Vipindi vya dini katika shule za msingi na Sekondari za Serikali vifutwe

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
37,526
46,053
1621335389646.png

Wale waliofanikiwa kupata elimu ya darasani angalau ya darasa la saba na kuendelea watakumbuka vipindi vya dini ambavyo vilitengwa rasmi kulingana na madhehebu mbalimbali na wanafunzi wote ni lazima kuhudhuria katika vipindi hivyo.

Mara nyingi vipindi hivi huwa Ijumaa kuanzia muda wa saa nne ili kuwapa fursa waislamu kwenda msikitini kwa sababu mara nyingi wao huwa hawatumii madarasa kuswali katika vipindi vya dini kama wenzao Wakristo.

Wakati mjadala wa tija elimu yetu ukiwa mkali bungeni na mtaani ipo haja ya kuliangazia pia jambo hili na kuona kama kuna tija yeyote kuwa na hivi vipindi.

Ukiangalia kwa makini utagundua vipindi hivi vya dini havina tija yoyote kwa wanafunzi zaidi ya kuwachukulia muda wao ambao ungweza kutumika katika mambo mengine muhimu kama sanaa za uchoraji, uchongaji, kuimba, kuogelea, ushonaji n.k

Ni wakati sasa mamlaka zinazohusika na elimu zitoe muongozo wa vipindi hivi kufutwa na kuongeza mambo mengine secular au kupunguza muda wa wanafunzi kukaa darasani.
 
Baada ya kusoma huu Uzi,
Kuna Mambo kadhaa nimegundua kwa mtoa mada

1. Ana umri mdogo bila Shaka
(huenda Ni mwanafunzi bado)

2. Hana familia
(Hata Kama anayo Basi inalelewa na Ndugu,wakwe au wazazi wake)

3. Ana upeo mdogo Sana wa kufikiri.
(Haiwazii kabisa athari ya Jambo kabla ajalitekeleza, Anaendeshwa na mihemko)

4. Hana hofu ya Mungu kabisa
 
Taifa au familia yoyote bila misingi ya dini (haijalishi Ni dini ipi)

Iyo familia itageuka familia ya hovyo Sana.
- Kuua
-kubaka
-wizi
-Chuki
-unafiki
-mapenz na Ndugu
-mapenz ya jinsia moja
-mapenz kinyume na maumbile
-mapenz na wanyama
-ukatili
- ulevi na madawA
-ushirikina
-umalaya na ukahaba
-Nidhamu mbovu
-uzalendo sifuri
-utii hamna

Ndo maana serikali
imeruhusu na inazilea taasisi za kidini (hazilipi Kodi) ili kuisaidia serkali kujenga mshikamano, Aman, utulivu na kutunza ustaarabu wa wananchi wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wale waliofanikiwa kupata elimu ya darasani angalau ya darasa la saba na kuendelea watakumbuka vipindi vya dini ambavyo vilitengwa rasmi kulingana na madhehebu mbalimbali na wanafunzi wote ni lazima kuhudhuria katika vipindi hivyo.

Mara nyingi vipindi hivi huwa Ijumaa kuanzia muda wa saa nne ili kuwapa fursa waislamu kwenda msikitini kwa sababu mara nyingi wao huwa hawatumii madarasa kuswali katika vipindi vya dini kama wenzao Wakristo.

Wakati mjadala wa tija elimu yetu ukiwa mkali bungeni na mtaani ipo haja ya kuliangazia pia jambo hili na kuona kama kuna tija yeyote kuwa na hivi vipindi.

Ukiangalia kwa makini utagundua vipindi hivi vya dini havina tija yoyote kwa wanafunzi zaidi ya kuwachukulia muda wao ambao ungweza kutumika katika mambo mengine muhimu kama sanaa za uchoraji, uchongaji, kuimba, kuogelea, ushonaji n.k

Ni wakati sasa mamlaka zinazohusika na elimu zitoe muongozo wa vipindi hivi kufutwa na kuongeza mambo mengine secular au kupunguza muda wa wanafunzi kukaa darasani.
Huo ni mchango wa mtu ambae hana dini sizani kama huwa unaenda kumwabudu Muumba wako wewe bila shaka ni muumini wa vit vilefu wewe
 
Hata wapagani ni raia kamili na wana haki zote katika hii nchi. Kuna shule zinalazimisha kwa viboko wanafunzi wote waende kwenye vipindi vya dini. Hii sio sahihi.
Mimi nafikiri uende shule za watoto wako ukawaambie walimu kuwa wanangu ni wapagani kwahiyo msiwalazimishe kuingia vipindi vya dini kwasababu wewe baba yao huamini katika Mungu..na sio kutaka vijana/watoto wetu wapotee kwa kukosa misingi mema ya imani/dini..
 
Wale waliofanikiwa kupata elimu ya darasani angalau ya darasa la saba na kuendelea watakumbuka vipindi vya dini ambavyo vilitengwa rasmi kulingana na madhehebu mbalimbali na wanafunzi wote ni lazima kuhudhuria katika vipindi hivyo.

Mara nyingi vipindi hivi huwa Ijumaa kuanzia muda wa saa nne ili kuwapa fursa waislamu kwenda msikitini kwa sababu mara nyingi wao huwa hawatumii madarasa kuswali katika vipindi vya dini kama wenzao Wakristo.

Wakati mjadala wa tija elimu yetu ukiwa mkali bungeni na mtaani ipo haja ya kuliangazia pia jambo hili na kuona kama kuna tija yeyote kuwa na hivi vipindi.

Ukiangalia kwa makini utagundua vipindi hivi vya dini havina tija yoyote kwa wanafunzi zaidi ya kuwachukulia muda wao ambao ungweza kutumika katika mambo mengine muhimu kama sanaa za uchoraji, uchongaji, kuimba, kuogelea, ushonaji n.k

Ni wakati sasa mamlaka zinazohusika na elimu zitoe muongozo wa vipindi hivi kufutwa na kuongeza mambo mengine secular au kupunguza muda wa wanafunzi kukaa darasani.
Kwanza ratiba ya vipindi vya dini kwa mujibu wa muongozo vinatakiwa vipangwe Kama vipindi vya masomo mengine ktk siku za kawaida,pia hakuna anayepotezewa muda kwa upande wa wanafunzi ,kwa upande mwingine hizo stadi za kazi zote ulizozitaja ukienda vyeta utazipata vizur kwahiyo kila kitu kinatakiwa kikae mahala pake
 
Haya maovu yote uliyoyataja yako kwa wingi katika nchi zenye idadi kubwa ya watu walioshika dini kama hapa kwetu ila ukienda kwenye nchi zenye idadi ndogo ya watu walioshika dini kama za Sweden, Denmark, Czech, Japan na China yako kwa kiwango kidogo sana.
Taifa au familia yoyote bila misingi ya dini (haijalishi Ni dini ipi)

Iyo familia itageuka familia ya hovyo Sana.
- Kuua
-kubaka
-mapenz na Ndugu
- ulevi na madawA
-ushirikina
-umalaya na ukahaba
-Nidhamu
-uzalendo
-utii.

Back
Top Bottom