sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wanaume tumekuwa Madini Ghali sana. Tumeanza kugombaniwa na Mademu. Natunza tu Nguvu zangu...Nitawala....

    Nikitizama huku naona mashoga wanaongezeka.... Nikigeuka kule wasio na nguvu za kiume nao wanaongezeka.... Naamka napiga pushups.. Nikicheck tena kwa mbali kule wacheza pool au wazee wakujichukulia sheria mkononi wanaongezeka....natabasamu.. Yaani unakuta kakijana kanalamba lamba lips tu kama...
  2. JamiiForums Tanzania Magauni ni nguo ya kike ina heshima sana. Turejee utamaduni wetu

    Jamani turejee. Kama utafatilia Sana hata queen family wanavaa magauni. Tuachane na vijinz.
  3. JamiiForums Tanzania Karibu sana Yanga SC Diamond platnumz

  4. JamiiForums Tanzania Viongozi wa mkoa wenye roho mbaya sana

    Watu kama Makala na Gondwe ambao hawajajiajiri maishani mwao miaka yote wanaishi kwa jasho la walipa kodi hawawezi kujua ugumu wa kusimamisha biashara kutoka mchangani. Dada wa watu katega eneo zuri ambalo mmempa wenyewe, ameweka hela yake, ameitumia nguvu ku-brand biashara leo imekuwa imara...
  5. JamiiForums Tanzania Ommy Dimpoz unatuangusha sana wanaume wenzio

    Ommy unatuangusha
  6. K

    JamiiForums Tanzania Masikitiko: Utamaduni wa wizi na kukosa uaminifu kunazuia maendeleo yetu sana!

    Mimi ni dispora lakini matatizo yangu ni matatizo ya wengi hata kaka yangu ambaye yuko Tanzania anapata matatizo hayo hayo. Naomba niweke utangulizi kwamba nayoyasema hapa sio kwa 100% ya Watanzania lakini ni utamaduni ambao unaturudisha nyuma Najua kama jamii tuna mikasa mingi sana na mimi...
  7. JamiiForums Tanzania Mtanzania Tarimo Nemes Raymond, afariki akiwapigania Wagner wa Urusi, kule Ukraine

    Jameni Urusi watatumalizia vijana wa Afrika walioko huko, wameishiwa wanajeshi sasa wanalazimisha watu kwenda kupigana na kufia huko... Ukraine wanafyeka hawajali nani wala nani. Federal news agency The funeral of Tarimo Nemes Raymond, a citizen of Tanzania, who fought near Bakhmut as part of...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini wafuasi wa Hayati Magufuli mnaombea mabaya nchi hii? Tuwatangaze maadui wa Taifa?

    Kwa utafiti wangu mtandaoni na mtaani nimegundua kuna kundi hili linaiombea sana hii nchi ipate mkwamo ili wafurahie. Nitatoa mifano 5 1. kulipokuwa na ukame uliosababisha mgao wa umeme na mgao wa maji, watu hawa walikuwa wakifurahia sana, walipata sababu ya kuanzisha nyuzi kila dakika hapa JF...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA wanawatukana sana watu wa kanda ya ziwa na kuwaita Sukuma gang?

    Dunia inaenda kwa haraka sana. Na mambo yaenda kwa kasi sana. Tangu mwaka 2019 CHADEMA imekuwa na msemo wa kuwaita watu wa kanda ya ziwa sukuma gang. Nimekuwa na jiuliza kwa muda mrefu sana ni nini sababu ya hawa watu kuwaita watanzania wenzao majina yenye kuashiria kutugawa watanzania? Mpaka...
  10. U

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kapuya Sekondari ipunguze viboko hali ni mbaya

    Wizara iangalie upya mtindo wa viboko mashuleni, waalimu wamekuwa wanapiga viboko mashuleni mpaka basi. Kuna shule moja ipo Kaliua inaitwa Kapuya Sekondari, ina piga viboko balaaa. Mwanangu jana kaja kapigwa viboko 48 yuko hoi tena ni form one, anajengewa mazingira ya hofu ili aache shule...
  11. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Walimu wa sekondari waliokuwa wakali sana kiasi cha kuwa maarufu hadi shule nyingine

    Nimeandika huu uzi baada ya kuwakumbuka waalimu wangu hasa wale wakuu wa miaka ya 90 mwishoni na 2000 mwanzoni waliokuwa wakali sana wasiotaka masikhara kiasi cha kuweza kujulikana hadi mkoa mzima na kanda. Wafuatao walivuma sana kanda ya kaskazini; 1. Mwalimu Kibatala - Shule ya sekondari...
  12. JamiiForums Tanzania Nimesali sana, nimeroga na nimejiendeleza kitaaluma lakini mwaka wa tatu sina ajira. Je, nimebakiza nini?

    Wakuu maisha ni safari ndefu na kuna mapito ila usiombe yakukute. Hapa nilipo nimefanya kila kitu kwa kutumia akili yangu na ujanja kama mwanadamu lakini mpaka leo sina ajira. Nilipopoteza kazi yangu wakati wa covid 2020 sikuwa najua kama nitafika 2023 sina ajira na nitafirisika. Nilikuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Hongera sana mchungaji Dkt. Kimaro kwa kufahamu ukweli

    Nampongeza mchungaji kwa kuujua na kuufahamu ukweli yote aliyoyasema ni kweli, vijana wa kikristo sio waaminifu hata kidogo kiufupi ni wezi na sio waastaarabu. Mimi kama mkristo wa Lutheran naomba mchungaji Kimaro arudishwe kazini maana amezungumza ukweli kabisa vijana wa kikristo wengi wao ni...
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini mikoa hii minne (4) hutajwa sana katika matangazo mbalimbali ya biashara kwenye redio na runinga?

    1. Dar es Salaam 2. Arusha 3. Mwanza 4. Mbeya Kama Tanzania nzima ina jumla ya Mikoa 31 kama sijakosea baada ya mingine kuongezeka ikiwemo yangu ya asili ya Mara (Musoma) na Mtwara (Masasi) ni kwani nii hii Minne (4) tu tajwa hapa ndiyo hutajwa mara kwa mara? Ila ninachofurahi hata mikoa ya...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Tabora: Ahukumiwa kifungo cha maisha baada ya kupatikana na hatia ya ulawiti

    MAHAKAMA ya Wilaya ya Tabora imemuhukumu mkazi wa Kidatu “B” kata ya Mtendeni Mkoani Tabora Husseni Mashibu (32) kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hati ya kumlawiti mtu mzima hadharani huku watu wakishuhudia kwa kumtuhumu kuwa ana mahusiano na mke wake. Akitoa hukumu hiyo leo...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia sisi Watanzania tunakupenda sana

    Great Thinkers, Rais Dkt Samia tangu aapishwe tumeshuhudia uendelevu wa amani, muendelezo wa hatua za kiuchumi, kisiasa, na kiutawala ambazo ziliachwa na Dkt Magufuli. Rais Dkt Samia ni mzalendo, mchapa kazi na muumini wa maendeleo ya dhati kwa watanzania. Rais Dkt Samia ameendelea kupanga...
  17. JamiiForums Tanzania Nikikumbuka enzi zile ndege ilinunuliwa moja halafu nchi nzima inahamia uwanjani kuilaki na kuiombea, nacheka sana

    Kwa kweli nchi hii imepita ujima sima katika miaka miatano iliyopita nadhani hata nchi za Afrika walikuwa wanatuona hamnazo kabisa. Hebe we fikiria kidenge kimoja kinanuliwa tena mtumba halafu nchi nzima na mbaya zaidi hata viongozi wa dini wanapenda kuishagaa. Jamani, hivi huyu mtu angekuwa...
  18. JamiiForums Tanzania UCHUNGUZI BINAFSI: Mitandao ya Simu inadai wateja wao wengi sana Januari hii

    Salam za Jumatatu. Iwe Voda, Tigo, Airtel nk, kuna madeni ya kukopa iwe songesha, nk. Kwa bahati njema wateja waaminifu hukopeshwa fedha nyingi sana. Kwa kuwa kimsingi chip ya mteja ndio ya biashara zake Hana budi kulipa deni. Na Kwa kweli hakuna namna. Mwezi Januari ni wa malipo mengi, hata...
  19. JamiiForums Tanzania Nyerere alikosea sana alipokumbatia wahindi/warabu na kuwafukuza wazungu

    Kipindi Cha azimio la Arusha wazungu wengi walifukuzwa Ila Cha ajabu wakabaki wahindi Leo hii wahindi na wakifuatiwa na warabu ndo wamekamata biashara kubwa na Wana ukwasi Mkubwa Maajabu ya mhindi/mwarabu hata nyumba ajengi Yuko tayari kuishi kwenye nyumba za NHC au kupanga kule kariakoo au...
  20. JamiiForums Tanzania Tunamshukuru sana Mungu Dar es Salaam haipo Kanda ya Kaskazini au kanda ya ziwa

    Tunamshukuru sana mungu mzizima haipo kanda ya kaskazini au kanda ya ziwa kwa hakika kama ingekuwa katika kanda hizo bila shaka wananchi wa mikoa mingine wasingeweza hata kukaribia au kunusa tu ila mungu kwa ufundi na busara hatimaye Dare Ssalaam ipo hapo ilipo. Wenyeji wa mzizima kwa hakika si...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…