hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 13,673
- 21,069
Hamna ukweli wowote kwamba Uingereza mnamo 2050 itakuwa nchi ya kislamu
Hakuna ukweli wowote kwamba Ulaya na Marekani wanaugeukia Uislamu kwa wingi
Wakristo wana hofu wakisikia hivyo
Waislam wana kitengo cha propoganda cha kueneza dini yao. Katika Uislam kuna kitu kinaitwa Taqiya, yaani kuutumia uongo kwa maslahi ya dini au kunusuru jambo. Wapo tayari kuhonga hata waandishi wa habari kueneza propoganda zao, hata kweye kombe la dunia la Qatar walijipanga kueneza propoganda ya kuonesha ubora wa Uislam na kusilimisha watu public na kurusha kwenye media kwamba Uislam ni dini ya haki na amani na kwamba watu wanauingia kwa wingi. Target yao kubwa ni wazungu, wanafikiri wazungu wakiwa Waislam basi uislam utatukuka. Na ndio maana mzungu akisilimu wanafurahi sana na kurusha hizo habari kwenye media. Na kweli wamewapata baadhi ya wazungu wajinga na kuwasilimisha hasa kwa ndoa.
Sikia sasa uongo wao
Bilashaka ulishawahi sikia kwenye vyombo vya habari kwamba Uislam utatawala ulaya ifikapo 2050, eti kwamba kila siku wazungu wanaugeikia Uislamu na kufanya idadi kubwa ya Waislam Ulaya na Marekani. Huu ni Uzushi Mtakatifu.
Waislam wengi kwa upande wa Ulaya na Marekani ni wahamiaji na vizalia. Wanaosilimu ni idadi ndogo tu. Moja ya program yao ni kuoa wazungu ili wapate uzao wa kislamu, kwa njia hii wamefanikiwa kuliko ya kusilimisha.
Idadi ya Waislam katika Uingereza na Marekani
Uingereza
Kwa mujibu wa sensa ya 2021 ambayo idadi yake ya watu ni milioni 67.5, Waislam ni milioni 3.6 na hapo umejumlisha hadi nchi ya Wales. Hivyo Waislam wanaunda jumla ya 6.4% katika idadi hiyo ya Waingereza na Wales. Hii ni kwa mujibu wa gazeti la The Guardian hapo chini.
www.theguardian.com
Marekani
Marekani ina Waislam milioni 3.45 kati ya Wamarekani milioni 331. Hivyo Waislam wanaunda 1.1% ya idadi ya Wamarekani wote. Na idadi hii ya Waislamu wengi ni ya wahamiaji [migrants]. Angalia ushahidi chini
www.theguardian.com
Sasa huo ukuaji wa Waislamu ndani ya Marekani na Ulaya ndio uje ubadilishe nchi hizo kwa miaka 25 ijayo yaani 2050?
Hivyo dini ya kislamu imejaa propoganda, na tambua propoganda ni mbinu ya kijasusi ya kumfanya adui yako akuogope au akuhofie. Hivyo kwa njia ya propoganda hii wengi wameogopa.
Hivyo hata idadi kubwa ya Waislam ina hesabiwa hadi watoto wadogo wanaozaliwa kwahiyo wanaonekana kama ni wengi. Wakristo kuondoa Waroma na waprotestant wachache hawahesabu watoto kwenye idadi ya Wakristo bali waliobatizwa tu. Sahivi wakristo ni zaidi ya bilioni 2, je wakihesabu watoto itakuaje?
Itoshe tu kusema Uislam ni dini ya Taqiya na hauwezi simama bila propoganda na nguvu. Siku wakiachia uhuru wa dini katika nchi zao, wategemee idadi kubwa kubatizwa na kuacha Uislam. Na hilo hawataki. Hivyo sharti uhuru wa dini uminywe. Na Agizo la mtume wao ni hili,
Mwenye kubadili dini yake ya kiislamu, MUUENI". Angalia - (A) Bhukari 6922, Abu Dawuwd 4329, At - Tirmidhiy 1483

Census says 39% of Muslims live in most deprived areas of England and Wales
Campaigners urge policymakers to act on ‘cycle of poverty’ entrapping generations of British muslims