sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. Oscar Lyrics

    JamiiForums Tanzania Inakera sana pale unapopanga kukutana na demu wako kwa ajili ya kuburudika lakini mwenzio anakuja na kijiji

    Wanawake wenye tabia hii huwa mnafikiria nini? Nimekaa sehemu nakusubiri kipenzi changu unakuja na watu zaidi ya wanne unatagemea nini? eti mashosti. Mtakula na kunywa mwaisho wa siku najifanya naongea na simu napita mlango wa nyuma na simu nazima, Badilikeni.
  2. Webabu

    JamiiForums Tanzania Mbowe amekuwa kimya sana tangu siku ile.Jee ni mzima au amekubali

    Kwa kweli sijamsikia tena mwenyekiti wa CHADEMA kutoa tamko au ufafanuzi wa ajenda yake. Najiuliza jee ni mzima au amekubali alihemkwa tu Au amekiri kimya kimya hakuna atakayetoka pamoja naye siku hiyo
  3. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Simba hata mil 5 ya mama mmeikosa aibu sana

    Kilichosononesha wachezaji sio drw n kukosa mil 5 ya goli la mama Hii kwao ilikuwa kama mateso makubwa na kingine kila anaefika mbele anataka kushinda yeye utasema mil 5 anapewa mchezaji Msipojirekebisha mtaaibika kwa mkapa mazimaaaa Tykutanee Amaan stadium
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania ANGALIZO muhimu sana kwa Uongozi wa Simba SC na Mashabiki wote wa Simba SC kutoka kwa mwenye Simba SC yangu GENTAMYCINE

    Baada ya Jana Timu yetu Kujitahidi na kutoa Sare ya Suluhu (siyo Samia) na Wachezaji wetu kufanyiwa Fujo pale Uwanjani (nchini Libya) nina uhakika wa 100% ili Kuingiza Timu yetu matatizoni (kama sehemu ya Kulipiza Kisasi) kuna Timu moja yenye Utoto, Roho Mbaya, Ushamba, Chuki iliyopitiliza dhidi...
  5. amshapopo

    JamiiForums Tanzania Kibongo Bongo wafanyakazi hawazijui Sheria za kazi. Wananyanyasika sana bila kujua haki na wajibu wao

    Habari, Ni ukweli usiopingika kwa ajira hizi tunazofanya bila kujua haki na wajibu wako ni kazi sana kutoboa. Wafanyakazi walio wengi hawajui haki na wajibu wao katika kazi wanazo zifanya. Mfano Sheria ya Kazi inasema mfanyakazi anatakiwa kufanya kazi masaa nane, yanayozidi baada ya hapo...
  6. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kuna Upigaji mkubwa sana kwenye Miradi ya Ujenzi hasa Barabara

    Katika fuatilia zangu, nimegundua kuwa kuna upigaji mkubwa sana kwenye miradi ya ujenzi hasa majengo mbalimbali na barabara nchini Tanzania. Kiukweli barabara nyingi nchini zinajengwa chini ya kiwango, kuanzia upana , hadi ubora wa barabara husika na kamwe huoni wakandarasi wakichukuliwa hatua...
  7. The Boss

    JamiiForums Tanzania Wabongo celebrity kujazana kwenye page za watu maarufu duniani ni aibu sana

    Yaani unaingia page ya mtu maarufu dunia nzima unakutana na comments za wabongo ambao na wao maarufu hapa bongo zinatia aibu. Ni kama wanalazimisha umaarufu sehemu ambako sio sahihi. Ukiingia page ya Fabrizio unakutana na wachambuzi wa kibongo nao wanaleta ujuaji huko na kingereza cha kuunga...
  8. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu weusi ni vigumu sana kuwa Top 10 ya matajiri na kujenga utajiri wa vizazi (generational wealth)?

    Wengi huwa wanapenda kuwaita mabilioniea lakini kiuhulasia bilionea Tanzania mpaka sasa ni mmoja tu Mo Dewji, wengine wote pia wanaotajwa tajwa sana katika hiyo list ya matajiri kumi 10 Tanzania ni Watanzania wenye asili ya waarabu au Wahindi, labda Bakheresa anaweza kuwa na asili ya blacks ila...
  9. Introvert Music

    JamiiForums Tanzania Masikini wanachuki sana na mimi tajiri

    Katika hii dunia watu wenye chuki na Matajiri ni masikini mafukara yaani masikini anatamani kuniona Mimi tajiri nikianguka Sasa nataka niwaambie nyie mafukara Mimi sitoanguka milele tena siwataki pm maana mnakuja kuniomba pesa tafuteni hela nyie mafukara msiwe ombaomba Mimi sio baba yenu Mimi ni...
  10. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Wazazi tuchunge sana maneno yetu tunayowaambia watoto wetu tukiwa na hasira.

  11. Introvert Music

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mtoto mdogo ila pesa imejaa

    Huwa nashangaa mtu anaumri mkubwa halafu ni fukara wakati nipo Mimi mtoto mdogo tu miaka 28 ila pesa nyingi. Hivi mnafikiri kuwa na umri mkubwa ni sifa wakati mfukoni hamna kitu tafuteni hela nyie wazee. Huwa najiuliza hivi binadamu unakosaje kuwa na pesa yaani pesa nayo ni kitu Cha kukosa...
  12. Introvert Music

    JamiiForums Tanzania Nachukia sana masikini

    Katika kitu ambacho ni sikipendi kwenye hii dunia ni umasikini yaani Mimi nikiona masikini naona kama wameniletea mkosi Fulani hivi mtu unakosaje pesa aisee yaani unakuta jitu Zima mindevu kibao halafu halina pesa aisee wakati Mimi mtoto mdogo lakini pesa zipo nyingi sikieni nyie masikini...
  13. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Maisha ya umasikin ni mabaya sana kijana mwenzagu usimchukie binti pale anapokukataa sababu hauna pesa

    Aman iwe nanyi wapendwa katika BWANA Habari za jumapili ya kongamano la ekrist takatifu Nimeamua leo nije niongee na nyinyi vijana wezangu ambao bado mnajitafuta katika maisha Mda mwingine huwa inauma sana pale unapoona kila binti anakupiga kibuti, kila binti anakutaa ukijiuliza why...
  14. Mel James

    JamiiForums Tanzania Tukiachana na tabia, sehemu za siri pia hupelekea sana watu kuachana

    Katika mahusiano watu hushindwana sana kwenye tabia, hapo hupelekea wapenzi kuachana. Ila sehemu za siri pia ni tatizo kubwa sana hupelekea watu wengi kuachana. Mfano nishawahi kuachana na msichana mmoja mrembo sababu ya harufu kali sehemu ya uke! Kuna watu washawahi kuachana sababu mmoja ana...
  15. Mudawote

    JamiiForums Tanzania Propaganda za CCM yangu zinakera sana

    GTs, Nadhani kila mmoja ni shuhuda wa yanaoendelea kuhusu nchi yetu. Kuna mambo kadhaa mengi ambayo kila mtanzania anayalalamikia, moja wapo ufisadi, kutokuwajibika, watu kutekwa na wanaojiita polisi na kuuawa etc. Tuhuma zote hizo zinahitaji majibu toka kwa mamlaka husika, ila bahati mbaya ni...
  16. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Wimbi la ma ex girlfriends na ex boyfriends zao kurudiana limeongezeka sana nowadays nchini, kulikoni?

    ni roho ya msamaha imeongezeka kwa wanadamu au alternative girlfriends na boyfriends imeshindwa kufanya kazi ipasavyo? je, ni ahueni kwa single mothers na single fathers kwamba sasa wanarudiwa rasmi? wabobevu, ndrugu zango wadau mnazungumziaje suala hili la kheri katika jamii zinazotunguka?🐒
  17. The25824

    JamiiForums Tanzania Sababu na mbinu za kuzuia ajali za barabarani

    Ohaaaaaa, Kama wewe ni dereva soma hapa kwa makini, Hasa kama unabeba abiria ,Uliembeba kila mmoja ana sababu zake kwa nini amesafiri. Bahati mbaya dhamana ya uhai wao iko juu yako. Kuna anaeenda kutibiwa,yupo anaeenda hudhuria mazishi ya ampendae ,yupo anosafiri kwenda iona familia yake...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi Ni Kiongozi Makini Na hodari sana kiuongozi

    Ndugu zangu Watanzania, Katika mambo ambayo CCM huwa makini nayo na kutofanya mzaha au majaribio au kukosea basi ni katika suala zima la kusuka safu nzima ya uongozi wake ndani ya chama.inafanya hivi kwa sababu inatambua kuwa CCM ndio moyo wa Nchi,ndio itoayo Dira na muelekeo wa Taifa letu...
  19. Joseph Ludovick

    JamiiForums Tanzania Hii katuni imeniliza sana

  20. P

    JamiiForums Tanzania Jana nilivamiwa nikaogopa sana, nilidhani natekwa

    Makutano ya lumumba na mkunguni, nikiwa naendesha pikipiki ghafla katikati ya bara bara nikavamiwa na bajaji mbili, moja mbele moja nyuma Wakashuka watu wanne na kuchukua funguoza pikipiki huku wakinihoji kwanini sijavaa helmet, Nilivyosikia hivyo tu moyo ukapoaaaaa nikajua niko salama...
Back
Top Bottom