sekta

Sekta is a village in the Imphal East district of Manipur, India. Sekta Archaeological Living Museum is situated in the village.

View More On Wikipedia.org
  1. La3

    JamiiForums Tanzania SoC02 Elimu ya msingi ni mhimili muhimu katika Sekta ya Elimu

    Elimu ya msingi ni eneo nyeti sana katika safari ya maisha ya mwanafunzi au mtu yeyote. Ni katika elimu ya msingi tu ndipo mtu anafundishwa kujua kusoma, kuandika na kuhesabu ambayo ni mambo muhimu mno kwenye maisha. Kwa hiyo ni muhimu sana kuwekeza kwenye elimu ya msingi zaidi kwa kuwa huku...
  2. N

    JamiiForums Tanzania SoC02 Maendeleo katika Sekta ya Elimu Tanzania

    Siasa za upatikanaji wa elimu nchini Tanzania Inaletwa kwenu nami Kelvin Nyagawa Je, kuna sababu za uchaguzi katika kuongeza upatikanaji wa elimu ya sekondari? Katika makala hii, tunauliza na kujibu swali hili katika muktadha wa sera ya kiprogramu ya kuongeza upatikanaji wa elimu ya sekondari...
  3. Bodhichitta

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mikataba ya ajira katika sekta binafsi

    UTANGULIZI Kama tujuavyo sekta binafsi imekuwa na mchango katika ukuzaji wa uchumi wa nchi yetu, lakini mbali na hilo ni mdau mkubwa sana wa utoaji wa ajira nchini hususani kwa kipindi hiki ambacho nchi yetu imekumbwa na kadhia kubwa ya ukosefu wa ajira kwa wahitimu na vijana kwa ujumla. Hivyo...
  4. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mchango wa ufugaji nyuki katika kukuza uzalishaji katika sekta ya kilimo

    UTANGULIZI Ufugaji Nyuki ni sanaa na ni sayansi pia inayohusisha ukusanyaji , usimamizi na uongezaji wa makundi ya Nyuki kwa lengo la kuzalisha mazao ya mbalimbali ya Nyuki kama vile Asali, nta , gundi ya nyuki , sumu ya nyuki , maziwa ya nyuki , watoto wa nyuki n.k , lakini pia kufanya ustawi...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kwenye Sekta ya Michezo

    Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu imeweka mikakati ili kukuza sekta ya michezo nchini. Serikali inaamini kuwa michezo ni Ajira kwa vijana wengi. Mikakati ya Rais Samia ni: Kukarabati Viwanja 7 kwa gharama ya Tsh Bilioni 10 Kuratibu na Kusimamia UMITASHUMTA na UMISETA Kuratibu...
  6. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Sekta binafsi isije kuwa mzigo kwa umma kutokana na mtazamo wa Rais Samia

    Kila nikimsikiliza rais Samia kuhusu mtazamo wake kushirikisha sekta binsfsi kutoa huduma kwa umma nakua na mashaka. Sekta binafsi ni watafutaji wa faida. Dhana ya kusema serikali ishirikiane na sekta binafsi kutoa huduma kama afya elimu etc lazima itafsiriwe vyema isiweze kutumika vibaya...
  7. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Sekta binafsi wakitaka kushirikiana na Serikali wanazungushwa mpaka wanakata tamaa wanaondoka

    Rais Samia akitoa hotuba katika kongamano la kumuenzi Hayati Benjamini Mkapa linalofanyika Zanzibar leo 14/ 7/ 2022 amesema kuwa watu wa sekta binafsi ni muhimu katika kufanikisha kasi ya maendeleo ya taifa letu. Lakini Serikali imekuwa na uzito katika kuwaamini sekta binafsi, wanapotaka...
  8. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anavyokwenda kuweka historia sekta ya kilimo nchini

    Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hivi karibuni lilipitisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2022/23. Sote tunafahamu hii ndio bajeti ya kwanza ambayo maandalizi yake yote yamefanyika chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu tofauti na bajeti ya 2021/22 ambayo Rais aliingia...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano kwenye sekta ya kilimo kati ya China na Tanzania unaendelea kuleta mafanikio

    Fadhili Mpunji Sekta ya kilimo ni moja ya maeneo yenye fursa kubwa za ushirikiano kati ya China na nchi za Afrika, lakini hadi sasa eneo hilo liko nyuma ikilinganishwa na sekta nyingine. China ni nchi ambayo kilimo ni jadi yake, na katika miaka ya hivi karibuni maendeleo ya kiuchumi na...
  10. beth

    JamiiForums Tanzania Hali ya Rushwa Singida: TAMISEMI yaonekana kuwa tatizo, yapokea malalamiko mengi kuliko sekta zote

    Katika Taarifa/Malalamiko 100 yaliyopokelewa na Mamlaka kati ya Januari - Machi 2022, Taarifa 73 zilihusu vitendo vya Rushwa na 27 hazikuhusiana na Rushwa. Malalamiko yalihusu Sekta mbalimbali zikiwemo TAMISEMI (41), Elimu (12), Ardhi (12), Afya (9), Mahakama (6), Mazingira (3), Fedha (03)...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ajira sekta binafsi vs ajira za umma

    Observation hii nimeifanya kwa muda mrefu, nimeongea na watumishi waliojiriwa na kufanya kazi private sector Kisha wakajiriwa serikalini, waliofanya kazi maisha yao yote private sector na wafanyakazi waliojiriwa serikalini kisha wakajiriwa private sector na waliojiriwa na kufanya kazi maisha yao...
  12. Ahmed Saidi

    JamiiForums Tanzania Usahili wa Tutorial Assistants katika sekta ya Elimu

    Habari za muda huu wapendwa, poleni na majukumu mbalimbali katika kulijenga taifa letu. Lengo la uzi huu ni kujuzana ni maswali ya namna gani yanaulizwa katika interviews za tutorial assistant kwa sekta ya Elimu. Kama ulishawahi kufanya interview utumishi na ukafaulu au vinginevyo basi...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Serikali iwe makini na suala la Ngorongoro. Tunaweza tukaharibu umuhimu wa kufanya filamu ya Royal Tour na tukaathiri sekta ya utalii

    Serikali kuweni makini sana na Hili Jambo.Mimi kama mwana CCM na Mtanzania,naweza kusema hili jambo mlimalize kwa ustaarabu Mkubwa. Mnaweza mkawapa maadui wetu kutusemea vibaya,na mwishoe Watalii wakaogopa Kuja Tanzania.Serikalini kuweni makini sana nawahusia. Tumetumia gharama kufanya Filamu...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ajira sekta binafsi Vs ajira za serikali za mitaa

    Hili lipoje , mnapomaliza chuo na mkafanikiwa kuajiriwa , mmoja akijiriwa sekta binafsi na mwingine akajiriwa serikalini hasa hizo ajira za local government, maisha ya aliyeajiriwa private sector huwa mazuri ukilinganisha na wale wa serikalini,lakini as time goes on wajiriwa wa serikali maisha...
  15. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Ni Nchi Ajabu Tanzania kushindwa kuvuna Gesi na mafuta inasubiri sekta binafsi kazi hiyo

    Katika Mambo tuliyopumbazwa na mabeberu ni kuacha shughuri za uzalishaji na kutegemea kukusanya Kodi Pekee Hilo kosa kubwa Sana na ,tunatakiwa kubadilisha mind set zetu Mambo mengine ni mtambuka siyo Kila kitu sekta binafsi, project ya baharini kuvuna Gesi inagharimu Kama trillion 7 lakini...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Tanzania kununua ndege tano ili kuhimiza maendeleo ya sekta ya usafiri wa anga nchini

    Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi wa Tanzania Bw. Makame Mbarawa alisema Tanzania inapanga kutumia shilingi bilioni 468 (sawa na dola takriban milioni 201 za kimarekani) kwa ajili ya kununua ndege tano mpya ili kuhimiza maendeleo ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL). Mbarawa amesema katika mwaka...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ajenda ya vijana katika bajeti ya Serikali iangazwe sekta zote

    AJENDA YA VIJANA KATIKA BAJETI YA SERIKALI IANGAZWE SEKTA ZOTE Na; Victoria Charles Mwanziva: (Katibu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa) Vijana ndio dira ya maendeleo kwa Taifa lolote lile linaloendelea ulimwenguni, huwezi kuyapata maendeleo ya kweli na yenye tija kwa Taifa...
  18. I

    JamiiForums Tanzania Makato yapi ambayo ni lazima kwa mfanyakazi wa sekta binafsi (NGO) kukatwa? NSSF, NHIF au PAYE?

    Makato yapi ambayo ni lazima kwa mfanyakazi wa sekta binafsi (NGO) kukatwa? NSSF, NHIF au PAYE? Naam naombeni jibu hapo
  19. L

    JamiiForums Tanzania China na Afrika zaimarisha ushirikiano katika sekta ya anga ya juu

    Juu ya Mlima Entoto, ulioko takriban kilomita 20 kaskazini mwa mji mkuu wa Ethiopia, Addis Ababa, Kituo cha Utafiti wa Anga ya Juu cha Entoto kinavutia macho sana. Mafundi wa China na Ethiopia wanaovalia sare wanarekodi data iliyorejeshwa na satilaiti ya kwanza ya Ethiopia ETRSS. Satelaiti hiyo...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Shaka asema CCM inaridhishwa na uimarishwaji wa sekta ya habari nchini

    SHAKA ASEMA CCM INARIDHISHWA NA UIMARISHWAJI WA SEKTA YA HABARI NCHINI Hayo yameelezwa na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka katika Uzinduzi wa Jengo la Studio za kisasa za Televisheni ya TBC2 pamoja na kipindi kipya cha Jambo Tanzania, Mikocheni...
Back
Top Bottom