sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu ni mtu Hatari sana kwa Ustawi wa Taifa Staarabu. Ana Uhatari Mkubwa katika kauli zake

    Jenerali Ulimwengu ukimsikiliza utagundua yeye hudhani ni very smart. Hudhani ana akili kuliko wengi. Kauli ambazo anatoa huwa hazina staha na si za kisomi. Ni kauli za kijivuni na kibri ya hali ya juu. Ukiangalia maeneo mengi ambayo Jenerali atakuja zungumza ni pale ambapo kuna maslahi yake...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya wamefungwa kwa taabu Sana 36 - 0 na Namibia

    Kwenye mchezo wa rugby timu ya taifa ya Kenya imepigwa kwa taabu Sana goli 36 kwa bila na timu ya taifa ya Namibia. Ikumbukwe kuwa timu ya Namibia huwa Ni utopolo kwa timu ya Tanzania, ambapo mechi ya mwisho kukutana Namibia alilala goli 32.
  3. JamiiForums Tanzania Nchi za kidemokrasia zinakopa sana

    Zamani wakati wa ufalme, nchi ilikuwa mali ya mfalme. Mapato yote ya nchi ni yake mwenyewe. Akikopa akashindwa kulipa anafilisika mwenyewe. Wafalme walikuwa makini sana kwenye kukopa. Maana walijua wasipolipa watafilisiwa. Mfalme wa Misri, Mohammed Ali alikopa sana. Deni liliposhindwa kilipwa...
  4. JamiiForums Tanzania Wanawake weusi wana joto kali sana

    Baada ya kufanya research ya kutosha Kwa kutumia sampuli zaidi ya 50 nimejiridhisha kwa 100% kuwa mademu weusi ni watamu na wana joto kali kuliko weupe. Pengine ni kwasababu ya kile tulicho fundishwa kwenye sayansi kuwa rangi nyeupe huakisi mwanga wakati nyeusi husharabu mwanga mimi sijui ila...
  5. JamiiForums Tanzania Nakupongeza sana Maulid Kitenge kwa kumjibu Shaka Hamdu Shaka kuhusu Katiba

    Watanzania, Binafsi nampongeza Sana Ndugu yangu Maulidi kitenge kwa nondo zilizoshiba za kumjibu Shaka Hamdu shaka kuhusu Katiba Mpya na ushirikishwaji wake KWA wananchi! Kitenge amemjibu shaka KWA kusema"wananchi wote walishashirikishwa swala la katiba mpya tena makundi yote kuanzia MAMA...
  6. JamiiForums Tanzania Urusi inanifurahisha sana huwezi amini service ya turbines wanafanya EU 🤣🤣🤣

    Ukishika mpini we ndio mbabe🤣🤣🤣 Twende kazi👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻 "Unfortunately, Canada succumbed to pressure and decided to return the turbine to Gazprom. This is a very bad precedent for an exemption from sanctions. According to the CEO, after the turbine is returned, it is expected that Gazprom will...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Tafadhali sana NBS msishiriki dhambi inayopangwa na hawa watendaji na Halmashauri, naombeni muwe waamuzi wa mwisho kwenye ajira za sensa

    Nimejaribu kupitia maoni mbalimbali ya wadau mbalimbali kuhusu ajira za sensa na zaidi maoni yao wengi yamejikita katika hofu walinayo juu ya mwisho mbaya unakaoenda kutokea ikiwa zoezi hili litakuja kukamilishwa na usaili utakaosimamiwa na watendaji. Nausema ni mwisho mbaya kwa Sababu zoezi...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Gael Birigimana ni usajili mzuri Sana Yanga wamefanya

    Jana uongozi wa Yanga wamemtambulisha mchezaji aliwahi kuichezea newcastle united Gael Birigimana. Tangu atambulishwe kijana huyu kuna maneno mengi yamekuwa yakizungumzwa ikiwemo Takwimu zake mashabiki Watanzania wanaonesha wanapenda soka ila hawalijui soka Gael Birigimana ni kiungo mkabaji sio...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Msanii Aliyeimba Bongo bahati mbaya hakukosea, Ulaya kuzuri Sana

    Hivi ni kipi kinawazuia hawa waliojiita ni wakimbizi wa Kisiasa wasirudi Tanzania ? Naona wanaona kama waliishi Bongo kwa Bahati mbaya tu ila kwa uzuri wa huko Ulaya ni bora waendelee kuishi huko . Ni wakati muafaka kwa Tundu Lissu na Lema watupe sababu ya kueleweka kwanini hawarudi
  10. K

    JamiiForums Tanzania Ukiangalia hii picha ya Samia akiwa na Magufuli unaelewa nini?

    Ni kwamba Samia alikua anamuogopa boss wake ama?
  11. JamiiForums Tanzania I Sympathize with Habib Kiombo Simba mmemkosea sana Habib Kiombo

    Mimi ni shabiki wa damu wa Dar Es Salaam Young Africans lakini hiki kilicho tokea kwa kijana mwenzetu Habib Kiombo kimenigusa sana. Habib ame twezwa. Anacho fanyiwa Habib ni public humiliation. Anahukumiwa yeye kwa makosa ya viongozi na PR wa simba. Kama kijana anae tafuta maisha yake...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Simba SC 'mnatudharau' sana 'Mashabiki' wenu yaani tunasubiri 'Vyuma' vya maana kumbe mnatushushia 'Garasa' Habib Kiyombo?

    Sasa Habib Kiyombo ana tofauti gani ya Uwezo mdogo kama alionao Yusuf Mhilu? Nani Kawarogeni mpaka leo hii Simba SC ina 'Scouting Team' ya hovyo hivi? Hivi kwanini Viongozi wa Simba SC mnapenda kutufanya Sisi Mashabiki wa Simba SC kuwa ni Madunduna ( Wapumbavu ) sana na labda mnadhani kuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Kazi nzuri sana mkuu wa wilaya ya Temeke

    Nimeona uchapakazi wako japo unaonekana una uchovu fulani (lakini ni wa baraka) Unapambana kweli kweli hongera sana kwa uchapa kazi. Mabilioni yamemwagwa Temeke DC wa Temeke Jokate Mwegelo akiwa na waziri Bashungwa kwenye kuchapa kazi Mabadiliko ni muhimu. Hongera sana Pascal Mayalla aone...
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia Suluhu anasafiri?

    Rais Samia Suluhu amefanya safari za nje 19 ndani ya siku 477 tangu ameingia madarakani. Zinaweza kuonekana kama ni safari nyingi sana, lakini shida sio wingi wa safari, bali tija inayoweza kuletwa na safari hizo katika taifa letu. Rais kusafiri sio jambo la ajabu kabisa, hasa kwa nchi za...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania wasiokula bia au kilevi wana roho mbaya sana. Ukiwa nao makazini au unapoishi kuwa makini

    Wengi ni watu wasiojiamini. Wakiwa makazini ni watu wa fitina na majungu. Wanaamini sana uchawi na ushirikina. Ukiwa nao mahala unaishi nao kuwa makini. Ukiwa nao mahala unafanya nao kazi kuwa makini. Hawafai kabisa
  16. M

    JamiiForums Tanzania Natamani sana 'Spirit' ya Waingereza iigwe na Watanzania wote kama kweli hatupendi Upuuzi

    Waingereza wao hawana Dogo wala Kubwa na Kiongozi wao hata kama wakiwa Wanakupenda vipi Ukiharibu tu watakuambua uachie Ngazi ili aje mwingine mwenye Nidhamu ya Utendaji na Uongozi kwa Umma / Jamii.
  17. M

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Mbezi wanaumia sana wakikumbuka ahadi ya Hayati Magufuli

    Siku Hayati John Pombe Joseph Magufuli anazindua Stand kuu ya Mabasi iliyopo Mbezi Louis katika mambo aliyowaahidi wakazi wa Mbezi na Kibamba ni pamoja na Kujenga barabara za Mpiji na Makabe kwa kiwango cha lami. Siku hiyo aliongea kwa kumaanisha kuwa utekelezaji wake ungeanza mapema tu...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Kinana anashangaa Watanzania kutonufaika na Kiswahili

    Nimeona kwenye kichwa cha habari kwenye gazeti la leo likisema kwamba eti Makamu Mwenyekiti CCM bara anashangaa watanzania kutonufaika na Kiswahili. Huyu akishangaa sijui anamaanisha nini wakati yeye amekuwa kiongozi mkubwa kabisa mwenye kushawishi sera na mipango ya serikali eti Leo na yeye...
  19. JamiiForums Tanzania Ukimsikiliza Kiumakini sana Bibie Suma Mwaitenda utagundua kuwa Yanga SC kuna Amani ya Kiini Macho tu, ila kuna Bomu linakaribia Kulipuka Yanga SC

    Umeona wapi Mgombea wa Urais wa Vilabu vya Michezo ( siyo Siasa ) anaenda kuomba Kura halafu anaambatana na Mgombea Nafasi ya Umakamu na bila haya ( aibu ) akijua ni Kinyume na Katiba ya Yanga SC huku akilazimisha Wajumbe watakaopiga Kura wamchagulie huyo Mtu? Tulipoona Yanga SC wameruhusu GSM...
  20. JamiiForums Tanzania Ni kazi sana kuikagua kampuni inayochimba madini au mafuta endapo muda wa kugawana faida umefika au bado.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…