sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. Mimi ni mtoto mdogo ila pesa imejaa

    Huwa nashangaa mtu anaumri mkubwa halafu ni fukara wakati nipo Mimi mtoto mdogo tu miaka 28 ila pesa nyingi. Hivi mnafikiri kuwa na umri mkubwa ni sifa wakati mfukoni hamna kitu tafuteni hela nyie wazee. Huwa najiuliza hivi binadamu unakosaje kuwa na pesa yaani pesa nayo ni kitu Cha kukosa...
  2. Nachukia sana masikini

    Katika kitu ambacho ni sikipendi kwenye hii dunia ni umasikini yaani Mimi nikiona masikini naona kama wameniletea mkosi Fulani hivi mtu unakosaje pesa aisee yaani unakuta jitu Zima mindevu kibao halafu halina pesa aisee wakati Mimi mtoto mdogo lakini pesa zipo nyingi sikieni nyie masikini...
  3. Maisha ya umasikin ni mabaya sana kijana mwenzagu usimchukie binti pale anapokukataa sababu hauna pesa

    Aman iwe nanyi wapendwa katika BWANA Habari za jumapili ya kongamano la ekrist takatifu Nimeamua leo nije niongee na nyinyi vijana wezangu ambao bado mnajitafuta katika maisha Mda mwingine huwa inauma sana pale unapoona kila binti anakupiga kibuti, kila binti anakutaa ukijiuliza why...
  4. Tukiachana na tabia, sehemu za siri pia hupelekea sana watu kuachana

    Katika mahusiano watu hushindwana sana kwenye tabia, hapo hupelekea wapenzi kuachana. Ila sehemu za siri pia ni tatizo kubwa sana hupelekea watu wengi kuachana. Mfano nishawahi kuachana na msichana mmoja mrembo sababu ya harufu kali sehemu ya uke! Kuna watu washawahi kuachana sababu mmoja ana...
  5. Propaganda za CCM yangu zinakera sana

    GTs, Nadhani kila mmoja ni shuhuda wa yanaoendelea kuhusu nchi yetu. Kuna mambo kadhaa mengi ambayo kila mtanzania anayalalamikia, moja wapo ufisadi, kutokuwajibika, watu kutekwa na wanaojiita polisi na kuuawa etc. Tuhuma zote hizo zinahitaji majibu toka kwa mamlaka husika, ila bahati mbaya ni...
  6. Wimbi la ma ex girlfriends na ex boyfriends zao kurudiana limeongezeka sana nowadays nchini, kulikoni?

    ni roho ya msamaha imeongezeka kwa wanadamu au alternative girlfriends na boyfriends imeshindwa kufanya kazi ipasavyo? je, ni ahueni kwa single mothers na single fathers kwamba sasa wanarudiwa rasmi? wabobevu, ndrugu zango wadau mnazungumziaje suala hili la kheri katika jamii zinazotunguka?🐒
  7. Sababu na mbinu za kuzuia ajali za barabarani

    Ohaaaaaa, Kama wewe ni dereva soma hapa kwa makini, Hasa kama unabeba abiria ,Uliembeba kila mmoja ana sababu zake kwa nini amesafiri. Bahati mbaya dhamana ya uhai wao iko juu yako. Kuna anaeenda kutibiwa,yupo anaeenda hudhuria mazishi ya ampendae ,yupo anosafiri kwenda iona familia yake...
  8. L

    Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi Ni Kiongozi Makini Na hodari sana kiuongozi

    Ndugu zangu Watanzania, Katika mambo ambayo CCM huwa makini nayo na kutofanya mzaha au majaribio au kukosea basi ni katika suala zima la kusuka safu nzima ya uongozi wake ndani ya chama.inafanya hivi kwa sababu inatambua kuwa CCM ndio moyo wa Nchi,ndio itoayo Dira na muelekeo wa Taifa letu...
  9. Hii katuni imeniliza sana

  10. P

    Jana nilivamiwa nikaogopa sana, nilidhani natekwa

    Makutano ya lumumba na mkunguni, nikiwa naendesha pikipiki ghafla katikati ya bara bara nikavamiwa na bajaji mbili, moja mbele moja nyuma Wakashuka watu wanne na kuchukua funguoza pikipiki huku wakinihoji kwanini sijavaa helmet, Nilivyosikia hivyo tu moyo ukapoaaaaa nikajua niko salama...
  11. Huyu Ahmed Ally amezidi sana kutudhalilisha sisi Yanga

    Inapaswa afungiwe. Huu ni udhalilishaji sana. Si sawa hata kidogo. Aache uhuni.
  12. Lissu angekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA ingekuwa vizuri, Mbowe akae pembeni

    Binafsi naona Mbowe angeachia kijiti cha uenyekiti wa Chama ampe Lissu au Heche John Nasema haya kwasababu Chadema kwa sasa na upinzani unahitaji mtu mwenye maamuzi magumu, misimamo mikali na ambaye hajapoa sana Simchukii Mbowe hata kidogo wala siangalii ukabila wala dini, ingekua natizama...
  13. Huwa nachukia sana pale Mtu ambaye namjua Kitabia akiwa mbele za Watu na Camera anadanganya na kujifanya Mtakatifu

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla amewataka wananchi kutosikiliza maagizo ya waganga wa kienyeji yanayochochea ukatili na udhalilishaji, ikiwemo kubaka, kulawiti na kuua. Makalla amesema hayo leo Jumatatu Septemba 9, 2024 Kiteto mkoani Manyara alipozungumza katika...
  14. T

    Ni kwa nini mwitikio wa umma ni mdogo sana kwa press ya chadema licha ya uzito wa waliyopitia!?

    Sijajua nini nini kinaendelea katika taifa letu hususani kuhusu hali ya siasa za upinzani nchini. Nilitegemea baada ya tukio lilotokea juzi basi hasira za umma zingewaka na kuitikia hituba ya Mbowe badala yake imepokelewa kikawaida sana Hii ni kwa nini hasa!? Mbona ni kama tunakubali hao...
  15. Hongera sana Collins Obinna Chibueze, Prince of Country Music.

    Nikipewa nafasi nitaje wanamuziki wangu bora kwenye muziki wa Country basi sitoweza kumuacha John Denver na nyimbo zake bora za “Take Me Home, Country Roads,” pamoja na “Thank God I’m a Country Boy”. Carrie Underwood, Keith Urban mpiga gitaa bora sana, Brad Paisley, Chris LeDoux, Webb Pierce...
  16. L

    Tanzania bado ni salama sana na tunapaswa kuvipongeza vyombo vyetu vya ulinzi na usalama

    Ndugu zangu Watanzania, Pamoja na matukio machache yaliyojitokeza hapa katikati,lakini haiondoi ukweli kuwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vinafanya kazi kubwa sana iliyotukuka ya kuhakikisha kuwa Taifa letu linaendelea kutamalaki kwa amani, Utulivu na usalama wa hali ya juu sana kuanzia...
  17. M

    Serikali mfuatilieni huyu Mchungaji Mashimo, anadaiwa kuwa Tapeli

    Hata kama serikali haina dini lakini sio vema KURUHUSU UHOLELA UNAOPITILIZA. Serikali ni vema kujua kuwa wananchi wengi ni masikini sana na wenye shida nyingi kimaisha. Pia idadi kubwa ya watu hawana elimu na hawana uwezo wa kuchanganua utapeli na ukweli. Sasa sio vema Serikali kukaa kimya na...
  18. Hili jina la "Mwamba" limekaa kimagumashi sana, ni sifa za kimchongo na kipuuzi

    Mimi siku zote nimekuwa nikifahamu "mwamba" ni mtu jasiri, mwenye kuweza kupambana katika hali ngumu sana na mambo ya kutisha au kugofya, sasa huwa nashangaa hata watu midebwedo kabisa wanaitwa au wanaitana mwamba. Yani yule mtu ambaye hata akisikia mbwa koko anabweka ghafla anaweza kuanguka...
  19. D

    Meridian Bet mnakera sana, nitawashitaki

    Hawa Meridian bet nilijiunga mara moja tu na nikajitoa(nililazimika kujiunga kwa muda mfupi ili niObserve kitu fulani kutokana na kazi zangu), lakini kila siku wanaendelea kunitumia meseji zao za ofa na promotion. Nimepiga simu zaidi ya mara tano wanasema tu watafanyia kazi lakini hamna kitu...
  20. P

    Salamu kutoka Marekani: Nimekula taco, ni tamu sana

    Wakuu vyakula vya Marekani sio vyepesi sana kujisosomola maana mimi nishazoea ugali mgumu sasa huku ni mwendo wa madude fulani ya ajabu ajabu. Ila nikasikia wanasifia sana Taco nikaona ngoja nilo hilo taco wanalolisifu. Aisee taco ni tamu mno, na leo nitakula matako mengine. Picha ya Taco
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…