sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. G

    JamiiForums Tanzania Kama umeoa mke mwenye sifa hizi, fukuza kabla mambo hayajaharibika sana

    Kama umeona mwenye hulka/tabia mojawapo kati ya hizi, basi mkeo ni kahaba, na anayafanya haya kuvutia wanaume wengine. Fukuza kabla mambo hayajakuharibikia:- 1. Anabandika kope, nyusi, kucha na kuvaa mawigi. Unadhani anambandikia nani? 2. Anavaa nguo za kubana ama zinazoonesha maungo ama nguo...
  2. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli kwenye utawala na Demokrasia alifeli pakubwa sana

    JPM kwenye Utawala na Demokrasia Julius Kambarage Nyerere, baba wa taifa la Tanzania, alijenga msingi wa utawala wa kidemokrasia nchini. Hata hivyo, utawala wa John Pombe Magufuli (JPM) ulionyesha mabadiliko makubwa katika mtindo wa uongozi na namna ambavyo demokrasia ilitekelezwa. Wakati JPM...
  3. JamiiForums Tanzania Leo nimekutana na graduate wa ualimu asiyejua maana ya curriculum

    Kuna jamaa yangu mmoja aligraduate mwaka jana chuo. Mwezi wa Oktoba akaomba kazi kwenye shule moja ya kimataifa Arusha. Wakati wa usaili, aliulizwa kama ana uzoefu wa kufundisha international curriculum. Akajibu “yes.” Wakamuuliza tena aseme specifically, “Which curriculums can you teach?”...
  4. JamiiForums Tanzania Magari ya Assad

    Hebu ona hii collection ya magari ya kifahari ya dikteta Assad! Na inaripotiwa kuwa hii ni moja tu ya collection yake ya hayo magari ya kifahari. Alikuwa anayaendesha wapi hayo magari? Muda mwingi alikuwa mafichoni. Popote alipokuwa anaenda alikuwa alikuwa anaendeshwa. Ni lini alikuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Uligunduaje rafiki/jamaa/ndugu/jirani yako ana akili sana a.k

    Hapa siongelei zile akili za darasani au utafutaji wa hela (hii formula tu) Nilikua na jirani yangu, yeye anafanya kazi kama mwalimu wa Kiswahili ila ukimuuliza mada yoyote juu ya sayari, anga za mbali na ulimwengu kiujumla kichwa kina chaji balaa, nikamuuliza kwanini hajaenda kusomea masomo ya...
  6. JamiiForums Tanzania Assad kawatesa Sana Wasyria kwenye gereza la Sednaya

    Nina fuatilia hapa Al Jazeera kuhusu yaliyokuwa yanafanyika kwenye gereza la Sednaya nadhani Assad alikuwa mtu katili Sana. Ndio maana wasyria wameshangilia Sana. Leo halaiki ya watu walifika kwenye gereza la Sednaya kuona kama ndugu zao bado wapo. Ila kwa masikitiko wengi hawapo aidha walikufa...
  7. JamiiForums Tanzania Mwanangu anaipenda sana computer na na ujuzi wake nauona. Nisaidien ana ufaulu wa four ya 26 f ya maths , English na biology pass

    Ujuzi wake nauona kamaliza forum 4 window anajua kuitengeneza computer anajua eti nisaidie wakuu kati ya computer science na information technology au kozi yoyote ya computer,, Mimi baba yake kazi yngu ni fundi cm na computer yaan accessories yoyote ya umeme na fix LAKINI nataka mwanangu awe...
  8. JamiiForums Tanzania KERO Arusha ni mkoa ambao una barabara mbovu sana

    Mkuu wa mkoa wa Arusha anaonekana kushughulika sana na masuala ambayo hayaleti tija kubwa kwa wananchi. Mkoa wa Arusha una changamoto kubwa ya maisha magumu kwa wakazi wake, hali inayozidi hata mkoa wa Lindi, ambao unaelezwa kuwa miongoni mwa mikoa yenye hali duni kiuchumi. Mgawanyiko wa...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kuna utofauti sana kati ya biashara inayomilikiwa na muajiriwa na biashara ya mtu aliyejiajiri pekee

    👉Biashara inayomilikiwa na muajiriwa Ina possibility kubwa ya kusurvive kuliko ya aliyejiajiri pekee sababu zifuatazo 👉 Mikopo kwa waajiriwa ni rahisi kuicover Bila kuathiri asset zao ambazo hazihamishiki 👉 Biashara za walioajiriwa unaweza Pata wa kukushika mkono na kukuwekea safety wenye D2...
  10. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Tokea tarehe 19 Novemba, mgonjwa wangu ndio kwanza kafanyiwa UTRASOUND Muhimbili. Changamoto ni nyingi sana

    Nianze tu kwa kumuomba yyte mwenye uwezo wa kumfikishia Rais Samia hili na amfikishie. Hali ya Muhimbili inasikitisha. Na mkono wake wahitajika. Rais Samia chochote atachofanyia Muhimbili atapata baraka tele kutoka kwa MwenyeziMungu. Nayasema haya kutokana na hali halisi. Mgonjwa kapewa rufaa...
  11. JamiiForums Tanzania Viongozi wanajiona wa Muhimu sana wamelevywa na Madaraka

    Mimi sio Mwanasiasa na Wala sio mtu mwenye Jina kubwa ktk hii Nchi Yenye Watu wakuu na Waliomaalumu sana. Nimetazama Umuhimu wa Raia ktk Hii, Nchi, nimeona Uthamani wa Raia ni mdogo sana. Kipaumbele cha serikali kwa Raia wake juu ya Ufafanunuzi wa kinachoendelea katika Nchi kwa Miaka kadhaa...
  12. JamiiForums Tanzania Wanaume wanatoa hela sana, hata kabla hajalala na wewe, ni vile unajiweka kwake ndio maana hupewi

    Nyieee Wanaume viumbe rahisi sana Alafu wanaume wanatoa sana hela Mwanaume kutumia mil 2 kwa siku kwasabaabu amevutiwa na wewe ni kitu kidogo sana Ushauri: Wanawake wote na wadada, mlioolewa na ambao hamjaolewa Jamani 1. Jipendeni, vaa kama mwanamke, jipende - be feminine 2. Usitoe mzigo...
  13. JamiiForums Tanzania Siku ya Leo imekuwa ya kufurahisha sana sababu ni Vinyau

    Habari za muda Wana JF. Niende Moja kwa Moja kwenye mada, Leo nimeamka nikiwa mchovu sana +hang over ya mapombe ya Jana tulivyofungwa na wale waarabu. Siku na mood kabisa ya kufanya kazi... kinyonge sana, mida ya saa Tano hv... nilikuwa tayari, nimekwisha jiandaa naelekea nikapande daladala...
  14. JamiiForums Tanzania Paul Makonda: Rais Samia anarogwa sana na watumishi wake

    Wakuu, Mambo yameendelea kukorogeka huko Arusha. Hayo ni maneno ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Christian Makonda akizungumza na wananchi wa mkoa wa Arusha mapema siku ya Jumatatu Desemba 9, 2024 wakati wa maadhimisho ya miaka 63 ya uhuru wa Tanganyika. "Mimi ninawaambia katika nchi hii ya...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Mtoto wangu anamiaka miwili lakini akisikia Muziki wa huzuni analia sana

    Nilijua nimepata bwana,
  16. JamiiForums Tanzania Lissu akiwa mwenyekiti wa CHADEMA atahujumiwa sana na hatafanikiwa chochote, lakini pia akiwa mgombea urais wa CHADEMA atahujumiwa na atapata aibu

    Ukosoaji wake dhidi ya viongozi waandamizi ndani ya CHADEMA hususani kuhusu mambo ya rushwa na uchaguzi wa serikali za mitaa, ulionekana kama usaliti, hujuma, dharau na utovu wa nidhamu kwa mwenyekiti taifa wa chama hicho. Na kwahivyo sababu ya kuhujumiwa kwake msingi wake utakua ni huo Lakini...
  17. JamiiForums Tanzania Kuanguka kwa utawala wa Assad kumeonyesha udhaifu mkubwa sana kwa Iran na Urusi

    Utawala wa bashar al assad umeanguka Utawala wa assad ungetakiwa uanguke miaka zaidi ya 10 iliyopita sema kilichokua kinamsaidia ni msaada wa russia na iran ulimfanya kuweza kudumu kwa mda wote huo Syria wengi ni wa-sunni na ndo wanaounda vikundi vingi vya waasi hata hawa waliochukua nchi ni...
  18. JamiiForums Tanzania Leo ni siku ya uhuru wa Tanzania ni Moja ya sikukuu kubwa sana wananchi kwa nchi zingine tofauti na Tanzania inabaki kuwa sikukuu ya serikali

    Leo ni 9 December ni sikukuu ya uhuru wa nchi yetu Tanzania ni sikukuu ambayo tunakutana watu wote kwa dini zote na sio sikukuu ya kidini hii ni ya wananchi wote.tofauti kabisa na ilivyo unakuta kila mtu anaendelea na shughuli zake na inabaki kama mapumziko tu ni sio siku ya kufalia. Kwa wale...
  19. JamiiForums Tanzania Mtu kama Dr. Janabi akipewa udaktari wa Timu, wachezaji watapata tabu sana

    Asubuhi mboga za majani na maji bilauri 3. Mchana parachichi 1 na kiganja cha karanga mbichi, maji bilauri 3. Saa 11 jioni kachumbari na maji bilauri 3. Imeisha hiyo.
  20. JamiiForums Tanzania Mambo ambayo Papa anafanya yananifikirisha sana

    Mtu inabidi amwambie huyu Papa feki kwamba Yesu alizaliwa, alilelewa, aliishi na alikufa kama myahudi aliyeishi Judea. ====================================== Pope Francis unveiled the annual nativity scene at the Vatican on Saturday, which this year featured baby Jesus dressed in a Palestinian...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…