sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Watawala wetu wajitathmini upya. Tanzania na Msumbiji hakuna tofauti sana

    Napenda kuwaasa watawala wetu kuwa, kuanzia sasa waanze kusoma alama za nyakati. Mwaka 2025 tunarajia kufanya uchaguzi Mkuu. Viongozi wetu waongoke, wasirudie tena yaliyopita katika uchaguzi wa serikali za mitaa 2019, uchaguzi Mkuu 2020 na uchaguzi wa serikali za mitaa 2024. Kinachoendelea...
  2. JamiiForums Tanzania Dkt Haule: Freeman Mbowe umetufedhehesha sana

    ==== CCM Wana haki ya kutuchamba. Mheshimiwa Freeman Mbowe ametufedhehesha sana. Unadhani CCM watakwenda kuruhusu katiba mpya na tume huru ikiwa kama kiongozi wetu mwenyekiti wa taifa anang'ang'ani madaraka bila ukomo? Tutatoa wapi ujasiri wa kuhutubia haki ya uhuru wa demokrasia iliyo na mipaka...
  3. JamiiForums Tanzania Wanasiasa wa Kenya na Kilimo wana inspirw sana ukiweka Siasa pembeni.Hawa wetu hadi wastafu ndio tuanze kuwaona shamba

    Kitu kimoja huwa najifunza kutoka kwa Viongozi wa Kenya ni kwamba asilimia 99 wana fuga na wanalima. Raila shamba lake linaitwa Opoda ni moja ya shamba kubwa sna la mifugo hapo Kenya. Kuna wakati Ruto alikuwa ana unda Balaza lake la kwanza la mwaziri sasa wakawa wanafanyiwa Vetting Bungeni kwa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mukwala ni striker butu sana Simba iangalie namna nyingine dirisha dogo

    Kiukweli Mukwala kuchezea Simba ni hatari sana kwa usalama wa timu yetu, sio striker mkali kivile, Mukwala hamfikii hata robo huyo Baleke anayetemwa Yanga, Mukwala hamfikii hata Freddy Michael Funga Funga, leo amedhihirisha wazi kabisa kuwa hata robo hamfikii Herieth Makambo wala Yakuba Sogni...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kibu Dennis amebadilika sana, hawezi kuendelea kucheza Simba msimu ujao

    Simba sasa hiv inabebwa sana na Kibu Dennis, huyu mwanaume amefika hapa kwa sababu ya zomea zomea yetu mashabiki wa Simba kwake, alikuwa akifanya makosa mengi sana kiasi kwamba tulidhani hastahili kuchezea Simba, nayakumbuka sana maneno ya Mzee Magori alipomzungumzia mchezaji huyo wakati...
  6. JamiiForums Tanzania Inawezekana tumemezeshwa matangopori mengi sana kabla ya kuenea kwa teknolojia na kufurika kwa hizi smartphones. Christy Chung yupo hai bana!

    Alaaniwe yule mtangazaji wa redio (kama siyo tbc basi ni radio free) ambaye alitangaza kwamba mdada (mmama) yule amekufa. Ili nisiwaache wengine hapa ngoja nifafanue kidogo, huyu Christy Cheung ni yule mdada aliyekuwa akilindwa na Jet Li kwenye movie ya The Bodyguard From Beijing Kipindi hicho...
  7. JamiiForums Tanzania Maisha ya ndoa yana raha sana

    Sioni haja ya kuangalia dosari za ndoa,al muradi sie ni binadamu,karaha na shida zitatokea tu,lakini hiyo haiondoi ukweli kuwa maisha ya ndoa yama raha sana,fikiria una mwenza wako kwa shida na raha,kila kitu mnafanya pamoja na hata kunyanduana mnagusanisha viungo vyenu mwa mwili,dah raha sana
  8. JamiiForums Tanzania Kuahidi hizi teams pesa kunasababisha wapoteze attention. Hii game Singida walikamia sana wakaacha kucheza mpira

    Nadhani tunapotaka kuifunga simba sasa tuache kuwajaza ujinga wachezaji. Leo singida walipania sana game. Wakapoteza concentration wakabaki kucheza kwa nguvu bila maarifa. Angalau kipindi cha pili walitulia kidogo kuliko mwanzo. Nadhani tuwe tunawaacha wacheze kwa mipango ya kocha. Hii game...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Damas Ndumbaro agawa Mitungi ya Gesi 150 Songea Mjini, Wanawake wamshukuru sana

    Dkt. Damas Ndumbaro ambaye ni Waziri wa Katiba na Sheria na Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini amegawa Majiko ya Gesi 150 ya kupikia pamoja na Viambata vyake kwa Wanawake wa Kata 21 za Jimbo la Songea Mjini "Mapema Desemba 27, 2024 hapa manispaa ya Songea Mjini nikiambatana na Kamati ya Mfuko wa...
  10. JamiiForums Tanzania Baadhi ya Wanaume wa miaka hii wamekuwa walaini sana sijui huko mbeleni tutakuwa na kizazi cha aina gani

    Baadhi ya Wanaume wa miaka hii wamekuwa walaini sana sijui huko mbeleni tutakuwa na kizazi cha aina gani Asili ya mwanaume ni mtu mkakamavu kwa lugha ya mtaani mtu mgumu Kawaida ya mwanaume hata uchezaji wake lazima uwe wa tofauti na wa kike lakini miaka ya sasa baadhi ya wanaume wamekuwa...
  11. JamiiForums Tanzania KERO Songwe: Vyoo vya Stand ya Mabasi ya Tunduma ni vichafu sana

    Waungwana hivi zile pesa tunazolipa wakati wa kuingia kwenye vyoo hasa maeneo ya Stand zinafanya kazi gani? Maana vyoo vingi vya Umma vina changamoto ya usafi na ukosefu wa maji bila kusahau ubovu wa miundombinu, nimeona mara kadhaa hapa JF watu wamekuwa wakiripoti kero hiyo kisha kisha wenye...
  12. JamiiForums Tanzania Moderator safi sana, Futeni kabisa nyuzi za ngono na uwasherati, Nyeto, na mambo yote yanayoamsha hisia.

    Kwa hili nawapongeza sana JF, Tena ingieni kabisa kwenye database zenu futeni kabisa mambo ya kula tunda kimasihara. Swali kidogo; Hivi Miss world na world most sexiest woman nani mzuri kusema ukweli ? Nawasilisha.
  13. JamiiForums Tanzania CDM Mikoani toeni matamko ya kumuunga mkono TAL - FAM amechuja sana

    Naipongeza shinyanga Napongeza Arusha Napongeza Pwani Wengine jionesheni, muda wa kuanguka na kupumzika siasa kwa FAM umefika. Ni aibu taasisi kubwa inayopigania maendeleo ya demokrasia duniani kuwa na kiongozi kama FAM anayeishi kama mfalme. Nashauri tu.
  14. JamiiForums Tanzania Idara ya Usalama (TISS) na Jeshi la Wananchi (TPDF) vinatukuzwa sana

    Sijui niseme Watanzania wajinga au washamba. Watanzania wengi wanatamani aidha wangekuwa watumishi wa Idara ya Usalama wa Taifa au JWTZ. Ukiwadadisi sababu haswa hawana hata maelezo ya kutosha. Vijana wa UVCCM hupenda kuwatisha watu kuwa wao ni watumishi wa TISS huku hata kula kwao ni kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Mo Salah na C. Ronaldo wanatuchanganya sana. Nashindwa kuwaelewa.

    FaizaFoxy alishaandika akifurahi sana kuwa CR. Kasilimu. Several times tumekuwa tukifurahia kuwa tumepata bonge la mtu katika uislamu. Lakini namwona bado anasheherekea Christmas na familia yake. Hii inakuaje? Mi nashindwa kuelewa kabisa. Hii imekaaje kaaje? Huyu Mo. Salah ni muislamu kabisa...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA mpya inakuja chini ya Mwenyekiti Tundu Lissu Wakili Msomi na mpinga Rushwa Tanzania

    Jamani moyo wangu umefurahi sana baada ya kuona wanachadema na watanzania wanaendakupata mwenyekiti mpyaaaaaaaaaaaa baada ya miaka 20 na zaidi kupita. Hii kwangu na kwa watanzania wenye akili timamu na wazalendo wataifa letu la Tanzania imekaa vzr sana tena sana. Upinzani ukiwa imara siku...
  17. JamiiForums Tanzania Makampuni na Mawakala wa pikipiki za TVS, Hero, Bajaj nk, mnatukosea sana Watanzania!

    Inafika kipindi mtu akisikia pikipiki ya TVS au Hero, anachowaza ni zile za bodaboda. Tunajua mnatoa vyuma vizuri tu kwa bei rafiki, lakini kwanini hamzileti Tanzania? Mfano hii pikipiki ukiambiwa ni TVS unakataa, na ukaambiwa mpya ni $3,000 tu kabla ya usafiri na kodi. Kwamba hatuwezi...
  18. JamiiForums Tanzania Ushindi wa Lissu ni muhimu sana kwa wachaga wote, wachaga walihitaji sana kujinasua na ndoano ya kubambikwa uchadema.

    Miaka 20 iliyopita ya harakati za kiasiasa za Chadema, ama niseme ilitokea kwa bahati mbaya au ni kushindwa kwa viongozi wa Chadema, wachaga walijikuta wamejeuka kuwa 'collateral' ya kuvishwa uchadema isivo halali. Na ikaonekana na wengi kwamba, Chadema ni chama cha wachaga na wachaga wote ni...
  19. JamiiForums Tanzania Wanasiasa watz wana uwezo mdogo sana huwa nashangaa mnapowakuza na kukubali wawe ndo decision makers wenu!

    Nchi zilizoendelea huwa zinakuaga na thinkers wao na wanalipwa kwa ajili ya hiyo Kazi. Ni Tanzania pekee utakuta vilaza waliofeli shule na walisoma masomo ya arts ya kukariri ndo wanafanya maamuzi ya nchi This is bullshit Sifikirii watu Leo wanawaza nani bora Kati ya mmoja aliyepa zero...
  20. JamiiForums Tanzania Abduli mbona amekuwa maarufu sana?

    Mitandaoni huyu jamaa ana trend japo hana wadhifa wowote serikalini lakini inaonekana kama ndo mtendaji Mkuu wa serikali, labda cheo chake hakipo dhahiri 1. Rais Mseveni wa Uganda Ali tweet Ati ametembelewa na ugeni wa Mseveni na wameingia mkataba ya nishati na Tanzania Sasa Abduli alienda kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…