Mimi ni Mkazi wa Mbezi Mwisho, Mitaa mingi haipati maji kwa muda mrefu, hivi utawala wa DAWASA wanajua kuwa kuna Watu wengi tu wana bili za 0 unit kwa miezi zaidi ya mitatu?
Serikali ipo kwenye jitihada ya kumtua ndoo mama wa Vijijini, lakini DAWASA WANAMTWISHA NDOO upya mama aliyetuliwa years...
TANZANIA YAKABIDHI MSAADA WA CHAKULA KWA NCHI YA MSUMBIJI
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imekabidhi msaada wa tani 500 za mahindi kwa Serikali ya Jamhuri ya Msumbiji kufuatia mafuriko yaliyoikumba nchi hiyo kutokana na mvua kubwa zilizonyesha.
Msaada huo umekabidhiwa Machi 24...
Ninaomba mamlaka husika ziangalie kero za Wafanyakazi kwenye baadhi ya kampuni za ujenzi wa barabara nchini. Mimi ni mmoja wa wafanyakazi kwenye kampuni ya ujenzi wa barabara na tunakutana na changamoto zifuatazo:
1. Kufanyishwa kazi nje ya muda uliopangwa kisheria bila kulipwa malipo ya muda...
Anonymous (c9be)
Thread
hatua
kampuni
katika
kuchukua
kuchukua hatua
n.k
serikali
wazawa
Nini kio nyuma ya pazia ?
Serikali ya Iran imetangaza hatua kubwa ya kuongeza mishahara.
Waziri wa Kazi, Ahmad Midari, amethibitisha kuidhinishwa kwa ongezeko la asilimia 60 ya mshahara wa chini wa kitaifa.
Kuanzia sasa, malipo ya mwezi yanapanda kutoka dola 75 (shilingi 190,000) hadi...
Habari za muda huu wana-JF,
Kuna taarifa muhimu sana kutoka Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) ambayo kila mwenye biashara, ofisi, au anayetumia CCTV nyumbani kwake anapaswa kuijua mapema ili kuepuka faini na mkono wa sheria.
Kwa ufupi, kulingana na sheria ya sasa, ni kosa kisheria...
Tanzania: Wakuu wa Majeshi na viongozi wengi wakuu wa serikali sio wazalendo. Kati ya wazalendo ni hawa hawanufaiki lolote kipesa kwa wanayofanya
1. Huwezi kuwa Mzalendo na mwizi wa kura halafu ukajiita mzalendo.
2. Huwezi kuwa Mzalendo na kuuwa vijana bila kufuata sheria
3. Huwezi kuwa...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe amesema Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu - TAMISEMI inaendelea kusimamia uboreshwaji wa miundombinu ya elimu nchini, ili kuhakikisha kila mtoto wa Kitanzania anapata haki yake ya msingi ya elimu bora katika mazingira...
Kuna shule mpya ya Serikali Mkoani Kagera, Halmashauri ya Bukoba Vijijini inaitwa Rubafu Secondary School ipo Kata Rubafu.
Ilifunguliwa ili kuwapunguzia mwendo Wanafunzi wanaotokea Vijiji vya Kyamalange na Rubafu ambao walikuwa wanatembea mwendo mrefu kwenda Katale Secondary School.
Mkuu wa...
Anonymous (f836)
Thread
adhabu
adhabu kali
kagera
katale secondary
rubafu secondary
school
serikali
wanafunzi
Kuna Taasisi inaitwa Fanikiwa Microfinance inajishughulisha na utoaji wa mikopo, Makao Makuu yapo Dar es Salaam na pia wana matawi mengi Mikoani.
Alipoingia Rais Madarakani waliambiwa waongeze mishaara kufikia laki 6, walipoambiwa hivyo wakatupandishia target kufikia milioni 20 kwa mwezi ili...
Mwenyekiti wa Tume ya Rais ya Kutathmini Maboresho ya Mfumo wa Kodi Nchini, Balozi Ombeni Sefue ametoa pendekezo hilo la tume hiyo leo Tarehe 18 Machi, 2026 Ikulu Dar es Salaam wakati wa kukabidhi ripoti hiyo
Ukweli ni kwamba mtu mwenye malengo ya pesa ya kusema kwa kwa kwinywa chake leo ni marehemu na kupa pole.
Hii pesa 2030 ya watanzania kuna watu naona ndoto zao sio utani ,maana wengine wanajionesha wazi wazi na wazi.
kuna nyimbo ya solo inaitwa shangazi kaja
Katiba Institute imeenda kwa Milimani High Court kujaribu kusimamisha utekelezaji wa National Infrastructure Fund Act, 2026, ikisema sheria hiyo ni unconstitutional.
Petitioners wanataka court itoe conservatory orders kuzuia serikali kuimplement Act na pia kusitisha kupeleka pesa za...
https://www.youtube.com/live/46Sy9QdFj7Y?is=de5o1xbYrhPjwSgH
Yupo Live TBC. Anawaambia wana habari wawe makini wanaporipoti hiyo taarifa ni kinyume na sheria za nchi
Naona Dudubaya kachangiwa
Hamjambo wote!
1. Mapema wiki hizi kumekuwa na ongezeko la mabasi ya Mwendokasi Ruti ya Kimara Mbezi.
2. Mabasi ni mapya na mazuri.
3. Kiyoyozi na WiFi kama zote. Password utajua pakuipata.
4. Serikali kwa hilo ipongezwe kwa sababu kama yakiwa hayapo watu wanalalamika na kukosoa. Basi yakiwepo...
Akiwa katika Ziara yake Nsimbo Katavi, Waziri Mkuu Mwigulu ameonya pia mwenendo wa kulimbikiza migogoro jambo linalopelekea kwa kua migogoro hiyo inatishia undugu wetu kama Watanzania. Ameeleza kuwa wakati mwingine wanaosababisha migogoro hiyo ni watu walioamaniwa.
Akiwa katika Ziara yake Nsimbo Katavi, Waziri Mkuu ameonya tabia ya vituo vya afya kuwaagiza wanaanchi wakanunue dawa nje ingali nchi una utoshelevu wa dawa katika maeneo ya kutolea huduma za afya. Mwigulu amehoji duka la dawa linaweza kupata wapi dawa ambazo serikali haina?
Ushauri wa bure kwa serikali,
Ndege nyingi za mashirika ya Uarabuni zimepaki na zinakula hasara kutokana na vita vinavyoendelea, kwa nini msiondoe kodi zenu zenye utitiri mwingi na transit visa fees kisha kualika makampuni haya yaweke hub ya muda hapa Julius Nyerere International Airport?
Tuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.