Sauti Sol are a Kenyan afro-pop band formed in Nairobi, Kenya by vocalists Bien-Aimé Baraza, Willis Chimano and Savara Mudigi in 2005. Initially an a cappella group, guitarist Polycarp Otieno joined before they named themselves Sauti.Sauti Sol released their debut studio album Mwanzo on 1 November 2008, to critical acclaim. Their second studio album, Sol Filosofia, was released on 25 February 2011, earning the group a number of accolades and nominations in the process. On 18 June 2012, the band released a self-titled extended play in collaboration with South African rapper and record producer Spoek Mathambo. Their third studio album, Live and Die in Afrika, was released online on 21 November 2015 as a free download, available for 48 hours as an early Christmas present.The band has had several successful tours in Africa and Europe, topped Kenyan charts and gained international attention with shows in Europe and the US, as well as television appearances and various accolades and nominations, including their 2011 concert performance in Kenya with South African a cappella group Ladysmith Black Mambazo. The band has also received both local and international accolades and nominations, including at the Kisima Music Awards, the Channel O Music Video Awards, the MTV Europe Music Awards, and the BET Awards.
Kuna baadhi ya watangazaji ambao hawakuwa wanatangaza tu habari au mpira; walikuwa wanaifanya redio iwe picha inayotembea kichwani mwa msikilizaji. Miongoni mwao ni Sekione Kitojo, jina ambalo kwa wasikilizaji wa zamani wa Radio Tanzania Dar es Salaam (RTD) na baadaye Deutsche Welle (DW)...
Hawa jamaa nimependa wanavyopiga show kwenye miaka 30 ya Bongo flavor
Hawana mbwembwe nyingi zisizo za maana, pia sauti Yao haijamezwa na beat, sauti Yao sio kavu, na wala hawafuatishi CD,
Best performance show ya Dar na ya Mwanza, labda hawazungungumziwi sana sababu nyimbo zao sio popular...
PROFESSOR JAY - SAUTI YA GHETTO
PRODUCER : Q THE DONE
STUDIO : MO RECORDS
Intro:
Aaah
Eeeh bwana eeh..!!
Unapima kisha Unakimbia majibu
Wewe..!!!
Chorus:
Ni Sauti ya Gheto
Kwa Watu Wangu wa gheto
Walio KiGhetto Ghetto
Mpeto Haina Mchecheto
Navumilia Mateso
Najua Ntapata Kesho...
Ulimwengu wa voice notes unatawala mawasiliano ya kila siku kwa sababu unampa mtumiaji uwezo wa kufikisha hisia na lafudhi halisi ya maneno, jambo ambalo ni gumu kupatikana kwenye herufi baridi za maandishi.
Kurekodi sauti kunapunguza migogoro ya kuelewana vibaya na kurahisisha utumaji wa...
Kwema wakuu,
Nasikia sauti ya milipuko maeneo ya Sinza, Shekilango au Ubungo, ni nini hii wakuu?
NB
Hata mwaka jana tarehe kama ya leo ilisikika pia
https://www.jamiiforums.com/threads/hii-milipuko-inayosikika-eneo-la-ubungo-ni-nini.2370713/
Nikiwa muumini wa Mungu, naiomba Serikali iangalie upya mfumo wa usajili na usimamizi wa baadhi ya makanisa. Badala ya kuwa sehemu ya kutatua changamoto za jamii, baadhi yamekuwa kero kutokana na kufanya mikesha kwa kutumia sauti kubwa zinazowanyima wananchi usingizi.
Hali hii imekuwa...
Kama ulitumia mitandao ya kijamii siku ya jana basi kuna asilimia kubwa ulikutana na post hii ambayo iliibua hisia kwenye comment sections, panapo majaliwa sote tuungane kumpazia sauti kijana.
· Kijana Mdogo Kama Huyu unamtwanga mvua ya ,iaka 30 jela nini hiki kama sio kumuua ?
Bado ni kijana...
Wakuu,
Sauti nzito zimekuwa adimu sana. Yaani wakaka tunashare nao tu frequency za sauti. Akiongea George kama kaongea Zurie na vice versa is true.
Mwanaume anakwambia kitu hata hakiingii saaana maana sauti haina authority. Ndio maana kutwa malalamiko kuwa hamsikilizwi. Hata kwenye movie za...
Shida ni nini ndugu zanguni😁
Nimechungulia hapa Bar nikatamka kwa sauti kuu na ya mshtuko, "Mkeo anakuja", watu wote wametawanyika kwa kasi ya 5G, wengine wametawanyika kwa kuyumba yumba, wengine mlalo na wengine wima
Cha ajabu mpaka wanawake nao wametawanyika, sijui wameskia vibaya? Au labda...
Tanzania imeendelea kuonesha uwezo wake katika jukwaa la kimataifa la UNESCO baada ya Bi. Rose Kinabo kuiwakilisha nchi katika Jukwaa la Vijana Wataalamu wa Urithi wa Dunia 2026, linalofanyika sambamba na Kikao cha 48 cha Kamati ya Urithi wa Dunia jijini Busan, Jamhuri ya Korea.
Katika kuonesha...
Watu makini wa JF, kwa heshima kubwa napenda kuleta kwenu wimbo tuilioupatia jina "Sauti ya Yesu".
Wimbo huu ni matokeo ya matumizi ya teknolojia ya akili unde (AI generated song). Hii ikijumuisha audio pamoja na video zote zimetengenezwa kwa kutumia akili unde.
Yesu Anajibu Songs tunaamini...
Wanaukumbi.
JWTZ MMESIKIKA NA SAUTI IKO SAWA KABISA YAANI ..📌
JWTZ ambao wanaharakati hasa yule rais wa Hungary Maria Sarungi amekuwa anawahusisha na machafuko na njama za kupindua serikali wametoa kauli.
JWTZ wametoa kauli nzito na ngumu sana kuwa " hawatalinda wanaofanya vurugu na...
Kuna jambo linataka kufanyika likionekana kuwa sio mtandao ila litakanushwa ni kwa umeme nawala sio wahusika.
Mliopo karibu na wana CHADEMA wote mnatakiwa kuzibitiwa au kupotezwa kabla jumapili.
Sauti za vilio, hofu na taharuki zimekuwa sehemu ya simulizi za wachimbaji wadogo katika maeneo ya Nyandolwa na Mwakitolyo, mkoani Shinyanga. Ni maeneo ambayo chini ya ardhi yake kuna matumaini ya dhahabu, lakini juu yake kuna wingu la vifo vinavyojirudia mara kwa mara.
Katika kipindi cha miaka...
Habari,hongereni Kwan kazi nzuri ya kufichua maovu,Mimi ni mdau wa Vituo afya wilaya tarime
Napenda kuziomba mamlaka za juu zifuatilie kwa makini mwenendo wa usimamizi wa vituo binafsi vya afya katika Wilaya ya Tarime, Mkoa wa Mara.
Katika kipindi cha takribani miaka miwili , zaidi ya vituo 11...
Anonymous
Thread
afya
binafsi
makini
mamlaka
mara
mjini
mkoa
mkoa wa mara
mwenendo
sauti
tarime
tarime mjini
usimamizi
vituo
vituo vya afya
wadau
wamiliki
wilaya
Hii ni sauti inadaiwa kuwa ya Ahmed Shabiby, mbunge wa Gairo , alipigiwa simu na Mwananchi kuhusu maendeleo lakini yeye akamtukana na anasikika akiagiza watu aliokuwa nao kwamba huyo mwananchi akamatwe a***** porini. Huyo mwananchi anaishi kwa mashaka sana kwa sasa
Huyu huwa anajifanya kukosoa...
Health CS Aden Duale amesema kuwa serikali haitafanya public participation kuhusu mpango wa kuanzisha Ebola quarantine facility katika Laikipia Air Base, Nanyuki. Kulingana na CS, sheria za afya ya umma zinairuhusu serikali kuchukua hatua za haraka wakati wa tishio la afya bila kushauriana na...