Nafurahi sana demu akinikataa

Nafurahi sana demu akinikataa

Little brain

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2020
Posts
4,395
Reaction score
6,556
Habari wakuu...
Nimetimiza miaka 9 sasa bila mahusiano na demu..
nimekua napenda kupgwa vibuti, yaan demu asiponikataa cfeel good tena natamani anitemee na shit ndio moyo wang unasuzika.
mademu wanashangaa wakinikubalia siwatafuti tena..
kijana wenu nimeona nije kuomba ushauri maana sijui kama niko sawa kisaikolojia japo kuna marafiki wangu wa dar wananshaur niende kwa mwamposa.
 
hiyo ni kukataliwa fetish iliyosababishwa na trauma... tafuta chanzo ulikosea wapi
 
Dah.....Jogoo na mtungi vinahusika....si bure.....🤣🤣🤣🤣
 
Hapana kuna mademu wananikubali sana.
namimi nikiona wananinyemelea nakula kona naenjoy kuona watakavyokuwa wanapata maumivu kwa ajil yangu
una kiba 💯 au... simba hakataagi nyama atakama kashiba atazikusanya aziweke tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom