sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wakristo kuoa ni gharama sana, pamoja na kukomoana kwenye mahari.

    Nimejichanga nina milion 3 kwenye saving yangu, nilikua na malengo ya kuongeza million 2 nyingine niiwekeze sehemu, harakati fulani, hapa na pale pressure kutoka kwa wazazi juu ya kuoa, kila siku simu zinapigwa kuniulizia naoa lini, kitu ambacho sioni kwamba ni kibaya,.. Sasa kuna binti ambaye...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ucheleweshaji wa fedha za kuendeshea shule za msingi za serikali

    Kila mwezi serikali inaingiza fedha za uendeshaji shule kwa kuzingatia idadi ya wanafunzi, fedha hizo zimekuwa zikichelewa sana na kusababisha kero kwa walimu , lakini upande wa sekondari huwekewa fedha zao mapema. Pamoja na changamoto hizo wanazopitia walimu wako baadhi ya madiwani wanaopanda...
  3. JamiiForums Tanzania Plot4Sale KIWANJA KIZURI SANA, KINAUZWA KISHIRI MWANZA

    WAHI UJIPATIE KIWANJA KIZURI SANA, BEI 3 Million. ENEO: BUKAGA, KISHIRI KIMEPIMWA, KUNA BIKONI KABISA. Hatua 21 kwa 17. NYARAKA: HATI YA MAUZIANO BARABARA INAPITIKA VIZURI NI KIWANJA CHA TATU TOKA BARABARA KUU YA UELEKEO WA Kona ya FELA. MIUNDOMBINU YA MAJI NA UMEME NI UHAKIKA. MAWASILIANO...
  4. JamiiForums Tanzania Mambo ya Msingi Sana katika maisha

    (1) Ukipiga mihayo (yawning), chafya au kukohoa, funika mdomo na pua kwa mikono yote miwili. (2) Usiteme mate, kutapika, kupenga kamasi, wenzako wakiwa wanakula. (3) Ukienda nyumbani kwa mtu, hususan rafiki, usitangaze madhaifu utakayoyaona. Mfano: Watoto wao wanashindia nguo zilizochanika au...
  5. JamiiForums Tanzania Ajabu sana klabu yanga wanapotaka vitendo vya kihuni visitangazwe na kukemewa kwa kigezo cha uzalendo!

    Nimemsikia msemaji wa Yanga Ally Kamwe anasema DR Congo wamefanyiwa vitendo vya kihuni wamerogwa mchana kweupe washabiki wao wamepigishwa magoti na kuchomwa na jua kali, Kama msemaji wa yanga anasema vitendo hivyo vingefanywa kwa mkapa na klabu ya Yanga kwa kuwa waandishi wa tanzania hawana...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Naumaliza mwaka Kwa machungu ya kuachana na mwanaume wangu niliyempenda sana

    Hello wakuu, Nimeona nishare sababu niko katika hali mbaya. Mawazo mabaya ya kujidhuru yananijia kichwani. Sijawahi kupenda kama nilivyompenda yeye. Kila kitu kilikuwa vizuri, ghafla akakata mawasiliano. Wiki 3 sasa nikimpigia hapokei, sms hajibu. Nimehangaika, nikaongea na dada na kaka yake...
  7. JamiiForums Tanzania Sofascore aisee ni jau sana

    Jana wakaweka formation ya Yanga vice versa, leo hii wameweka mfungaji wa goli la Namungo dhidi ya Ken Gold ni Fabrice Ngoma
  8. S

    JamiiForums Tanzania Serikali na CCM wamejua mambo mengi sana kwa muda mfupi tu kuhusu yanayoendelea ndani ya Chadema

    Kwanza imebainika kuwa Mbowe ndio anatafuta hela, anakozitafuta wapi hatujui, serikali ifuatilie Pili, Chadema inalalamika uchaguzi nchini sio huru na wa haki, tutaona ndani ya chadema kama Tundu Lissu hataibiwa kura zake ama nyani haoni kundule na hapa mkiibiana kura tusisikie tena mkilalamika...
  9. JamiiForums Tanzania Pixie Oranges, Kiwi, Blueberries, Lemons, Dragons na Lime ni matunda yenye feature kubwa sana

    Katika Orodha hio sijataja traditional fruits kama Ovacado na Mangoes kwa sababu hayo yanapatikana kwa wingi sana na hatu import kutoka nje ya nchi. Hayo nilio yataja tuna import kwa kaisi kikubwa sana na tunalima kwa kiwango kidogo sana au hatulimi kabisa. Nchi kwa sasa inakimbilia kwenye...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini matrafiki wanazikomalia sana gari za mizigo na pikipiki (toyo) za mizigo?

    Wakuu apa naomba kuelimishwa kwa hili la trafiki kusimamisha gari za mizigo na pikipiki (toyo) za mizigo maana nimeliona sana uko barabarani, yani trafiki akiona gari za mizigo au toyo za mizigo iwe imebeba mizigo au haina mzigo wowote ni lazima gari hiyo au toyo hiyo ipigwe mkono. sasa je...
  11. Q

    JamiiForums Tanzania Hili jambo linanitafuna sana.

    Toka nakuwa na ufahamu nimeona wazazi wangu wakipambana sana, lakini bahati haijawa upande wetu, mama kavunja sana kokoto, baba nae kapambana sana lakini wapi. Wazazi wangu wamenisomesha kwa shida sana, hadi chuo kikuu ambapo serikali ilinipa mkopo, wazazi walitegemea sana niwe mkombozi wa...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini ni ngumu sana kupata mwenza mkamilifu

    Unakuta ni mrembo kwelikweli lakini hajui kupika hata msosi wa kula yeye mwenyewe sasa mkioana sijui mtaenda kula vibandani au Unakuta ni bonge moja la handsom lakini siku zote yeye na uplayboy ni pipa na mfuniko Unakuta ni mpishi mzuri wa hiki chakula kinachopita mdomoni lakini kwenye...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kuwa single kwa muda mrefu kunaweza kusababisha mtu kuogopa kufanya mapenzi

    Habar za jioni Wana jf nina Imani ni wazima na hata wale mlio na changamoto za kiafya niwatakie kupata nafuu soon. Mimi ni kijana 28 yrs old sasa na Toka nimesoma sekondari kiukwel nilkuwa school boy TU Sikujihusisha sana na mapenzi, chuo napo niliyapambania sana haya mapenzi lakini ndioivo...
  14. Y

    JamiiForums Tanzania Mahawara wanajuaa sana

    Habarini Duhh ninamachache tuu yakusema Mimi ni baba wa watoto wawili mapacha. Siku kama ya leo mwaka uliopita katika pitapita zangu nililokota bidada single Maza , kiukwelii sijawahi mtongoza Wala kumuhonga parefu ila shoo alikua ananipaa sanaaa mpaka nasahau ladha ya mkewanguu (shindwa pepo)...
  15. JamiiForums Tanzania TP Majamaa Mazembe leo wakijitahidi sana ni draw. Yanga imeshaiva inamchapa Mazembe

    Game imeshaisha hii. Hongera sana wananchi. Haikuwa na namna ni kuwachapa hao waduanzi kwao na kisha kuja kuwachapa na huku kwetu. TP Mazembe ilikuwa zamani kwa sasa jamaa ni wazembe sana. Ni majamaa mazembe. Tipwa Tipwa Mazembe. TP Mazembe. Wachezaje sasa wamemwelewa coach wa kijerumani. Soka...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Huu umati anao ukusanya mwamposa ata wakiungana wasanii wa TZ nzima hawawezi, Unabii unalipa !!

  17. T

    JamiiForums Tanzania Historia ya vyama vingi vya kisiasa Tanzania ni giza nene sana

    Uwanzishwaji na uwendeshaji wa vyama vya siasa vya Tz nigiza nene kiasi ukiingia nikama umenasa kwenye ulimbo usijuwe palitokea. Hakuna mtu atakaye nielewa kama hukuwahi kugoma kwenye vyuo huwezi nielewa ila nataka kusema nibora hata visingekuwepo maana huu ni mtego wa panya na hakuna...
  18. JamiiForums Tanzania Kwenye eneo hili namkubali sana Elon Musk

    Mwana anasisitiza watu wazaliane unlike yule mwenzie wa makompyuta anaeshadadia depopulation. Heko kwa huyu mwamba, dunia inahitaji watu. The future of humanity is through birth.
  19. M

    JamiiForums Tanzania Usilazimishe awe ndiyo yule unayemtafuta, utateseka sana

    USILAZIMISHE AWE NDIO YULE UNAYEMTAFUTA, UTATESEKA SANA Mambo ya kulazimishana kwenye mahusiano/urafiki limekuwa janga kubwa la Dunia na wengi wanaoingia kwenye huu mtego hujikuta matesoni. VIASHIRIA KUWA UPO UNAMLAZIMISHA AWE YEYE ILIHALI SIYE. 1.Unamkosoa sana. 2.Kila siku unambadilisha...
  20. JamiiForums Tanzania Iran wanaangusha sana, sidhani kama anawaelewa

    Allah amesema kisasi ni haki, sasa Iran baada ya kupokea kichapo toka kwa marubani wakike wa ISRAEL, eti mpaka sasa ni zaidi ya mwezi wanaogopa kulipa kisasi. Mwanzo walikuwa na mbwembwe sana, lakini sasa wamelowa chepechepe. Ayatollah sijui anahofia nini yani ukiangalia uso wake anaona...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…