sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. Knock life

    JamiiForums Tanzania Katika viumbe vyote kiumbe kinachoteseka sana ni ' BINADAMU' je umejiuliza kwanini?

    Katika viumbe vyote kiumbe kinachoteseka sana ni ' BINADAMU' je umejiuliza kwanini? Sababu kubwa ni kuwa binadamu ndo kiumbe ambacho hakina akili . Ebu fikiria MTU anaumia ,anateseka , anakuwa mwizi , ili tu apate vitu ambavyo kavitengeneza binadamu mwenzake .
  2. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Upole, utulivu, usiri na utiifu uliniwezesha kuwa na mabinti wengi katika mahusiano ya kimapenzi

    Ni kabla sijaenda sumbawanga na baada ya kurudi kabla sijaenda kusoma elimu ya juu. Nilikiwa mpole sana,mtulivu kupita kiasi,msiri na mtiifu sana Kaka yangu alikuwa na mchepuko wake mmoja,ambae alimpenda sana,sasa mie ndiye nilikuwa natumwa kila kitu na kaka kwa huyo demu,na pesa nilikuwa...
  3. kichongeochuma

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa Jeshi la Polisi ubadilishwe, Unakandamiza na kunyanyasa Wananchi hasa wa daraja la chini

    Polisi anakukamata huna kosa au kwa kosa la kuhisiwa tu, ukianza kuhoji kuna nini anakukamata bila sababu, unatandikwa haswaa, unafika Kituoni. Unaambiwa saini hapa ukiuliza kwanini mbona sielewi na saini nini? Unapigwa haswa, na baada ya hapo unawekwa ndani, kisha ndugu wakija wanaambiwa...
  4. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Tabia za mtu ambaye utotoni mwake amedekezwa sana

    Mwanaume ambaye utotoni amedekezwa sana -Anakuwa na misimamo mikali sana (rigid), mwengine anakuwa legelege sana kiasi kwamba kila kitu anamtegea mama yake na dada zake -Hawezi kudumu na Mwanamke,kwa maana anakuwa anapenda sana ulevi kupindukia, uvutaji bangi,kutumia fedha nyingi sana bila...
  5. KENZY

    JamiiForums Tanzania JamiiForums ina Wadada wazuri sana!

    Mnavutia,mnajua kuvaa, shape mnazo na hakuna mwenye komwe!. Mmebarikiwa mno!, mna mioyo mizuri kiufupi mmetaradadi!. Nawapenda sana wadada wa jamiiforum mbarikiwe maradufu. Enjoy
  6. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Abdul na mabilion yake anamwogopa sana Tundu Lissu

    Kitendo cha kuinuka na mabilion ya pesa kumpelekea mtu kwa Dunia hii leo iliyojaa uchu, tamaa, ufisadi, ujambazi, laana plus njaa ya kila namna na shida na mahangaiko ya kila namna na akazikataa lazima uogope sana. Watu wanauza mpaka bandari za nchi ili wapate pesa, lakini kwa Tundu Lissu...
  7. Lugano Edom

    JamiiForums Tanzania KERO Ukiwatoa TANESCO, bado Idara ya Maji haieleweki kabisa linapokuja suala la bili zao

    Nimeshindwa kuridhika na mfumo wa malipo ya bili za maji. Naomba Idara ya Maji wazingatie kuleta mfumo wa LUKU kama wa TANESCO, ili tuweze kununua maji wenyewe kulingana na matumizi yetu. Pongezi kwa TANESCO kwa mfumo bora wa LUKU. Lakini kwa upande wa Idara ya Maji na bili zenu, bado...
  8. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Maisha yakiwa rahisi sana hugeuka kero

    Mtu ambaye hafanyi kazi yoyote,hafanyi usafi, lakini anapata mahitaji yake yote bure lazima ataanza kulala sana,kukesha kwenye tv,kuanza kunywa pombe,kucheza kamari,kutumia dawa za kulevya,kufanya starehe sana muda wote kwa sababu anakuwa anaishi maisha rahisi sana hivyo atalazimika kuishia...
  9. Malaika wa Misukosuko

    JamiiForums Tanzania CAF wawe makini na Mechi za MC Alger vs TP Mazembe na Al Hilal vs Yanga, Sisemi sana ila waweke mitego yao kuna Timu itanasa

    Habarini wakuu, Mechi kati ya Mc Alger vs Tp Mazembe, Al Hilal vs Yanga Hizi mechi CAF waziangalie kwa jicho la ukaribu zaidi na la kijasusi zaidi wakitega mitego yao kuna Mtu atanaswa na ndo itakuwa mwisho wa Timu husika kwaherini.
  10. VINICIOUS JR

    JamiiForums Tanzania Kuwa na mahusiano na Wanawake wasio na pesa ni tabu sana

    Wasalam wakuu, Kama mada inavojieleza. kwenye haya maisha inatokea kunamwanamke unampenda sana yani nawewe unatamani arudishe upendo kama unavompenda. Cha ajabu sasa kadri siku zinavozidi kwenda unahisi kabisa mapenzi huyaoni ila unaona kabisa anakuchukulia ni kama fursa ya kujinufaisha...
  11. Dialogist

    JamiiForums Tanzania Nina mawazo tofauti sana na ninyi nyote juu ya hii saga ya Mbowe/ Lissu na uongozi ndani ya CHADEMA

    Heshima kwenu Wakuu, Nimetafakari kama raia wa kawaida tu, na raia namba 53,398,487 wa Jamhuri yetu. Kuna hii saga au mvutano unaoendelea ndani ya Chadema katika madhira ya kugombea uongozi baina ya timu ya Mwenyekiti wa sasa Ndugu FREEMAN AIKAEL MBOWE (STU) na Makamu wake Ndugu TUNDU ANTIPAS...
  12. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Lyrics: Inaniuma sana by Juma Nature Kiroboto

    Lyrics Siku ya kwanza kukutana naye alikuja kwetu usiku, alikuta nimechoka nimetoka ku record usiku, walikua kama wanne hivi ndani ya gari aina ya chaser, wamejaa hangover utazani jana yake walikesha, akaja mshikaji wangu mmoja, kutoka kwenye lilelile gari akaja moja kwa moja, mpaka kwenye...
  13. Loading failed

    JamiiForums Tanzania Wanawake ukiona unapewa sana attention na wanaume ujue unanuka hapo haupendwi

    Wanawake ukiona unapewa sana attention na wanaume ujue unanuka hapo haupendwi NANUKUU.. Wahenga walisema "kizuri kinajiuza kibaya kinajitembeza hapo hapo wakatuambia mavi ya kale hayanuki" Enyi wanawake mnao ishi kwa kuhisi muda wote nakupenda sana kupewa attention na wanaume mjue mnanuka...
  14. Kichwa kikubw

    JamiiForums Tanzania Karibuni sana simba na yanga na wana michezo wote

    Naomba tujiunge group letu pendwa la watani wa jadi Tanzania wewe ukitaka kujiunga gusa hapa tu : SIMBA VS YANGA utakuwa umeungana na wana michezo wenzako karibu sana mdau wa soka unakaribishwa kutoa hoja kuhusu Soka
  15. Apollo tyres

    JamiiForums Tanzania Kusoma shule za gharama kuna faida nyingi sana kuliko hasara

    Wakuu habari. Nimekuwa nafatilia Sana kuhusu mada mbali mbali kuhusu mtoto kusoma shule za kata au kayumba na kumsomesha shule za gharama Private. Kwa kuanza nitatoa mifano mifano kadhaa kuhusu Mimi binafsi. Mimi nilipata bahati ya kusoma shule za gharama kubwa kuanzia kidato cha kwanza...
  16. Anonymous

    JamiiForums Tanzania Hivi mamlaka husika zilikuwa wapi mpaka kipande cha "unyanyasaji wa kingono" kinaandikwa kwenye kitabu cha Kabendera?

    Mimi bwana kitabu cha Kabendera sijakisoma kabisa ila nimeona mitandaoni kuna kipande kwenye kitabu hicho kinaelezea kwamba mwendazake alivalia pajama kama maandalizi ya ubakaji kwa msaidizi wake ambaye kwa sasa ni Rais wetu. Naomba isiwe kweli kabisa. Yaani mwendazake alivaa pajama ili...
  17. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Unamchukuliaje mama yako ambaye hataki kukupa ukweli kuhusu baba yako mzazi na kuacha utumie ubini wa mtu mwingine?

    Umezaliwa humfahamu baba yako mzazi. Mama yako anakwambia babaako alishakufa. Anakutajia jina ambalo silo unalotumia shuleni. Unaanza kujiita ubin kwa hilo jina. Baada ya miaka kadhaa, mama yako anakutambulisha kwa mtu mwingine kuwa ndiye baba yako. Tena yuko hai. Na jina sio lile alilokutajia...
  18. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kama sio wakoloni (wazungu) na dini walizoleta Afrika tungekuwanyuma sana

    Ukiangalia kasi ya maendeleo kwa maeneo qmbayo yalifikiwa na wakoloni iko kasi kuliko kule ambako hapakufikiwa. Wanjanja wengi ni matokeo ya kuanzishwa kwa shule na elimu za kikoloni. Kuna vijiji ilikuwa mtu akinunua hata kioo tu anarogwa na kufa kwa wivu. Kuna mambo ya maana mtu alikuwa...
  19. KENZY

    JamiiForums Tanzania Ambao hamtumii hii kitu mtachelewa sana kufika kaanani!

  20. M

    JamiiForums Tanzania UCHAGUZI CHADEMA: Hotuba ya leo, kisiasa Heche amemucha mbali sana Lissu

    Nimesikiliza Hotuba ya Heche leo akitangaza kugombea Umakamu Mwenyekiti CHADEMA, nimegundua kisiasa Heche ni Mkubwa sana kuliko Lissu ingawa kiharakati Lissu kamuacha mbali sana Heche. Heche katambua nguvu ya Mbowe ndani ya CHADEMA, hotuba yake imekwepa sana kumshambulia Mbowe Binafsi na...
Back
Top Bottom