sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. Kumbe freemasons ni watu poa sana!

    Miaka ya mwanzo wakati ukristo unaanza kulikuwa na vuguvugu la wayahudi na wakristo. Watu hawa walikuwa wakipinga kuwa kwenye dini zozote. Waliamini mtu anaweza kumuabudu Mungu bila kuwa kwenye dini. Watu hawa walianzia huko Alexandria Misri. Baada ya dola ya Roma kuanguka, kanisa Katoliki...
  2. Dar watu wana roho mbaya sana, nimeamua nikalale stendi kesho nirudi zangu mkoani

    Huyu jamaa ni ndugu yangu wa karibu kabisa. Yaani ni mjukuu wa shemeji yake na binamu wa mamaangu wa kambo. Ni siku ya tatu sasa tangu nifike hapa mjini, baada ya kuuza ng'ombe nikaona sio mbaya nikaosha kidogo macho na ning'arishe ngozi kwa maji ya mwambao. Sasa nilifikia kwa huyu ndugu yangu...
  3. F

    Ndoa ya kimila ni ndoa nzuri sana kwa wanaume wa kikristo matajiri zama hizi

    Habari wadau. Wanaume wengi wa kikristo wanalalamika tabia za wake zao huwa wanabadilika baada tu ya kufunga ndoa kanisani ama uzeeni kwa kiburi cha ndoa haivunjiki na pia migogoro ya mali ni mingi sana. Sheria ya ndoa ya Tanzania inatambua ndoa 3. Ambazo ni ndoa za kidini, ambazo ni ndoa ya...
  4. Dar: Tozo za Daraja la Nyerere Kigamboni zimeshuka

    Rais Samia Suluhu na Mbunge Faustine Ndugulile wamevunja kikwazo kigumu kabisa Cha maendeleo ya kigamboni. Sasa tozo zimeshuka na zitalipwa kwa siku badala Kila mtu anapovuka Hiki kilikuwa kikwazo kikubwa kwa maendeleo ya kigamboni. Kigamboni ikianza kujengwa itakuwa mji mzuri sana na...
  5. Kigamboni darajani badilisheni utaratibu, foleni kubwa sana inakera mno

    Maoni kwa wasimamizi daraja la kigamboni jioni na asubuhi foleni kubwa sana inakera mnooooo yaaani ukaaa zaidi ya nusu saa kukata tiketi sasa sijui why msijaribu kuangalia namna nzuri asubuhi na jioni ata mnaweza kukata tiketi ziwe tayali gari ikija unapewa unaenda sio mpk aanze kuingia kwenye...
  6. AK Operation Dudula, foreigners Out, wameanza kujitambua!

    Waafrika Kusini wameanza kujitambua, Operation Dudula inawataka wageni wote walioko illegally waondoke. AK wameanza kujitambua! Bango linasomeka“ wageni ni mzigo kwenye nchi yetu, wakwende“ !
  7. B

    A Level mwaka huu jiandaeni kwa matokeo ya kushangaza sana, yawezekana yakavunja rekodi. NECTA yarudi kwenye misingi yake

    Habari wanajukwaa, A Level mwaka huu jiandaeni kwa matokeo ya kushangaza sana, Kwanza, kuna uwezekano heshima ya matokeo ACSEE kurudi kama zamani zile kwa sababu wanafunzi mmekuwa mkifaulishwa kwa michongo sana na siasa nyingi hali ambayo mama haitaki, hivyo mjiandae kisaikolojia aliyesoma na...
  8. Tundu Lissu Chadema imegharimu sana maisha yako na kukupa hasara kubwa. Hawa sio watu wema

    Ulikuwa ni mwanasheria mzuri na mpaka sasa ni mwanasheria mzuri sana. Ulikuwa ukipigania haki za watanzania kwa weledi mkubwa sana. Kumbuka sakata la wananchi wa Bulyanhulu ulivyowasaidia kupigania haki zao. Hawa ni wananchi waliofukiwa na serikali ili kupisha muwekezaji aweke mgodi pale...
  9. Wapenda Kula Ndizi na Kulamba Ice Cream za 'Kibaiolojia' mkiwa na Suti zenu za Uumbwaji acheni kwani HIV 'Kajibanza' huko sana

    Sasa Wewe jifanye unajua sana ' Malavidavi ' na unataka kuonyesha Mbwenbwe zako Kitandani Ufe. Kwanza kwa Maisha haya Magumu nyie Mabwege mnaopenda sijui Kulamba Ice Cream na Kula Ndizi mkiwa ' Mnabanjuana ' mnaupata wapi huo muda? Pateni Nakala ya Gazeti la Nipashe la Leo ili mjue mengi zaidi...
  10. Ukweli mchungu: Mayele bado ana miss kitu kimoja kikubwa sana!! Ndicho kinacho fanya Kibu Dennis aonekane bora kuliko Mayele

    Mayele ana miss " Njaa" . N jaa ya kutaka kufun ga magoli mengi ndani ya mechi moja. Mayele akifunga goli moja kwenye mechi huwa anaridhika kabisa na huwa haonekani kama ana nia au lengo la kuongeza goli la pili kitu ambacho kinampunguzia credit ya kuwa...
  11. Swala ya Ijumaa ya jana Ilikuwa ya Kipekee Kabisa na Yenye Jambo kubwa Katika Mahusiano. Imenishangaza sana Tuna Mengi Hatujui.

    Sheikh.... Nakupa pongezi sana. Jana kama ulikuwa moyoni mwangu. Ulisisitiza sana tuwaombee wa kwetu katika mahusiano aka ndoa. Nlimwombea sana huyu sister wangu sister duu. Maana toka alivyotaka kusababisha nimwambe makofi kwa kutaka mnyima unyumba shemeji. Nlianza ona ana tatizo. Maana...
  12. Huenda Joanfaith John Kataraia is best DED of the history, anajituma sana huyu binti

    Nawasalimu kwa jina la JMT, Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni,Huyu Mkurugenzi deserves better tuache unafiki, Wakati Rais Samia Suluhu Hassan anamteua binti huyu mdogo mrembo minong'ono ilikuwa mingi hasa humu mitandaoni,nikiwamo na Mimi, Majuzi nilifanikiwa kufika Wilaya ya Malinyi...
  13. Wanawake Mabonge zaidi ya ubonge wenyewe hawavibe lolote. Sana sana ukubwa wa hekaya la hadith.i

    Vibonge ziii! Hawa vibonge kisa vibration na miujazo wanajibutua huko road ila wakiingia parking hawana vibe Lolote. Namliza mtu weekend hii anakula mlenda hadi kero uvinza kajaa uji kila dakika chumvini huwezi kuzama na ukaibuka. Tuwe makini wala mlenda wana makusudi. Naendelea...
  14. Sina amani Sana kila niwapo nje ya nyumban Kwangu:Panya road wananinyima Raha sana.

    Somo hapo juu linasoma. Mimi ni Mzee na Nina familia ni kawaida kuchelewa kwangu, lakini pamoja na kui asa familia iwahi mapishi na kwa kuwa nafanya shopping ya two wiki, na maji choo na kila kitu ndani bado napata mashaka sana na hivi vishenzi a.k.a panyaroad. Kwa kawaida nchi haipaswi...
  15. Profesa Assad aliumia sana kuvuliwa u-CAG. Mpaka leo namwona bado ana chuki kubwa sana. Tatizo ni nini?

    Hata afya yake imezorota sana anaoenakana kuwa na maumivu makubwa. Huyu Assad ni msomi mzuri tu na anaweza pata kazi sehemu mbalimbali ila shida nadhani ni mihemko, jazba na chuki vinamfanya aumie. Anapaswa akubali tu kuwa ilikuwa ni wakati wake kupisha wengine asibebe uchungu wa kuona...
  16. Rais Samia ni mtu makini sana

    Kwanza kabisa ni declare my interest, nimekuwa muumini sana na siasa za Mh, Jakaya Kikwete pamoja Ally Hassan Mwinyi. Twende kwenye point yangu ya msingi, huyu mama ana siasa za kiustaarabu sana kama alivyopitia mzee wetu Jakaya Mrisho ni watu wanaoangalia misingi ya binadamu sana. Mfano Leo...
  17. Kwenye nyumba za kupanga mabinti wengi hutumika sana

    Katika nyumba za kupanga nimejionea mambo kadhaa ambayo yamenipa mshangao. Wadada wengi hujikuta wanaliwa na wanaume wengi kadri wanavyo hama hama nyumba. Hata mabinti wadogo nao ni wahanga wa hili. Nilipo panga kuna binti mdogo mdogo ila anapenda kupewa zawadi sana sana. Naona karibia vijana...
  18. Jamaa yangu ameomba mchango wa kufanya birthday party

    Imajini watu tunagongea hadi vocha za simu halafu kuna bwege mmoja anafanya kazi na kujiita mwanasheria halafu anatuma msg anataka mchango wa birthday yake mwezi ujao. Huyu jamaa ni hasara taslimu. Yaani kuzaliwa kwake yeye iwe kero kwa wengine? Na mimi toka azaliwe sijaona faida yake kwangu...
  19. Kufanana na Mdingi namna hii, poa sana !

    Beautiful!
  20. K

    Hivi mkeo wa ndoa anapokublock kwenye simu anakua na maana gani?

    Kwema waheshimiwa? Hivi mkeo wa ndoa mnaeishi nae nyumba moja na kulala same bed anapokublock kwenye normal calls or WhatsApp, anakua na maana gani? NB;Hii kesi ni ya jamaa yangu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…