sawa

SAWA is a Japanese singer-songwriter and DJ. In 2009, she signed onto Sony Music Entertainment Japan and joined its sublabel, Epic Records. In 2012, she switched to Bellwood Records and released her 6th mini-album, ソプラノレイン (Soprano Rain).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tumsaidieni Rais Samia kufikia malengo ya pamoja; Kumvunja moyo na kumchanganya kwa unafiki na roho mbaya sio sawa

    Ndugu zangu, ili tufanikiwe kwenye jambo lolote kama taifa, ni lazima tuwe na ‘collective effort’ kuyaendea mafanikio hayo. Hata tuwe na Rais mwema na muadilifu kama Malaika, hatuwezi kuwa na taifa lenye uadilifu na mafanikio ya maana ikiwa tutafikiri kuwa yeye pekee ndio mwenye jukumu la...
  2. JamiiForums Tanzania Haijawahi kutokea Simba na Yanga zikawa na ubora sawa

    Kwa wale wanaofuatilia soka mtakubaliana nami kwamba haijawahi kutokea hizi timu mbili kubwa zote kwa pamoja ziwe na ubora sawa. Hii miaka minne iliyopita Simba alitawala soka la Tanzania na Yanga alikua anasemwa kiasi kwamba walishazoea hali hiyo. Najua kuna watu watasema ubora wa timu au...
  3. JamiiForums Tanzania Kombe la mapinduzi kwanini penati waliyopewa simba kwa Azam haikuwa sawa?

    Dhamira ya mchezaji sakho kwa kipa wa Azam haikuwa Safi. Kama kigonya asingejilinda kwa mguu wake huenda Leo hii angekuwa Yuko mortuary. Speed ya sakho kuelekea kwa kipa ilikuwa kubwa sana hata pale alipoona kipa ameshaudaka mpira. Alidhamiria kwenda kugongana na kipa hata kama mpira uko...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mimi naona haiko sawa, wewe je?

    Wachezaji wa yanga wakiwa wamepanda bodaboda baada ya kuwasili jijini DSM wakitokea Zanzibar
  5. JamiiForums Tanzania Nas ajifananisha yeye, Biggie na Jay Z ni sawa na J Cole, Drake na Kendrick Lamar, kwenye album yake ya Magic. Awakumbuka na Wu Tang Clan

    Kwa wasiofuatilia wanaweza kudhani Msuguano baina ya Nas na Jay Z unaendelea lakini nikuambie tu ya kuwa mtafaruk wao ulishakwisha zamani sana. Awali familia zao zilihusishwa kwenye michano na mwisho wakaamua kukaa chini na kuyajenga. Wakashirikishana kwenye nyimbo baadhi na hivi majuzi...
  6. JamiiForums Tanzania Nas ajifananisha yeye, Biggie na Jay Z ni sawa na J Cole, Drake na Kendrick Lamar, kwenye album yake ya Magic. Awakumbuka na Wu Tang Clan

    Kwa wasiofuatilia wanaweza kudhani Msuguano baina ya Nas na Jay Z unaendelea lakini nikuambie tu ya kuwa mtafaruk wao ulishakwisha zamani sana. Awali familia zao zilihusishwa kwenye michano na mwisho wakaamua kukaa chini na kuyajenga. Wakashirikishana kwenye nyimbo baadhi na hivi majuzi...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Baraza jipya: Watu wale wale, wao Hawajiajiri?

    Pana haja ya kumpongeza Mama Samia kwa spana zake hadi tukae sawa. Hakuna namna, maana wajinga ni wengi mno! Eti nyoyo za watu zaonekana kuwa na maduku duku. Kwani tulitegemea dodo chini ya mnazi? Kwamba nyuso za watu haziakisi furaha na baraza jipya? Kwamba baraza zima halikuvunjwa kuanza na...
  8. JamiiForums Tanzania PM Majaliwa hayupo sawa kisaikolojia

    Jana wakati fulani nilimwona PM Majaliwa akishuka kwenye gari huku uso wake kwa hakika ukionyesha ni mtu mwenye mawazo. Huenda PM ana stress zake binafsi. Lakini mimi kama mtu mzima nahisi ndugu yangu yule hayupo sawa tena sana! Tumwombee.
  9. C

    JamiiForums Tanzania Katiba na Siasa za Tanzania - Tuwekane sawa

    Kiwango kilichofikiwa kinafikirisha. 1. Kufanya siasa kwenye ubora wa elimu ilikuwa mkakati wa muda mrefu uliobuniwa na utawala wa awamu ya pili ili kuwa na taifa la watu wasiojielewa kusudi waburuzwe, AU ilitokea coincidently tu kulingana na uelewa wa kiongozi wa nchi juu ya maana na umuhim wa...
  10. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe si muumini wa kudai katiba mpya, ACT wote mnaona sawa?

    Niulize swali hili ni kwa wanachama wote wa ACT-wazalendo wenye mawazo mema na taifa hili kama taasisi, hivi ni kweli mnakubaliana na ulaghai wa anakifanya bosi wenu? Yaani vyama vyote vikubwa vya upinzani vinataka mchakato wa katiba mpya lakini Zitto Kabwe anaamini tume huru ya uchaguzi ndio...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Jamani TAKUKURU, kuita watu 12,377 kwenye usaili kwa nafasi 200 ni sawa?

    Wakuu mmeshasikia usaili utakaofanyika 8/1/2022. Usaili huu utajaza jiji la Dodoma umati wa watu 12,377 hao ni wa nafasi ya afisa uchunguzi tu. Kuna nafasi ya afisa uchunguzi wasaidizi wameitwa watu 9,729 kwa nafasi ya watu 150 tu. Jumla ya wasailiwa inakuwa 22,106 kwa ajili ya jumla ya...
  12. JamiiForums Tanzania Xiaomi redmi 9 za Tigo: Line za mitandao Mingine zinakua na performance sawa kimtandao kama Tigo (Unlocked)?

    Nmeona offer ya Hizi simu zikiwa znauzwa maduka ya tigo,na nmevutiwa nazo kweli. sasa hofu yangu ni kwamba zinaweza zikawa locked, yaan line ya Tigo ndo inakua na nguvu tu, japo kuna mdau kaniambia kuna possibility kuwa line zote znafunction bila kikwazo.. Ombi langu ni kwa yeyote ambaye amewahi...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Diallo: Sisi Mwanza ndio Wasukuma original na Rais Samia ni Chifu wetu, hao wanaoitwa Sukuma Gang hatuwatambui

    Akijibu swali la mwandishi wa habari aliyetaka kujua kwanini sasa kunaibuka makundi ndani ya CCM Dr Diallo amesema na yeye anasikia tu kwamba kuna makundi likiwemo Sukuma gang. Diallo amesema Mwanza ndiko waliko Wasukuma original lakini wote wanamuunga mkono Rais Samia ambaye ni Chifu wao...
  14. JamiiForums Tanzania Mauzo ya Bidhaa nje ya nchi (export)yameshuka kwa dola milioni mia sita sawa na trilioni moja.

    Kulingana na data za world Bank. Ukilinganisha na mwaka 2020 muda kama huu mauzo ya bidhaa nje ya nchi yameshuka kwa dola milioni miasita sawa na trilioni moja za kitanzania. Hii ukiachana na uhalisia kwamba chanjo imepatikana na biashara zimeanza kurejea katika hali yake. Nini chanzo cha...
  15. JamiiForums Tanzania Je ni sawa Kuweka nyimbo au mambo ya dini kwenye usafiri wa jamii

    Kuna baadhi magari ya abiria unakuta wanaweka mambo ya dini kwenye redio zao tena kwa sauti kubwa je hii ni sawa maana mule mpo watu dini tofauti pia wengine awana dini pia wengine awaamini kinachoongelewa kwa wakati huo hii naona kama haiko sawa
  16. JamiiForums Tanzania Itakuwa sawa kumhusisha rais na mambo negative nchini?

    Watu wanasema, rais katoa bilioni kadhaa, rais katoa mashine hii nk. Sasa kwa mambo negative itakuwa sahihi kumhusisha rais? Kwamba rais kawatenga mpwapwa hawana maji. Hospitali ya namtumbo haina dawa, Rais Samia kapwaya nk.
  17. JamiiForums Tanzania Timu ya wananchi kujenga uwanja kwa michango sio sawa

    Bila kuwa Na makubaliano kuhusu namna ya kugawana mapato yatakayotokana Na uwanja uliojengwa Na wanachama Na mashabiki kwa michango yao ya mifukoni itakuja kutokea vurugu kubwa sana huko mbele ya safari. Lazima mgawanyo wa faida itakayotokana Na uwanja kwa wanahisa ifahamike kabla watu...
  18. JamiiForums Tanzania Mechi ya Simba Na Yanga mpaka Sasa hivi network ya tiketi haipo Sawa. What is going on?

    HII Ni hujuma ama Nini? Rudisheni mtandao nyie sio mtandao unarudi saa tisa Na foleni ya kuingia uwanjani MTU unaingia ndani dakika ya ishirini wakati mayele Kisha fanya yake
  19. JamiiForums Tanzania Mechi ya Simba Na Yanga mpaka Sasa hivi network ya tiketi haipo Sawa . What is going on?

    HII Ni hujuma ama Nini? Rudisheni mtandao nyie sio mtandao unarudi saa tisa Na foleni ya kuingia uwanjani unaingia ndani dakika ya ishirini wakati mayele Kisha fanya yake
  20. S

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Wanaomshughulikia Mbowe ni sawa na waliomshughulikia Mandela (Makaburu)

    By Talanta Mhanga kupitia twitter: "Japokuwa Mbowe ni tofauti na Mandela, mbinu za kumshughulikia zikifanana na zilizomshughulikia Mandela, basi Mandela na Mbowe wanakuwa sawa; na waliomshughulikia Mandela wanakuwa sawa na wanaomshughulikia Mbowe. Tunahitaji nguvu ya hoja, si nguvu ya dola" -...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…