sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kumjua Mwanamke 'aliyechezewa' Kimahusiano na Wanaume na amewachoka, hizi ndizo kauli zao

    1. Siku hizi kuna Wanaume kwani? 2. Sina hata haja na Wanaume. 3. Watoto nilio nao ndiyo Faraja yangu. 4. Wanaume wa nini wakati Wote ni wale wale tu. 5. Natafuta tu Mwanaume wa Kuzaa nae ila sitaki Kukaa nae. 6. Wanaume ni Waongo sana. 7. Wanaume wa Siku hizi ni Wabahili kweli kweli.
  2. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Dada kama hutaki kuliwa usipende kula vya wanaume. Tunapata pesa kwa ugumu sana

    Hi Hii ni kwa wadada, wengi wanapenda kitonga, yaani kusaidiwa na wanaume kisha kutoa mzigo hawatoi mpaka utumie nguvu au mbinu za kumvizia. Dunia Iko kasi, watu hatuna muda wa kubebembeza kitu ambacho hakina maajabu. Tunashobokea kabla hatujakipata tu, tukipata tunaanza kujijutia hasa...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa mke unakuwa ni mgumu sana

    Nimekua kwenye mahusiano na mdada mmoja tangu 2009, kipindi hicho bado watoto wadogo kabisa ndo t umejuana then tukawa tunawasiliana tu kwa simu Na kuna miaka tunapotezana, mwaka 2021 tukaonana baada ya miaka kama 8 hivi na mzigo ndo nikapewa kwa mara ya 1 tangu tumejuana, yeye anaishi Dar mm...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kukiita kipindi cha UMBEA ICU ni kuikosea heshima taaluma ya Afya ,wahusika mnakosea sana .

    Habari wana Jf , Hivi unawezaje ita kipindi cha umbea jina la Chumba ambacho ni chumba maalumu cha wagonjwa mahututi wanao pigania uhai wao ? Kibaya zaidi unavaa sare za wahudumu na kuanza jadili umbea ,nadhani ni kebehi na kukos heshima kwa watumishi wa afya .
  5. Gulio Tanzania

    JamiiForums Tanzania Mionekano ya vijana wa kiume huko tiktok mbona ina utata sana

    Huu mtandao Nimeujua muda mrefu ila nilikuwa sijawahi kabisa kuingia kuna clip nyingi nilikuwa naona zinasambazwa kwenye mitandao mingine kiukweli kama mtu siku hiyo upo bored ukikutana na clip za tiktok zitakufanya ufurahi Sasa leo ndio nimepakua hiyo app nimeingia kwenye huo mtandao nimeona...
  6. MK254

    JamiiForums Tanzania Hii ramani inafikirisha sana, Urusi imeshindwa kuparamia haka kanchi

    Ama kwa kweli ukubwa sio nguvu ila ujuzi na matumizi ya ubongo, kainchi saizi ya mkoa mmoja wa Urusi kameitoza Urusi kamasi imepoteza majenerali, meli, wanajeshi maelfu na hasara nyingine nyingi mpaka Urusi imeomba msaada Syria na kwingine. Licha ya hasara yote hiyo, Urusi imeambulia tumiji twa...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Ni vigumu sana kuishi na Binti asiye ndugu yako wa damu pamoja. Hivi wake zetu mnalitambua hili?

    Habari wana JF, Waanaume tumeumbwa na macho ya matamanio na ndio mara nyingi hutupelekea kufanya maamuzi mengi ambayo yanakuwa sio sahihi. Hivi mwanaume rijali anawezaje kaa na binti wa kazi ambaye amekomaa na kakamilika vizuri? Kihalisia ni ngumu sana na wengi huishia kuwafanya wake wenza, je...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Tabia hizi mbili za Hayati Magufuli zilifuta Mazuri yake Mengi sana, Watanzania kuna la kujifunza hapa

    Habari wana JF, kwenye hii dunia hakuna mtu alie kamilika nna maana kila mtu ana tabia au vijitabia ambavyo watu wengine hawavipendi au vinakufanya mtu kufanya ufanya mambo isivyo. Hivyo Pia JPM pamoja na mazuri yake yote yanayomfanya aonekana ni Rais bora mpaka alikuwa na tabia mbili kubwa...
  9. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Asali analamba Mbowe na Mabwanyenye wa CCM, sisi makabwela tunabaki tunaungua jua. Tujitafari sana makabwela

    Wanasiasa sio watu wema. Wanajaza matumbo yao. Hawashibi? Wanakula michango yetu. Wanakula kodi zetu. Leo hii Mbowe na Mabwanyenye wa CCM lao ni mpango mmoja tu kulamba asali. Makabwela tujitafakari sana.
  10. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Kampeni za kumchafua Hayati Magufuli zimekwama

    Hivi nani hajaona kwa macho yake kuwa kuna mabadiliko makubwa ya kiuchumi ameyaleta hayati JPM? Kuhakikisha sekta ya afya, barabara, elimu , madini na usafirishaji inaimalika. Alafu kundi la wahuni kwa vile tu alidhibiti wasifanye ufisadi ndio watengeneze mikakati ya kumchafua. Hii ni ngumu...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Rais Samia tafadhali muangalie sana Waziri wako Mmoja usidhani anakunyooshea njia bali anakupeleka Shimoni mazima

    Kwa jinsi huyo ( huyu ) Waziri anavyokukaanga kila mara huku Wewe ukiona anapatia na Serikali yako inaenda vyema nakuhakikishia Mama ( Rais Samia ) kwa Usununu ( Uchungu ) wa Watanzania ambao nawasikia sehemu mbalimbali kama Uchaguzi Mkuu wa 2025 CCM ( kupitia Serikali yako ) na Vyombo vyako...
  12. Google Diggers

    JamiiForums Tanzania Mnyama twiga namuona kama mtukufu sana hastahili hata kuwindwa na simba

    Ndugu zangu nampenda Ssana twiga. Napata shida sana anapowindwa na simba. Simba angejua angewinda wote akamuacha twiga. Sababu kubwa ni upole wake na upekee twiga is a beautiful animal Simba please don't hunt twiga. Fikiria fisi akimsumbua twiga hell no hawa akina 🦊 wawawinde wanaostahili...
  13. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Tabata-Dar: Bajaj Tvs inauzwa kwa bei ndogo sana

    Bajaj ya abiria aina ya Tvs. Haina shida yoyote njoo na fundi kagua, lipa anza kuswampa Bei elekezi 1,500,000 0713096076 tuwasiliane
  14. Dong Jin

    JamiiForums Tanzania Wimbo huu nautafuta sana, unaitwaje?

    Anaejua jina lake na msanii aliyeimba aniambie unaitwaje?! Maana nimehangaika sana bila mafanikio
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kama Mwanahisa nawapongeza sana NMB kwa kutugawia gawio kubwa na inayoridhisha

    Binafsi niwapongeze sana uongozi mzima wa National Microfinance Bank(NMB) chini ya uongozi wa Mkurugenzi Mtendaji Mama Zaipuna kwa kazi nzuri mnayoifanya na kutuwezesha sisi wanahisa kupata gawio kubwa na ya kutosha kwa kila hisa. Leo nimeingiziwa kwenye akaunti yangu siyo chini ya millioni...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Hatukatai kulipa Kodi na Tozo ila inauma sana pesa zetu kuliwa na Watu wachache. Serikali yetu muonee huruma Mama ntilie wa Itigi

    Habari wana JF , Serikali ya awamu sita imeonyesha dhamira njema katika kuleta maendeleo katika nchi yetu . Hicho inakusanya kodi kwa nguvu zote na imeongeza kodi na Tozo Mbali mbali ,yote hiyo ni katika kuhakikisha pesa za maendeleo zinapatikana. Haijaishia hapo imefanikiwa kupata mikopo...
  17. Mpwayungu Village

    JamiiForums Tanzania Waishio milimani Jijini Mwanza watakiwa kuondoka kupisha mwekezaji

    Ulivyo Soma ni sahihi kabisa wala hujakosea. Ndo habari ya mjini, zile nyumba zote zilizopo kwenye mountain inabidi zitoke jamaa wa Brazil aje ajenge na Familia yake. -------- Wawekezaji hao wanatarajia kuwekeza kwenye sekta ya miundombinu, viwanda na utalii katika maeneo ya Igogo, Isamilo na...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kuuza gari ya Ulaya/Marekani ni changamoto sana

    Kumiliki gari ya Ulaya/Marekani ni changamoto sana hasa sisi wenye vipato vya chini. Changamoto zake ukiachia matengenezo ambayo huwa sioni tatizo lake kubwa iko kwenye kuiuza. Mwaka jana ndugu yangu alinunua Ford Everest ya karibu milioni 90, kaitumia mwaka mmoja na miezi kadhaa juzi hapa...
  19. Redpanther

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya na TAMISEMI mbona mko kimya sana?

    Habari gani ndugu wanajamvi la Habari mchanganyiko. Ngoja niende moja kwa moja kwenye Maada. Mnamo aprili 16 2022 kulitangazwa nafasi za Kazi upande wa Afya na Elimu/Ualimu. Ni miezi sasa imepita toka dirisha la kutuma maombi lifungwe. Huenda mimi ni mgeni au sina uzoefu sana kwenye haya...
  20. kajekudya

    JamiiForums Tanzania Aise huo msururu wa wageni bungeni leo huna ndugu yako hata mmoja pole sana

    Nimeona huo msururu wa hao waandamizi kutoka taasisi mbalimbali. Hao wote wanakula kodi zetu aloo. Sasa nawaza wenzangu na mie ambao kati ya hao hamna hata ndugu mmoja hata wa mbalimbali mnajisikiaje eti. Angalau sisi ambao wamo ndugu zetu tunajifariji kuwa angalau Kodi yetu inaliwa na wanetu...
Back
Top Bottom