Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,085
- 8,453
Hili wazo nilikuwa nalo kitambo tu ila nimepitapita humu nimekutana na rasimu kiukweli sijaisoma ila kama hili wazo ambalo nataka kulitoa hapa lipo basi wamecheza kama pele
CCM DAIMA MAFISADI TUWATIMUE (Kibwagizo)
Somo hili ningeshauri lianzie form one upto form four na Advance
Katika miaka miwili ya mwanzo (form one & form four) vijana wajifunze
1.Safety za kutunza na kutumia kompyuta (jinsi ya kuilinda dhidi ya shoti mazingira hatarishi na vitendo ambavyo vitafanya iharibike pia watajifunza kutumia nikimaanisha kuwasha kuzima kuistall program kufungua picha kucrop na kuedit kuusurf mafile na kuunga internet n.k in basic)
2.Wajifunze components of computer in basic kwamba ili kompyuta ikamilike kuna vitu gani (Internal na External) na jinsi zinavyofanya kazi.
3.Diagnosis na troubleshooting (Kupitia kijifunza components mwanafunzi aweze kutambua matatizo basic na visababishi na ikiwezekana aweze kufix kwa kurekebisha (mfano hdd imechoka yeye anairudishia).
3.Kuunda documents Mwanafunzi ajifunze MS Word kwakua anajua kuandika na kusoma aweze kufanya formating za text kuadd picture na kutengeneza simple basic professional document na ili kufanya hili lichukuliwe uzito ikiwa mwanafunzi atahitajika kuandika barua basi achapishe kupitia Ms Word hapohapo shule
4.Ms PowerPoint hii nayo wajifunze ili kuunda presentation nzuri na waweze kuwa nayo compatible katika kuelezea kitu.
Hapo kwa miaka miwili itakuwa imetosha kumpika mtu kabisa na kuiva katika nyanja hiyo sasa ni jukumu la mwalimu wa lunga kufundisha reports ili mwanafunzi mpaka anafika topic ya documents aweze ku apply hapo.
Kuanzia Form three na form four.
1.Kudeal na data hapa mwanafunzi atakuwa yupo vizuri kiakili kuanza kujifunza Ms Excel kuandika formula na vitu vingine vinavyo husiana nayo.
2.Wajifunze Networks how we access it jinsi mtandao unavyofanya kazi hadi mtu anaweza piga simu, kutuma picha kufungua website n.k.
3.Wajifunze web design ( Wajifunze HTML na CMS ya WordPress) hapa ilisomo lichukuwe muda kwani inaweza kuwa ajira tosha.
4.Hosting
5.Wajifunze Basic Graphics (Adobe Photoshop)
Hapa itakuwa imeisha kwa level ya O level
Katika Advance hapa mwanafunzi lazima awe na combination mfano (Basic Computing, Mathematics na Language)
Kwenye Computing ajifunze
1. Basic of programming (JavaScript na PHP)
2. DataBase
3. Networking (advanced kidogo aweze kufunga router na mambo mengine)
Ushauri Wangu Walimu wa hili Somo lazima wawe na professional ya IT cheti cha Diploma na nivizuri awe ameanzia certificate
Na wanafunzi ambao watasoma hili somo O na A level basi wapewe cheti ambacho ofisi ikiitaji mtu mwenye ujuzi huu inaweza kua qualification tosha nashauri kiitwe (certificate of basic computing) na mtu mwenye hiki cheti aruhusiwe kusoma Diploma si lazima aanze certificate na kama atafaulu vizuri degree ya kozi zinazohusiana aende
Hii itasaidia kuleta wataalamu ambao wanajua wanatengeneza nini sio fuatafuata tu irimradi
Ikiwa ombi litachukuliwa ningependa kuwepo kwenye baraza la kuunda mtaala wa somo hili