sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania John Pambalu ni mchungaji au mwanasiasa? Abarikiwe sana ana nondo sijapata kuona? Sion wa kumfananisha naye bongo

    Amani iwe nanyi waungwana Huyu John Pambalu ni kateksita, mchungaji au mwanasiasa? Sioni mchungaji au kateksita au mwanasiasa wa kumfananisha naye Kijana ana nondo ni balaa Kamchana chana Mbowe kama karatasi Anadai kama CHADEA wanaenda kumchagua kiongozi kwa sababu ya pesa Kuna umhimu gan...
  2. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Mwenye namba ya Mbowe amtumie clip hii ya kwenye mkutano wa BAVICHA. Mbowe ajitafakari sana!

    Wakuu, Mbowe kama ana akili timamu inabidi mara tu akiona clip angejiuzulu mara moja na kutangaza kutokugombea tena. Unapata wapi nguvu ya kutaka kuingia kwenye box la kura na hali iko kama hivi? Mbowe ajitafakari sana!
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania OMBI MUHIMU SANA NA LIZINGATIWE...Mlio karibu na Dada Maria Sarungi chonde chonde mshaurini asizungumze na Press kama alivyopanga

    Naomba nisiseme sababu hapa ila kama Raia Tukuka wa Afrika Mashariki naomba atulie Kwanza kwani Hali ya Anga kwa sasa si nzuri Kwake. Na kama itampendeza basi ajitahidi mno kwa mwaka huu wa 2025 aende akatulie nje ya nchi na asijishughulishe sana na Siasa za Afrika Mashariki na Afrika kwa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Aziz kii anakosolewa sana lakini huwa anaivusha timu kwenye mazingira magumu

    Mashabiki wa Yanga hizi karibuni wamekuwa wakimkosoa sana kuwa ameshuka viwango na hata wengine kudiriki kusema auzwe. Nadhani asingefungwa jana na timu kutolewa kelele zingepigwa sana kama jinsi Prince Dube alivyopondwa jana. Tusiwakatie tamaa wachezaji
  5. D

    JamiiForums Tanzania Naomba mnisaidie link ya kudownload majina Facebook

    WAkuu habari zenu. Naimba msaada wa link ya kunisaidia kudownload facebook contact nimehangaika sana nimeshindwa kama kuna mtu ana link naimba msaada wakuu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Asante sana Ibenge kwa ushindi wa Yanga SC

    Huo ndio undugu sasa. Maana sisi wenyewe tusingeweza Game yetu ya mwisho na waarabu tushindwe wenyewe sasa. Turejesheni calculator za watu Soma Pia: Full Time: AL Hilal 0-1 Young Africans | CAF Champions League | Stade de la Capitale | 12/1/2025
  7. R

    JamiiForums Tanzania Huu ni mtindo wa kuunganisha kenchi kutumia vyuma kama hawa mafundi huko Zimbabwe unatumika sana hapa?

    Hawa ni mafundi wanatayarisha kenchi kwa kutumia "truss plates" huko Zimbabwe kijijini.
  8. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kiasili na kisheria, uchaguzi ni gharama. Ni muhimu sana wagombea uongozi wa CHADEMA kutumia fedha ipasavyo bila rushwa wala hofu ili kushinda uchaguz

    Nimeona nakuskia watu mbalimbali mitandaoni na kwenye vyombo vya habari wakipiga wayowe na kulalamika ati mgombea uongozi Fulani wa uongozi chadema Taifa ametenga kiasi fulani cha fedha kwaajili ya uchaguzi. Nikashangaa na kucheka sana, kwamba mpaka karne hii ya sayansi na teknolijia kuna watu...
  9. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Sasa hivi kupita mkesha/sikukuu bila ngumi imekuwa kawaida sana kitu ambacho miaka hiyo ilikuwa ni Nadra mno

    Sijui ni kwamba watu wameokoka sana hata sielewi kabisa.Miaka ya nyuma mkienda kwenye mkesha ama sikukuu ilikuwa ni lazima ushuhudie ngumi za wanaume zikipigwa katikati ya senta . Haikuwa sio ajabu kuona wala kusikia kuwa akina J n p jana walizipiga kwenye mkesha.Ni miaka sasa imepita bila...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Nimefika state ya furaha yangu haitaji mtu yeyote Yule . Nashindwa kuona . Na party sana

    I will be short Any way very late 20s . Sina mtoto sina Mchumba , Ila na pisi Kama 3000 hivi . Any way nilijikubali kuwa furaha yangu is my own kitambo sana . Yani hata Dunia nzima mpotee mda huu Mimi fresh tu . Issue living with these women . Mimi nimeshindwa maana Sina unhappy...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Bia ipi nzuri?

    Mi niko Mbeya town nauliza kwa wadau wanaojua bia gani tamu na inalewesha inapatikana wapi na shingapi kwa moja na kwa katoni..?
  12. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Uongo wa kiimani: Majanga ya moto yametokea nchi nyingi sana

    https://www.google.com/amp/s/www.aljazeera.com/amp/news/2021/8/19/mapping-wildfires-around-the-world-interactive Watu hamsomi. Hamjiongezi mkapata taarifa. Wanaibuka watu wanasema ni Mungu amewaadhibu sababu ya Gaza. Hizi akili za watu ambao hawana elimu na ufahamu. Hizi nchi zimewahi pata...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hapa Mbowe Lissu umemuweza sana

    Mbowe kasema uchaguzi utakuwa live TV zote za duniani zinazotaka kuja zitaingia ukumbi wa uchaguzi 1. Wajumbe kuhakikiwa live 2. Kura kupigwa live 3. Matokeo kuhesabiwa live 4. Mshindi kutangazwa live 5. Mshindi kuhutubia live 6. Mshindwa kuhutubia live Haya yote watashudia wanachama wa chadema...
  14. mahindi hayaoti mjini

    JamiiForums Tanzania Kwa yanayotokea uwanjani MC Alger na TP Mazembe. Afrika tuna safari ndefu sana ya football

    Mwarabu anabebwa kupita kiasi, hii mechi ni kielelezo tosha cha waarabu wanavyofanya kwenye soka letu, bora tu waanzishe ligi yao na watuache na yetu
  15. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kujengea kwenye simu: Inatia uchungu sana

    https://www.youtube.com/watch?v=lLChdeK88RY
  16. TODAYS

    JamiiForums Tanzania HATARI SANA: Mashirika Yatangaza Kufirisika! - Soma.

    Kampuni za bima kwenye jiji la Los Angeles zimeanza kuwasilisha maombi yao haraka kwamba ya kufilisika. Hiyo imejili kutokana na moto unaoendelea kuwaacha wakaazi wengi nje bila makazi. Moto huo kuharibu na kuchoma ekari zaidi 2,921 za mandhari nzuri ya Pasifiki ya Palisades imepotea.
  17. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Wazee wetu hawakuwa wajinga kututafutia wake wa kuoa! Wasukuma tulibezwa sana kuhusu hili yamkini waliona mbali.

    Amani iwe nanyi nyote (BabaParoko) Enzi hizo hadi mwanzoni mwa miaka ya 2000 ilikuwa kawaida kabisa Mzee wa kisukuma kwenda kumtafutia kijana wake binti wa kuoa. Mara zote walikuwa hawakosei mfano ni babu yangu kuwatafutia baba zangu wote wanawake wa kuoa na akalifanikisha wote akiwamo na baba...
  18. Q

    JamiiForums Tanzania Nimeumia sana au Sina bahati

    Natazama majina ya walio itwa kwenye usaili wa uhamiaji jina langu halipo na Sifa zote nilikuwa Nazo au Kwasababu maskini.
  19. Knock life

    JamiiForums Tanzania Nimeanza kuamini kuwa wanawake wana roho mbaya na ubinafsi mkubwa sana

    kuna mke wa jirani yangu anaitwa mama D Huyu mama D nimemkuta anaishi na mtoto ambaye Ana umri 18+ huyu mtoto Ana undugu na mume wake . Sasa nimemtfutia Kazi huyu binti Kazi yenyewe atalipwa 300K Kwa mwezi Sasa mama D amekasirika hatari anadai huyo mtoto hafai na hiyo Kazi nimtafutie...
  20. Knock life

    JamiiForums Tanzania Kwanini mtu usipofanya ngono wala kujichua unakuwa na nuru sana usoni?

    Wewe Kijana unayejichua na wewe Kijana ambaye unaendeshwa na uzinzi Fanya hivi Maliza mwezi mmoja bila sex au kujichua Hakikisha unakula vizuri na kunywa maji. Kisha kajiangalie katika kioo utaona jinsi uso utakavyokuwa na Nuru.
Back
Top Bottom