sekondari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Shule ya sekondari Uraki Halmashauri ya Meru mkoani Arusha yenye wanafunzi chini ya 400 ina walimu kama 50

    Shule tajwa hapo juu ina wanafunzi chini ya 400 lakini ina walimu wanaofikia 50 kiasi wengine wanakosa vipindi vya kufundisha. Mkurugenzi yupo anafahamu yote haya walimu wako busy na biashara zao maeneo ya Arusha mjini, ktk miji midogo ya Usa-River na Tengeru. Wakati hali ikiwa hivi ktkt shule...
  2. Harambee ya ujenzi wa maabara tatu za Seka Sekondari - Jimbo la Musoma Vijijini

    HARAMBEE YA UJENZI WA MAABARA TATU ZA SEKA SEKONDARI - JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI Seka Sekondari ni shule mpya ambayo kwa sasa ina wanafunzi wa Kidato cha Kwanza hadi cha Tatu ( FI - FIII). Jumla ya WANAFUNZI ni 344, na WALIMU wapo wanane (8) Sekondari hii ilijengwa baada ya kubaini kwamba...
  3. Harambee ya ujenzi wa sekondari mpya kijijini Muhoji - jimbo la Musoma vijijini

    Kijiji cha Muhoji ni moja kati ya vijiji vinne (4) vya Kata ya Bugwema - vingine ni Masinono, Kinyang'erere na Bugwema. Kata hii ina Sekondari moja iitwayo Bugwema ambayo kwa sasa imeelemewa sana kwa sababu hizi: Kidato cha Kwanza (Form I) cha mwaka huu (2023) kina jumla ya WANAFUNZI 362...
  4. Harambee ya ujenzi wa miundombinu ya elimu na upatikanaji wa walimu wa kujitolea kwenye sekondari mpya - Jimbo la Musoma Vijijini

    Kata ya Kiriba ya Jimbo la Musoma Vijijini imepata Sekondari ya pili ili kutatua matatizo ya umbali mrefu unaotembewa na mwanafunzi wa Kata hiyo kwenda masomoni Kiriba Sekondari. Vilevile, Shule hiyo mpya, iitwayo Bwai Sekondari, itapunguza mirundikano ya wanafunzi kwenye madarasa ya Kiriba...
  5. U

    DOKEZO Kapuya Sekondari ipunguze viboko hali ni mbaya

    Wizara iangalie upya mtindo wa viboko mashuleni, waalimu wamekuwa wanapiga viboko mashuleni mpaka basi. Kuna shule moja ipo Kaliua inaitwa Kapuya Sekondari, ina piga viboko balaaa. Mwanangu jana kaja kapigwa viboko 48 yuko hoi tena ni form one, anajengewa mazingira ya hofu ili aache shule...
  6. Tujikumbushe Walimu wa sekondari waliokuwa wakali sana kiasi cha kuwa maarufu hadi shule nyingine

    Nimeandika huu uzi baada ya kuwakumbuka waalimu wangu hasa wale wakuu wa miaka ya 90 mwishoni na 2000 mwanzoni waliokuwa wakali sana wasiotaka masikhara kiasi cha kuweza kujulikana hadi mkoa mzima na kanda. Wafuatao walivuma sana kanda ya kaskazini; 1. Mwalimu Kibatala - Shule ya sekondari...
  7. Harambee za kuchangia ujenzi na uboreshaji wa miundombinu ya sekondari za kata - Jimbo la Musoma Vijijini

    Jimbo la Musoma Vijijini lina Kata 21 zenye Vijiji 68 na Vitongoji 374. Jimbo hili lina jumla ya Sekondari 27: Shule 25 za Kata/Serikali Shule 2 za Binafsi (SDA & KATOLIKI) UPUNGUFU WA MIUNDOMBINU Tunaendelea na ujenzi na uboreshaji wa miundombimu iliyopungufu kwenye Sekondari zetu za Kata...
  8. Ujenzi wa shule ya sekondari Kikongo, Kibaha Vijijini-Pwani

    UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI KIKONGO, KIBAHA VIJIJINI-PWANI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani Mhe. Hawa Mchafu akikagua Miundombinu ya Shule ya Sekondari Kikongo iliyopo Wilaya ya Kibaha Vijijini Mkoa wa Pwani ili kujiridhisha na Utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) 2020-2025...
  9. Anglican Church of Tanzania (ACT) itupieni macho Shule ya Sekondari ya Wasichana Bunda

    Kanisa la Anglican Tanzania ambao ndio wamiliki wa shule ya Sekondari Bunda Girls iliyopo wilayani Bunda mkoani Mara fanyeni uchunguzi wa kina kuhusu shule yenu. Kwanza ni tatizo la uongozi, mkuu wa shule kwa sasa ni binti mdogo sana ambaye bado ana mihemko sana. 95%ya walimu hawampendi ila...
  10. Ufunguzi wa shule mpya ya sekondari ya sekouture - jimbo la Singida kaskazini

    UFUNGUZI WA SHULE MPYA YA SEKONDARI YA SEKOUTURE - JIMBO LA SINGIDA KASKAZINI UGUNGUZI WA SHULE MPYA YA SEKONDARI, MBUNGE IGHONDO ATAJWA KINARA WA UTATUZI WA CHANGAMOTO YA ELIMU JIMBONI. Mnamo mwezi Januari 09 2022 Wananchi wa Kijiji cha Sekouture wakiongozwa na Viongozi wao Walifanya hafla ya...
  11. Vurugu ya ubomoaji wa jengo la shule ya sekondari chumvi iliyopo Uvinza

  12. J

    DKT. Hussein Ali Mwinyi afungua shule ya sekondari ya ghorofa Pujini wilaya ya Chakechake - Pemba

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi afungua Skuli ya Ghorofa ya Sekondari Pujini iliyojengwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa fedha za Uviko-19 Kupitia Shirika la fedha Duniani (IMF). Leo Jumatatu, 📆02 Januari 2023 📍Skuli ya Sekondari...
  13. K

    Uhamiaji Sekondari na michango ya madawati wanafunzi wapya kidato cha kwanza

    Nimeshangazwa na mchango wa madawati Uhamiaji Sekondari kwa wanafunzi wanaojiunga kidato cha kwanza, kwani nilitegemea shule zote za Dar zilishapewa madawati ya kutosha. Hebu mwenye undani wa jambo hili atujuze.
  14. Mvuti sekondari ni bweni?

    Ndg zangu habari za leo. Mwanangu amechaguliwa kujiunga na hii shule. Wameandika pale kuwa ni shule teule je Ina bweni. Swali la kizushi. Ina nini unique wanaojua wanijuze
  15. Rai imetolewa kwa walimu wote wa shule za msingi na sekondari na vyuo nchini kupunguza matumizi ya viboko

    Rai imetolewa kwa walimu wote wa shule za msingi na sekondari na vyuo nchini kupunguza matumizi ya viboko na vitisho kwa wanafunzi kama njia ya kufanya wafaulu katika masomo yao kwa kuwa huo si mtazamo sahihi. Rai hiyo imetolewa Jijini Dar es Salaam na Kamishna wa Elimu, Dkt. Lyabwene Mtahabwa...
  16. Waziri Mkenda, nakushauri ufumue mfumo wa elimu kuanzia Awali, Msingi, Sekondari ndipo uanze mambo ya ajira za GPA

    Waziri mkenda, ninaomba nikupe ushauri wa bure kabisa kuhusu elimu. Kwa sasa mambo ya ajira za GPA uko sawa ila anza kufumua mfumu, muundo na mitaala ya elimu nchini. Prof, hakikisha kila shule ya msingi ina madarasa 2 ya awali na walimu wa awali wenye uwezo wa kufundisha wanafunzi kwa lugha...
  17. U

    Ujenzi wa vyumba vya madarasa sekondari kwa fedha za mkopo ni matumizi mabaya ya fedha zetu

    Tatizo kubwa linalosumbua nchi yetu ni viongozi kuamini wanahakili nyingi kuliko wasio viongozi, awamu hii ya sita imekuwa ikipeleka fedha nyingi kwenye miradi ya shule sekondari bila kufanya tathmini kuwa je bado kuna uhitaji mkubwa wa vyumba hivyo? Mbaya zaidi fedha inayopelekea huko ni ya...
  18. Wanafunzi 270,000 kukosa nafasi Sekondari za umma

    Baada ya Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) kutangaza matokeo ya mtihani wa darasa la saba, imebainika wanafunzi 274,671 waliohitimu na kupata daraja D na E, hawana nafasi ya kujiunga na sekondari za umma katika mwaka wa masomo 2023. Idadi hiyo ni wastani wa mwanafunzi mmoja kati ya watano...
  19. MSAADA: Mtoto amefaulu Sekondari ya AHMES, lakini shule aliyomaliza darasa la saba imefutiwa matokeo

    Wakuu Msaada. Kijana wangu amemaliza shule ya msingi iliyofutiwa matokeo. Kwenye interview zote nne nilizompeleka amefaulu. Matokeo ya la Saba yaliyotolewa muda si mrefu shule yake imekubwa na tatizo Hilo. Je, akiendelea na sekondari kwa matokeo yapi ya la Saba yatatumika? Kwa maana kwamba ana...
  20. Ruvuma: Kakakuona aonekana Feo Girls

    Mnyama Kakakuona ameonekana katika Shule ya Sekondari ya Wasichana Feo, mkoani Ruvuma, huku baadhi ya wanafunzi wakiwemo wanaofanya mtihani wa kidato cha nne, wakifurahia kutokea kwa mnyama huyo, wakiamini ni neema kubwa kutokana na tabia za mnyama huyo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…