sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. Hii tabia ya viongozi kujifanya special kwenye matukio ya kijamii inanikwaza sana

    Kuna kitu nimekuwa nikikitafakari kwa muda mrefu, nikahisi yawezekana ni mimi tu fikra zangu ndiyo mbovu au za kizamani, lakini baada ya kumsikia Jaji Warioba akizungumzia suala hilo, nami nimepata nguvu kuamini kuwa ninachowaza kuwa ni tatizo basi inawezekana ni tatizo kweli Zamani nakumbuka...
  2. L

    Rais Samia ni msikivu sana kwa Watanzania ndio maana anaendelea kupendwa na kukubalika kwake na Wananchi

    Ndugu Zangu huo ndio uhalisia wa mambo Wenyewe, Ukiona Namna Nchi ilivyo Tulia kwa Sasa na namna mh Rais Samia anavyoungwa mkono na Watanzania wa vyama vyote, Tambua ya kuwa ni sababu ya Tabia ya Rais Samia kuwa msikivu na kumsikiliza kila mtu mwenye dukuduku au kero au mawazo mbadala au...
  3. Tajiri mwingine wa Urusi afa kifo cha kutatanisha, wanauawa sana hawa

    Anayewaua matajiri wa Urusi hususan walio na ukaribu na Putin sijaelewa anawaua kwa nia ipi au ili iweje.... An aviation expert has become the latest Russian official to fall to his death in mysterious circumstances. Anatoly Gerashchenko, the former head of Moscow’s Aviation Institute (MAI)...
  4. Wakati Jenerali Ulimwengu akiwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Wilaya ilikuwa chafu sana, dampo Kila mahali, barabara mbovu na uhalifu mwingi

    Nakumbuka wakati Jenerali akiwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Wilaya hii iliongoza kwa uchafu Tanzania nzima, malundo ya taka, madampo, barabara chafu, zenye mashimo, usimamizi wa hovyo kabisa wa shughuli za umma na ufisadi ulitamalaki. Katika utawala wake, hakuna mradi wowote wa maendeleo...
  5. Ikitokea ukamsikia Mussa Azzan Zungu,Mwigulu Nchemba na Tarimba Abbas. Unamwona kabisa Shetani anavyokuwazia mabaya....kuanzia hapa hapa Duniani.

    Huyu Mbunge na naibu Spika....Ni zao la akili mfu zinazojipendekeza sana Serikalini huku zikiumiza raia wake. Huyu bwana na Tarimba huwa mara nyingi ukiwasikiliza unawaza tulimkosea nini Mungu? Adhabu ambayo tunaipata kwa hawa watu au wa aina hii ni kubwa. Hapo bado hujamsikiliza dr...
  6. Nimeachana naye, najisikia faraja sana

    Huyu mwanadamu ni nyoka. Alinipendaga sana. Tukatoka sana tulibary Sana na kula bata na kudingana, mwenzie mie nikizama na yeye alioza. Wkt yeye akielezea Siri za ndani za Mr wake nikamuon hee huyu vipi ....? Mumewe ni ugonjwa na hali ya uchumi ya familia na kwakweli sikupendezewa na tabia...
  7. Wife akinikuta nasikiliza nyimbo zifuatazo huwa ananichukia sana, tatizo nini wadau?

    1. Wimbo wa Mbaraka Mwishehe- ntamtuma mshenga, akinikuta nasikiliza huu wimbo huwa ananichukia Sana Tena huwa hataki hata kuniongelesha, yaani siku hiyo nitaishi kwa shida sana 2. Mpenzi Luta by Mutombo, pia na yenyewe anachukia, Wajuzi wa Mambo naomba ufafanuzi juu ya Hili niwe na amani na...
  8. Ni takwimu za kutisha sana katika Mahusiano/Ndoa. Kuna jambo tunapaswa kujifunza tupende tusipende ama sivyo tutaangamia

    Takwimu zinaonesha Wakala wa usajili, ufilisi na udhamini (RITA), kwa mwaka unapokea maombi ya talaka yasiyopungua 500+ Tanzania nzima. Kilichonishangaza ni kwamba asilimia 78% ya Ndoa zinazovunjika ni wanawake ndio wanaoomba talaka na kupeleka maombi hayo. Kilichonishangaza na Kunimaliza...
  9. C

    Niliwahi kumwambia Hayati Dkt. Magufuli, nakwambia na wewe Rais Samia; Watanzania ni masikini sana!

    Habari Watanzania wenzangu, Kuna jambo ambalo naamini viongozi wetu huwa wanalipuuza wakifika kwenye viti hivyo. Japo Tanzania ina utajiri mwingi sana, lakini Watanzania asilimia kubwa ni fukara sana. Hii ni kuanzia kwa Mawaziri, Makatibu wakuu, viongozi wa Taasisi mbalimbali, Majaji, Bunge...
  10. N

    Mamlaka za juu zimeamuru takadini afunguliwe na TFF, cheo cha u-afisa habari hichoooo, pole sana Karia

    Naam Takadini alicheza kama pele kuchelewesha mchakato wa kumpata afisa habari wakati huohuo mamlaka za juu zikifanya kazi yake kuamuru afunguliwe haraka sana. Sasa ni wazi Sope takadini ndiye anaenda kuwa afisa habari wa yanga kwani vile vigezo vilivyoanishwa na team hiyo anavyo vyote tena...
  11. Kwanini viwango vya kubadilisha fedha vya nchi za Afrika Mashariki viko juu sana?

    Wachambuzi wa masuala ya Uchumi wamesema viwango vya juu vya ada za kubadilisha fedha wakati wa malipo ya miamala ya kuvuka mipaka inaathiri sana biashara ya kikanda. Kutokuwepo kwa sarafu moja ya Jumuiya ya Nchi 7 za Afrika Mashariki na kushindwa kuoanisha mfumo wa malipo ni miongoni mwa mambo...
  12. Natamani Sana mwanamke anishike hivi

  13. GSM na Yanga SC huu Uhuni ipo Siku utawagharimu na mtalaanika vibaya sana

    Kama kawaida yenu kila mkiona kuwa katika Timu fulani kuna Changamoto ambayo itawafanya mkicheza nao msishinde huwa mnatumia Nguvu ya Pesa na Fitina kwa msiyemtaka. GSM na Yanga SC kwa kujua kuwa mnakaribia kucheza na Ihefu FC na mnaogopa kuwa Kocha Zubery Katwila ( mwana Simba SC) anaweza...
  14. Nafurahi sana demu akinikataa

    Habari wakuu... Nimetimiza miaka 9 sasa bila mahusiano na demu.. nimekua napenda kupgwa vibuti, yaan demu asiponikataa cfeel good tena natamani anitemee na shit ndio moyo wang unasuzika. mademu wanashangaa wakinikubalia siwatafuti tena.. kijana wenu nimeona nije kuomba ushauri maana sijui kama...
  15. Kwanini hadi leo Filbert Bayi anatajwa na kuheshimika sana kwenye riadha? Soma hapa

    Binafsi nimekuwa nikimfahamu Mzee Bayi toka nikiwa mdogo ila sikuweza kujua kiundani kwamba kwanini hadi leo dunia inamheshimu mno kwenye riadha wakati wapo wanariadha wengi wa enzi zake waliofanya vizuri na hatuwakumbuki. Serikali yetu inabidi ibadilishe mitaala ili historia za mashujaa wetu...
  16. Bujibuji usijaribu kununua vita isiyokuhusu, utapata shida sana kushinda.

    Bro huu ni ujumbe kwako, malaika wa mtu ni mtu. Malaika walisha acha kushuka zama za bikira Maria, Yesu alipoacha msaidizi, wasaidizi ni sisi wenyewe binadamu. Nimeona kuna uzi mmoja umesema unataka kumvusha mtu mmoja, Broo, ngoja nikupe darasa ambalo hulijui. Umaskini ni laana, laana hii...
  17. Trump; karata aliyoicheza putini kwa weledi mwishowe akalamba joka

    Akuna asiyejua Trump na Putin ni maswaiba walioshibana na iliaminika Russia walihusika katika kuhakikisha Trump anaingia white House, na hata uvamizi wa Russia kwa Ukraine Trump alihojiwa akadai mbona Putin yupo sahihi. US na vyombo vyake vya usalama walichelewa japokua siyo sana kuugundua...
  18. D

    TARURA na TANROADS yale matuta pale kigamboni mnadani yanaumiza sana! Tunaomba yaboreshwe au muweke moja kubwa

    Kwa nia njema! Tarula/ Tanroad mmeweka matuta ili kupunguza speed! Lakini aina ya matuta mliyotumia ni mabaya sana na yanaharibu vyombo vya moto! Pia mbali na kuharibu vyombo vya moto yanatikisa mwili hadi ubongo! Sasa kwa vile njia hiyo pia inaelekea hospital! Ikipitisha wagonjwa na wenye...
  19. Kwanini 99% ya Watu waliopata Elimu ya Shule, Taasisi na Chuo ya 'Wakatoliki' huwa ni Werevu ( Intelligent ) sana?

    Je, Wakatoliki kupitia Kanisa lao Tukuka ( ambalo GENTAMYCINE ni Muumini Wao Mtiifu ) la Katoliki wana Mtambo Maalum wa Kuutajirisha Ubongo wa Mtu anayesoma Kwao kuwa na IQ Kubwa na Maarifa mengi kuliko wengine waliopita huko Kwingineko? Nitakuwa ni Mchoyo wa Fadhila na hata Shukran tu...
  20. Asanteni sana Bunge la Umoja wa Ulaya (EU) , Tunaenda kujua Umuhim wa Hayati Magufuli !!

    In my humble Opinion , without being sentimental , without hiding anything in my thoughts, to the actual truth with my open mind and clean Heart , by gathering all the courages , Ninawapongeza Bunge la Umoja wa Ulaya ,Asanteni sana sana ndugu zangu wadhungu , Ahsanteni , mmejua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…