sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tunaweza kupitia njia zifuatazo kuepuka changamoto ya ukosefu wa ajira kuwa kubwa sana ili kuimarisha uchumi wetu

    Serikali kwa kushirikiana na sekta binafsi wanapaswa kuchukua hatua endelevu kutatua tatizo la ukosefu wa ajira ili kukuza uchumi. UKOSEFU WA AJIRA NI NINI? - Ni ile hali ya mtu kutafuta kazi/ajira bila kuipata. Tanzania unemployment rate (www.theglobaleconomy.com) Ukosefu wa ajira ni moja...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Naogopa sana jinsi wapumbavu walivyo wengi. Kuna siku watatuchagulia Rais

    Ujinga, uzoba, uzumbukuku na upumbavu vinaongezeka kwa kasi sana nchi hii. Matatizo haya manne yameathiri watu wengi sana bila kujali elimu zao, nafasi zao au vipato vyao. Kwa ongezeko hili na namna mambo ya kijinga yanavyoungwa mkono nchini basi tutarajie kuchaguliwa rais na mazoba...
  3. JamiiForums Tanzania Kahawa ni kitu cha gharama sana

    Kahawa maarufu tunayotumia hapa Tz ni Africafe. Kale kakopo, 50mg kanauzwa Tsh 4000. Maana yake kilo moja ya kahawa ile ni Tsh 80,000. Na kahawa hii ni ile ya quality ya chini tu. Ndiyo maana inasemwa kuwa ukiacha mafuta, bidhaa inayofuata kuwa kuwa na jumla ya pesa nyingi duniani ni kahawa...
  4. JamiiForums Tanzania Aisee Kinondoni kunani, mirindimo ya kuogofya sana

    Niko macho mudaa huu naskia mirindimo ya ajabu mithili ya Urusi hapo Kiev Ukraine, ni fataki au kitu gani hicho maana usingizi hauji kabisa. Ama ndio uzinduzi wa sensa??
  5. JamiiForums Tanzania Upwork kuna competition kubwa sana

    Baada ya ku-graduate nikaona nianze kufanya freelance, ili nijipatie japo hela ya vocha kwa kufanya programming (web dev). Nikaingia Upwork kwa mbwembwe na huge expectations, eeh bana eeh! Kazi inatolewa kutengeneza website yenye page 5, halafu malipo ni $5 (kama 12000 hivi). Kwa watu wa...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Mtanzania asiyelipa Kodi anakuwa hana uchungu na nchi yake. Asante sana system kwa kuweka hili sawa

    Yaani sisi tuliokuwa na uchungu na Nchi yetu na rasimali za Tanzania tulionekana ni wapiga kelele tu. Hatukuwa wakurupukaji tu bali tuna uchungu na nchi yetu tunapoona Kodi zetu zikitumiwa vjbaya na viongozi. Hilo la kuhakikisha kila mtanzania, kinana, mzee, mke na mume wanalipa kodi sasa...
  7. JamiiForums Tanzania Afukuzwa kazi ya Umeneja TRC kwa kumkosoa Rais Samia kuhusu tozo kwenye miamala ya simu na kukusanya mapato

    Hii ni hatari sana. Ina maana kutoa maoni ni kosa? Ibara ya 18 ya katiba JMT inasema vipi? TAMKO LA TRC Mkuu wa Kitengo cha Habari na Uhusiano TRC, Jamila Mbarouk alipoulizwa kuhusu suala hilo amesema: “Kwa sasa sijapata taarifa rasmi ya suala hilo, nalifanyia kazi kisha nitatoa taarifa...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anawekeza sana kwenye kilimo lakini "strategy" Wizara ya Kilimo ni sifuri

    Kiukweli wizara ya kilimo haina strategy yeyote inayoweza kukomboa kilimo chetu. Watu wengi unasikia kila mahali wakimsifu waziri bashe, ila ukiwauliza mnamsifu kwa lipi hasa alilolifanya? Hawana majibu. Mimi namshauri Bashe afanye yafuatayo: 1. Kwa soko la ndani Tanzania kwa sasa...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Ukistaajabu ya tozo, tazama wafanyabiashara tunavyoumizwa na serikali

    Huwa namshangaa sana kiongozi anayewashauri watu wajiajiri! Kujiajiri Tanzania inabidi kwanza ujitoe ufahamu kabla ya kupata faida! Ebu fikilia haya malipo ya serikali yalivyo hayana uhalisia! Unatafta wazo la biashara,mtaji na fursa lakini TRA hawanaga grace period kwa wafanyabiashara wadogo...
  10. JamiiForums Tanzania Matokeo ya Uhuru kuzidi sana ni matusi na jeuri

    Nawasalimu kwa jina la JMT Watanzania ni watu wa kulalamika Kila kitu. Hawana jema Wala shukrani kwa kweli. Ninasikitishwa sana na matusi, kejeli na majina ya hovyo hovyo anayopewa AMIRI JESHI MKUU, Rais na Mama yetu mpendwa SAMIA hasa hili jina la kipuuzi kabisa HETI mama tozo mara nchi yetu...
  11. JamiiForums Tanzania Matokeo ya Uhuru kuzidi sana ni ujeuri

    Nawasalimu kwa jina la JMT Watanzania ni watu wakulalamika Kila kitu. Hawana jema Wala shukrani kwa kweli. Ninasikitishwa sana na matusi, kejeli na majina ya hovyo hovyo anayopewa AMIRI JESHI MKUU, Rais na Mama yetu mpendwa SAMIA hasa hili jina la kipuuzi kabisa HETI mama TOZO mara nchi yetu...
  12. JamiiForums Tanzania Mpira wa bongo unachekesha sana. Cheki hii ya Singida BS na Mbeya City

    Magoli ya Singida yote ya mchongo. Penalty ya mchongo na offside ya wazi. Mpira wa kuchekesha sana.
  13. JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi, anahitajika minning engineer haraka sana.

    Taarifa ya ajira anatakiwa mining engineer haraka sana eneo la kazi ni sumbawanga. Mwenye sifa tuwasiliane bila kuchelewa uingie kazini.
  14. JamiiForums Tanzania Hii imekaaje, Mimi na kaka yangu hatuna ukaribu wa hata kujuliana hali lakini kwenye matatizo tunasaidiana sana kuliko marafiki tuliozoeana sana.

    nina kaka yangu alienizidi miaka 8, kiukweli hatujazoeana sana nadhani hii imesababishwa sana kwa yeye kunionea utotoni maana nimekula sana vipigo vyake, hii hali ilinifanya nimchukie na ikapelekea mpaka mawasiliano yetu kuharibika hadi sasa maisha ya ukubwani... nipo karibu na dada yangu. Yani...
  15. JamiiForums Tanzania Hiki kitu no muhimu sana kwa maisha ya binadam

    Kuna mwalimu wangu kipindi nikiwa primary alikuwa anatuonesha ualisia wa maisha ya binadam apa duniani kwa kusema kuwa katika vitu vya mhimu apa duniani inabidi uwe na hekima ktk madaraka ya namn yoyote,kwani madaraka yanapofusha na husipokuwa Makini unaweza husione mbele na ukawa na dharau kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Hii kazi ya kuwaongoza Watu wa Tanzania ni ngumu Sana hivyo Mama anaangushiwa Jumba bovu

    Ukiachana na watz 80/90% kutokuwa na Elimu ya uraia na hawajui Nini maana ya nchi . Bado asilimia chache ya watanzania waliobaki ni wabishi wajuaji waongo waongo, wezi nk Mfano swala la tozo za bank huwezi kuona watz wakiungana kupinga Jambo hili hadharani. Lakini walipomfungia Haji Manara...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Enyi Viongozi: Kwa kutushurutisha mnatukosea sana, waajiri wenu ni sisi

    Haisaidii kuacha kuwaambia bayana. Kwa Hakika mmejisahau mno. Kwamba mna agenda zisizokuwa na baraka zetu? Kwamba hata mna tozo mlizo asisi nyie, tusizoziafiki? Kwingine mbona si hivyo? Nyie hata mnatuasa kwamba kama vipi hata Burundi nayo ni nchi? Alisema Mwalimu: "Nchi siyo mashamba...
  18. JamiiForums Tanzania Ndoto inayojirudia sana

    Kama title inavyosema, nimekuwa nikiota niko shule na ni kipindi cha kumaliza. Kipindi cha mitihani. Sasa huwa najikuta sijasoma kabisa na mtihani ndio huo! Basi huwa naweweseka sana na kuwa na hofu. Wakati wengine wanajiandaa mi huwa sijui niko bize na nini. Mwisho wa siku huwa napata ahueni...
  19. JamiiForums Tanzania Mshahara unaongeza 8,000 halafu makato 9,000, una akili sana

  20. JamiiForums Tanzania Twende mbele turudi nyuma, wanawake waliteseka sana

    TWENDE MBELE TURUDI NYUMA, WANAWAKE WALITESEKA SANA Anaandika, Robert Heriel Licha ya kuwa Mimi ni mfuasi mzuri wa mfumo dume lakini nachukizwa na tabia ya utesaji, unyanyasaji na uzalilishaji wa Wanawake. Mfumo Dume ni Amani, haki, upendo na heshima Kwa dunia yetu. Acha Wanawake wafanye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…