sekta

Sekta is a village in the Imphal East district of Manipur, India. Sekta Archaeological Living Museum is situated in the village.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Maazimio ya Serikali na wadau wa Kongamano la Maendeleo ya Sekta ya Habari, Desemba 17, 2022

    Ukumbi wa Kimataifa Wa Mikutano wa Julius Nyerere (JNICC)- Dar es Salaam AZIMIO LA JUMLA Kongamano limeazimia kuipongeza serikali ya awamu ya sita kwa hatua kubwa iliyochukuliwa kupanua uhuru wa vyombo vya habari na kufungua milango ya mazungumzo na wadau wa habari kuhusu ukuaji wa sekta ya...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB, VISA kuleta mapinduzi sekta ya utalii na usafirishaji kupitia kadi za kidijitali

    Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (kushoto) akifanya mazungumzo na Mwenyekiti na Afisa Mtendaji Mkuu wa Visa International, Alfred Kelly kuhusu ushirikiano baina ya taasisi hizo katika kuanzisha huduma za malipo ya kidijitali katika sekta ya utalii. Mkutano huo ulifanyika...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali yaitunukia Jamii Forums Cheti cha Shukrani kwa kudhamini Kongamano la Habari 2022

    Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imeikabidhi Taasisi Isiyo ya Kiserikali ya Jamii Forums Cheti cha Shukrani kwa kutambua uamuzi wake wa kuwa Mdhamini wa Kongamano la Habari lililofanyika leo Desemba 17, 2022 jijini Dar es Salaam.
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Nape Nnauye: Hakuna maendeleo, amani na furaha kama uhuru wa habari katika jamii hiyo haupo

    Waziri Nape ameyasema hayo katika Kongamano hili lenye kaulimbiu ya "Habari kwa maendeleo endelevu", kongamano ambalo limewakutanisha waandishi wa habari pamoja na wadau wengine wa habari kujadili changamoto pamoja na mafanikio kwenye sekta hii, mgeni rasmi akiwa ni Waziri wa Habari, Mawasiliano...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Mchengerwa nani Kukudanganya kuwa Kufokafoka Kwako Redioni / Runingani ndiyo Kuendeleza Sekta ya Michezo?

    Tokea Rais Samia akuteue katika hiyo Wizara umekuwa ni Mtu tu wa Kufokafoka huku ukiwa na Vitisho vingi kama Kawaida yako. Labda nikuulize Waziri Mchengerwa tokea uanze Kufokafoka Kwako huku kuna Maendeleo yoyote yale labda umeyapata / yamepatikana? Hufai kuwa Waziri Wetu wa Michezo.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Uboreshaji sekta ya elimu unaendelea

    Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu inaendelea na lengo lake la kuimarisha sekta ya elimu ujenzi wa madarasa 8000 ya secondary unaendelea. Lengo la ujenzi wa madarasa haya ni ifikapo 2023 wanafunzi wote wa kidato cha kwanza waweze kuanza masomo kwa wakati mmoja bila kuwepo kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Mbona Dkt. Mwigulu haeleweki? Yaaani madeni ya sekta binafsi ni ya Serikali? Mmemuelewa Watanzania?

    Haeleki kabisa
  8. JamiiForums Tanzania Tatizo la umeme ndilo litakuwa janga kuu la kura za CCM 2025. Mabadiliko ya haraka ya sekta hii ni muhimu

    CCM imekamilisha kupanga timu ya kusaka kura kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Mabadiliko ya watendaji serikalini yanatarajiwa kufanyika hivi punde kwa lengo hilo hilo la kuvutia kura za wananchi. Katika harakati zao hizo ni vyema wakazingatia ushauri ufuatao: - Janga namba moja kuu...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Ifahamu Sekta ya Mafuta na Gesi Tanzania- Sehemu ya Kwanza (Utangulizi)

    Ili niweze kugusia kila eneo, basi makala hii itakuwa na sehemu angalau tatu ambazo ni Utangulizi, Sera, Sheria na Kanuni zinazoongoza sekta hii, na sehemu ya mwisho fursa zilizopo. Kwa kuanza, naweza kuiweka Gesi ya Tanzania kwenye makundi makuu mawili. Kundi la kwanza ni ile ambayo ugunduzi...
  10. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Tanesco: Jamii ielewe, sekta binafsi kuzalisha umeme sio tatizo. Adai ndio namna ya kufikia malengo

    Mkurugenzi wa Tanesco, Maharage Chande ameongelea mahitaji ya umeme miaka ijayo ambapo amesema mpaka 2035 angalau megawatt 80,000 zitahitajika akikadiria nchi itakuwa na watu milioni 70-80 kutoka milioni 61 iliyopo sasa ili watoto wanaokua wapate ajira kwenye viwanda na kinyume chake itakuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Hongera Wizara ya Ujenzi! Sasa twende na reli za mijini kwa kutumia sekta binafsi

    Moja ya sababu zilizofanya Tanzania kuwa nyuma kimaendeleo ni suala la sera zetu kuegemea ujamaa yaani kila kitu kufanywa na serikali jambo ambalo limekuwa likifanya tuchelewe sana kupata maendeleo. Jitihada kadhaa zimekuwa zikifanywa kuondokana na haya ila bahati mbaya zimekuwa zikikosa...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali kutangaza kima cha chini cha mshahara sekta binafsi mwezi huu

    Serikali imesema kuwa itatangaza rasmi kima cha chini cha mshahara kwa sekta binafsi mwezi huu wa Novemba 2022. Hayo yamesemwa Bungeni leo Novemba 11, 2022, ikiwa ni baada ya Bodi ya Kima cha Chini cha Mshahara sekta binafsi kukamilisha kazi ya kupanga kima cha chini cha mshahara.
  13. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote katika sekta ya ujenzi, na sekta zingine

    Habari wana JF Mimi Ni kijana mwenye umri wa miaka 29, Nina elimu ya BSc CIVIL ENGINEERING, ninatafuta kazi yoyote katika sekta ya ujenzi au sekta yoyote ile ipatikanayo, nimekua nikifanya kazi Kama saidia fundi(kibarua) katika kampuni mbalimbali huku nikisubiri kupangiwa kufanya SEAP...
  14. JamiiForums Tanzania Zoezi zima la uokoaji ajali ya Precision limetuacha uchi duniani, kuathiri sekta ya utalii nchini

    Nimejaribu kufatilia vyombo vya habari karibu vyote duniani vimeonyesha tukio hili la ajali na zoezi zima la ukoaji namna lilivyoendeshwa kijima. Binafsi naona dunia na watalii kwa ujumla wameona namna ambavyo Tanzania hatujawa tayari katika sekta nzima ya usafiri wa anga. Juhudi za Royal...
  15. JamiiForums Tanzania Natafuta Connection ya ajira Serikalini au sekta binafsi

    Habarii wakuu, Nawasalimu kwa jina la Jamhuri. Mimi ni kijana wa kitanzania Mhitimu wa stashahada ya uhandisi ujenzi(Ordinary diploma in civil engineering NTA level 6) kutoka chuo cha ufundi. Nimekaa mtaanii kwa zaidi ya mwaka mmoja Sasa nikijaribu bahatii yangu katika makampunii mbalimbali...
  16. JamiiForums Tanzania Sekta binafsi unyanyasaji umezidi

    Habari za jion Embu leo tuonge ukweli bila unafiki juu ya utendaji kazi sekta binafsi Mim natoa mkasa wa ukweli kabisa nilikuwa nafanya kazi office fulani hapa Dar, siku moja niliumwa nikasema ngoja niende job mchana nitaomba ruhusa kwenda hospitali. Bhana muda ulipofika nikaomba ruhusa kwa...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Geraruma: Sekta ya maji imefanya vizuri zaidi

    SEKTA YA MAJI IMEFANYA VIZURI ZAIDI - GERARUMA Kiongozi wa mbio za mwenge Kitaifa, Sahili Geraruma amesema Kwa siku 195 Mwenge wa Uhuru umekagua na kuweka mawe ya msingi na kuzindua miradi ya Maendeleo 1293 yenye thamani ya Shilingi Bilioni 650.8 Geraruma amesema katika Sekta ambazo Mwenge wa...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Bima kwa wote: Tanzania kuweka rekodi Barani Afrika katika Sekta ya Afya

    Baada ya kuwezesha suala la Elimu bure kuanzia darasa la kwanza hadi kidato cha Sita na Mikopo ya Elimu ya Juu kwa wanaohitaji. Tanzania chini ya Rais Samia Suluhu Hassan inakwenda kuweka rekodi nyingine Barani Afrika. Wananchi watakaotambuliwa kutokuwa na uwezo wataendelea kupatiwa huduma kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Uboreshaji wa Sekta ya Kilimo

    Kwa ajili ya WATOTO wao wenye nguvu na wachawi sana kuelewa SEKTA YA KUPAMBANA (UJAMAA VS JAMAA)… Taasisi za UMOJA WA MATAIFA UN {ILO, UNHCR, FAO} ina mpango wa kuleta matrekta 70,000 na utengenezaji wa matrekta zaidi ya 10,000 NCHINI TANZANIA kwa ajili ya kusaidia shughuli za kilimo. Tunaomba...
  20. JamiiForums Tanzania Mapinduzi ya kiuchumi nchi hii yanaitaji mabadiliko ya haraka katika sekta tatu

    1. Kuinua na kuhimiza kilimo cha umwagiliaji. Hiki ni kitu muhimu kutoka kutegemea mvua za msimu, serikali iweke na kuwezesha UKUAJI WA SEKTA YA KILIMO. Tanzania tuna fursa ya maeneo bora ambayo sasa yametelekezwa kama mapori, yana udongo wa rutuba vyanzo vya maji ya mito na underground...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…