sehemu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Sehemu ya kuupload cheti cha kuzaliwa kwenye uhakiki wa cheti haionekani

    Mdogo wananisumbua sana wameomba kufanya uhakiki wa cheti cha kuzaliwa lakini option ya kuupload cheti haipo, msaada wakuu
  2. JamiiForums Tanzania Fahamu Uwiano wa Vidole vya Mkononi na Sehemu za Siri Kwa Jinsia Zote

    Kama ilivyo ada mapenzi ndio Dunia na Dunia haina maana bila mapenzi, narejeq kwa vifijo na ndelemo nyingi katika uga wa mahaba nihabue mapenzi nipenzue. Huuuui huuui ndivyo waweza kupiga yowe katika anga za 6*6. Nasema hivi ukiona mwanamke anavidole vya mkononi virefu kuliko mwanaume wake...
  3. JamiiForums Tanzania Marekani sio sehemu sahihi zaidi Kwa malezi

    Habari wakuu. Hapa kariakoo nina marafiki kadhaa ambao Kwa asilimia kubwa wameishi Marekani tabia/mwenendo yao inasikitisha na kutisha at the same time they have a Terrible/Awful/Terrifying/Horrible Behavior. Further more hata baadhi ya watoto wao wa huko nao ni vile vile mfano watoto wa Will...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Unapotaka kuhamia sehemu au kununua makazi, kuna umuhimu wa kuangalia aina ya majirani?

    Unahama kutoa sehemu A kwenda B, kuna umuhimu wa kuangalia utapakana na majirani wa aina gani?? Kabila au dini zao?? Financial status?? I'm just asking.
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini kifuani na si sehemu nyingine za mwili wako?

    Hivi kwanini mtu anapoitwa kwenye public or sehemu yoyote then akawa hana uhakika kama ni yeye ndio anaeitwa akigeuka na kusema Mimi lazima kidole chake kielekee kifuani, iwe kwa kugusa kabisa kifua au ile kupoint juu juu? Kwanini asiguse mkono, au kichwa au shavu au bega lake ila anagusa au...
  6. JamiiForums Tanzania JamiiForums imenifanya tuamue maamuzi haya mimi na wife

    Wakuu habari za asubuhi, jana nimefungua uzi kuelezea sisi tusio kuwa nacho maisha tunayopitia mpaka kukosa chakula na kuishia kula mlo 1 tu kwa siku nawenyewe kwa mbinde Wapo walioguswa na kutoa ushauri mzuri nini cha kufanya pia wapo walio kejeli ( hawakosekanagi hawa ) pia wapo walioponda...
  7. JamiiForums Tanzania Usiku ni sehemu ya kuwaburudisha wazee wakuitwa vijana ila sasa wanaonekana wanga

    Mnawapa kazi wengine walikuwa wanakunywa wine sasa wanakunywa pombe moja kama ingekuwa sungura basi isingekuwa na jina mwenye jina la suti la mkia. Hapa usiku wanataka kutengeneza kikosi kikubwa ambacho hata aliyetetea katiba anaweza kujikuta nchi sio za pesa usiku huu. Matusi ili yanoge...
  8. JamiiForums Tanzania samaki Aina ya GOGO

    Kama unafahamu samaki aina ya GOGO, tafadhali nijulishe Jina lake lingine ni lipi, anapatikana wapi kwa mwambao wa ziwa Victoria, kama una picha itasaidia zaidi.
  9. JamiiForums Tanzania TRUMP: kurejeshwa kwa Crimea na Ukraine kujiunga na NATO sio sehemu ya mazungumzo ya Ukraine

    BREAKING: Trump says that taking back Crimea and joining NATO are off the table for Ukraine
  10. C

    JamiiForums Tanzania Wakuu sehemu nzuri Dar ya kuchill, kuangalìa mpira na chakula

    wakuu niko dar ni mgeni wa jiji naombeni mnambie sehemu nzuri kuchill kula na kuangalia mpira asanteni
  11. JamiiForums Tanzania Kuzaliwa sehemu ambayo si sahihi ndiyo technic kubwa sana huitumia shetani kumfanya mtu asiishi katika wito wake

    Hili jambo wenye D tatu za rohoni ndio watanielewa. Mungu ameweka vitu 3 ndani ya mwanadamu kutoka katika ofisi zake kuu 3 . Kuna karama Kuna huduma na Kuna kipawa. Vitu hivyo 3 ndivyo vinatimiza lengo la mtu kuwa duniani. Lengo la binadamu kuwepo duniani si kula, si kuabudu bali kutimiza wito...
  12. JamiiForums Tanzania Sehemu za makazi zilizoendelea kwa kasi Kanda ya Ziwa.

    Habari wana JF, Je kwa sasa kanda ya ziwa ni sehemu zipi zinazoendelea katika ukuaji wa kasi kwenye ujenzi wa nyumba za kisasa za MAKAZI na je viwanja vinapatika kwa size ipi na thamani yake ikoje?
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini watu husema "Ukifanikiwa New york (USA) basi unaweza kufanikiwa sehemu yoyote !?.

    First off there are over 8 million people in NYC. So it’s very competitive. There are many very smart people here. Smarter than you. There is a tremendous amount of creativity here, art, fashion, architecture. It has a diverse population, there 195 countries on the plant, we probably have...
  14. JamiiForums Tanzania Iltokea siku moja msanii wa nyimbo za Asili akazuia mvua isinyeshe sehemu walipo washabiki tu!

    Hii siyo ya kusimuliwa na watu niliona kwa macho yangu. Katika mkoa wa Geita wilaya ya Nyang'hwale kata ya kafita na kijiji cha Lushimba. Msanii wa nyimbo za Asili Bhudagala alikuwa akitoa show katika kijiji hicho. Basi wingu zito lilitanda likiashiria mvua kubwa sana itashuka muda sio...
  15. JamiiForums Tanzania Je kauli ya Job Ndugai, taifa kupigwa mnada ni sehemu ya uzalendo wake unaotajwa leo?

    Hamjambo! Leo sifa Kemkem zimemiminika kwa Hayati Jon Ndugai aliyekuwa Spika wa bunge letu. Moja ya sifa alizopewa ni uzalendo uliotukuka. Nakumbuka kauli yake ya Taifa kupigwa mnada kutokana na kile alichokiita mikopo Holela inayokopwa na serikali ya Mama. kauli ambayo ilibadilisha kila kitu...
  16. F

    JamiiForums Tanzania NAKODISHA ENEO LA BIASHARA YA HARDWARE NA VIFAA VYAKE .ie Godown, machine za blocks, office, sehemu ya mbao.

  17. JamiiForums Tanzania Urithi sio Majumba na pesa pekee ila hata ukipita sehemu kila mtu anasema Baba yako alikuwa mtu mzuri na mtu huo pia ni urithi.

    Urithi sio majumba na pesa pekee Ila hata ukiwa unapita pita sehemu kadhaa watu wanakuambia baba yako alikuwa MTU bora na mwema huo pia ni urithi. Maana unajisikiaje Baba yako anakufa watu wanashangilia na kusema alikuwa MTU Mbaya Sana kuwahi kutokea duniani.
  18. JamiiForums Tanzania Sehemu bora ya field Electrical engineering

    Habari, Me ni mwanafunzi wa DIT ktk fani ya Electrical Engineering, kwa sasa Nipo week ya kwnz ya Field hapa Azam(Tazara/Dsm)... ila changamoto ninayo iona apa hakuna zile kazi nikaongeza knowledge hata kdg, mda mwingi tunakaa tu. Naomba msaada sehem bora kwny Field hii ya umeme, niondoke apa!
  19. JamiiForums Tanzania GE2025 Videos: Vurugu za wanaCCM kwenye zoezi la uteuzi wa wagombea ubunge sehemu mbalimbali nchini

    Chama kimekatika na hakuna wa kukemea. Tararibu zimekiukwa kila mahali Kuna uwezekano wa watu zaidi kuumizwa na mali zaidi kuharibiwa.
  20. JamiiForums Tanzania Waandishi wa Bibilia wameficha sehemu Yesu alitamka Allah kama ndio Mungu wake

    Ukiisoma Injili zote ni sehemu Moja tu wandisha ndio wameandika Yesu akitaja jina la Mungu wake na Kwa mujibu wao alitaja hilo jina akiwa yupo msalabani Mathayo 27:46 Na kama saa tisa, Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema, Eloi, Eloi, lama sabakthani? Yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…