sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini Mwanamke akitumia hela Yake kidogo tu ndani ya nyumba kwa matumizi anaongea sana na kununa nuna?

    Hebu niambieni ni kwanini Mwanamke akitumia hela Yake kidogo kwaajili ya matumizi ya ndani ya nyumba Huwa anaongea sana maneno mengi halafu muda mwingi anakua na hasira na kununa nuna hovyo ?
  2. D

    JamiiForums Tanzania Wenje kaongea utumbo sana Wasafi FM leo

    Nilidhani wenje ana elimu hata kidogo kumbe ni mweupe kiasi hiki. Contents nzima zililuwa zimejikita kwenye hisani ya ccm kuisaidi chadema au hisani kwa namna yoyote. Lisu anataka principals of administration weqe unazungumza hisani? Borq asingeenda wasafi fm amejidharilisha
  3. T

    JamiiForums Tanzania Wenje: Lissu ni muongo muongo sana

    Wenje yuko live anamvua nguo Tundu Lissu. Asema hana sifa za kuwa kiongozi wa chama ni muongo muongo sana. Tuhuma zote anazotoa hazina uthibitisho ni za uongo uongo tu.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Niliwatukana sana wanaotelekeza watoto na wake zao. Mnisamehe

    Kuanzia mtani kwangu, masela wangu na hapa na pale. Nilikuwa sipendi kusikia mtu katelekeza watoto au mke wake. Braza wangu yamemkuta. Aisee usiombe. Jana tulikuwa kwenye kikao cha kugawana watoto tuanze kuwasomesha na kuwalisha. Hakuna namna sasa, hawa wanawake wanabadilika sana. Braza...
  5. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Wanafamilia wanaopiga magoti kusali pamoja wanauwezekano mdogo sana wa kugombana hovyo

    Kugombana kwa wanandoa ni jambo la kiroho na linamalizwa kiroho. Baba na mama wanaosali pamoja kabla ya kulala au asuhubi kabla ya kutawanyika wanajiweka katika uwezekano mkubwa wa kutogombana hovyo. Kuna majini maalumu kwa ajili ya kuchafua ndoa (demons of strife). Unapoendelea kuchochea onbwe...
  6. Bams

    JamiiForums Tanzania Mbowe kwa aliyopitia na aliyofanya, naumizwa na kejeli dhidi yake LAKINI ni Muhimu sana atumie Hekima

    Sidhani kama kuna mtu ambaye anaweza kusimama na kwa dhamira akazikataa jitihada za Mbowe katika kuijenga CHADEMA na katika kupigania haki na demokrasia nchini Tanzania. Ni katika jitihada hizo, Mbowe aliwekwa mahabusu za polisi mara kadhaa, alifilisiwa kwa nguvu, alitumia muda wake, rasilimali...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu anafaa sana kuwa mbunge au hata rais lakini sio kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA

    Lissu anaweza kuwa mbunge mzuri sana kwenye jimbo lolote Tanzania lakini sio kuwa mwenyekiti wa CDM. Kuongoza chama cha upinzani tena hapa Tanzania ni ujuzi mwigine kabisa. CDM inataka kiongozi mwenye hekima na busara kubwa. Kiongozi mwenye diplomacy ya hali ya juu. Lissu bado hajafikia huko.
  8. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Hii ndio misemo Bora iliyobamba zaidi kwa mwaka 2024, upi ulitembea nao sana?

    Ubaya Ubwela Gusa achia Twende kwao Sicheki na Wowote Ninge comment ila Mwanasheria wangu yupo likizo We huogopi..! Yanga hii unaifungaje? Mtoto Kautaka Naijua hiyo Kipengele uje nacho wewe tajiri Watoto wa 2000 Ukija bila gadi nitagawa wastani kwa idadi Kamdomo Mambo kwa ushahidi Na hapa ipo...
  9. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Afrika yetu ni ngumu sana kumuondoa kiongozi aliye madarakani iwe Ikulu au kwenye chama,Lissu angelijua hili mapema

    kwa africa kumuondoa incumbent leader sio kitu rahisi hata kidogo.inahitaji kujipanga hasa Nilitamani kuona Mbowe anatoka madarakani na Lissu ashike chama ila sioni kama Lissu amejipanga vyema. CHADEMA imepoa inahitaji mropokaji kama Lissu.tatizo hajajipanga
  10. M

    JamiiForums Tanzania Yanga hawabebwi, wana timu nzuri na ya ushindani ndani ya uwanja na wana mikakati ya maana sana nje ya uwanja

    Mpira ni mchezo wa wazi, jamaa wanavyocheza na aina ya wachezaji wao kusema kuwa wanabebwa sio ukweli Iła ni propaganda zinazoletwa na watu wetu ndani ya Simba kutuandaa kisaikolojia, hii vita ya ubingwa kwa watu wangu navowajua, nyie subirini mzunguko wa pili ławama zitakuwa kibao. Kunambia...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Ni kwamba imeshindikana kutengeneza miziki, comedy, n.k. bila vionjo vya Ngono, Vilevi, n.k. ? Tunapata taabu sana kuangalia tv na watoto

    Imekuwa too much sasa, Kitu pekee cha kuangalia na watoto ni katuni na mpira Mambo mengine kama miziki, Muviz, Comedy, n.k. uwe na remote ipo mkononi, kuna uwezekano wa 90% kutakuwa na maudhui ya ngono, vilevi, lugha chafu, n.k.
  12. Magical power

    JamiiForums Tanzania Tarehe 1 Januari itakuwa siku yako ya baraka sana #idai

    Tarehe 1 Januari itakuwa siku yako ya baraka sana #idai
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Nawanda: Nilipitia kipindi kigumu sana kipindi cha kesi. Lakini imani yangu kwa Mungu imenisaidia kuvuka changamoto hizo

    Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dkt. Yahaya Nawanda, ameweka wazi kuwa kipindi alichopitia kimekuwa kigumu sana maishani mwake, lakini imani yake kwa Mungu imemsaidia kuvuka changamoto hizo. Akizungumza jana kwenye misa ya kumuombea Rais Samia Suluhu Hassan na kumkumbuka baba mzazi wa...
  14. Yoda

    JamiiForums Tanzania Churchill Show ya Arusha jana ni comedy duni sana kuwahi kuiona. Hakuna comedy nzuri bila maudhui magumu ya siasa

    Nimeangalia Churchill Show iliyoandaliwa na mkuu wa mkoa wa Arusha, itoshe kusema comedy ya Tanzania ni mbovu sana, maudhui ni duni mno, unaona wazi watu wanatumia nguvu kubwa sana kucheka na kufurahia. Ambacho waswahili wanapaswa kufahamu ni kwamba chanzo na kushamiri kwa tasnia ya comedy...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Watawala wetu wajitathmini upya. Tanzania na Msumbiji hakuna tofauti sana

    Napenda kuwaasa watawala wetu kuwa, kuanzia sasa waanze kusoma alama za nyakati. Mwaka 2025 tunarajia kufanya uchaguzi Mkuu. Viongozi wetu waongoke, wasirudie tena yaliyopita katika uchaguzi wa serikali za mitaa 2019, uchaguzi Mkuu 2020 na uchaguzi wa serikali za mitaa 2024. Kinachoendelea...
  16. Mbangaizaji wa Taifa

    JamiiForums Tanzania Dkt Haule: Freeman Mbowe umetufedhehesha sana

    ==== CCM Wana haki ya kutuchamba. Mheshimiwa Freeman Mbowe ametufedhehesha sana. Unadhani CCM watakwenda kuruhusu katiba mpya na tume huru ikiwa kama kiongozi wetu mwenyekiti wa taifa anang'ang'ani madaraka bila ukomo? Tutatoa wapi ujasiri wa kuhutubia haki ya uhuru wa demokrasia iliyo na mipaka...
  17. CHASHA FARMING

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wa Kenya na Kilimo wana inspirw sana ukiweka Siasa pembeni.Hawa wetu hadi wastafu ndio tuanze kuwaona shamba

    Kitu kimoja huwa najifunza kutoka kwa Viongozi wa Kenya ni kwamba asilimia 99 wana fuga na wanalima. Raila shamba lake linaitwa Opoda ni moja ya shamba kubwa sna la mifugo hapo Kenya. Kuna wakati Ruto alikuwa ana unda Balaza lake la kwanza la mwaziri sasa wakawa wanafanyiwa Vetting Bungeni kwa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mukwala ni striker butu sana Simba iangalie namna nyingine dirisha dogo

    Kiukweli Mukwala kuchezea Simba ni hatari sana kwa usalama wa timu yetu, sio striker mkali kivile, Mukwala hamfikii hata robo huyo Baleke anayetemwa Yanga, Mukwala hamfikii hata Freddy Michael Funga Funga, leo amedhihirisha wazi kabisa kuwa hata robo hamfikii Herieth Makambo wala Yakuba Sogni...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kibu Dennis amebadilika sana, hawezi kuendelea kucheza Simba msimu ujao

    Simba sasa hiv inabebwa sana na Kibu Dennis, huyu mwanaume amefika hapa kwa sababu ya zomea zomea yetu mashabiki wa Simba kwake, alikuwa akifanya makosa mengi sana kiasi kwamba tulidhani hastahili kuchezea Simba, nayakumbuka sana maneno ya Mzee Magori alipomzungumzia mchezaji huyo wakati...
  20. Trainee

    JamiiForums Tanzania Inawezekana tumemezeshwa matangopori mengi sana kabla ya kuenea kwa teknolojia na kufurika kwa hizi smartphones. Christy Chung yupo hai bana!

    Alaaniwe yule mtangazaji wa redio (kama siyo tbc basi ni radio free) ambaye alitangaza kwamba mdada (mmama) yule amekufa. Ili nisiwaache wengine hapa ngoja nifafanue kidogo, huyu Christy Cheung ni yule mdada aliyekuwa akilindwa na Jet Li kwenye movie ya The Bodyguard From Beijing Kipindi hicho...
Back
Top Bottom