sawa

SAWA is a Japanese singer-songwriter and DJ. In 2009, she signed onto Sony Music Entertainment Japan and joined its sublabel, Epic Records. In 2012, she switched to Bellwood Records and released her 6th mini-album, ソプラノレイン (Soprano Rain).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Pcm/pcb mmoja ni sawa na hkl hamsini

    Mliochaguliwa combination Tajwa hapo juu Za science PCM(Engineering) na PCB(Doctor, Pharmacy etc) mjipange ,hazihitaji Ubishoo/usistaduuh..hata kidogo lasivyo mtarudi CBE miaka miwili ijayo kila la kheri..
  2. JamiiForums Tanzania Mchezo umekwisha, kila mbunge anaona ni sawa kwenye hili la bandari

    Kila aliyepo bungeni leo hadi spika wanaona ni sawa DP world kupewa bandari, na hakuna kipengele tata kwenye mkataba( makubaliano kama wanavyoita) yaani vifungu vyote vipo sawa tu, hakuna hata mmoja anayena kuna tatizo hata moja. "Uchangiaji waoleo upo hivi, Serikali ina njema na nchi...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Serikali yetu inapojitapa haifanyi biashara.. huku ikiuza Bandari zetu kwenye kampuni inayomilikiwa na serikali, hii ni sawa na kusemaje?

    DP, ni kampuni inayomilikiwa na serikali ya Dubai! Wakati sisi serikali yetu ikituaminisha kwamba, ni ujinga kwa serikali kujihusisha na biashara na wakati huohuo inaipa kampuni ya DP bandari zetu, ambapo ni kampuni ya kiserikali huko Dubai, Hapa imeshajulikana nani ni nani Msemo huu ndio...
  4. JamiiForums Tanzania Learned Sister, hili vazi ni sawa kweli?

    Huwa nawaheshimu sana wanasheria kwa mavazi yao, hasa kwenye official functions. Huyu Mwanasheria Msomi Learned Sister , Adv. Winnie Kawandakamu kavalia jeans kwenye official function. TLS na wanasheria mliomo humu mtujuze, huyu dada hajakiuka utaratibu wa mavazi kweli? Ila niseme ukweli tu...
  5. JamiiForums Tanzania Haya yanayoendelea ndani ya Nchi si sawa

    Moja ya vitu nitavyoendelea kumlaumu Hayati Magufuli ni kufanya bunge kuwa la chama kimoja, kuna suala la bandari kubinafisishwa naona wabunge wanashangilia tu, unabinafisha Kwa miaka 100? Maana yake mpaka wajukuu zetu wanaukuta huo upuuzi, ifike sehemu mambo ambayo siyo ya Muungano asipewe mtu...
  6. JamiiForums Tanzania Wakristo kuna miungu mingi sana. Kusali kwa kusema Mungu badala ya Jina la Mungu unaemuabudu si sawa

    Mungu nisaidie hiki. Mungu utukuzwe. Mungu naomba abcd. Mungu nisamehe dhambi. Mungu asante. Mungu, Mungu, Mungu. Mungu huyo hana jina ? Kuna miungu zaidi ya elfu 18 inaabudiwa hapa duniani. Unaposali kwa kusema Mungu kuna tofauti gani na mtu asietaka kumpa jina mtoto?
  7. JamiiForums Tanzania Ulimwengu wa Haki Sawa 50/50 hakuna kulipa Faini ukimpa Mwanamke mimba au mtoto

    ULIMWENGU WA HAKI SAWA 50/50 HAKUNA KULIPA FAINI UKIMPA MWANAMKE MIMBA AU MTOTO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Oooh! Umemzalisha mtoto wetu, lipa sijui FAINI, sijui lipa vitu gani. Sasa Sisi Watibeli tukitaka kuonyeshwa huyo Binti aliyezalishwa analetwa Mwanamke MTU mzima kabisa zaidi ya...
  8. JamiiForums Tanzania Kuhusu Bandari zetu: Hii ni Kandrasi, Ukodishaji, Upangishaji, Uuzaji, Uwekezaji, Ubinafishaji, Ubia ni PPP au tumetapeliwa?

    Bandari, viwanja vya ndege, electric power supply plants, reli na barabara ni maeneo mhimu sana kiuchumi na kiusalama wa taifa lo lote duniani. Hili halina ubishi. Hivyo umiliki na mamlaka ya uendeshaji yanapaswa kuwa ya taifa lenyewe kwa asilimia 100%. Mamlaka haya hayapaswi kuporwa na mtu...
  9. JamiiForums Tanzania "Si useme huna nguvu za kiume, huna lolote!" Sawa sina, kwani lazima kuwa nazo?

    Mdada ametuma text ananiuliza nipo wapi, nikamwambia nimetoka kazini mchana leo naelekea home. Akaniambia ana hamu na hii hali ya hewa tukanyanduane. Nikamwambia basi akachukue room nimfuate. Anang'aka kuwa "Nitaendaje mimi kuchukua room? Nenda kachukue uniite nije kukupa nyapu." Nikamwambia...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nimemuuliza Mtaalam kwa Kiswahili tofauti ya Kufa Kiume na Kufa Kishujaa kasema ni maneno yenye maana sawa tu

    Kuna Wendawazimu nchi fulani Jumamosi walikuwa na Furaha ya Kazi bure iliyopelekea Kupokea Hirizi za Kuvaa Shingoni kutoka Uarabuni huku Wenzao wakibeba Ndoo yenye Madini na walivyorudi Makwao wanajisifia kuwa Wamekufa Kishujaa wakitaka Kujitofautisha na Wenzao ambao Wao walisema walikufa Kiume...
  11. JamiiForums Tanzania Kwenye mahusiano lazima uwe na msimamo ili usiumizwe kihisia

    Nashangaa sana kijana au binti anapelekeshwa na mapenzi kama gari bovu, lazima uwe na msimamo. Unapenda sawa lakini usikubali akili zote ukahamishia kwa mtu. Unamtongoza mtu akisema hapana au subiri nitakupa jibu unamchana kabisa kuwa basi nimeghairi. Mtu anayekupenda tangu kitambo hana muda wa...
  12. JamiiForums Tanzania Mapenzi ya kutuma nauli ni sawa na kusafirisha mzigo

    Mapenzi ni hisia kati ya mwanaume na mwanamke, na kinachowaunganisha ni hizo hisia walizojijengea wao katika mahusiano waliyonayo. Kama mmoja atakuwa na hisia zaidi kuliko mwenzake, huyo lazima awe mtumwa katika hayo mahusiano; atateseka kiuchumi na kifikra katika kumfurahisha mwenzake ili...
  13. JamiiForums Tanzania Kudate na wanafunzi wa vyuo vikuu ni sawa na kujivika baruti kwenye moyo wako

    Daah salamu zenu wadau. Kuna hili balaa la kudate na mademu wq vyuo vikuu ni kama kujipaka upupu wa hiari na kujilipua nq baruti ya moyo. Hawa viumbe kwanza nadhani hata hamu au hisia hawana inaonekana hizi meseji za Tiktok zimewaharibu. Videmu vina wanaume kwa uchache saana watatu ila kwao...
  14. JamiiForums Tanzania Swala la kufundishwa Cha kuongea kisheria Ni kawaida Sana

    Swala la kufundishwa Cha kuongea kisheria Ni kawaida Sana ili kukwepa makosa ya kisheria. Ila je kilichoongelewa kina ukweli au la. Je feitoto alidanganya. Haya yanaweza thibitishwa kisheria ili tujue ukweli. 1. Fedha ya usajili m 100 Kupewa kwa mafungu. Account yake itasema. 2. Sms za...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini mizani ya mapenzi hai-balance?

    Kuna wapenzi mliokutana mizani ya mapenzi iko sawa na mnashidana kupendana zaidi? Imagine kuna mdada unampenda sana lakini yeye kama haelewi how deep you're au anaelewa ila anachukulia for granted. Wakati huo huo, kuna mdada/wadada wanatamani sana kua na wewe, wanaonesha jitihada lakini we...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Kitongoji wa CCM ni sawa na Mkutano wa Mkoa wa CHADEMA

    Mkiambiwa hakuna wa kushindana na CCM mnaanza kulia! Huu ni Mkutano wa Kijiji cha Wende jimbo la Kalenga Iringa. CCM inakata Mbuga kwenye Vijiji na Vitongoji kwa siku zaidi ya Mikutano 10. CHADEMA wao wanafanya Mkutano wa mkoa mzima na helkopita juu lakini Mkutano wa Kijiji wa CCM ni balaa...
  17. JamiiForums Tanzania Watani wa Wazanaki mlioko Msibani kwa Mzee Mkono zuieni Jeneza lisitolewe hadi muwatoe Upepo (hela) Wafiwa sawa?

    GENTAMYCINE nawaibieni Siri Watani zangu Wapendwa Wahaya, Wanyiramba, Waha, Wanyaturu, Warangi, Wakerewe na Wanyamwezi kuwa tayari Wafiwa na Wazanaki kwa Kuwaogopeni wameshatenga Tsh Milioni Moja ya Utani (kuwapa Watani) hivyo Kesho Saa 3 Asubuhi kabla Mwili haujatolewa hapa Masaki Nyumbani kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Walikubaliana kuaona wakiwa hawana watoto kumbe mwanaume alikuwa na mtoto bila kujua, ndoa ikavunjika!

    Habari jf ni Crala Kidoti tena. Hii issue ilimtokea mdogo wangu mwaka 2019 upande wa baba mkubwa wangu. Dogo alikuwa na mchumba wa kike aliyedumu nae kwa miaka miwili kwenye uchumba. Hatimaye wakafunga ndoa mwaka 2019 mwenzi wa 3, na mkewe alimpata na kuwa mchumba wake baada ya kuachana na...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Hunitaki sawa, lakini kwanini unitukane?

    Kuna binti mmoja hapa kijijini kwetu nilivutiwa nae, ila kukutana nae kumwomba namba ikawa ngumu sababu ya mazingira, tulikuwa tunafahamiana kwa sura. Kwa vile ndugu yake yule binti ni rafiki yangu nikamwomba rafiki yangu namba ya yule binti, kwanza jamaa akanionya kuwa atakutukana, achana...
  20. JamiiForums Tanzania Kupiga punyeto ni sawa na kufanya mauaji ya kimbari/ mauaji ya halaiki

    Ukipiga asubuhi, ukaunganisha mabao mawili tayari unakuwa umeua watu wawili. Ukipiga mchana moja, na usiku Raunds tatu, tayari ndani ya siku moja unakuwa umeua watoto sita. Fanya idadi hiyo mara wiki, vipi ukipiga mwezi mzima utakuwa umeua wangapi?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…