sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania CCM ya Kinana lazima italipa kisasi

    Ni suala la wakati tu. Kulipa kisasi ni hulka yetu wanadamu na kamwe asikudanganye mtu eti hutegemea ntu na ntu. CCM ya kina Kinana ya sasa baada ya kupitia nyakati ngumu kwao ima walionewa ama ilikuwa stahiki yao la mno na hakika ni kwamba iwe kwa kutaka wao ama kwa kulazimishwa na chawa wao...
  2. JamiiForums Tanzania Umasikini mbaya sana, Nasubiri NMB washushe riba nikope

    .
  3. JamiiForums Tanzania Tatizo la kutokwa Jasho lisilo la kawaida katika sehemu mbalimbali za mwili (Hyperhydrosis)- Fahamu Chanzo, tiba, ushauri

    BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU TATIZO HILI --- --- UFAFANUZI WA JUMLA WA TATIZO HILI Tatizo la kutokwa ana jacho mwilini, mikononi na miguuni: Ugonjwa huo unaitwa HYPERHIDROSIS. Kawaida tunatoka jasho ili kuupoza mwili.Mwili unapokuwa na joto nervesystem inatuma ujumbe...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa kweli kila nikitizama wenzangu walivyo nahuzunika, nakuwa mnyonge sana. Nimekosa nini mimi?

    Siku hizi mpaka naogopa kuingia JF. Kila nikiangalia wenzangu JF wana maisha mazuri sana. Wana magari ,wanapata mademu wakali,wana piga stories za Uk,Usa, Pretoria,Joburg n.k aisifuye mvua imemnyea. Wengine wanakula issue kimasikhara....mimi tu ndo naishi maisha haya.najiuliza nilikosea wapi...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Ni sababu zipi zinasababisha nchi kuwa na watu wenye akili sana ama kuwa na watu wajinga sana

    Kuna mambo yanashangaza sana hapa chini ya jua Kuna nchi zina watu wenye akili nyingi sana wanaobuni na kufanya vitu ambavyo hakuna aliyewahi fikiri vinaweza fanywa na mwanadamu Kuna nchi zina watu wenye akili ndogo sana wanaobuni na kufanya mambo ambayo hata kondoo hawezi Fanya Je,ni sababu...
  6. JamiiForums Tanzania Kuna wadada wengine sijui wakoje! Huyu nimeshindwa kuelewa nimfanye nini

    Huyu dada rafiki yangu wa muda toka tukiwa chuo. Jana alipenda tuonane tuweze ongea mawili matatu sababu ilikuwa ni weekend. Nilichukuana naye tukawa sehemu tunapata viburudisho then akaomba tunapoondoka tupitie somewhere nimchukulie kuku wa kuchoma. nikasema haina shida. So we went there...
  7. JamiiForums Tanzania Lema: Mshahara wa Mbunge ni Mdogo sana, 4000$ Kwa mwezi anazidiwa na vijana wanaofanya cryptocurrency

    Aliyekuwa mbunge wa Arusha mjini bwana Godbless Lema, katika Mazungumzo huko space twitter alisikika akikwambia Kitila Mkumbo kwamba mshahara wa mbunge ni Mdogo mno yaani ni 4000$ Kwa Mwezi hivyo aache Ubunge amfundishe cryptocurrency apate zaidi ya hiyo maana anazidiwa na vijana wanaoifanya...
  8. JamiiForums Tanzania Tunaishi Katika Zama Ambazo Ulinzi wa Kidigitali ni Hitaji Muhimu Sana kwa Kila Taasisi

    Miaka ya hivi karibuni tumeshuhudia ongezeko la matumizi ya simu janja, mitandao ya kijamii na biashara ya mtandaoni. Kupitia njia hizi na nyinginezo, sote tunaweka taarifa zetu binafsi kwenye mtandao zaidi na zaidi. Kila siku mamilioni ya watu huwasha kompyuta na vifaa vyao vya kidigitali...
  9. JamiiForums Tanzania Sasa tunataka Tuone Maendeleo Fungate limeisha. Rais umeshaongea sana anza kutenda. Haya tumeshayasikia sana

    Magufuli alishafariki na mabaya yake na mazuri yake. Sasa tupige kazi. Kazi ipi hiyo? Kazi iendelee ipi? Ya kuibia wananchi? Ipi? Ya kupeana vyeo kwa kujuana?ipi? Mi sijui. Ila kazi iendelee vijembe havitatusaidia kitu. Marehemu hayupo tena nasi. Hana la kujitetea. Na hatuwezi pata umaarufu kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Join the chain ya Chadema ni zaidi ya mpango mkakati hongereni sana!

    Wapo wajinga wanaoamini join the chain ya Chadema ni jambo la kijinga na kupuuzwa. Ukweli ni kwamba join the chain ni zaidi ya mpango kazi na ni suala la muda tu tija ya jambo hilo itaonekana wazi. Faida kubwa ya join the chain ni kukiweka Chadema karibu/jirani na watu jambo ambalo ni zaidi ya...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewaita kazini vijana 1,453 kati ya 2,100 baada ya kupata kibali cha Rais Samia

    Habari wakuu, nimeona taarifa kadhaa kwenye mtandao hasa kwenye page ya HabariLeo ya kwamba TRA wameshaita vijana kazini. Hii inaukweli wowote? Na kama ni kweli wanawezaje kuita kimya kimya bila kutoa pdf? ====== #HABARINJEMA: Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewaita kazini vijana 1,453 kati...
  12. JamiiForums Tanzania Ushawahi kupoteza kitu cha muhimu wakati ulipokuwa unakihitaji sana?

    Salaam wakuu, Je, ulishawahi kupoteza kitu cha muhimu sana wakati ulipokuwa unakihitaji sana? Mimi ilinitokea 2013, nilisafiri kwa mara ya kwanza kwenda Mwanza, nilikuwa na mwenyeji wangu aliyekuwa ananisubiria, yeye alikuwa eneo linaloitwa Magu. Tuliwasiliana hadi nafika nyegezi, huku...
  13. JamiiForums Tanzania USHAURI: Rais nikuombe usihalalishe kupanda kwa bei kirahisi hadharani unahujumiwa sana

    Mh. Rais Samia kurasimisha kupanda bei hadharani kunahamasisha wafanya biashara kupandisha bei hata vitu visivyo hitaji kupandishwa gharama tena wanafanya hivyo kwa makusudi kabisa Nikuombe mama usipende kuhalalisha hili la bidhaa kupanda bei hadharani kwa kauli na hasa ukizingatia wewe ni rais...
  14. JamiiForums Tanzania TARURA badilisheni mfumo huu wa maegesho ni wa ovyo sana

    Habari, Tarura hivi sasa mna mfumo wa ukusanyaji charges za maegesho kwa njia ya kielectronics. Huu mfumo kiukweli ni mfumo wa OVYO sana kwani unamuumiza sana mmiliki wa gari. Mfumo huu pia unatengeneza mwanya wa upotevu mapato sana kulinganisha na ule wa awali. Ninasema haya kwa sababu: 1...
  15. JamiiForums Tanzania Sina sauti kwa huyu mrembo, ananichanganya sana

    Tangu nilipokutana naye tu, nakuwa namuwaza yeye; Ana sura nzuri, nywele ndefu, mweupe, mwili wa kuvutia, umbo namba nane, chura ya wastani yakuvutia (curvy), sauti nzuri ya kubembeleza; hasa pale anaponiita baby, mume wangu; najikuta naishiwa nguvu kabisa. Nikamwambia; 'unanikoleza sana bibie...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa hili nawapongeza sana viongozi wa CHADEMA

    Ndugu zangu imezoeleka katika dunia ya leo kila mtu kutumia uongo na unafiki kufanya siasa nchini kwake. Njia hii ya uongo na unafiki imekuwa njia nzuri na yenye mafanikio ya haraka kwa wanasiasa hao. Mfano tumeona wanasiasa mbali mbali duniani wakitumia uongo na unafiki kuvuna wanachama...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa hili Haji Manara ametudhalilisha sana. Uongozi ukemee huu upuuzi

    Kutufananisha sisi Yanga na Wanawake ni akili za kipumbavu. Anaposema Orlando Pirates waje wao wanaume watawakuta huku huku maana yake sisi Yanga ni Wanawake? Huyu niliwaambia bado ana Usimba. Huwa anajifanya kama kuwaponda Simba ilhali anatuponda sisi Yanga. Uongozi uangalie suala hili...
  18. JamiiForums Tanzania Mwanza: Mchele mzuri sana unauzwa

    Mchele huu ni wa Daraja la kwanza kabisa. Hauna Chuya Hauna Punje za mchanga hauna chenga unapatikana kwa ubora wa hali ya juu sana Bei yetu ni 2200 Tsh kwa Kilo Tunauza kuanzia Tani 1 na usafiri juu yetu. Tupo Mwanza Mkuyuni 0713096076
  19. JamiiForums Tanzania Mtego Muhimu kwa Kocha wa Simba SC Pablo ambaye pia anatakiwa sana na Orlando Pirates FC wasio na Kocha Mkuu kwa sasa

    Akiivusha Simba SC kwenda Nusu Fainali ya CAFCC dhidi ya Orlando Pirates FC atakuwa ameponya Kufukuzwa (kuwa Sacked) Msimbazi, ila tayari Matajiri wa Orlando Pirates FC nao wameshampa Ofa (tena Kubwa tu) kama akikubali kutua Kwao muda wowote kuanzia sasa. GENTAMYCINE ningekuwa ndiyo Kocha Pablo...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Katika wakati huu wa hali ya uchumi duniani kuwa mbaya ni kuwa muangalifu sana

    Mzuka wanajamvi, Katika hali hii ya uchumi wa duniani kudorora na city kupanda bei kupitia maelezo ni kuwa muangalifu Sana katika matumizi, kusave na usalama wako na familia yako. Uhalifu umeshamiri na vitendo viovu kama umalaya n.k. Huu siyo wakati wakujionesha kwenye umma una pesa nyingi au...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…