Binafsi hii vita imenifanya nijisikitie mimi na Afrika kwa ujumla hasa nchi yangu ya Tanzania. Hii vita ni ya wababe wa sayansi na teknolojia. Yaani wanaopigana ni watu wenye akili nyingi za hatari huku wakiwa wako vizuri kiuchumi. Hii vita imetuonyesha jinsi gani nguvu ya sayansi na teknolojia...
Kozi zinazotolewa CNMS hazina ajira moja kwa moja tofauti na kwenda kuwa Lecturer Chuoni.
Mfano ni Bsc. Physics na Bsc. Biology. Unakuta mtu umebobea kwenye masomo magumu ya Sayansi bila kuwa na Future inayoleleweka.
Serikali isiimize watu kusoma masomo ya Sayansi ikiwa wabobezi wa hayo...
Habari wakuu, moja kwa moja kwenye mada. Kwanza naomba mtambue sitaki kuleta mtafaluku kwenye dini zenu, nataka kujua kama hili gape la tofauti kati ya uhalisia na maandiko yenu hamlioni??
Natamani niweke vifungu vya maandiko lakini uzi utakua mrefu sana na utaboa. Naomba leo tutumie kigezo cha...
Naenda moja kwa moja kwenye lengo kuu.
Ndugu yenu BICHWA KOMWE muda wote nina hofu sana na kunuka mdomo.
Licha ya usafi mkali ninaopiga mpaka koromeo linaomba poo, lakini niko makini vibaya na mdomo. Kila wakati najinusa na kujipiga mouth wash.
Kuna wakati nilifukuzwa na mama mwenye nyumba...
Ndugu zangu,
Kizazi cha taifa hakijengwi kwa silaha pekee. Hakijengwi pia kwa muziki wa starehe pekee. Kizazi cha taifa hujengwa kwa mafunzo ya uzalendo, sayansi, na ubunifu. Hapa ndipo JKT ilipaswa kusimama kama injini ya taifa.
Tazameni ndugu zetu wa Burkina Faso, chini ya uongozi wa kijana...
Habari za muda huu ndugu wana jukwaa.
Niende moja kwa moja kwenye mada; nilihitimu kidato cha sita mwaka 2014 mchepuo wa PCM na kupata alama zifuatazo;
Physics- D
Chemistry- E
Advanced Mathematics-E
General Studies- D ( japo haina maana).
Baada ya matokeo hayo yasiyoridhisha nikajikatia tamaa...
Kwema?
Kwanini Captain Tesha alitoka mbele ya kadamnasi na kuzungumza mambo mazito vile huku akitaja baadhi ya wanasiasa kuwa wazuiliwe kukimbia nchi?
Kwanini Captain Tesha alionya polisi watakazuia waandamanaji kuwa watakuja kuulizwa hapo baadaye?
Lengo lake hasa la kutoka hadharani ni lipi...
Najua hii itawaumiza ambao mmesoma masomo ya Sanaa na biashara lakini ukweli masomo yenu tofauti na sayansi hayana foundation za kutafuta majibu kwa changamoto nyie NI watu wa negotiation Tu mambo ya diplomasia.
Mifano ipo na tumeshuhudia baada ya hapo naombeni mnitajie viongozi wa sasa hasa wa...
Wakuu,
Katika pitapita zangu mtandaoni, nimepitia tovuti ya Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) nimekutana na takwimu hizi za wahitimu wa vyuo nchini kwa mwaka 2024 ambapo fani za Biashara, Elimu na Sayansi za Jamii zinaongoza kuwa na wahitimu wengi, Pia usawa wa kijinsia unaimarika kwani idadi...
Wahini siti nitaeleza elimu ya ndani sana.
Vitu nitakavyo gusia ni
1. Mambo ya kidini (Kikiristo).
Nitaongelea Mwili, Nafsi na Roho
2. Artificial Intelligence (AI) Technology na Machine Learning
3. Brain Computer Interface Technology (BCI)
3.Teknolojia ya BCI ya Kusoma na Kutafsiri Mawazo...
Kuwa sijui....
1. Ukiona Paka jike na dume wanatiana jua ni Uchuro ama utakufa au utapokea Msiba
2. Bundi akitua katika Paa la Nyumba yako jiandae Kufa au Kufiwa
3. Mbwa akibweka sana Usiku Kwako jua Wachawi wanapigana Angani Kwako hivyo utaamka Asubuhi ukiwa Mchovu kama umetoka Kulimishwa...
Kuna stori kuwa Columbus alipokuwa anaondoka kisiwa fulani huko Amerika aliwaambia wenyeji wampe chakula cha safari. Wakagoma. Akasema mkigoma kesho nitafanya miujiza. Nitautia mwezi giza. Kweli kesho yake mwezi uliingiwa giza. Wenyeji wakamsujudu Columbus na kumpa chakula. Waliona miujiza mtu...
Na: Mjumbe wa Nafsi za Watu
Je, binadamu ana uhusiano wowote wa kweli na nyota? Je, tunaongozwa nao? Tumetokana nao? Au nyota ni mapambo tu ya anga, kama taa zisizo na maana zaidi ya kutufurahisha macho?
Maswali haya si mapya. Yamechochea fikra za watawala, wanafalsafa, wachawi, manabii na...
Taasisi ya sayansi inayoshirikiana na Jeshi ambalo pia ina mafungamano na shirika la ujasusi la Mossad Weizzman institute of science ambayo imejikita kwenye utafiti ,utengenezaji wa silaha,
Artificial intelligence nk imeshambuliwa na kuteketea
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya [MUST] mwaka wa kwanza aitwaye Emilian Joseph Duzu [21] kwa tuhuma za mauaji ya Mwanafunzi mwenzake wa Chuo hicho mwaka wa tatu aitwaye Gerald Philbert Said [22].
Ni kwamba Juni 14, 2025 saa...
SERIKALI imesema mahitaji ya walimu wa masomo ya sayansi na Hisabati ni walimu 47,354, waliopo ni 30,044 na upungufu ni walimu 17,312.
Hayo yameelezwa leo bungeni Mei 29,2025 na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa,(TAMISEMI) Zainabu Katimba wakati akijibu swali la...
Wadau nimepata haya ndani ya Biblia nikasema kumbe kwenye Biblia kuna mambo ambayo hata Sayansi inakiri kuwa, ndivyo yalivyo. Nikasema tushirikishane.
1. JUA, MWEZI KUWA ANGANI.
Biblia. Mwanzo 1: 16-17. Mungu akafanya mianga miwili mikubwa, ule mkubwa utawale mchana, na ule mdogo utawale...
Ni kawaida sana kwa watu kupatwa na stroke wakiwa kwenye vyoo vya majumbani kwao.
Lakini sio kawaida hata kidogo kukuta mtu kapatwa na stroke kwenye vyoo vya umma.
Kwanini Hali hii utokea hivi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.