sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Pakistan ni nchi ngumu sana kuiongoza

    Tokea ipate uhuru Pakistan hakuna waziri mkuu aliyedumu kwa mda wa miaka 5, wengi wao ni miaka 4, 3 au siku kadhaa tu, hii inatokana na mfumo wao wa bunge ambao Mara nyingi unamuwih vigumu kwa mgombea kuwa na majority bungeni, hii inalazimisha kuunda serekali ya mseto ikitokea pande moja uhalali...
  2. JamiiForums Tanzania Ni kwanini Wanawake wasio na wowowo wanaroho ya wivu sana na hawajiamini?

    Hawa wanawake vimbaombao wenyewe wanajiita modo! Wana wivu na hawajiamini kabisa shida ni nini, mbna wenye wowowo huwa hawana wivu na wanajiamini! They are soo insecured
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wakili Peter Madeleka ameachiwa kwa dhamana ya Polisi, ameteswa sana kupata kipigo kisichofaa

  4. JamiiForums Tanzania Jeshi la Urusi ni dhaifu sana, ni dhaifu mno

    Hii mdiyo style ya vita ya Russia, hana askari wa kuweza kupambana na adui, hana intelligence ya kuweza ku locate adui walipo, jana jeshi wa strategy ya kuweza kudhibi maeneo anayokua amefanikiwa kuingia (maana hata kuteka hawezi), ma tumeona jinsi jeshi la Russia lilivyokuwa limetapakaa kote...
  5. JamiiForums Tanzania Ushirikina walioufanya Simba ugenini ni kutuchafua watanzania, Vitendo vyao vina madhara makubwa sana juu ya fikra za wageni kwa watanzania kiujumla

    Ni wakati sasa kwa TFF kutoa adhabu kali kwa hawa washirikina. Jambo hili halikubaliki hata kidogo. Yaani tunaonekana Watanzania ni watu wa juju! Jambo ambalo siyo sahihi hata kidogo. Unafanyaje ushirikina mbele ya makamera yote yale ukiwa nchi ya ugenini ? Hiki kilichofanyik ni kinyume...
  6. JamiiForums Tanzania Sasa tuzungumze kimichezo, Nawapongeza sana Simba, Yanga tuna la kujifunza kwa Simba hili liko wazi atakayebishe ana matatizo kichwani

    Kipute cha robo fainali kati ya Simba na Orlando kimekwisha na Orlando amesonga mbele kwa kutupa faraja wana Yanga kuzima kelele, tambo na kejerli za Simba. Tuongee ukweli tu ni kwamba mashabiki wa Simba hamna cha kuidai timu yenu kwa kutolewa robo fainali ni hatua nzuri timu imefika...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nyote mnaosema kuwa Simba SC jana ilionewa sana na Refa ( Mwamuzi ) tafadhali nijibuni upesi haya Maswali yangu yafuatayo

    Je, 1. Refa ndiyo alikipanga Kikosi kile cha wasiwasi cha Simba SC Jana? 2. Refa ndiyo alimwambia Mshambuliaji wetu Mpuuzi Chris Mugalu acheze Faulo za Kipumbavu ambazo zilitugharimu Kiufundi hasa pale alipotolewa kwa Kadi Nyekundu? 3. Refa ndiyo alimwambia Kocha wa Simba SC Pablo Franco...
  8. JamiiForums Tanzania Bajeti ya mwaka huu tuwekeze kwenye kilimo

    Ndugu habari zenu Mabibi na Mabwana Kwa kudra za Allah naamini hata walio wagonjwa watapata nafuu na kupona na walio Magerezani watapata kutoka:-🙏🙏🙏 On my point Kiufupi hali ya Maisha Ni ngumu sana Kuna high cost of living mainly kwenye bidhaa muhimu Kama Foodstuffs Wazo langu Ni kwamba...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nikija kuwa millionaire, nitafanya mambo ya ajabu sana

    Kabla nife lazima niwe millionaire iyo nimejihakikishia iwe kwa dhulma, wizi, kuroga, fitna, kudanganya,kughushi, kuroga na kufisidi. Ispokuwa tu kuua na kudhulumu nafsi. Nikizikamata kwaanzia dollars million moja kuendelea natafuta jopo la madem wakali wakiafrika kazi yao ni kunilisha...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tafadhali yule JamiiForums Member maarufu aliyesema mapema kwa Kujiamini kuwa Simba SC anatolewa leo na akatukanwa sana aombwe Radhi upesi

    ID yake nimeisahau ila nikiikumbuka nitaitaja hapa au wale wanaoijua wataitaja muda si mrefu kwani ni Maarufu mno. Nakumbuka alianza kwa kusema ( tena kwa Kujiamini kabisa ) kama ilivyo kawaida yake kuwa Yanga SC ndiyo watakuwa Mabingwa wa NBC Premier League huku akitoa sababu zake za Kiufundi...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Nimeishi Moshi, Bukoba, Lushoto aisee watanzania tuna ukarimu sana tofauti na tunavyoshambuliana kwa tofauti zetu

    Aisee nimejifunza kitu kimoja kuhusu sisi watanzania baada ya kutembea mikoa tofauti na kuishi huko. Watanzania tunaweza kuwa tunatofautiana na kurushiana maneno mitandaoni juu ya sijui kabila fulani, hivi mkoa fulani hivi..ila kiuhalisia tunaishia kwa upendo sana. Ok kiufupi, nimezunguka mikoa...
  12. JamiiForums Tanzania VIDEO: Hii ni namna njema sana kuikosoa Serikali na viongozi. Cha ajabu eti wanachukia kana kwamba yanayokosolewa hayakusemwa wao hadharani...!!

    Hii video inatrend sana kwenye magrupu ya FB, telegram, TikTok, WhatsApp nk Cha ajabu, the so called "CHAWA" wameshatinga huko kutishia ma - admin kuzuia kusambaa kwa video hii eti "inaidhalilisha serikali na Rais Samia Suluhu kama kwamba haya hayakusemwa na wao wenyewe viongozi..!!! Tazama na...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa tabia za kuabudu mataifa wanayoishi hawa Diaspora, ni vyema Serikali isiruhusu uraia wa nchi mbili, ni rahisi sana kusaliti nchi

    Hawa ni rahisi sana kutumika na mamlaka za nchi wanakoishi. Diaspora wanaomba wawe na uraia wa nchi mbili, yaani wawe marekani na ulaya, sijui Asia na pia wawe watanzania, wale huku na kule. Tabia ya ulafi. Juzi wamejionyesha wako upande gani, wako upande wa maadui wa taifa, mabeberu
  14. JamiiForums Tanzania Upepo wa balcony unashawishi sana kujenga ghorofa, kumbe unaweza kuupata pasi ghorofa

    Jioni unakaa na birika yako ya chai ukipunga upepo. Tatizo ni safari za chooni kama unakunywa bia.
  15. JamiiForums Tanzania Utoroshwaji wa rasilimali za taifa letu uliofanyika awamu ya nne umerejea kwa kasi awamu hii ya Rais Samia. Watanzania tutaibiwa sana wakati huu

    Mtu anakiri bila aibu kuwa alitorosha mawe 11 ya ruby yenye thamani kubwa halafu mnanegotiate nae nini? Kwanini msiyapokonye na kuyarudisha hapa Tanzania? Haya je hilo la bil 276 alilolitorosha hivi majuzi? Awamu ya Jakaya ndio kipindi tuliibiwa? 👇...
  16. JamiiForums Tanzania Kichekesho hichi kifupi kimebeba ujumbe mkubwa sana juu ya Afrika.

    Ni dhahiri shahiri Waaafrika wengi hatuwazi ujenzi wa Mataifa yetu bali tunawaza ujenzi wa familia zetu . Tubadilike, kila mmoja abadilike kwa nafasi yake. Asanteni
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini Wakurya na Wachaga wanaheshimiana na kuelewana sana kwenye mambo mengi?

    Hivi kwanini siku hizi imekua kama utamaduni alipo mkurya humkosi mchaga na alipo mchaga humkosi mkurya? Mkurya hayuko tayari kushirikiana kwenye mambo mbalimbali na makabila mengine kama wasukuma au wahaya kutoka kanda ya ziwa lakini anashirikiana na wachaga kutoka kanda ya kaskazini, same to...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Ni hatari sana kuwa na jirani wa hivi,maskini wa fikra, a dunderhead asiye na malengo

    Unatarajia nini ukiwa na jirani maskini mvivu na asiye na malengo? Ndiyo maana wenye hela hupenda kuishi jirani na matajiri wenzao, sasa umeenda uswahilini huko pembeni yako kuna kigagula kimaskini utasikia EHEEE MALI HIZO WATAKUFA WATAZIACHA...EHEEEE WAKIITWA WENYE MAGARI NA WEWE...
  19. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alikuwa anaheshimu sana takwimu

    Moja ya takwa la mtu kuwa kiongozi mzuri ni kufahamu takwimu na kuziheshimu. Kama hili eneo upo mtupu huwezi kuongoza vizuri. Kwa mfano, Tanzania ni nchi ambayo raia wake wengi hawana umeme. Magufuli alilijua hili. Kwa Africa nchi za kiarabu, karibu asilimia 100 ya wananchi wao wanapata umeme...
  20. JamiiForums Tanzania Kufunga Ramdahan ni nguzo nzito sana kwa Waislamu walio wengi

    Kwa utafiti niliuoufanya Waislam walio wengi hawafungi ramadhani, wengi wana pretend ili kuondoa aibu kwa wenza, majirani, marafiki, wazazi n.k Yani ile kwamba watanionaje? Ila ukweli wa dhati ni kwamba watu wanabonyea kama kawaida ila kwa kujificha saana. Mungu hachezewi ipo siku tutajutia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…