sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Inasikitisha na kustua sana. Marehemu Kambayao wa TRA alikuwa pia Mwanachuo CBE Dodoma

    Pamoja na kauli zote tunazozizungumza. Tufahamu kuwa wanaoumia sana ni wanafamilia wa marehemu. Ushahidi huu hapa 👇👇 Lakini sakata hili limeendelea kutuchanganya sana Watanzania. Tunajiuliza Kambayao alifuata nini Tegeta wakati alipaswa kuwa chuoni Dodoma CBE? Maswali yanazidi kuchanganya umma...
  2. JamiiForums Tanzania Kuweni makini sana na hawa single mama, mimi yamenikuta mazito ila namwachia Mungu

  3. JamiiForums Tanzania TRA wanajichanganya sana kwenye suala la Tegeta

    TRA wanajichanganya Sana kwenye suala lililotokea Tegeta la wanaodaiwa wafanyakazi wake kushambuliwa. 1. Kwanza, wanadai gari aina ya BMW T229 DHZ limeingia nchini kinyemela hivyo walikuwa wanalifukuza Hilo gari ili walikamate. Swali ni je Hilo gari liliingiaje nchini Kama sio hao hao TRA...
  4. JamiiForums Tanzania Hili suala limenishangaza sana

    Habari wakuu Moja kwa moja kwenye huzi; Leo nimetoka Kigamboni kuelekea Kariakoo kwa usafiri wa daladala, cha kustaajabisha ni kwamba 90% abiria kwenye gari hilo wanatumia iphone , wengi wao walionekana wanatumia X,XR,11 plain na pro, Swala ambalo lilinistua na kunistaajabisha na kufikiria...
  5. JamiiForums Tanzania KERO CCM na Serikali yake wameharibu sana Miji ya Tanzania, na imebakia kuwa magulio, miji imejaa Frame hadi kwenye makazi ya watu. Miji ni michafu sana

    Miji ya Tanzania kitambo back ilikuwa mizuri sana, kabla hawa wajinga CCM hawajaingia hadi kwenye mipango miji. Angalia mji wa mishi ulivyo kuwa msafi kipindi fulani. Now moshi ni chafu imejaaa wachuuzi kila kona, sehemu za wazi zimegeuzwa kuwa magulio ya wamachinga au stendi za Bajaji. Dar...
  6. JamiiForums Tanzania American Renegades: Naitafita sana hii movie.

    Wakuu,naomba msaada kwa yeyote mwenye link ya site kwaajili ya ku-download hiyo movie.
  7. JamiiForums Tanzania Diva: Mimi sina muda wa kukaa chini kumfulia mwanaume. Brand yangu kubwa sana.

    Wakuu, Kwa hiyo wanaume wa Daslam huyu anayejiita Diva The Bawse ndo mmeshindwa kabisa kumtuliza na kumuweka ndani? Na hapa unakuta kuna mwanaume anampa huyu dada kila kitu kuanzia mafuta ya gari, kodi ya nyumba mpaka hela ya kusukia lakini kuinama kufua anaona ni adhabu. Wanaume wa Dar...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini Waarabu wanapendaga vurugu sana

    Wazungu ni watu wakuwapigia sana saluti wamevumilia waarabu na ndugu zao waislam naona sasa kutafika kipindi wataanza kuwaua hadharani Vita vinapigwa palestina na lebanon weo wanaandamana Canada kwa kuvunja maduka ya watu na kuunguza magari ya watu eti free palestina huu sio ujambazi ? Wao...
  9. JamiiForums Tanzania Inawezekanaje mtu akampenda mchepuko sana kuliko mke wa ndoa?

    Haya nimeulizwa hilo swalo naomba jibu Nyie mnaopenda michepuko sana kuliko wake za ndoa mje mjibu nini mbaya? Na sahivi imekuwa kama tabia na inaenda kuwa legalised Sijui mtaishia vipi watoto wa sahivi?
  10. JamiiForums Tanzania Zuchu bado ana safari ndefu sana kimuziki ,bado hajapata fan base ya kwake yeye kama yeye bila kumtegemea Simba

    Ukweli usemwe tu, Zuchu ni msanii mzuri na msanii mkubwa ila bado hajafika viwango vya kumuweka kama msanii mkubwa hapa nchini ukimlinganisha na wasanii wa kike wakubwa wa kizazi chochote kike, kilichopo na kilichopita. Kwa kizazi kilichopo ,Zuchu hamfikii hata kidogo Nandy , Nandy anaweza...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Maelezo ya alivyouawa mwenyekiti wa UVCCM huko Chunya yana ukakaksi sana, Polisi fanyeni kazi yenu kwa umakini

    Nimesoma maelezo ya msichana aliekuwa nae alipouwawa, yana ukakasi sana. Kuna coincidence ambazo labda ni polisi wetu tu waliozoea kutunga kesi dhidi ya wapizani wataikubali. Inaripotiwa kuwa huyu UVCCM, mwenye biashara ya kuchoma chama klabu moja, alipigiwa simu kuwa kuna mbuzi wanauzwa aende...
  12. JamiiForums Tanzania Huyu streka refu kuliko goli, Steven Mukwala ndio tuseme anaipenda sana Simba au ni Ubishoo tu?

    Begi la Ubaya Ubwela kutoka kwa Star Boy, Steven Mukwala Streka refu kuliko gali akiwa safarini kwenda kuwakabili CS Constantine Disemba 8 huko Algeria.
  13. JamiiForums Tanzania Kuna demu anapenda sana kuniangalia, je atakuwa ananipenda?

    Ni mtoto mzuri wa kishua, kila akiniona ananitazama sana kisha anatabasamu, mara ang'ate vidole kila akiniona,...Hii ishara ya kunitizama sana inanichanganya najiuliza je atakuwa kanipenda? Je kipi kinafanya aniangalie sana?..
  14. JamiiForums Tanzania Nimefurahi sana Ali Kamwe na Ahmed Allli kutaka kushitakiwa,waligeuza soccer kuwa mchezo wa kijinga,vyeo vyao vifutwe

    Huu ujinga aliuanza Haji Manara,badala ya Simba na yanga kuwa watani wa jadi wakawa na chuki ya jadi. Hawa watoto nao badala ya kuja kivingine wakawa wanapita mule mule alipopita Haji. Sasa nasikia Alli kamwe Azam nao wanataka bilioni 10 kwa kauli yake kuwa Dube kila akikaribia goli wanazima...
  15. JamiiForums Tanzania Umekuwa ukisumbuliwa sana na mahusiano basi fata sheria hizi sheria ya 5 itakushangaza

    DATING RULE 01. Usimpe au kumfanyia mwanamke wako mambo makubwa ambayo hauwezi kumfanyia maisha yake yote au ku maintain moja kwa moja. Fanya yaliyo ndani ya uwezo wako utakayoweza kufanya hata ukimuoa. DATING RULE NUMBER 02. Mchumba akikukubali na akawa anakupenda kweli, kazi yake ni...
  16. JamiiForums Tanzania KERO TANSECO Wilaya ya Nachingwea mnaikosea sana

    Tanesco Tanesco Tanesco Nimewaita mara tatu kuomyesha Msisitizo. Hii wilaya ya Nachigwea mkoa wa Lindi kwanini mnakata umeme mara nyingi kiasi hiki na Bila Taarifa kamili. Mfano leo mshakata zaidi ya mara 10 na watu wanatumia vifaa je vikiungua mtaweza kulipa. Kama mnakata ni bora mkate...
  17. JamiiForums Tanzania Kama hujarithi mali pambana sana

    Umaskini unachosa sana, umaskini unadhalilisha sana, umaskini ni wa kuichukia na kuikimbia, umaskini haufai hata kidogo, kwenye maisha kuna walio bahatika kushika pesa chini ya miaka 30, lakini kwa mifumo yetu ya elimu ya kibongo. Kama hujarithi, hutokei familia bora ni ngumu sana kuwa na...
  18. JamiiForums Tanzania Nampenda sana mke wangu lakini huu mchepuko nashidwa kabisa kuuacha

    Salaam wakuu Mimi ni mmjawapo wa kijana nisiyekubaliana kabisa na kataa ndoa. Nimeoa na nna mtoto mmoja na mke wangu kipenzi. Uamuzi wa kuoa niliuchukua baada ya kuona kama nimeshamaliza kila kitu nineshaonja za kila aina kumbe nilikua najidanganya maskini mimi. Nilikutana na huyu binti...
  19. JamiiForums Tanzania Hawa jamaa wa Iringa chini ya Producer Ambha walitisha sana

    Ambha anadai kwamba alifanya production lakini hakutoboa akawa ameamua kufunga studio aachane na muziki maana nyimbo zilikuwa hazipigwi na hapati fedha. Sasa akiwa ashaamua kufunga studio, asubuhi kalala kaja yaki anamgongea dirishani anamwita ambha aamke kuwa kaja na faridah anataka wakarekodi...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Bodaboda wamekuwa msaada sana kwa watu wanaohitaji msaada

    Mzuka wanajamvi! Hawa bodaboda wengi tunaowadharau wamekuwa msaada sana. Tumeona kwa Abdul Nondo na yule mama wa Chadema hata yule naibu waziri alipata ajali na mchepuko akimkimbia mke wake baada ya kufumaniwa. Mifano ni mingi tu boda boda wakihusika kama wasamaria wema. Mungu wabariki bodaboda.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…