sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Chid Benz kama Case study: Wasanii wanamichezo wanarogwa sana

    Aliwahi kusema Ndugu. Haruna Rashid Juma Kahena almaaruf kama Inspekta Haroun kwenye wimbo Ngangari kwamba " KULONDA KAZI YA MUZIKI UGANGAMALE" ambayo ni maneno ya kizaramo yanayo maanisha " KUTAKA KAZI YA MUZIKI UGANGAMALE" ( KIZARAMO : Kulonda = kutaka). Hapo Inspekta alikuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Mabinti wazuri sana, warembo na wenye maumbo mapana ya kuvutia ni rahisi sana kuwapata unapowatongoza

    Ibaki kuwa hivyo. Previous nilikuwa natongoza mabinti wabovu wabovu nikiamini kuwa wataona ni bahati kutongozwa, hivyo nitawapata kirahisi sana na hata mbususu nitakuwa napewa kwa kubembelezwa. Hali haikuwa kama nilivyodhani, badala yake nilipigwa vibuti vikali sana. Kati ya wanawake 10...
  3. JamiiForums Tanzania The Guardian (UK)- UAE owns 8% of Tanzania’s forest

    Inaitwa new scramble for Afrika, shehe wa UAE ana own 8% of our forest na siyo kwetu tu na kwingine labda inaeleza safari nyingi za UAE kila mara kulingana na hiyo habari kutoka kwenye renowned newspaper hakuna faida yoyote tutaipata Shehe wa dubai atavuna mabilioni someni wenyewe … The new...
  4. JamiiForums Tanzania Wananchi wa tanzania wanampenda na kumuamini sana Rais samia, mataifa duniani yanamkubali mno

    Kwa upendo wa wazi na wa dhati walionao wa Tanzania dhidi ya kiongozi huyu mkuu wa nchi, wanatamani aiongoze Tanzania bila ukomo, lakini ndio hivyo tena anaheshimu na kuitii katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, dhidi ya utaratibu ukomo wa uongozi. Na kwahivyo baada ya ngwe zake kwisha...
  5. JamiiForums Tanzania Haya Mambo mawili yatakusaidia sana ukiyazingatia ikiwa unamuamini Mungu

    1: Thubutu mambo makubwa kuliko uwezo wako. Tofauti yako na wasiomuamini Mungu wewe unafaida ya zaida ta kupewa uwezo ulio nje yako (Nguvu za roho mtakatifu). Hivyo ni dhambi kuwa na fikra mgando, finyu na zembe. Fikiria makubwa, thubutu makubwa. 2: Anza kidogo kwa mtazamo mkubwa. Hata kama...
  6. JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya, TACAIDS na NACP wakija kupima Watu UKIMWI Kawe wakitukuta 90% hatujaathirika nao nakata Rufaa upesi sana

    GENTAMYCINE nichukue nafasi hii Kumpongeza Mwaposa na Waumini wake wasio na sehemu za Kukaa ( huku wakiwa Wanakoga, Wanakunywa na Wanajamba ) hovyo Viwanja vya Tanganyika Packers Kawe na Waumini hao wa Kike Mabinti, Wamama na hata Wabibi wakiwa tayari Kulalwa ( kutoa Ngono ) kwa kuanzia Shilingi...
  7. JamiiForums Tanzania Naogopwa sana kazini, hata bosi wangu ananiogopa

    Hello! Kipindi naanza kazi kazini watu walisimama kupiga madili kwa kipindi cha mwaka mmoja hivi wakiusoma mchezo. Nilijua baadaye sana kuwa kulikuwa na madili yalikuwa yakifanyika lakini walisitisha wakihofia kuwa Mimi nimekuja kuwazoom. Kumbe Mimi nimeletwa na njaa zangu tu. Baadaye Mzee...
  8. JamiiForums Tanzania China life tight sana

    https://youtu.be/veuB84axpCc?si=ZnVWZA9ORNMe8NjB
  9. JamiiForums Tanzania Ni aibu kubwa mwanafunzi awe na first class GPA chuoni abaki mtaani, hawa watu wabakizwe vyuoni, mtaani bila mitaji wanateseka sana

    Imagine mtu ana gpa ya 4.5 hadi 4.9 sijawai ona 5.0) , anamaliza chuo anarudi kitaa na kwao hawapo njema kiuchumi hawezi pata mtaji kirahisi, umaarufu wa kupata gpa nzuri unageuka kumuaibisha. Na mara nyingi aina hii ya watu ni wale tuliokuwa tunawaita kina john kisomo, Sehemu wanayoiwezea...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini mke mdogo anaogopeka sana na wanawake wengine?

    Hapo vip!! Katika uchunguzi wangu nimegundua mke mdogo katika familia ananguvu sana na anaogopeka sana na wanawake wengine pamoja na watoto wao. Na kama mwanamke wako anakusumbua na hakuheshimu dawa yake jaribu kumuongezea mwezake hapo utakuwa umempiga zaidi ya kumpiga makofi mara ngumi na...
  11. JamiiForums Tanzania Messi Vs Haaland; Ungempa nani kura yako ya Ballon D’or

    Hizi ni takwimu za Lionel Messi na Haaland kwa msimu uliopita ambapo mmoja wao ataibuka mshindi wa tuzo za Ballon D’or hapo October 30 mwaka huu. Ungekuwa unapiga kura, kwa takwimu hizo hapo juu ungempa nani kura yako?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hivi watu wanapataje Uprofesa? Ndiyo maana Musukuma anawadharau sana

    Hivi Profesa mzima unasema eti kati ya watu 100 ni wat 5 tu wanaoajiriwa na serikali. Haya yalipaswa kuongewa kweli na profesa mwenye kujua kufanya utafiti japo tafiti zetu ni ungo? Sasa kama unaweza kudeclare hivyo kwanini mnawakamata machanguduo wakati mnadeclare kuwa serikali imeelemewa...
  13. JamiiForums Tanzania Mapenzi ni kitu cha ajabu sana

    Bila shaka ni wazima mpaka mnasoma hapa. Hiki kitu aisee ni cha ajabu ni kama kinajicontrol chenyewe kwa namna fulani ya ajabu sana. Kipindi ambacho unahitaji mwenza wa kuanza naye safari ya maisha, hupati hata ile ng'o. Lakini kipindi unatongoza hovyo wengi wanajirahisisha, wife material...
  14. JamiiForums Tanzania Napitia maumivu makali sana ya moyo

    Napitia Mamiuvu makali sana kwenye moyo, akili na roho Nisiseme mengi. Tuko kwenye mahusiano ya kimapenzi, japo si ya wazi. Imebaki kuwa siri yangu mimi na yeye. Yuko na room yake (ni single mother), nami niko na room yangu (bachelor, muandamizi kikosi no 666, batch ya kataa ndoa). Huwa...
  15. JamiiForums Tanzania Huyu Mwarabu popote alipo, aagize soda nitalipa, kawasuta sana waarabu na dini yao

    Kaeleza kama ilivyo tena bila chenga, muda umefika waarabu wajiulize maswali mengi sana. Kuna video yake hapa chini. ila kiukweli bado wamepofushwa na maupuzi ya karne za kitambo. Nafikiri wakibadilika na hata waliodandia hiyo dini yao nao watabadilika, ila wakiendelea kujifanya misukule...
  16. JamiiForums Tanzania Nimeumia sana baada ya kumuona huyu kiongozi katika hali hii!

  17. JamiiForums Tanzania Afrika ni uthibitisho kwamba Maendeleo yanategemea akili kuzidi uchawi, pamoja na ndumba zote hizi bado tupo nyuma sana

    Hasa kwa nchi zilizopo chini ya jangwa la sahara tulikojaa waafrika wenye skin tone nyeusi. Tena kuna makabila makubwa karibu kila familia ina mganga wake, hata hapa kwetu Tz lipo. Mambo mengi tunaamini ushirikina ndio suluhisho, mtu akiumwa anahisi karogwa, kwenye biashara mtu anaweka mikaa...
  18. JamiiForums Tanzania Makato ya Mshahara kwa Daktari mpya Serikalini, bado tuna safari ndefu sana

    Kwa makadirio, mshahara wa daktari Serikalini basic ni 1,480,000 HESLB wanakata 222,000 74000 ya PSSSF kodi ni 290,580 bima ya afya 44,400 Unabaki na 849,020 Toa kodi ya nyumba, bill ya maji, umeme, usafiri na chakula halafu niambie unabaki na sh ngapi?
  19. JamiiForums Tanzania Hongera sana Mkuu wa shule ya Sekondari Nyiendo wilayani Bunda ila hebu tupia jicho ila hili limetia doa

    Awali wakati tunaanza kulalamikia mambo kadhaa kadhaa hapo shuleni, baadhi waliamini ni chuki binafsi, vita ya kugombania madaraka, watu kukosa fursa, n.k. Lengo letu halikuwa baya. Kwa wafuatiliaji wa mitandao, tumefanya haya kukosoa na kupongeza taasisi mbalimbali nchini, mfano St. Mathew...
  20. JamiiForums Tanzania Ukimya na Usiri wangu unanifanya nionekane Usalama wa Taifa

    Iko hivi 1. Mimi sinywi pombe, sigara wala siendi club hivyo sina sababu ya kwenda sehemu za starehe kama bar. 2. Sina ushabiki wa mpira, hivyo sina sababu ya kujichanganya kwenye stori za mpira au mabanda ya mpira. 3. Sina account ya mitando ya kijamii kama instagram, Facebook au Twitter, nk...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…