Zanzibar pasingetokea mapinduzi ambayo yaliyoasisiwa Tanganyika na wakubwa na kumfanya Rais Amani Karume akubali Muungano kwa shingo upande, basi leo hii Zanzibar ingekuwa na uchumi mkubwa pamoja amani lakini Leo hii Zanzibar inatia huruma.
Kila kitu kinaamuliwa kutoka bara,kuanzia Rais wao mpaka mstakabali wa siasa zoo, yaani CCM imekuwa kila mwaka ikiingilia uchaguzi na kumuweka Rais aliyeshindwa na kumuacha ambaye ni chaguo la wanzanzibar,hii chuki sijui itakuja kuishi lini,wakati kabla ya mapinduzi watu waliishi kwa undugu na amani,nani alaumiwe ni yule siku zote ambaye mnamuita mtakatifu
PIA SOMA
- Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?