sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Adha ya Magari ya Mwendokasi kuacha abiria muda mrefu nyakati za Asubuhi kwenye Vituo na kupita matupu ili hali usafiri wa shida, inakera sana

    Habarini wandugu, Kumekuwa na changamoto kubwa sana ya kuachwa na mabasi kwa sisi abiria tunaotoka maeneo ya kimara na nje ya mji tunaotumia usafiri wa mwendokasi kwa nyakati za asubuhi. unakuta mtu unafika kituoni saa12 asubuhi magari yanakuja yamejaa unalazimika kusubiri na unatakiwa uwahi...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wazazi masikini punguzeni matamko yenye viashiria vya laana kwa watoto zenu

    Janga la wazazi kutamka matamko ya laana linashika kasi sana na hasa kwa hawa wazazi wenye umaskini ukifuatilia utakuta malalamiko mengi yenye viashiria vya kutoa laana kwa watoto zao. Changamoto kubwa ni wazazi kufanya watoto mitaji ya kuwakwamua kwenye umaskini wao hivyo ikiwa nje ya...
  3. JamiiForums Tanzania Wachina wanaishi kwa shida sana kama kuku wa kwenye cages nchini kwao ndio maana wanakimbilia Afrika

    Pamoja na kwamba tunaona majengo makubwa na miondombinu mizuri inayomeremeta China ila ukweli pia ni kwamba raia wengi wa nchi hiyo hata wale wenye kipato kizuri cha wastani kwa huko kwao wanaishi maisha ya shida sana ya kubanana katika makazi. Raia wengi wa China wanaishi kwenye vi-...
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini mfumo wa Afya/matibabu Marekani huwa unalalamikiwa sana na raia wao wakati hilo ni taifa tajiri?

    Miaka na miaka sekta ya afya Marekani imekuwa ikilalamikiwa sana kwamba ni ghali sana na inayonyima watu wengi fursa ya matibabu. Hivi karibuni mpaka CEO wa kampuni ya afya alilimwa risasi na kuuwawa na kijana mwenye hasira kali kwa sababu ya kero za bima ya Afya. Inakuaje taifa tajiri lenye...
  5. JamiiForums Tanzania Huyu mlokole ni wa ajabu sana. Anafanya mambo ya ajabu! Msaidieni jamani

    Huyu mlokole anafanya kazi ya uhasibu kwenye shirika kubwa, lakini hajawahi kuiba hata senti. Eti anasema wezi hawataingia mbinguni. Mtu ana nafasi ya kutajirika haraka kwa pesa za shirika, yeye anakomalia uaminifu. Ujinga mtupu! Akipanda magari ya abiria, akizidishiwa chenji, anamrudishia konda...
  6. JamiiForums Tanzania Miaka 20 iliopita mtu angekuambia kuwa kuna watu Tz hii hawaamini Mungu yupo ungemcheka sana ila sasa idadi imekuwa maradufu. Ipi inaweza kuwa sababu?

    Exposure ktk elimu, sayansi na Tech? Kuathirika na utapeli wa kidini? Exposure ktk Atheism literature? Globalism na World wide sharing? ????????????????????????????????
  7. JamiiForums Tanzania Bangi ni dawa nzuri sana tangu miaka ya kale

    Kwa maelfu ya miaka, bangi imekuwa dawa kuu kwa binadamu, lakini sheria ziliharibu yote. Imetumika kama dawa ya maumivu kwa miaka 12,000—kutoka Misri ya kale hadi China. Warumi walitegemea pia, na hadi miaka ya 1900, ilikuwa dawa ya maumivu inayotumiwa zaidi ulimwenguni. Lakini mwaka 1961...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa uchezaji mbovu wa Beki Baka (japo wana Yanga SC wanamsifia) ataisababishia Taifa Stars kufungwa sana Magoli ya Penati

    Ibrahim Baka ana Uchezaji wa Kizamani / wa Kishamba sana ambao ukiwa ni Mtu tu wa Mpira kama Mimi utamshangaa. ANGALIZO Tafadhali ukijijua kuwa humpendi GENTAMYCINE wala THREADS zake acha KUSHOBOKA kumsoma, bali wapishe Wengine.
  9. M

    JamiiForums Tanzania BoT: Ufafanuzi kuhusu mwenendo wa Shilingi ya Tanzania dhidi ya Dola ya Marekani

    TAARIFA KWA UMMA UFAFANUZI KUHUSU MWENENDO WA SHILINGI YA TANZAΝΙΑ DHIDI YA DOLA YA MAREKANI Benki Kuu ya Tanzania inapenda kutoa ufafanuzi kuhusu taarifa potofu iliyosambaa katika vyombo mbalimbali vya habari. Taarifa hiyo, iliyochapishwa tarehe 19 Machi 2025, ilidai kuwa Shilingi ya Tanzania...
  10. JamiiForums Tanzania ZIJUE BAADHI YA SABABU ZINAZOKWAMISHA WATU KUPAKA USINGIZI MAPEMA NYAKATI ZA USIKU. HUCHELEWA SANA KULALA

    Kuna sababu kadhaa zinazoweza kuwafanya watu wakose usingizi nyakati za usiku. Baadhi ya sababu hizo ni kama zifuatazo: * Msongo wa mawazo na wasiwasi: * Mawazo mengi na wasiwasi kuhusu maisha, kazi, au mahusiano yanaweza kuingilia kati na uwezo wa mtu kulala. * Matatizo ya kiafya: *...
  11. JamiiForums Tanzania Kuwa introvert ni tabu sana!

    Unaweza kushinda ndani kama jini nani sijui!, Halafu ukitoka nje dakika mbili tu unatamani tena kurudi ndani.. mbaya mbovu introvert tunaujinga huu. Naweza nikawa nataka kutoka na wewe umekaa sehemu nayotaka kupita naweza nikasubiri mpaka utoke ndo namimi nipite!, mitabia myengine sijui ya wapi...
  12. I

    JamiiForums Tanzania Mwanangu analia sana wakati wa maombi

    habari wapendwa mwangu ana mwaka na miezi 6 changamoto yake mwanangu analia sana wakati wa maombi. tena hata kuna wakati mkifika kanisani analia sana anasumbua sana ila pale mnapo rudi nyumbani anakuwa mzima. sijui nini shida. nifanyaje naona kabisa hii si kawaida
  13. B

    JamiiForums Tanzania Nimekutana na Gari lenye Mabango ya Picha za Dkt. Samia, Abiria waliokuwemo wanatazama Hotuba za Lissu. Walionekana na furaha sana

    Kwenye harakati zangu za leo asubuhi nimekutana na jambo lililonishangaza. Kumbe watu ni wajanja sana na wanafiki. Kwenye hilo gari aina ya Toyota Double Cabin lilikuwa na mabango yenye picha za ccm na Rais Samia kama mwenyekiti wa Chama Taifa. Wale abiria waliokuwemo wametune Sauti iliyokuwa...
  14. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Muhoozi Kainerugaba; ni mjinga sana mwenye confidence au ana dharau sana

    Angalia tamko lake la jana kuhusu sintofahamu ya M23 na DRC Huyu ni mtoto wa Yower Museveni na ndiye CDF wa Uganda People Defence Force na Rais ajaye wa Uganda
  15. JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini waarabu ni walalamishi sana?

    Wafuga Midevu watu wa ajabu sana Oct 07,2023 walikuwa wanasherehekea sana kwa kuua watu wasio na hatia, Juzi tena alionekana Sheikh huyu akicheza mbele za maiti za watoto Ariel na Kfir familia ya Bibas sasa hivi analalamika kuwa Israel inawaua wakiwa kwenye mahema wamelala. Walichokoza wenyewe...
  16. JamiiForums Tanzania Wahouthi wataarifiwa wakae mkao wa kupigwa sana

    Majeshi ya Marekani yamewaambia askari wa Israel wasijishughulishe na Magaidi wa Houthi badala yake wao Marekani wako tayari kuwanyoosha magaidi hao. Hayo yamejiri baada ya Wahouthi kuzidi kurusha makombola ya huko Israel pamoja na kwamba hakuna korbola lolote kutoka Yemen limeleta uharibifu...
  17. JamiiForums Tanzania SITAPELIKI asanten hizo msg zinatosha sasa na mimi nawaahidi sitatapeliwa. Asanten sana mumetosha sasa

    Amani iwe kwenu wakuu Huyu kiumbe aliyepewa tenda ya kusambazaa msg za SITAPELIKI kanishinda tabia Kwa siku ana weza tuma msg hata kumi kwenye lain moja bado lain nyingine Leo nimekuja mbele ya kadamnasi kuomba atosheke sasa na mimi naahidi kuwa sitatapelika kamwe Asante sana Kwaresma...
  18. JamiiForums Tanzania Nyumba mithili ya Meli pachungu hapakaliki, mbelgiji awe makin sana, aliyeshika pembe anaingizwa Chaka kumuumiza

    Yes the man is Smart Chama WALATA kilizoea sana vya kuchinjwa, kwa sasa Mbelgiji katembelea Taasisi zaidi ya 30 na mashirika ya Kimataifa na balozi za nchi mbali mbali, kwamba “HAKUNA MAGEUZI HAKUNA KUDINDISHA” isomeke hivi penye (L)pakiwekwa (R) Jamaa ameonekana mtu anayefuata utaratibu...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Mnyukano ligi kuu ya TRA sio wa kitoto !! kama huna connection hakikisha nje ya uwezo wako umshikilie sana Mungu wako ama urudi kwa babu kujiongeza

    LIGI KUU YA KUWANIA AJIRA ZA TRA Academic officer II= 3/2375 - Atapita moja kwenye kundi la watu 791 Accountant = 2/712 - Atapita moja kwenye kundi la watu 356 Accounts officer II = 12/2894 - Atapita moja kwenye kundi la watu 241 Administrative officer II = 3/2045 - Atapita moja kwenye kundi...
  20. JamiiForums Tanzania Jaman mbona magari used yameshuka sana bei sikuhizi nini shida

    Wakuu sikuhizi gari used zimeshuka sana bei shida nini ? Au mimi ndio sielewi yaaan unaweza kuona crown namba dz inauzwa 9m Au Ist ds mil 10 kipind chanyuma bei zilikuwa zimechangamka sanawakuu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…