sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    Gaming board of Tanzania wanaboa sana.

    Hawa jamaa ukisikia kimeo ndo hawa yani,watu wamepiga oral tangu tarehe 16 April,ila cha kushangaza mpaka leo yenyewe hayajawajulisha wahusika kama wamepata au not. Hawa watu ukiwatizama wana changamoto nyingi unaweza kusema wanatengeneza mazingira ya kupachika watu wao.mifano ni hii. 1...
  2. B

    Tanzania kunafurahisha sana

    Habari zenu waungwana?? Kuna jambo limenifanya Leo nicheke sana.jambo lenyewe ni hili na nimeweka hapa hatua za kufuata... Azizi andambile alitolewa kwa mkopo kwenda yanga African,ambapo awali akitokeafountain gate,utata umezika kwa kipindi sasa tunaelekea mwisho mwa ligi au mwisho mwa msimu...
  3. THE FIRST BORN

    Magori ndie Mtu kawaharibia sana Simba kwenye issue ya CAF,hamkumkanya huko nyuma mlikua mnamshangili sana leo kawaponza

    Kama unakili Timamu tu utanielewa huyu Mzee akili sijui hua anazitumia wapi? Nina matukio ma 4 saiv ya kudhihirisha ujinga wake. 1.Nani anakumbuka swala la Derby ile ya Chuma 5? Mzeee alisema kuna Rushwa kelele kibao hadi akaenda mbqli kusema kuna wachezaji wakubwa ndani ya simba...
  4. Genius Man

    Kuna watu wapo humu heti wanatutisha "Tundu Lissu hatoki" unajua nimeshangaa sana na wana uwezo mdogo sana wa ufahamu

    Kuna watu wapo humu heti wanatutisha "tundu lissu hatoki" mnatoa tu maneno yenu bure unajua nimeshangaa sana na wanauwezo mdogo sana wa ufahamu inasikitisha. Nimesikitishwa kwa hilo kwasababu yoyote anayeshabikia mtu asiye na hatia na kumsingizia mambo ya uongo huku yeye ndio mbaya muuwaji...
  5. D

    Mawakili wa Tanzania mlikosea sana kumuweka Mwanasiasa kuongoza chama chenu Cha Wanasheria

    TLS haikuchagua Rais mwanasheria kwa maslahi ya wanasheria na kada ya Sheria, Bali walimchagua Mwanasiasa kwenda kupigania maslahi ya siasa kupitia TLS Leo hii tunapoongea mawakili wengi nchini wana shida kibao. Wapo mawakili wengi tu haswa wanaoanza wanaohitaji kusaidiwa zaidi kusimama kikazi...
  6. X

    Hivi wenzetu mnaoweka status WhatsApp mnafaidika nini? Mna utoto mwingi sana

    Hii kitu imenishinda kabisa. Kitu hunishangaza ni kuona mwanaume anaweka status, ile huduma imekaa kikike sana. Tena kwa mabinti wa seco labda na vyuo. Wanawake imekuwa kama sehemu ya kupigana vijembe na hata midume nayo imeanza hizo pigo za kike. Show off za kijinga jinga zimejaa kwenye...
  7. enzo1988

    Inawezekana hii habari ilimkasirisha sana Rais Samia!

    Hata ungekuwa wewe!
  8. Megalodon

    Tundu Lissu ni Fimbo ya Musa kwenye kulikomboa taifa teule la TZ

    Guys , tumuheshimu sana tundu Lissu. Jamaa UPINZANI wake anamaanisha… and for sure APEWE HESHIMA….wengi hatuwezi ijapokuwa tunataka mabadiliko…. It is wothless kuwa na UPINZANI wa bahasha za kaki huku watu wanakufa na kutekwa in a serious note . Mtu kama Ben Saanane ndio mazima….hatujapewa...
  9. N

    Mtanzania mbaya sana awamu hii ya Sita

    Ni yule aliye karibu na Rais wetu mpendwa na anasikilizwa na Rais na kumshauri kutochukua hatua au kuacha kutoa mwongozo wa kiutawala kwa haya yanaendelea. Ni kweli ushindi ni tayari kwa CCM mpaka sasa. Lakini majuto yake ni Mjukuu. Nina uhakika Mwenyezi Mungu atamlinda na kumweka sana Rais...
  10. Hismastersvoice

    G55 ninalo swali muhimu sana kwenu mlijibu, nalo ni moja tu.

    Aliyewahi kuwa mgombea urais na kufanikiwa kushinda uchaguzi mihula miwili yenye jumla ya miaka 10 alisema kwa mdomo wake kuwa CCM haijawahi kushinda uchaguzi huku naye ni mnufaika wa irais bila ushindi na CCM ilitishia kumfukuza uanachama lakini ikashindwa kumfukuza. Swali kwenu, nyie msiotaka...
  11. Komeo Lachuma

    Majini walisema Uislamu ndiyo Dini ya kumwabudu Mola wao na Mlezi wao

    Ndiyo, katika Qur’an kuna ushahidi kuwa majini walivutiwa sana na Uislamu, wakasikiliza Qur’an na hata wakaamini. Hili linatajwa kwa uwazi katika Surah Al-Jinn (Surah ya 72), ambako majini wenyewe wanasimulia jinsi walivyosikia Qur'an na kuvutiwa nayo. Mistari kuhusu majini waliosikia na...
  12. sanalii

    Mtandao wa Tigo/Yas wanakiburi sana cha biashara au wanadharau wateja, TCRA wako wapi?

    Nimetuma pesa kwenye mtandao tofauti, pesa haijafika kwangu wamekata, na wananiambia masaa 72, wanasema tatizo lilitokea jana, chaajabu nimeangalia Instagram, nimeona malalamiko ni mengi sana, na yapo hadi siku za nyuma. Hii inapnesha ni tatizo la muda mrefu. Sasa kwanini hawaweki wazi tatizo...
  13. meningitis

    Prof. Mohamed Janabi achaguliwa kuongoza WHO AFRO

    Hii ni taarifa ya hivi punde. Prof. Mohamed Janabi ambaye pia ni Mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili amechaguliwa kuongoza Shirika la Afya Duniani ukanda wa Africa. Pongezi nyingi kwake na watanzania. =============== Profesa Mohamed Janabi, Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa...
  14. Kusini pride

    Wamakonde ndiyo kabila bora sana Tanzania

    Kubali au ukatae wamakonde ndiyo kabila bora sana Tanzania,kabila tajiri,kabila la watu wakarimu na kabila la watu wanaojielewa sana na pia kabila ambalo halina ubinafsi kama makabila mengine. Yaani kuna mikoa mingine ukienda kutafuta pesa au maisha wenyeji hawakuruhusu kumiliki ardhi wala...
  15. Lexus SUV

    Maisha yanakwenda kasi sana, tazama hii...

  16. Lord Denning

    Ufisadi wa Kutisha: Wanasiasa na Viongozi wa Umma kununua viwanja kwa Mabilioni ya Pesa huko Arusha! Watanzania tusiposimama imara, tumekwisha

    Kuna tuhuma nzito zimetolewa zikiwa na ushahidi kuhusu Viongozi wa Kisiasa na Utumishi wa Umma kununua viwanja kwa mabilioni ya pesa huko Arusha. Kwenye tuhuma hizo zilizotolewa usiku huu na Mtanzania Mange Kimambi kupitia Akaunti yake ya X zimeonesha Mkuu wa Mkoa wa Arusha Bw. Paul Makonda...
  17. Mshana Jr

    PreGE2025 Project CHAUMA itafeli mapema sana kama ilivyofeli project G55

    Mafioso wana kaulimbiu yao inasema usifanye jambo kwa kukurupuka wala kwa shinikizo maana hutafaulu kutokana na makosa mengi ya kiufundi. Katika hali ya kuchanganyikiwa baada ya kushindikana kuuharibu uchaguzi wa CDM, plan B ya CCM ikawa ni kulitumia kundi lililoshindwa. Njaa haina baunsa...
  18. Surya

    Humu pamepoa sana hadi namkumbuka Zeto IQ

    Ila naelewa kuelekea uchaguzi na hii nchi yetu, maisha ni mbio mbio tu, Humu JF hili jukwaa Pamepoa sana, Watu hawaleti hoja zao na maoni mbalimbali, Zero IQ popote ulipo aisee ukipata nafasi rudi, utupe story zako za kuchakata mbususu walau kuwe na Mada zinaendelea.. Happy Sunday ✌🏾
  19. T

    Hivi Wana intelligence unit wa Tanzania mnajua Dunia imebadilika sana?

    Kiukweli naandika kwa uchungu sana naandika kwa maumivu sana our intelligence unit mna failed ktk kuikinda hii nchi na high brid war warfare. Naandika nikiwa kama Raia ila najiona kuwa na uwezo wakuona nje ya unit. Hivi kweli mnajuwa kabisa hili Taifa lime sign mikataba ya kimataifa na nyie...
  20. Mngoni asiyepiga gambe

    Simba tujitahidi sana kumlinda kocha Fadlu Davids

    Kwa kile nilichokiona jana mbali na kuwa na mchezo mgumu ila jambo moja la uhakika ni kuwa Simba tuna kocha wa maana sub ya kipindi cha pili ya kumtoa Kibu na kumuingiza Nouma ilikuwa kete muhimu sana kulinda timu kutokana na maafa ambayo yangeweza kutukuta ,kuna mambo mawili kocha alitaka...
Back
Top Bottom