Urusi inanifurahisha sana huwezi amini service ya turbines wanafanya EU 🤣🤣🤣

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
21,713
35,512
Ukishika mpini we ndio mbabe🤣🤣🤣
Twende kazi👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻

"Unfortunately, Canada succumbed to pressure and decided to return the turbine to Gazprom. This is a very bad precedent for an exemption from sanctions.

According to the CEO, after the turbine is returned, it is expected that Gazprom will fully restore gas transit to Germany (+100 million cubic meters per day), which will allow Europe to continue stockpiling gas for the winter period and, therefore, lead to a drop of gas prices.

On the other hand, the head of the gas transmission system operator is convinced that there is currently no problem with available gas transit capacities to the EU. Therefore, even after the return of the turbine, Gazprom will continue to "blackmail Europe."

"But I believe that even after the turbine is returned, Gazprom will find a reason to further curb supplies to the EU. Because even without this turbine, Gazprom has the opportunity to significantly increase transit: the route through Poland, 90 million cubic meters per day, is completely unused, while through Ukraine, Gazprom uses only 40% of the reserved and paid capacity, which is another 70 million cubic meters per day," says the post.

Makogon expresses confidence that Europe will draw conclusions from this situation, and, that in the very near future, Europe will stop buying Russian gas altogether.

Canada has reportedly decided to return to Germany a gas turbine built in Canada by Siemens Energy AG that was used in the Nord Stream pipeline system. The decision was made despite objections from the government of Ukraine, as well as the large Ukrainian diaspora in Canada, who stressed that returning the turbine would undermine the sanctions regime.

Canada's Natural Resources Minister Jonathan Wilkinson said on Saturday that the temporary export permit had been granted after lengthy discussions with European allies as well as the International Energy Agency.

Vikwazo bubu vinawasumbua wenyewe msela wangu Putin kachili kimyaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Screenshot_20220711-094757_Chrome.jpg
 
Kwa kifupi na ukweli ni kwamba jamaa si wanajiandaa kuachana na gesi ya Putin Sasa ili uachane na gesi asilia ya Russia (LNG)lazima ubadirishe mashine turbine za mitambo ziweze kuendeshwa na Gesi zinazotokana na mafuta (LPG)wakati wao wapo kwenye heka heka hizo Mrusi akapunguza kuwapa Gesi kwa 60% , huko Hali tete na ikumbukwe ile gazprom ya German inayo import Gesi ililazimishwa kununua hiyo Gesi kwa ruble mpaka Sasa licha ya vikwazo uchwara vilivyowekwa.
Zele analalamika kwa Nini linarudishwa anataka Wagerman wahangaike kwa faida ya Ukraine .

LNG (liquefied natural gas) tuliyopumbazwa mtwara
LPG (liquefied petroleum gas) ndio hizi orexy ,Taifa Gesi mnazotumia
 
Kwa kifupi na ukweli ni kwamba jamaa si wanajiandaa kuachana na gesi ya Putin Sasa ili uachane na gesi asilia ya Russia (LNG)lazima ubadirishe mashine turbine za mitambo ziweze kuendeshwa na Gesi zinazotokana na mafuta (LPG)wakati wao wapo kwenye heka heka hizo Mrusi akapunguza kuwapa Gesi kwa 60% , huko Hali tete na ikumbukwe ile gazprom ya German inayo import Gesi ililazimishwa kununua hiyo Gesi kwa ruble mpaka Sasa licha ya vikwazo uchwara vilivyowekwa.
Zele analalamika kwa Nini linarudishwa anataka Wagerman wahangaike kwa faida ya Ukraine .

LNG (liquefied natural gas)
LPG (liquefied petroleum gas)
Jamaa umenichekesha eti "ZELE"
Hapa kitaa kuna demu anaitwa ZELE🤣🤣🤣🤣
 
Mkuu itafika mahali lazima wakubaliane na dictator Putin ,maana gesi ya Russia ni cheap sana alafu ipo na viwango ,cha msing haya mambo wayamalize kidiplomasia maana tunaumia weng sana ,
Miundombinu ya kusafirisha kila nchi ilijenga yenyewe so hawawezi kuihujumu😆😆😆😆
 
Kwa kifupi na ukweli ni kwamba jamaa si wanajiandaa kuachana na gesi ya Putin Sasa ili uachane na gesi asilia ya Russia (LNG)lazima ubadirishe mashine turbine za mitambo ziweze kuendeshwa na Gesi zinazotokana na mafuta (LPG)wakati wao wapo kwenye heka heka hizo Mrusi akapunguza kuwapa Gesi kwa 60% , huko Hali tete na ikumbukwe ile gazprom ya German inayo import Gesi ililazimishwa kununua hiyo Gesi kwa ruble mpaka Sasa licha ya vikwazo uchwara vilivyowekwa.
Zele analalamika kwa Nini linarudishwa anataka Wagerman wahangaike kwa faida ya Ukraine .

LNG (liquefied natural gas)
LPG (liquefied petroleum gas)
Asante kwa hii shule ya bure
 
Ukishika mpini we ndio mbabe
Twende kazi

"Unfortunately, Canada succumbed to pressure and decided to return the turbine to Gazprom. This is a very bad precedent for an exemption from sanctions.

According to the CEO, after the turbine is returned, it is expected that Gazprom will fully restore gas transit to Germany (+100 million cubic meters per day), which will allow Europe to continue stockpiling gas for the winter period and, therefore, lead to a drop of gas prices.

On the other hand, the head of the gas transmission system operator is convinced that there is currently no problem with available gas transit capacities to the EU. Therefore, even after the return of the turbine, Gazprom will continue to "blackmail Europe."

"But I believe that even after the turbine is returned, Gazprom will find a reason to further curb supplies to the EU. Because even without this turbine, Gazprom has the opportunity to significantly increase transit: the route through Poland, 90 million cubic meters per day, is completely unused, while through Ukraine, Gazprom uses only 40% of the reserved and paid capacity, which is another 70 million cubic meters per day," says the post.

Makogon expresses confidence that Europe will draw conclusions from this situation, and, that in the very near future, Europe will stop buying Russian gas altogether.

Canada has reportedly decided to return to Germany a gas turbine built in Canada by Siemens Energy AG that was used in the Nord Stream pipeline system. The decision was made despite objections from the government of Ukraine, as well as the large Ukrainian diaspora in Canada, who stressed that returning the turbine would undermine the sanctions regime.

Canada's Natural Resources Minister Jonathan Wilkinson said on Saturday that the temporary export permit had been granted after lengthy discussions with European allies as well as the International Energy Agency.

Vikwazo bubu vinawasumbua wenyewe msela wangu Putin kachili kimyaa

View attachment 2286936
Hii Ni huzuni kwa Urusi.

Yaani Urusi Haina Taknolojia ya kuyarekebisha Hayo mabomba ya Turbine ya Gesi nchini mwake mpaka Yapelekwe Canada? Maelezo yanahitajika hapa.
 
Hujaelewa ndugu, hizo engine zilipekekwa na German wabadirishe type iwe type ya LPG ndipo Mrusi akaona janjajanja yao wanakoelekea na yeye kuamua kupunguza supply ya Gesi..
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom