhubuti kudhibiti utengenezaji na usambazaji wa pesa bandia

    Kumekuwa na utiriri wa pesa nyingi za bandia mtaani noti pamoja na sarafu za mia tano serikali inatakiwa kufanya yafuatayo ili kuondokana hali hii I) KUELIMISHA UMMA Uhamasishaji unatakiwa kufanyika ili kuwaelimisha wananchi jinsi ya kutambua pesa halisi na pesa bandia hii ni pamoja na...
  15. JamiiForums Tanzania SoC04 Serikali iangalie namna nzuri na madhubuti ya kubaresha mtandao unaosuasua hususan na kuchunguza eneo ambalo lina shida katika utoaji wa huduma

    Kuelekea miaka 5 ijayo tz ijipange kuboresha huduma ya mtandao ili kuzuia uhalifu na matumizi mabaya ya mtandao hivyo serikali ichukue hatua kuboresha sekta ya mawasiliano ili kupata tija nzuri katika matumizi ya mtandao. Pia serikali iangalie namna ya kuboresha huduma za mtandao kwani...
  16. JamiiForums Tanzania Kama ningepata nafasi ya kuishauri Serikali kuhusu shule zake za mjini basi haya ndio mawazo yangu

    Habari Wadau Wa Jukwaa Hili... Kuweka kumbukumbu sawa, Mimi ni mmoja wa vijana wa kitanzania niliyesoma katika shule za Serikali kuanzia elimu ya msingi, sekondari mpaka chuo, hivyo mawazo nitakayotoa hapa yasiyafsirike kupinga shule za Serikali. Kwa muda mrefu nimekua nikiwaza namna ya...
  17. JamiiForums Tanzania Zambia: Wananchi wapinga Serikali kuanzisha Sheria ya Kudhibiti Vyombo vya Habari vya Mitandaoni

    Tangazo la Serikali kuitaka Mamlaka Huru ya Utangazaji (IBA) kuongeza Kanuni mpya zitakazodhibiti Uendeshaji wa Vyombo vya Habari vya Mitandaoni limeibua malalamiko ya Wananchi wanaodai zinalenga kuminya Uhuru wa Habari na Kujieleza Baadhi ya Wanahabari na Wanaharakati wamesema "Kuna haja...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali haioni kabisa umuhimu wa kuwatazama watumishi wa chini kama wauguzi, madaktari, polisi na waalimu?

    Kumekuwa na mfumuko mkubwa sana wa gharama za maisha sasa mathalani lita moja ya mafuta ya kula 2015 iliuzwa kati ya tsh 1500 hadi 2200. Leo inauzwa 5500 hadi 6500. Hali hii ni kwa kila bidhaa sokoni si Unga, Michele, sabuni, nishati ya kupikia, nguo n.k bei hazikamatiki sokoni! Serikali kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali isisubiri vifo zaidi kufanyia upanuzi wa barabara ya Kilwa kuanzia Mbagala

    Hii njia sasa imeshakuwa kero kwa wananchi. Haipiti siku bila kutokea ajali eneo la mzinga darajani mpaka kongowe. Wiki iliyopita lori lilifeli breki na kusomba wapita njia na kuwaingiza mtoni. Zaidi ya watu 5 walifariki hapo hapo. Wiki iliyopita nyuma yake lori liliangukia bajaji na wakapotea...
  20. F

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tunatamani Uchaguzi Mkuu na Serikali za Mitaa kufanyika kwa njia ya mtanado (Smart Vote Card)

    Tanzania Tuitakayo-Dira: Tunatamani uchaguzi mkuu na serikali za mitaa kufanyika kwa njia mtandao (smart votecard) Nini kifanyike kufikia njia ya usajili wa wapiga kura kwa njia ya mtandao, nirahisi sana Kanuni za uchaguzi chini ya tume ya taifa ya uchaguzi tanzania zinamtaka mwananchi/mpiga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…