sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Hii Picha Itadumu kwa Miaka Mingi Sana Na Kuonyesha kuwa hakuna picha Ya bahati mbaya Inayopigwa Ikulu

    Ndugu zangu Watanzania, Nimewahi elezea juu ya Picha hii siku za nyuma kidogo. leo tena nimeendelea kuiangalia picha hii na kuendelea kuitafakari zaidi na zaidi na kujikuta nikiguswa sana na Picha hiyo. Embu Fikiria hapo. Kutoka pichani Mheshimiwa Balozi DKT Emmanueli Nchimbi Amependekezwa na...
  2. JamiiForums Tanzania Huu ni Ushahidi kuwa Viongozi wetu walipambana Sana. Inaumiza kwa kweli

    Viongozi hatuna cha kuwalaumu kwa kweli. Soup walitupa na tickets walitupa. Tume fail wapi sisi? Inaumiza sana. Sisi tutakuwa wakuishia Makundi kila mwaka mpaka lini?
  3. JamiiForums Tanzania Je wajua ukitongoza mtu kwa lugha asili ya kijijini kwenu ni ngumu sana huyo mtu kukukataa?

    We jiamini tu na hakikisha wote mnaweza kuelewana kwa hiyo lugha, kwisha habari. Trust me hapo lazima mtu ang'ang'ane nawewe. ===== Kwa hisani ya Braza Kede
  4. JamiiForums Tanzania Dikteta Captain Traore wa Burkina Faso ana maajabu gani kumfanya kukubalika sana na Waafrika wengi?

    Kwa nini huyu Rais dikteta wa Burkina Faso Waafrika wanapenda kumpamba sana kwa taarifa za uongo na propaganda? Ana maajabu gani? Hapa wanasema alialikwa katika uapisho wa Trump akakataa!🤣
  5. C

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wanaamini Waisrael sio watu wa kawaida. Wanawakuza sana

    Yani kila linalotokea huko Gaza, wao watakwambia Israel inajua inachokifanya. Waliposhambuliwa na kuuwawa zaidi ya raia wao elf 1 pamoja na wengine zaidi ya miamoja kutekwa, wapo waliosema 'eti huo ni mtego'. Wakajiapiza kurejesha mateka wote na kuwamaliza Hamas. Lkn baada ya vita ya zaidi ya...
  6. JamiiForums Tanzania Nawashukuru sana wafanyabiashara wa usafiri wa mabasi mlioamua kuiunganisha kanda ya ziwa na nyanda za juu kusini

    Wakuu Previous hakukua na dalili za mtu kutoka direct from lake zone to nyanda za juu kusini. But kutokana na utashi na exposure ya watu wa maeneo husika sasa hivi usafiri wa hizo pande mbili upo muda wote. Mfano jana nimetoka Mwanza saa saa 10 jioni ila leo saa 7 au 8 hivi nimefika Mbeya na...
  7. JamiiForums Tanzania Tuhuma za Mtoto wa Biden , zilichangia Kwa asilimia Kubwa sana BIDEN kuzuiwa Kugombea Urais ! Ni vipi Hapa kwetu Tuhuma anazotoa LISSU!!

    Kwanini Nyerere alisahau kutamka RUSHWA kama adui mojawapo hapa nchini?. Ni kwamba alichukulia suala la Rushwa kama kitu kidogo? Katika mataifa ye Demokrasia, hizo tuhuma anazotoa LISSU Kila siku zilitakiwa tuone Serikali inatoa Tamko. Na Serikali inapokaa kimya, basi Dola na vyombo vyake...
  8. JamiiForums Tanzania "Vision X Tint Studio" walikua ndio Authorized Dealer wa 3M Tint kwa Tanzania. Jamaa walikua wanaweka tint kali na quality sana.

    Gari kua na tinted ni jambo la msingi sana. Inaongeza privacy na usalama, inapunguza joto (heat na UV rays) na kuongeza "muonekano" mzuri. Sasa hawa wawekaji wa Instagram wanatuwekea sawa tint ila quality mbovu sana na ndio maana nyingi baada ya miaka 2 zinabadirika rangi kama sio kubanduka...
  9. JamiiForums Tanzania Huyu Kocha Saed anyamaze asizidi kututia hasira. Anaongea sana. Haya maneno gani sasa?

  10. JamiiForums Tanzania Huyu kijana Amedhalilika sana

    Kijana kaitwa kama mbwa nihuzuni
  11. JamiiForums Tanzania Hyundai na TVS waungana kutengeneza "Bajaji" za umeme. Zimekaa Unyama sana!

    Kampuni ya magari kutoka Korea Hyundai, wameungana na Muhindi TVS kuleta "bajaji" za umeme ambazo unaweza ukazitumia kwa business au usafiri private. Hyundai yeye atatoa engineering na technology wakati TVS atafanya assembly na marketing. Bei na specifications zaidi bado hazijawekwa wazi.
  12. JamiiForums Tanzania Mnajua kwanini wahaya na wachaga wamefanikiwa sana ?

    Kinachowafanya wahaya na wachaga kufanikiwa katika Elimu , Biashara n.k Ni Kwa sababu wanakumbuka Nyumbani na kutunza ile Asili yao. Wahaya ukifia hata Marekani huwa wanahakikisha unaletwa kuzikwa kwenu . Pia wachaga the same. Binadamu anapatikana katika mambo mawili Energy and matter...
  13. JamiiForums Tanzania Itaichukua muda mrefu Sana EAST AFRICA kupata m'badala wa chameleon

    Leo nimesikiliza nyimbo za Chameleon kama Jamila, Naumia, Shida za dunia na nyingine nyingi, nmegungua kua EastAfrica itaichukua muda mrefu Sana au isipate kabisa msanii aina ya josee, kutunga mashairi, Melody, ujumbe wa nyimbo zake ni kitu kinachoishi miaka na miaka. Jamaa alikua anatunga...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Muarabu katoa hela ndefu sana kwa Yanga

    Bench la ufundi, Hersi na baadhi ya wachezaji. Na ndio maana Pacome alianzishiwa benchi. Tukubali tu kuwa haya ni maisha na kuna hela ukionyeshwa ni ngumu kuikataa hata kama wewe ni paroko. Muarabu akitaka jambo lake anaweza kukupa hata behewa la SGR
  15. JamiiForums Tanzania Aliyefikiria kupeleka mechi ya Simba vs Constantine uwanja wa Mwembeyanga alifikiria mbali sana

    Huyu jiniasi aliyefikiria kwenda kuweka screen ya mechi ya Simba vs Constantine uwanja wa Mwembeyanga ujiniasi wake ni levo za kina Newton na Einstein, tumlinde kwa wivu mkuu sana. Uto tumekuja kwenu kuwaonyesha siyo tu jinsi ya kwenda robo fainali ukiwa na mechi moja mkononi, lakini pia jinsi...
  16. JamiiForums Tanzania Naumwa sana: Nimefika Pemba ili nitibiwe kienyeji, naombeni msaada wa Mtaalamu

    Habari zenu. Wakati mwingine unapoona tiba za hospitali hazisaidii, unaruhusiwa kujaribu na upande wa pili. Kwa unyenyekevu mkubwa, naombeni msaada wa kumpata mtaalamu aliyepo hapa Pemba muda huu. Nimeshuka mchana huu hapa Bandarini. Nimekuja kwa ajili ya kupata matibabu yangu binafsi. Kama...
  17. B

    JamiiForums Tanzania CCM inachekesha sana; wazee walioshindwa miaka yote ndio wanarudishwa tena? Wana Jipya gani?

    Kuna mambo mengine ni kama dharau. Watu waliopata fursa miaka mingi huko nyuma na wamestafu bila kuwa na impact ya maana kwenye Taifa wanarudishwa ili iweje? Hii sio dharau kwa vijana na watu makini ndani ya Chama chetu cha CCM?
  18. JamiiForums Tanzania Rasmi nimeligundua hili, Mungu na Shetani hawapo: Dini ni utapeli

    Kuna watu ni wajinga wanaamini kabisa kwamba Kuna mungu utakuta mtu amefanyiwa ubaya na binadamu mwenzie eti namuachia mungu halafu Kwa mujibu wa dini huyo huyo mtu alienda kutubu anasamehewa aisee zindukeni dini na neno mungu limetungwa na matapeli Ili waweze kuitawala dunia ikiwemo kuanzisha...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa nini Lema anakanusha tuhuma nyingi sana lakini hajawahi kukanusha tuhuma za wizi wa magari!?

    Godbless Lema wiki hii ametamba kwamba anaweza kuitisha press conference hata usiku wa manane kukanusha na kuelezea mambo mbalimbali. Katika mambo ambayo Lemma katuhumiwa muda mrefu ni wizi wa magari. Namsihi na hili pia aliongelee
  20. K

    JamiiForums Tanzania Yaani Lisu kugombea uwenyekiti imeonekana kuwa nongwa sana

    Hivi kosa lipo wapi mbona lisu ameonekana kafanya makosa makubwa kuchukua uamuzi wa kugombea Uwenyekiti wa chama..? Basi Mwenyezi Mungu yeye anaja nani anatakiwa kuwa kiongozi wa hicho Kikoba Cha Mr FAM Yaani Mimi nikuona Lisu ni kama namuona Mkapa, ni kama namuona Sokoine Moringe, Jpm
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…