sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Kikwete kapoteza sana umashuhuri sababu ya kuofanya haya

    Raisi Mstaafu Kikwete kapoteza sana umashuhuri sababu ya ubinafsi. Yeye ndiyo angetakiwa kuwa wa kwanza kukemea chaguzi mbovu badala yake yeye anajali Ikulu aliyo jengewa, mke wake mbunge na mtoto. Yaani tumebaki na Warioba, Jenerali Ulimwengu na Mzee Butiku pekee. Kikwete angesaidia sana hii...
  2. JamiiForums Tanzania Dini zinatuchanganya sana. Ni yapi ni mazishi sahihi kati ya Dini zote na madhehebu yote,Ikiwa lengo ni kwenda peponi/Mbinguni?

    Wakuu Mimi Bado Kuna vitu Huwa najiuliza na mara zote sijawahi kupata majibu! Hapa Duniani tuna dini aina tofauti tofauti na madhehebu Hali kadharika. Na dini zote/Imani zote na madhehebu yote Yana hubiri uzima wa milele baada ya kifo hii hata Mimi naamini kuwa Kuna maisha baada ya kifo/ufufuo...
  3. JamiiForums Tanzania Mbowe kakodi muziki ,kafunga matenti ,kajaza viti nyumbani ili wanachadema wakamuombe kugombea Tena ! Anafikirisha sana

    Mtu anayeenda kulazimishwa anaandaje mazingira ya kwenda kulazimishwa? Anakodisha muziki kabisa na kujaza viti nyumbani kwake ili watu waende kumuomba agombee kweli tumekuwa watoto kiasi hicho ?
  4. S

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kwa wote mnaotarajia kusafiri kwa magari yenu kipindi cha December/January ningependa kuwakumbusha jambo la msingi sana hapa, kwa faida na uhai wenu

    Hii ni thread niliiandika mwaka 2015, na ni mojawapo ya thread ilisomwa sana humu JF, na hata kuandikwa gazeti la Mwananchi. Kutokana na umuhimu wake, nimeona niihuishe tena nikijua kuna wengine hawakuwahi kuisoma, na inaweza kuokoa uhai wao, hasa kwa wale wanaonunua magari kwa mara ya kwanza...
  5. JamiiForums Tanzania Hizi ni biashara zinazolipa ila sio rafiki sana kwa mfanyabiashara anayeanza kujitafuta.

    Watu wengi tumekuwa tukipeana ushauri wa biashara zinazolipa hasa kwa wale vijana wadogo wanaoanza pilika baada ya kutoka masomoni. Nimekumbuka biashara kadhaa nzuri ila sio rafiki kwa anayeanza biashara ambaye bado mtaji wake ni mdogo. Haya ni maoni yangu ila sio sheria. 1. Biashara ya...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Siasa ni akili sana. Akina bashiru, polepole, palamagamba nk wamemtumia mpina kuushale utawala wa Samia mwishowe kapotea mazima.

    Mi huwa naamini kwamba kila mwenye degree basi ana akili sana ya utambuzi. Hii ni kinyume na mpina. Alifikiri zile ngonjera za kutukana na kukosoa na kushangiliwa na laymen wasiojua lolote bali kufurahi mtu anapotumbuliwa ili afanane na wao. Mama aligundua hilo akaamua kufanya divide and rule...
  7. JamiiForums Tanzania Bwana harusi Ulomi kukutwa kwa sangoma- wachaga mmeniangusha sana.

    Nasikia tetesi nyingi tu kuwa ndugu zangu wachaga sasa wanaingia kwenye anga za ushirikina kwa spidi ya 5g. Sasa leo, bwana Massawe kijana mtanashati na anaye onekana mstaarabu kumbe ni tapeli na anaamini ushirikina. Asante sana polisi yenye mkono mrefu kwa kufichua hili. Wachaga kiasili...
  8. JamiiForums Tanzania Intelijensia ya CHADEMA imefanikiwa kumuhadaa na kumuengua Tundu Lissu kwenye nafasi ya Umakamu Mwenyekiti na ile ya Mwenyekiti Taifa kisayansi sana

    Tundu Lisu kuacha nafasi ya umakamu mwenyekiti kirahisi vile haikua bure, bali ilikua mipango mikakati ilopangwa kwa umakini mkubwa na makachero wa Chadema, ili kuhakikisha kwamba mwamba anashawishiwa kwa ustadi mkubwa, kwamba hivi sasa anazo sifa zote, vigezo na uwezo za kua mwenyekiti wa...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyokutana na huyu mchumba, nimeamini Mungu ana njia nyingi na za ajabu sana za kukutanisha pair alizozipanga!

    Nilikutana na rafiki niliyesoma nae msingi miaka mingi mno iliyopita akiwa kwenye gari stendi tayari kwa safari.....nami nilikuwa nafika hapo kwa ajili ya usafiri wa kwenda sehemu. Tukiwa na hamu ya kuongea mengi lakini tukiachwa na muda kwani gari yao ilianza kuondoka; ikabidi anitajie namba...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Wadada wakijiachia wanaangukia kwa wakware, wakibana sana wanaishia kuitwa mashangazi. Sasa wafanyeje?

    Duni hii siyo fair hata kidogo kwa wanawake. Tamaduni hazimpi mwanamke nguvu ya kuamua aolewe lini na aolewe na nani. Hivyo mwanamke hubakia njiapanda. Mtanziko huu ndiyo umewaingiza wanawake wengi sana kwenye dimbwi la usingo maza. Katika umri mdogo (early 20s) wanaume wanaowahadaa kuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Nikipata shida nasaidiwa sana na wanawake, hii inasababishwa na nini?

    Mimi ikitokea nimepata tatizo napata msaada na support kubwa sana kutoka kwa wanawake. Hata kipindi nasoma wasichana walipenda kushirikiana na mimi katika discussions na walinisaidia materials ili nifaulu, na endapo nilifeli walijikusanya hata wasichana watano kunipa ushauri. Sasa ni mtu mzima...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Airtel Tanzania badilikeni huduma kwa wateja ni mbovu sana

    Moja kwa Moja kwenye mada husikq Leo nilikuwa mahitaji kuongea na huduma kwa wateja kwa kupiga namba 100 yaliyonikuta ni kupata huduma mbovu pasipo kuongea na watu wa huduma kwa wateja( customer Care Kwanza ukipiga unapata kibwagizo kwa wale wanao hitaji Puk, alafu wanakija na option 2 za...
  13. JamiiForums Tanzania Omba sana Mungu Uzaliwe kwenu

    Nipo mahali aisee mdada kajifunguliq nyumbani sasa kijana now yupo 15yrs hana maamuzi anakosa hata ule uhuru binafsi kama mtoto kila kosa akifanya malalamiko anatukanwa Baba yake na kabila zima
  14. JamiiForums Tanzania Binti usitoe utamu (K) mpaka mwanaume amewekeza kikubwa kwako... Girl Code 2

    1. Usipojua thamani yako wewe mwanamke, utakuwa unaliwa kirahisi sana wewe mrembo na wanaume watakuozesha na ma UTI, Gonorrea na utaishia kulia wanaume washenzi wanaume wabaya 2. My dia, kuna wanawake wenzio ambao hawajui kulia kuhusu wanaume, hawajalogwa hawatumii uchawi wala uganga wanatumia...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu nisikilize, upepo wa kisiasa uko kwako 100% lakini mkakati wa kuibiwa kura umeshaanza kusukwa, jiandae

    Mimi sio mwanachama wa Chadema na sifurahii siasa zao za kutukana tukana viongozi hivyo hasa vijana wao wanavyofanya harakati za kijinga mitandaoni jambo linalosababisha wawaudhi viongozi wa serikali na ndio maana wanakamatwa kamatwa hivyo lakini najaribu kulinganisha sifa za uongozi kati ya...
  16. JamiiForums Tanzania Contemporary Vyumba 3 Ndogo ya TOFALI na BATI Chache Sana & kiwanja Kidogo - Kuanzia Maisha na Kupangisha

    Kijana, kabla ya mwaka Kuisha, songa mbele hatua moja ujenzi Hii ni nyumba moja tuliyoandaa ya vyumba vitatu, compact Fulani kwa mtu anayetaka something classy - vyumba vitatu na open kitchen Ukubwa - 91sqm Urefu - 12.3m Upana - 8.5m Gharama Ujenzi Boma - Msingi, kuta, plasta, Paa = TSh...
  17. JamiiForums Tanzania Ni rahisi sana kwa CHADEMA kumpa Tundu Lissu nafasi awe Rais wa nchi kuliko kumpa uenyekiti wa chama

    Friends and Our Enemies, Siku zote tumekuwa tunasema hapa kuwa shida kubwa cha CHADEMA na hususani mwenyekiti wa chama hiko ni kushindwa kuandaa succession plan ya chama chao. Sisi hatuna shida na kuwa chama hiko waasisi wao ni KASKAZINI...Ni cham ambacho kimepitia mawimbi mengi makubwa...
  18. JamiiForums Tanzania Muhimu sana: Tujikumbushe Ahadi ya Freeman Mbowe kung'atuka 2023

    My Take. Ni vizuri Mbowe akatekeleza hivi ahadi yake, otherwise atuambie kama haitekeleziki na kwa nini?
  19. JamiiForums Tanzania Beatrice Mdogo wa Martha Mwaipaja aanika mabaya ya dada yake kwamba ana fedha nyingi lakini hamsaidii mama yake

    Mdogo wa Martha Mwaipaja aanika mabaya ya dada yake akidai kuwa Martha Mwaipaja ana fedha nyingi sana lakini hamsaidii mama yake vilevile akidai kuwa amejitenga na ndugu zake Tazama Video hizi kwa utulivu
  20. JamiiForums Tanzania Vigezo vya kuwa platinum member wa JF. Hivi huwa wanaangalia aina za mada au ukongwe wa member, Hongereni sana platinum members sijaona kilaza kabisa.

    JF kwa kweli hongereni sana timu nzima ya wakandarasi wa mtandao huu pendwa. Licha ya kwamba JF imekuwa jukwaa huru, lakini hawa platinum members kwa kweli wamekuwa ni watu wa maana kabisa. Ukiona mtu kama Kiranga au Mshana Jr ana comment kwenye mada yako basi ujue kwamba hiyo mada ni ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…